WAZIRI JAFO : SINA STRESS, LEO NIMEKUJA NA MKE WANGU, ''WATOENI MSIWAFUNGIE''

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 73

  • @marcelinokayombo7198
    @marcelinokayombo7198 5 ปีที่แล้ว +14

    Nampenda sana waziri jafo na aly hapi....Jehova awe nanyi

  • @wazirizidadu3318
    @wazirizidadu3318 5 ปีที่แล้ว +11

    Kiukweli huwa namuelewa sana huyu Waziri kwa kweli anapiga kazi sana.

  • @edwardgwaspika4943
    @edwardgwaspika4943 5 ปีที่แล้ว +10

    Uko vizuri sana mh. Jafo wanaweza wakawa hata na hotel ya tanapa siku mojamoja tukawa tunakula nyama pori wanaandika nyama ya nyati, week nyingine ya twiga, zebra ubunifu ndo kila kitu vijana wazuri gari ya abiria zinapitaia hoteli ya tanapa!

    • @parisjr7407
      @parisjr7407 5 ปีที่แล้ว

      Umeongea kaka

    • @godfreymalinga1476
      @godfreymalinga1476 5 ปีที่แล้ว

      Hahahahaha

    • @azizakaima3801
      @azizakaima3801 5 ปีที่แล้ว +1

      Hahahaha

    • @matukiosafaris6508
      @matukiosafaris6508 4 ปีที่แล้ว

      Ni makosa Tanapa kuwa na hotel watawakandamiza waniliki binafsi ili hotel zao ndiyo wapate wateja jukumu la tanapa ni kuhakikisha hotel zote zilizopo ndani ya hifadhi zinafuata sheria

  • @komboomar8275
    @komboomar8275 4 ปีที่แล้ว +1

    *Moja kati ya watu niwaaminiwo ni Jaffo na Augosten Mahiga ameacha pengo kufa kwake hawa ni watu ambao hawakuubeba uchama wala vyeo kazi zao za uzalendo na perfect kabisa wengine ni majungu tu*

  • @awadhmuss1374
    @awadhmuss1374 4 ปีที่แล้ว

    Kaka yupo vizuri allaah azidi kukuongoza kwenye heri inshaallah

  • @pettermasika9120
    @pettermasika9120 4 ปีที่แล้ว +1

    Mimi sitakaa Nimsahau Mh John pombe Magu ndiye RUBANI TANZANIA, Mama Samia, Kasimu Majaliwa Prfs Kabudi Serekali ya Tanzania Kwa sasa ni Kazi Motomoto, Watanzania Wote Tuvuate Nyayo,

  • @salamaali1333
    @salamaali1333 4 ปีที่แล้ว +1

    Hahaha....Waziri wangu bana Eti piga makofi tafadhali😊😊😊😊

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 5 ปีที่แล้ว +22

    Nyerere wapili sauti ya baba wa taifa kapisa

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 5 ปีที่แล้ว +16

    Hongera baba mke wako mrembo mno ✌😘

  • @mariamm2724
    @mariamm2724 4 ปีที่แล้ว +1

    Nimemuona aly hapi ninefarijika sana kwani nampenda mno mungu awe nanyi katika utendaji wenu wa kazi.

  • @awidhijohn8580
    @awidhijohn8580 4 ปีที่แล้ว +1

    I'm from Kenya and I really love this man.One day he will be president of Tz

    • @saidmaneno1305
      @saidmaneno1305 4 ปีที่แล้ว

      Hakika na mimi natamani aje awe raisi wetu baada ya Magufuli

    • @francismngumi5125
      @francismngumi5125 4 ปีที่แล้ว +1

      Bado mdogo atakua ila akiendelea kuchapa kazi ivy ivy atakuja kuwa rais

  • @ibrahimjobu9141
    @ibrahimjobu9141 4 ปีที่แล้ว +6

    Kama naiskia sauti ya Baba wa Taifa hivi na mtawara mpya wa miaka ya baadae chukua kiti cha u Rais Japho

  • @makongorowassira6593
    @makongorowassira6593 4 ปีที่แล้ว +3

    Umenena vyema kabisa, na pia inajenga uzalendo kwa kujivunia tulivyobarikiwa

  • @sebmalunde5945
    @sebmalunde5945 4 ปีที่แล้ว +1

    Word....Nyama Choma Point

  • @munakassim3521
    @munakassim3521 5 ปีที่แล้ว +3

    Nakupenda bure huwa nakuelewa sana

  • @jerrymashiri5850
    @jerrymashiri5850 4 ปีที่แล้ว

    Mzee wa Nyungu big up saana
    Bro

  • @nawihadj6674
    @nawihadj6674 4 ปีที่แล้ว +1

    Raisi ajae Suleiman jafo inshaa Allah

  • @mirajimam9684
    @mirajimam9684 4 ปีที่แล้ว +1

    Nakukubali sana

  • @zuusaidibushiri5556
    @zuusaidibushiri5556 4 ปีที่แล้ว +2

    Nampenda sana mzee wa nyungu

    • @eliarichard9218
      @eliarichard9218 4 ปีที่แล้ว +2

      Zuu Saidi Bushiri haaah

    • @zuusaidibushiri5556
      @zuusaidibushiri5556 4 ปีที่แล้ว

      @@eliarichard9218 nataka muuliza mzee wa nyungu kama atanioa na mpenda sana nikapigie nyungu hukohuko

