Yani nashukuru sana Mungu kuna rafiki ambae toka aje maisha yangu,ni matatizo matupu na cikuwa naona sababu ya kuseparate ila nimejifunza Leo, ubarikiwe Dr
Hii kitu ndo napitia saiz rafiki wote washaondoka na amebaki mmoja lakn nae ana chuki na ananizungumzia vibaya kwa watu kuhusu mafanikio sijui nimuondoeje kwenye maisha yangu maana ni rafiki yangu wa karibu sana😢😢
Sioni kama wewe nimtu wakawaida naona kama joel ww sio mtu uliye zaliwa nikwamba kama uliumbwa tu kuja kuokoa. Hii imenigusamoja kwa moja had nikajihisi unasimulia maisha yangu halisi daa. sina uwezo mkubwa japo uelekeo nauona sana naomba no yako nitoe sadaka kidogo pls.
Hata hili somo ni sauti ya Mungu nilihitaji kusikia kitu kama hiki kabisaaa,
Ameen, chukua hatua bila kuchelewa
Asante kwa ujumbe mzuri
Amina. Ahsante kaka Joel
Yani nashukuru sana Mungu kuna rafiki ambae toka aje maisha yangu,ni matatizo matupu na cikuwa naona sababu ya kuseparate ila nimejifunza Leo, ubarikiwe Dr
Asante Kaka Joel, hii ni yangu imekuja kwa wakati wake. Barikiwa saaana🥰
Ahsante sana kwa hili somo, Mungu akunarika sana kaka Nanauka, nimejifunza sana.
Thanks Joel. Umeongea somo zito na la maana sana leo. Natamani hata nikutafute tuongee ana kwa ana ili moyo wangu upone na nipate ufumbuzi.
Hapo kwenye watu wenye ajenda za siri aisee ni maumivu sana Lakin Mungu ni mwema tumeshatengana sasa nimefungua ukurasa mpya
Asante sana kaka joel na Mungu akubaliki
Asanteee Yesu Kristo kwa Ajili ya Hili SOMO.
Yeah my brother Joel ❤
Ameeen barikiwa sana eeii hii moto dah! Let the living GOD to bless you
Nakumbuka marafiki zangu walinitenga baada ya kuwa nawaeleza mafanikio yangu..nilipogundua nilijitenga nao na nikajifunza kukaa kimya
Hii kitu ndo napitia saiz rafiki wote washaondoka na amebaki mmoja lakn nae ana chuki na ananizungumzia vibaya kwa watu kuhusu mafanikio sijui nimuondoeje kwenye maisha yangu maana ni rafiki yangu wa karibu sana😢😢
Asante Uncle Joel, Mungu amekutuma unene na mimi kuhusu jambo hili. Ndio wakati napitia sasa. God is Great.
Mungu akuongoze
Ahsante kwa mafundisho yako chakwetu ni actions za kitu Tulichojifunza . See you at the top
Thank you so much bro, ninabarikiwa sana na life wisdom series....
Shukran sana kaka Mungu Aendelee kukuweka kwaajili yetu nimejifunza meng Sana kupitia wew ubarikiwe Sana🙏
See you at the top JAN 🇹🇿
Asante sana
Unanitia hamasa kweli mentor wangu Mr Joel ,juu nilikua naona nii mm ndio mkosa
Nimeelewa sana zaid ya sana
Kwa mara ya kwanza nipo mapemaaa 🍁
good morning top team
Morning!!
More thanks Brother
Upo sahihi Kaka barikiwa Sana. Endekea kuinjilisha kupitia kipaji ulichojaliwa na Mungu
Kila leo najifunza tu hata nikiwatch late am blessed more grace mr.
Kwan Mr Joel kuwapoteza watu wa kalib ndo Kuna kuwa na mafanikio
Kaka joeli umenigusa sana ninandoto za kufika mbali naomba msaada wako
MUNGU AKUBARIKI SANAAA NAKUELEWAAA
Hapa nmekuelewa mno mtumishi asante sana tena sana
Asante Sana kaka Joel Nanauka kwa Elimu hii MUNGU HAKUBALIKI SANA 🤝
NI kweli kabisa
Joeli nanauka Ubarikiwe🙏🏾
Asante baba.
nimejifunza sana kitu kikubwa sante sana
Hili somo naona ni kwaajil yangu Asante sana
Asante sana ubarikiwe
Mungu akulinde daima kaka
🙌💯
Shukrani sana kaka Joel, we are proud to have you . Mungu akubariki sana
Umeniongelea mm kabisa
Asante kaka yangu kwa elimu nzuri
asante sanaaa kaka yanguuu.
Dah Asante sana Nanauka!
Shukrani kwa somo
Mafundisho haya ni mazuri sana
Kbs kaka Dah!!! Nimekubali,
🙏🙏🙏 Barikiwa sana
Asante baba Kwa mafudisho mazuri
Asante sana kaka wewe ni mwalimu wa walimu mungu akusimamie.
Ameen Ahsante sana
Asante Mkurugenzi
Morning. Very true hasanti kwa Nuru ya maisha
Thank you my bro kwa hili somo limeniongezea nguvu I'm in separation season
Thank u
GROWING SEASON
Ubarikiwe sana mwalimu.
Thanks @kaka Joel
Kaka sana kwa elimu yako.
Absolutely 🦁
wakati ukifika no turn bck! C u around again ❤
Current situation thank u!
Jo Asante sana kwa ushauri wako. Inakuaje jambo hili kwa wanandoa ni sahihi watengane??!!!
🙏🙏🙏✨
True brother God bless you for being the light to many🌸👌🙏
Aisee blooo Joel nanauka 🙏
Nimekuelewa kaka ntafanyia kazi ili nipite vizur kweny hich kipind mung akubaliki sana uzidi kuwasaidia na wengine
💯🙏
Naitaji ukaribu wako
Nimejifunza kitu kizuri na Mimi nilikuwa kinganganizi ila sasa nimeelewa sitangangania watu.
🙏🙏
Sioni kama wewe nimtu wakawaida naona kama joel ww sio mtu uliye zaliwa nikwamba kama uliumbwa tu kuja kuokoa. Hii imenigusamoja kwa moja had nikajihisi unasimulia maisha yangu halisi daa. sina uwezo mkubwa japo uelekeo nauona sana naomba no yako nitoe sadaka kidogo pls.
UPO SAWA KABISAA
Namimi baada yakuacha kazi sehemu niliko kukwa naganya kazi nime fanyikiwa kiukweli maishani
Hongera Sana Sanaa
Asante kwa mafundisho
See me at the TOP.
SoMo limekuja on time saana kaka😂
🏋🏾✊
Kweli nilipo taka kufunga ndoa nikagundua anitakii mema ana shilikiana na maasimu wangu nikaamua kuachana nae Yani maumivu kukiacha kitu ulichokizowea
Nikwel kaka kunawatu niliachana nao nikaanza kubadili mtazamo mawazo
Nipo mkuu Leo mapema 😅
14:46
Naomba namba yako mtumishi
Naomba namba yako nkupigie kaka
Naweza kupata story hii kwa njia ya sauti pls?
Joel unahuduma ya ushauri? Kila nikiuliza hili swali sijibiwi. Why??
Anayo
🙏🙏