#LIVE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 57

  • @JoyBeautiful-q3r
    @JoyBeautiful-q3r 4 วันที่ผ่านมา

    Eeeh 🤲🤲😭 mungu naomba unisamehe dhambi zangu na makosa yangu,, naomba toba na rehema ukapate kunisanehe,,wewe ni bwana mponyaji tuma neno la uponyaji kwangu uponye maisha yangu bila wewe mimi siwezi naomba rehema zako na huruma zako 🙏

  • @JoyBeautiful-q3r
    @JoyBeautiful-q3r 4 วันที่ผ่านมา

    Eeeh 🤲🤲 mungu nisaidie kukuamini bwana natamani kukuamni100%

  • @EstellaNshimirimana-up9jo
    @EstellaNshimirimana-up9jo 5 วันที่ผ่านมา +1

    Asante mtumishi wa Mungu kwa haya mafundisho,yani unanifunguwa kabisa hakikini juu nilikuwa ni mtu wakuishi hapo hapo yani ivi naelewa mimi ni nani🙏🙏🙏,mwaka wa 2025 sitaongezwa kutumikishwa kama daraja,mimi ni mtu wakuanzisha maisha yangu in mighty name of Jesus Christ 🙏🙏🙏amen amen,sitasimangwa tena,namwomba Mungu nipate nguvu,mafundisho haya yananifungua,asante Mungu wetu kwakutupa huu mtumishi wako,amen amen

  • @MarieMakiwa
    @MarieMakiwa 6 วันที่ผ่านมา +1

    Bwana yesu nahomba unihongoze upendavyo

  • @VeronicaMtita
    @VeronicaMtita 5 วันที่ผ่านมา +1

    Asante MUNGU wangu nakuomba ukanibariki na kunibinua katika viwango vya juu zaidi namba nikifungua biashara zangu zisife Tena nakuomba ukaninyanyue na niweze kutembea Tena upya mungu Nina amini umetenda nakuomba unibariki MUMGU wangu AMINA

  • @BarutiSofiachance-x5i
    @BarutiSofiachance-x5i 5 วันที่ผ่านมา

    Amen glory be to jusus christ ❤❤

  • @JustinaKambimbi
    @JustinaKambimbi 5 วันที่ผ่านมา

    Zahidi ya yote unatufundisha mutumishi wa bwana yesu na pika aksanti sana ibarikiwe jina la yesu ❤❤❤❤❤❤

  • @EmmahMaclean
    @EmmahMaclean 5 วันที่ผ่านมา +1

    Nashukuru sana mtumishi wa mungu,mungu kukupa haya maono maana nimetoka kujiwazia vibaya nashukuru mungu baada ya kusikia ujumbe huu nimefunguliwa

  • @IteritekRashid-c8n
    @IteritekRashid-c8n 5 วันที่ผ่านมา

    Asantee mungu kwayotee uritendaa 2024 mwaka tangiyas uwebarakaa nakujuwaa wewe Sana kutumikiy

  • @RachelRichard-l8k
    @RachelRichard-l8k 5 วันที่ผ่านมา

    Asante Mungu wangu wa neno hili asante kwajili ya familia yangu nakuomba uniondolee mbaya Mung wangu nisaidia kila napo enda kinyume na we, niongoze Amin🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @georginamwihava1743
    @georginamwihava1743 5 วันที่ผ่านมา +1

    Asante Yesu kwa kunipa kibari mbele zako.
    Asante Yesu kwa uzima.
    Asante Yesu kwa kuiyona siku njema ya leo.
    Asante Yesu wangu🙏

  • @JumaAugusto-du5bu
    @JumaAugusto-du5bu 5 วันที่ผ่านมา

    Asante kwa maombi aya ya usiku asante psta mungu akupe mwaka mingi sana vya kuishi hapa duniani ubarikiwe sana sana sana 💯💯💯🫵🫵🫵👌👌👌👏👏👏🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @amademuamedysaide2535
    @amademuamedysaide2535 5 วันที่ผ่านมา +1

    Asante Mungu kwa yote ulionitendea 2024🙏🙏

  • @JosephKingwere
    @JosephKingwere 5 วันที่ผ่านมา +1

    Asant Mungu kwa somo hili umemuongoza Mutumishi wako atupe neno tuzidi kueelewa zaidi Amen