  • @munnawwaryaqub8524
    @munnawwaryaqub8524 5 ปีที่แล้ว +4

    Kweli kabisa

  • @bathromeobalisimula7166
    @bathromeobalisimula7166 5 ปีที่แล้ว +3

    Sahihi mkuu nakukubar sanaaaa

  • @geraldlazaro4523
    @geraldlazaro4523 2 ปีที่แล้ว

    Tour Chawama (Lusaka ) a m here

  • @adammakoye4198
    @adammakoye4198 4 ปีที่แล้ว +1

    Hapo kwny nyama choma pale Chalinze nyama wachomaga vibudu balaa hilo mliangalie viongozi

  • @khadijakhadija6212
    @khadijakhadija6212 4 ปีที่แล้ว

    Kwann Huy Kaka jmn mtoto wa Nyerere au

  • @ignaschengula6116
    @ignaschengula6116 5 ปีที่แล้ว +4

    Nilikuwepo pale live

  • @salumumkugwa825
    @salumumkugwa825 5 ปีที่แล้ว +5

    Nimepata darsa toka kwako mkuu

  • @shomarymussa6970
    @shomarymussa6970 5 ปีที่แล้ว +4

    Pesa nyingi sana mnatutoza watanzania ndio maana tunakwenda cocobeach kupunga upepo bure

  • @khamisothman1154
    @khamisothman1154 5 ปีที่แล้ว +5

    NI VIZURI SANA KUFANYA UTALII WANDANI KAMA HALI INARUHUSU, LAKINI KAMA HATA CHAI YA ASUBUHI HAJUI MTU ATAKULA NINI SIDHANI KAMQ ATAKUWA NA FIKRA YA KWENDA KUTALII.

    • @msabila4681
      @msabila4681 5 ปีที่แล้ว +2

      Wamesema anayeweza aende Kama hujiwezi kausha

    • @khamisothman1154
      @khamisothman1154 5 ปีที่แล้ว +1

      Deusdedity Msabila sikiliza tena hio hutuba ya muheshimiwa likowapi neno anaejiweza?!

  • @thobiasmushangaki4735
    @thobiasmushangaki4735 5 ปีที่แล้ว +6

    mh Jafo nakuelewa

  • @stevenpaul4818
    @stevenpaul4818 5 ปีที่แล้ว +2

    Kabisa

  • @Itarusii
    @Itarusii 5 ปีที่แล้ว +3

    Nyama choma! Ilo la utalii wa ndani umesema vyema.

  • @deogratiuskapama1675
    @deogratiuskapama1675 4 ปีที่แล้ว

    Jafo nataman siku moja uwe rais wa jamuhuri ya muungano wa tanzania, kwangu mm ww ni best kiongozi, kama inawezekana mh magufuli akimaliza muda wake akuachie tu

  • @abdulkareemseif667
    @abdulkareemseif667 4 ปีที่แล้ว

    Ni moja ya waziri asiependa sifa ktk serikali ya ccm ,yeye anafanya alichoagizwa ,,viongozi igeni mfano wa huyu jamaa pamoja na waziri mkuu musitumie nguvu na sifa kwani inapotokea kufukuzwa kazi watu wasipate kuwakejeli ,,,ona mkaguzi wa serikali aliefukuzwa kila mtu alimpenda yule jamaa ,,uo ndio wema

  • @rahimamkumbo3238
    @rahimamkumbo3238 4 ปีที่แล้ว

    Magufuli wa pili maana anaweka kumbukumbu hasomi

  • @hijazhija316
    @hijazhija316 5 ปีที่แล้ว +8

    Piga makofi tafadhali

  • @akimmbwego797
    @akimmbwego797 5 ปีที่แล้ว +3

    Duuuuuuuuu

  • @mariamhassan6411
    @mariamhassan6411 4 ปีที่แล้ว +1

    Mama azma

  • @mzeemtopa9131
    @mzeemtopa9131 5 ปีที่แล้ว +6

    Mhe kumbuka iringa watatulisha mbwa hao kuhusu nyama choma kumbuka hilo

    • @efrasiabernard5215
      @efrasiabernard5215 4 ปีที่แล้ว

      Kwani hakuna vipimo na wataalamu wa Afya wa kukagua kuhahakikisha Kun kitu sahihi kwa hoteli mbona hujiamini.

    • @Mkwati_tech
      @Mkwati_tech 4 ปีที่แล้ว

      Kweli inapendeza sana

  • @alinindekileh1202
    @alinindekileh1202 4 ปีที่แล้ว +1

    Jaffo bhn king ongz mzr sn

  • @maulidmape6512
    @maulidmape6512 4 ปีที่แล้ว

    Ha ha ha ha ha😀😀😀😀😀😀😀 piga makofi tafazal

  • @adyaa8922
    @adyaa8922 5 ปีที่แล้ว +2

    Tukalishwe mbwa hizo hoteli tutakuja na nyama zetu

  • @bigboys016
    @bigboys016 5 ปีที่แล้ว +7

    Hawapendanagi hao,fitina zimejaa

  • @alinindekileh1202
    @alinindekileh1202 4 ปีที่แล้ว +2

    Jaffo bhn king ongz mzr sn