Mheshimiwa waziri Jafo hongera kwa kazi nzuri iliyotukuka. Pia wakumbuke walimu wastaafu wa mwaka 2018 wa mkoa wa Dar hawajalipwa hela ya nauli ya mizigo hadi Leo hii.
Ahsante sana MH Jafo kwa kutetea wanyonge. Mimi Nakuombea uwe Raisi wetu baada ya Baba JP Magufuli kustafu. Hakika baadhi ya wakurugenzi mwatutia aibu. Wazalendo hukereka mno tunapo ona taarifa kama hizi. MUNGU Tutumbulie majipu kote Afrika.
Tanzania,best country duniani. Serikali kushughulikia wananchi uso kwa uso..ahh mbona sikuzaliwa mtanzania...naipenda serikali ya dr.JPM 🥰wanachapa kazi sio tu siasa
Mh jafo MUNGU anakuona hakika atakulipa kwa haya unayowasaidia wananchi wanyonge kama huyu mzee mpaka amenitoa machozi,hivi hawa wakurugenzi bado hajaielewa serikali ya awamu 5,dawa ni kutumbua tu hawafai.
Hongera Mheshimiwa Jaffo Kwa kutenga mda wako kumsikiliza huyo mzee na kubaini uongo wa watendaji wachache wasiokuwa waaminifu.... Watendaji wa namna hii ndo huchochea chuki Kwa wananchi dhidi ya serikali yao... Hiyo ndio dozi Yao inayowafaa mpaka wajifunze kutenda haki
@@selector728 wapo wengi, waliokua wanacheza darasani, lile somo la kiswahili waliona upuuzi mwisho wake ndio huu kwenye R anaweka L, kwenye L anaweka R
Asante sana mh. Jafo insha'Allah Mungu akupe afya njema uzidi kumsaidia mh.rais ,mpo viongozi wachache Sana waadilifu na wenye hofu ya Mungu,mi binafsi mwili umenisisimka jinsi ninavyomuona huyo Mzee analia mchana kweupeee inadhihirisha wazi kuwa kadhulumiwa,bado mh.rais ana kazi kubwa Sana na bado tunamuamini sanaaa ila wateule wake wachache wanamrudisha nyuma licha ya kila siku anapiga kelele juu ya viongozi kuwasaidia wananchi,lakini bado viongozi wanasikia Ila wanafanya makusudi Kwa masilahi Yao binafsi kuwadhulumu wananchi wanyonge na masikini.Hongera Sana mh.Jafo unafanya kazi nzur nakukubali,Ila hao waliomdhulumu we watumbue tu maana ni makusudi hao ni majambaz Kama majambazi wengine sio waadilifu
DAWA YA KUJENGA HESHIMA YA NDOA. kiboko ya kibamia..na nguvu za kiume ..... . Ni dawa ya kudumu yenye mchanganyiko wa dawa zaidi ya tisa ni maalumu kwa kutibu na kumaliza matatizo yote ya kibamia na nguvu za kiume kw asilimia100 % kama ifuatavyo. 1⃣ kuwa na dhakar ndogo/fupi na nyembamba yaani kibamia 2⃣ dhakar kusinyaa na kulegea wakati wa tendo 3⃣ mishipa iliyolegea kwa kujichua nk 4⃣ kuwahi kufika kileleni/kutoweza kuhimili katika tendo round nyingine kwa haraka 5⃣ Inarutubisha mbegu na kuziboresha 6⃣ Kuzipa speed mbegu ule uwezo wa KUOGELEA vizuru ( sperm mobility) 7⃣Ina balance HOMONI na kuimalisha misuli ya eneo lake husika 8⃣Inakupa nguvu za kawaida MWILINI ( HUONDOA UCHOVU NA UVIVU) 9⃣ Inaongeza idadi ya mbegu za kiume 🔟 Inarutubisha mayai NB: HAINA MADHARA NI LISHE NA MMEA SALAMA Epuka aibu hii na rejesha furaha " dawa hii ndio kiboko yao Karibuni sana ofisini kwetu Wasiliana kwa 0764581267/0623270820
, , , , Daaah jamanii hadi #hasira aiseee , , , Mzee siyo #tajiri yaani #DED na #Afisa ardhi mnadhurumu hadi #Milioni 3.5 ...Kwanza mmemuangaisha sana Mzee kutafuta haki yake Mlipeni #Milioni 6 ndo maana #Mwamba anawatumbuaga daadeki ... Yaani hii #issue Kama ya yule Mama aliyezurumiwaga #Ng'ombe wake kule #Katavi..