  • @RachelRichard-l8k
    @RachelRichard-l8k 5 วันที่ผ่านมา

    Asante Mungu kwa kunipa nguvu ya kusikia neno lako 🙏🏻🙏🏻 Mung naomba musaidie lafiki zangu aweze kupona Mung wangu achilia baraka juu yake Mungu wangu achilia baraka juu yangu na familia yangu mafanikio yakazidi Mung wangu

  • @JeromeragiraOmbuna
    @JeromeragiraOmbuna 5 วันที่ผ่านมา +1

    Amen , naitisha nguvu za madhabahu ya maombi ya ulimwengu wa roho kutoka mbinguni zikuje hapa duniani siniondolee madhabahu ya shetani wapotelee mbali kutoka kwangu nifanikiwe kila Jambo maishani mwangu milele moyoni mwangu

  • @janeobure3006
    @janeobure3006 5 วันที่ผ่านมา

    Asante kwa yote uliyonitendea 2024

  • @irenenanjala3242
    @irenenanjala3242 5 วันที่ผ่านมา

    Forgive me my FATHER my LORD without u am nothing 😢ww ni BWANA mponyaji tuma neno lako liponye maisha yangu 2025 nikaanze maisha mapya 😢😢nmechoka kukaa jinsi nlivyo 😢 MUNGU through this prayer wacha ikabadilishe maisha yangu

  • @JosephKingwere
    @JosephKingwere 5 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu nisaidie sana Mungu simama na mimi nijisamhe mwwnyewe hakika tumepoteza mda mda yani Mtumishi Mungu akutunze nakpta nikiwa Muscat nina mengi moyon mwangu maumivu makali mno mno

  • @JimmyKimaro-z6b
    @JimmyKimaro-z6b 5 วันที่ผ่านมา +1

    Wapendwa ibada siipati yaleo taree30

  • @RachelRichard-l8k
    @RachelRichard-l8k 5 วันที่ผ่านมา

    Asante Mungu wangu wa neno hili asante kwajili ya familia yangu nakuomba uniondolee mbaya Mung wangu nisaidia

  • @RachelRichard-l8k
    @RachelRichard-l8k 5 วันที่ผ่านมา

    Asante Mungu wangu wa neno hili asante kwajili ya familia yangu nakuomba uniondolee mbaya Mung wangu nisaidia kila napo enda kinyume na we, niongoze

  • @JosephKingwere
    @JosephKingwere 5 วันที่ผ่านมา +1

    Ila bado sjachelewa Mungu anatenda juu yangu na familia yangu naona mkono wa Bwana kupitia Madhabahu ya Siri Za Bibilia hakika unazungumza na maisha yetu ila bila mkono wa Bwana hapa sipotezi tena kwa Damu ya YESU

  • @SevAl-p9k
    @SevAl-p9k 5 วันที่ผ่านมา

    Asante mungu kwa neema ya uzima,ulinzi na kwa yote unatenda baba asante❤❤

  • @abigaelmwadena2262
    @abigaelmwadena2262 6 วันที่ผ่านมา +4

    Mungu wangu nashukuru kwa somo hili ninetumiwa vibaya pasipokujua NApokea kusadia wengine Mungu ninanza upya n wewe😢

  • @SevAl-p9k
    @SevAl-p9k 5 วันที่ผ่านมา

    Ameeeen 🙏🙌♥️ ubarikiwe sana mtumishi

  • @Marianamariana181
    @Marianamariana181 5 วันที่ผ่านมา

    Amen ahsante roho wa mungu kwa ibada hii wew n mwaminifu kwetu🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @verynicejohn7384
    @verynicejohn7384 6 วันที่ผ่านมา