Hao watu wa aina hiyo hawatakwisha humu mwetu. Sijui mupitishe fagio la aina gani. Hatari sana. Hayo machozi ya huyo mzee,ni zaidi ya shoti ya umeme kwenye mwili wa mtu
Big up Jafo. Wasioelewa maana ya haki wanadhani ni kuwa na katiba mpya. Hata ungekuwa na katiba nzuri vipi lakini ukawa na watendaji serkalini kama hao haisaidii, kinachotakiwa ni viongozi kama Jafo katika ngazi zote. May God bless you.
Ama kweli hii ni serikali ya wanyonge, hongera sn waziri. kama awamu hii baadhi ya watendaji wanafanya hivi, je ilikuwaje awamu zilizopita? Asante Mungu kwa kutupa Rais JPM mtetezi wa wanyonge..
Mimi ni Mkristo lakini nasema hivi InshaAllah Mwenyezi Mungu Wallah atakulipa Mheshimiwa Jafho. Allah ni wa Hakh na ndio maana huwa tunahapa Hakh ya Mungu kwani Allah hapendi dhuluma kabisa.
MUNGU IBARKI TANZANIA MUNGU IBARIKI AFRIKA, NATAMANI NCHI ZOTE ZA KIAFRIKA ZINGEKUWA ZINAENDESHWA KWA MISINGI YA HAKI NA USAWA KAMA HIVI INAVYOENDESHWA TANZANIA YETU. EWE MOLA MLEZI MLINDE NA UMKINGE NA SHARI ZOTE RAISI WETU MPENDWA, MZALENDO WA KWELI, MTETEZI WA WANYONGE MTAWALA WA NYOYO ZETU RAISI JOHN JOSEPH MAGUFULI, WAZIRI WETU KIPENZI CHA WENGI SELEMANI JAFO, MAWAZIRI WOTE NA WASAIDIZI WOTE WA RAISI KWA KAZI NZURI ILIYOTUKUKA, AMEN!!
Tanzania kulikuwa na uozo na dhuluma za ajabu. Kuna Watanzania wengi ambao hawana sauti. Hawa viongozi ni wabovu na waongo. Hawa hawataki kabisa kuwa watumishi wa serikali
Bahati mbaya viongozi weru wa juu hawawesi kuwa sehemu zote wote. Lakini wakuu wa mikoa/wilaya nao wamekuwa mangi meza hawafutilii kuhakikisha maamuzi yao yanatekelezwa kikamilifu.
Ni kweli kabisa,raia wengi wangejua yakuwa nikienda suala langu nikipeleka kwa mkuu wa mkoa litaisha nadhani hizi dhuluma zisingekuwepo.Matokeo yake wengi wakuu wa Mikoa na Wilaya wamekuwa walewale.
Hapo wanajigonga tu, kwa kweli hapa kiswahili kingi kuna wizi mkubwa sana ofisi ya ardhi Mwanza. Hii inasikitisha sana, hawa watu wafukuzwe kazi. Mimi hati yangu ya kiwanja Mwanza ilichukuwa miaka mitano kupatikana, kisa cha kijing kabisa ati namba zimekosewa, hasa ofisi ya ardhi Buswelu kuna shida kubwa sana kule, na pia ofisi ya Kanda ya Ardhi nayo bado ina matatizo makubwa sana.
Kuna mengine haitaj mpaka wazir wa ardhi afike mnamalizana nao tu kama hv pumbav Mzee mwenyew yu taaban alaf unampokonya kidogo alicho nacho pumbav sana haw viumbe ...
@@kadritonser2412 naposema watu wamevurugwa namaanisha wanamatatizo ambayo yanapaswa yatatuliwe na viongozi wetu Ivo anapoona Kiongozi yeyote lazima umweleze shida yako ili upate Haki yako Mana hakuna namna kwaio alichofanya mzee wetu hapo kumweleza mheshimiwa shida yake big up sana
Jamani hata Tanga kuna Afisa Aridhi amezulumu watu ikiwa Mimi ni mmojawapo amakula fidia kesi nimepeleka kwa mkuruge bado na kwasasa Huyo afisa Aridhi amehamishiwa Same.. Saidia kusambaza ifike mbali zaidi
Alikuwa ananifukuza Kama mbwa...Kama umemsikia na wewe gonga like
Naimajin vile. Mbwa anafukuzwaga
Nimemsikia, tena mara mbili!
Huyo mzee anachekesha anavyoongea duuuuu!! Pia ana mapengo cjui.
@@yohanabundala9162 yaani na wewe utazeeka mcheke tu
Ndugu yenu huyoo ni mtanzania duu
dah aisee...Mungu akubaliki sana Mh Jafo
Fata nyayo za magufuli.wazir wetu.tumbua
Duh yani hii nchi kuna watu walikuwa wana onewa sana Mungu anajua tuu 😢😢
Aliye sikia ndani ya nususaa ocd unipe taarifa. Gonna like
jAFO UPO JUUU SANA ...UBARIKIWEE
Mungu atakulipa mueshimiwa ☝️ nchi yetu watu wetu ❤ 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Kuna huyo mzee mnene aliyepembeni ya huyo mzee aliyedhurumiwa Shamba,amekuwa msaada sana,kamfafanulia vzur sana Waziri. Mungu ambariki sana mzee huyo.
Hongera!!! Mh. Jaffo kazi nzuri, kwa kusikiliza Mzee. MUNGU Akusimamie katika majukumu yako.
Hongera kwa kazi nzuri mheshimiwa jafo mungu akubariki sana
Mheshimiwa waziri Jafo hongera kwa kazi nzuri iliyotukuka. Pia wakumbuke walimu wastaafu wa mwaka 2018 wa mkoa wa Dar hawajalipwa hela ya nauli ya mizigo hadi Leo hii.
Lalamikeni muiteni
Sio Dar tu hata huku Mbeya
Tuitaj watendaj wanamna hii God bless jaffo
Nahamia tanzania kutoka kenya kwa huu uamuzi ambao viongozi wengi wanafanya,,,Mungu awalipe kwa uadilifu wenyu
Karibu
Huku Siasa marufuku haki na ukweli kwanza.
Aki mkenya mwenzangu.mi pia nimependa...
Karibu ndugu yetu
Karibu sana tz hatuna matatizo
Ahsante sana MH Jafo kwa kutetea wanyonge. Mimi Nakuombea uwe Raisi wetu baada ya Baba JP Magufuli kustafu. Hakika baadhi ya wakurugenzi mwatutia aibu. Wazalendo hukereka mno tunapo ona taarifa kama hizi. MUNGU Tutumbulie majipu kote Afrika.
Dah hii ndio serikali ya wanyonge safi sana viongozi mnachapa kazi
Kaka jafo nakuelewa sana Allah akuweke amin
Ndio waziri jafo fanya kazi yako kwa uwadilifu na m,mungu atakulinda baba tetea wanyonge wazushi ni wengi tanzania....
Japho kiongozi kijana!!
,Mungu azidi kukutangulia ...endelea kutetea wanyonge mkuu!!