    Asante Yesu kwa neno lako na ibada ya leo

  • @janethkashumba1586
    @janethkashumba1586 6 วันที่ผ่านมา +2

    Asante bwana naomba kupokea bwana nipo hapanaomba unifungulie milango yangu

  • @consolatamnyuka
    @consolatamnyuka 5 วันที่ผ่านมา

    Asante Bwana Yesu Kristu yote uliyo ya ruhusu ya tokee kwangu asante

  • @pasyanmwaikimba5616
    @pasyanmwaikimba5616 5 วันที่ผ่านมา

    Jeova ni ww. TU nakabiz family yangu mbele zako.tusamehe makosa yetu yote🙏

  • @SevAl-p9k
    @SevAl-p9k 5 วันที่ผ่านมา

    Asante yesu❤

  • @SalomeMangale-m8i
    @SalomeMangale-m8i 5 วันที่ผ่านมา

    Mungu wangu nsaidie niache kutumiwa vibaya

  • @berthabuseleke598
    @berthabuseleke598 5 วันที่ผ่านมา

    Mungu wangu nisaidie ili nisiwe mtu wa kutumika kwa wengine

  • @faithnasimiyu7455
    @faithnasimiyu7455 5 วันที่ผ่านมา +1

    Ukweli mm Kwanza nimetumika Sana nilifikiria nitasaidika lakini wapi,ndio naanza maisha yakujitafuta sasa 😢mungu anisaidie Sana,maneno yakuishi sijui Kwa mjomba sijui Kwa dada aii apana

  • @sarahjohn8515
    @sarahjohn8515 5 วันที่ผ่านมา

    Amen mungu naomba unitangulie 2025

  • @victoriamalemba8853
    @victoriamalemba8853 5 วันที่ผ่านมา

    Mungu nakushukuru kwa mafundisho haya nikweli nilitumiwa vibaya naomba mwaka wa 2025 unipe maisha mapya babaa

  • @QueenMateru
    @QueenMateru 5 วันที่ผ่านมา

    Asante sana nimebarikiwa na hili somo

  • @LiddyDeHustler
    @LiddyDeHustler 5 วันที่ผ่านมา

    Forgive me Dear Lord 🙏 😢 😞

  • @JosephKingwere
    @JosephKingwere 5 วันที่ผ่านมา

    Mtumishi innocent haya mahubiri yote yapo kwenye flash

  • @anjelinamgude808
    @anjelinamgude808 5 วันที่ผ่านมา

    Amina

  • @JaneNkata-tq5oi
    @JaneNkata-tq5oi 6 วันที่ผ่านมา

    Ameen

  • @SalomeMangale-m8i
    @SalomeMangale-m8i 5 วันที่ผ่านมา

    Naomba mungu

  • @NeemaMwakyasima
    @NeemaMwakyasima วันที่ผ่านมา

    Oooh hallelujahs 😢😢😢

  • @DebbieWilshire
    @DebbieWilshire 6 วันที่ผ่านมา

    Mwagalwa pacifique asente bwana yesu

  • @marymtei5766
    @marymtei5766 4 วันที่ผ่านมา

    🙏🙏

  • @richeFiston
    @richeFiston 5 วันที่ผ่านมา

    Niunge

  • @NeemaMwakyasima
    @NeemaMwakyasima วันที่ผ่านมา

    😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @MonicaMinga
    @MonicaMinga 5 วันที่ผ่านมา

    MUNGU NISAMEHE,ASANTE KWA NEEMA YA KUWA KATIKA MADHABAHU YA SIRI ZA BIBLIA

  • @DianaShayo-io1pz
    @DianaShayo-io1pz 6 วันที่ผ่านมา +1

    Bwana Natamani kutengeneza na wewe

  • @DebbieWilshire
    @DebbieWilshire 6 วันที่ผ่านมา

    Mwagalwa pacifique utukufunanguvunasifanikwakobwanayesu

  • @RachelRichard-l8k
    @RachelRichard-l8k 5 วันที่ผ่านมา

    Asante Mungu wangu wa neno hili asante kwajili ya familia yangu nakuomba uniondolee mbaya Mung wangu nisaidia kila napo enda kinyume na we, niongoze Amin🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @QueenMateru
    @QueenMateru 5 วันที่ผ่านมา

    Asante nimebarikiwa na hili somo

  • @HhNn-f5s
    @HhNn-f5s 5 วันที่ผ่านมา

    Amen

  • @marymtei5766
    @marymtei5766 4 วันที่ผ่านมา

    🙏🙏

  • @RachelRichard-l8k
    @RachelRichard-l8k 5 วันที่ผ่านมา

    Asante Mungu wangu wa neno hili asante kwajili ya familia yangu nakuomba uniondolee mbaya Mung wangu nisaidia kila napo enda kinyume na we, niongoze Amin🙏🏻🙏🏻🙏🏻