Tuko nyuma yakooo👏👏hii serikali jamani naipenda!!😭
Tanzania,best country duniani. Serikali kushughulikia wananchi uso kwa uso..ahh mbona sikuzaliwa mtanzania...naipenda serikali ya dr.JPM 🥰wanachapa kazi sio tu siasa
😂 MKUU WA MKOA KAFUNGA KAZI KBS,,ACHA WAKANYERE DEBE MATAPELI HAO
Mh jafo MUNGU anakuona hakika atakulipa kwa haya unayowasaidia wananchi wanyonge kama huyu mzee mpaka amenitoa machozi,hivi hawa wakurugenzi bado hajaielewa serikali ya awamu 5,dawa ni kutumbua tu hawafai.
hapa wangetimulwa tu , make huwezi jua wamedhulumu wangapi
Tena hao maafisa ardhi wanasumbua ukiomba kotrooo namba awakupi
Hongera Mheshimiwa Jaffo Kwa kutenga mda wako kumsikiliza huyo mzee na kubaini uongo wa watendaji wachache wasiokuwa waaminifu.... Watendaji wa namna hii ndo huchochea chuki Kwa wananchi dhidi ya serikali yao... Hiyo ndio dozi Yao inayowafaa mpaka wajifunze kutenda haki
Ubinadam Shughuli Sana Kunawatu Wanaishi Nakichukua Maamuzi Yao Kana Kwamba Hawafi. Au Watakaa Milele Madaraka.
Nampenda huyo Wazir jamn mungu akubariki sana
NILIFANYA MAPENZI NA MAITI 20 ILI KUUPATA UTAJILI Sehemu ya 18: ZAKIA MWENDELEZO.
th-cam.com/video/sAXV3TgcuDc/w-d-xo.html
NILIFANYA MAPENZI NA MAITI 20 ILI KUUPATA UTAJILI Sehemu ya 18: ZAKIA MWENDELEZO.
th-cam.com/video/sAXV3TgcuDc/w-d-xo.html
Kumbe wengi tunapigwa kwa namna kama ya huyu mzee
Waziri Jafo big up sana 2nakupenda mkuu
NILIFANYA MAPENZI NA MAITI 20 ILI KUUPATA UTAJILI Sehemu ya 18: ZAKIA MWENDELEZO.
th-cam.com/video/sAXV3TgcuDc/w-d-xo.html
NILIFANYA MAPENZI NA MAITI 20 ILI KUUPATA UTAJILI Sehemu ya 18: ZAKIA MWENDELEZO.
th-cam.com/video/sAXV3TgcuDc/w-d-xo.html
Mm japo siipendi CCM kutoka moyoni pamoja na Magufuli wao, lkn huwa natamani sana Jafo awe present of 🇹🇿! I believe itakuwa in the name of Jeasuse🙏
Safi waziri umetenda haki hongera Sana mungu akubariki
This is the way to solve issuez and wish these corrupt officers were sacked on the spot... Jafo muislamu aliye na huruma
NILIFANYA MAPENZI NA MAITI 20 ILI KUUPATA UTAJILI Sehemu ya 18: ZAKIA MWENDELEZO.
th-cam.com/video/sAXV3TgcuDc/w-d-xo.html
@@CyimSky utajili au utajiri...mjinga san ww na kiswahil chako kibovu
@@selector728 wapo wengi, waliokua wanacheza darasani, lile somo la kiswahili waliona upuuzi mwisho wake ndio huu kwenye R anaweka L, kwenye L anaweka R
@@manwoka4078 kweli kaka😝😝😝
@@mohamedslh5478 😅😅😅 amezingua Sana😝
Safi sana Mh Waziri piga kazi uko vizuri Mzee amefarijika kulipwa pesa Yake
Daaa mzee kuharibu kilakitu
DC kakong'otea misumari ya ajabu 😁😁😁😁
Hahahaha ndo safi,watu wanaonewa sn.
Asante Sana mh waziri
Future President good job Jafo
I agree with you from Kenya
Asante mh rais kwa kumpa hii zamana mh jafo hakika hi ndo Tanzania mpya tunayo itaka chozi la mze limefutwa kupitia kwako mkuu
Asante sana mh. Jafo insha'Allah Mungu akupe afya njema uzidi kumsaidia mh.rais ,mpo viongozi wachache Sana waadilifu na wenye hofu ya Mungu,mi binafsi mwili umenisisimka jinsi ninavyomuona huyo Mzee analia mchana kweupeee inadhihirisha wazi kuwa kadhulumiwa,bado mh.rais ana kazi kubwa Sana na bado tunamuamini sanaaa ila wateule wake wachache wanamrudisha nyuma licha ya kila siku anapiga kelele juu ya viongozi kuwasaidia wananchi,lakini bado viongozi wanasikia Ila wanafanya makusudi Kwa masilahi Yao binafsi kuwadhulumu wananchi wanyonge na masikini.Hongera Sana mh.Jafo unafanya kazi nzur nakukubali,Ila hao waliomdhulumu we watumbue tu maana ni makusudi hao ni majambaz Kama majambazi wengine sio waadilifu
Jafo, Mongella, vichwa sana!
MashaAllah: Allah akuongz mh
Raisi wangu mtarajiwa
Hata mie namtabiria urais huyu bwana Jafo 2030, mwenyezi mungu ampe uhai,natamani magufuli akistaafu amwachie kijiti huyu waziri anafaa sana.
@@imeldabamba3779 mhhhh mama samia kamuondoa cjui itakuwaje
Daaaah!!!! Wanyonge wanaimani nawe waziri umefanya vema kumsikiliza sio mpaka Raisi apite ndo atatue
DAWA YA KUJENGA HESHIMA YA NDOA. kiboko ya kibamia..na nguvu za kiume ..... .
Ni dawa ya kudumu yenye mchanganyiko wa dawa zaidi ya tisa ni maalumu kwa kutibu na kumaliza matatizo yote ya kibamia na nguvu za kiume kw asilimia100 % kama ifuatavyo.
1⃣ kuwa na dhakar ndogo/fupi na nyembamba yaani kibamia
2⃣ dhakar kusinyaa na kulegea wakati wa tendo
3⃣ mishipa iliyolegea kwa kujichua nk
4⃣ kuwahi kufika kileleni/kutoweza kuhimili katika tendo round nyingine kwa haraka
5⃣ Inarutubisha mbegu na kuziboresha
6⃣ Kuzipa speed mbegu ule uwezo wa KUOGELEA vizuru ( sperm mobility)
7⃣Ina balance HOMONI na kuimalisha misuli ya eneo lake husika
8⃣Inakupa nguvu za kawaida MWILINI ( HUONDOA UCHOVU NA UVIVU)
9⃣ Inaongeza idadi ya mbegu za kiume
🔟 Inarutubisha mayai
NB: HAINA MADHARA NI LISHE NA MMEA SALAMA
Epuka aibu hii na rejesha furaha " dawa hii ndio kiboko yao
Karibuni sana ofisini kwetu
Wasiliana kwa 0764581267/0623270820
Jpm japo umefalik ila umewanoa vijana, good bless you
, , , , Daaah jamanii hadi #hasira aiseee , , , Mzee siyo #tajiri yaani #DED na #Afisa ardhi mnadhurumu hadi #Milioni 3.5 ...Kwanza mmemuangaisha sana Mzee kutafuta haki yake Mlipeni #Milioni 6 ndo maana #Mwamba anawatumbuaga daadeki ... Yaani hii #issue Kama ya yule Mama aliyezurumiwaga #Ng'ombe wake kule #Katavi..
MUNGU IBARAKI TANZANIA ; WABARIKI VIONGOZI WAKE; AMEN;
Mzee acha utoto, unalialia hvyo suala lako limeshafk sehem nzur kabisa 😄😄😄
Mmhhh awache utoto siyo kama wewe jee ulingekua ungeli fanya nini ?
Natamani jafo awe raisi wallah😔💕
Hao watu wa aina hiyo hawatakwisha humu mwetu.
Sijui mupitishe fagio la aina gani.
Hatari sana.
Hayo machozi ya huyo mzee,ni zaidi ya shoti ya umeme kwenye mwili wa mtu
Hongera sana jafo kwa kazi unayofanya
Safi Sanaa kiongoz wamezoea hao kudhulumu aldhi za wananchi kisingizio aldhi ni Mali ya serikali!
Duh pole sana baba
Safi sana dhulma zimezidi
Migogoro ya ardh😭 c jui kama itaishagga tatizo wajanja n wengii! Muogopen mungu
Hongera sana
Ogopa chozilamtu mwenye kudhulumiwa mlipeni jamani hongera waziri j4
Wanakuwaga na maneno ya uongo sana sana watendaji wa Halmashauri
Mh Jaffo unatatua matatizo kwa busara na akili kubwa!
Nakupenda sn umetambua km una sheria ya kutoa amri wawekwe ndani,wale wengine wanachukua sheria mkononi, Ongera sn Jaffo
Big up Jafo. Wasioelewa maana ya haki wanadhani ni kuwa na katiba mpya. Hata ungekuwa na katiba nzuri vipi lakini ukawa na watendaji serkalini kama hao haisaidii, kinachotakiwa ni viongozi kama Jafo katika ngazi zote. May God bless you.
Ama kweli hii ni serikali ya wanyonge, hongera sn waziri. kama awamu hii baadhi ya watendaji wanafanya hivi, je ilikuwaje awamu zilizopita? Asante Mungu kwa kutupa Rais JPM mtetezi wa wanyonge..
Ubarikiwe sana
Tanzania ya leo🙏🙏🙏🙏
Hakika kweli zerekale inachapakazi sawa saw mugu awalinde
Safi sana waziri pamoja na mkuu wa mkoa ila uyo mkurugenz na Afisa haridhi hawatoshi watafutiwe Kazi nyingine
Safiii sana mh jafo
Kwa maamuzi yaliotokea, Apo ndo nabaini tuna serikari. Inayojali watu wake.
Kabsaa
Analia kama mtoto 😭jamanii
gud job waziri ila ninaombi hata hao walistahili viboko maana nao wametenda makosa
Umeonaa viboko vnawahusu
Vibko ten@aaaaa
،Allahu akbar
Huyu kanitia. Mchozi
Kwann mlimfukuza babu wa watu😬😬😬,roho mbaya Jamani ofice hamzikwi nazo
Mimi ni Mkristo lakini nasema hivi InshaAllah Mwenyezi Mungu Wallah atakulipa Mheshimiwa Jafho. Allah ni wa Hakh na ndio maana huwa tunahapa Hakh ya Mungu kwani Allah hapendi dhuluma kabisa.
Jaffo jembe toka chato I'm from Lebanon
Pole baba usilie jamani 😭😭
Safi sanaa, waziri.
Jmn tusio na kaz tunaonewa sana wanyonge
Safi kabisa apewe haki yake huyo mzee
MUNGU IBARKI TANZANIA MUNGU IBARIKI AFRIKA, NATAMANI NCHI ZOTE ZA KIAFRIKA ZINGEKUWA ZINAENDESHWA KWA MISINGI YA HAKI NA USAWA KAMA HIVI INAVYOENDESHWA TANZANIA YETU. EWE MOLA MLEZI MLINDE NA UMKINGE NA SHARI ZOTE RAISI WETU MPENDWA, MZALENDO WA KWELI, MTETEZI WA WANYONGE MTAWALA WA NYOYO ZETU RAISI JOHN JOSEPH MAGUFULI, WAZIRI WETU KIPENZI CHA WENGI SELEMANI JAFO, MAWAZIRI WOTE NA WASAIDIZI WOTE WA RAISI KWA KAZI NZURI ILIYOTUKUKA, AMEN!!
Safi
Wabeja baba🙏
Tanzania kulikuwa na uozo na dhuluma za ajabu. Kuna Watanzania wengi ambao hawana sauti. Hawa viongozi ni wabovu na waongo. Hawa hawataki kabisa kuwa watumishi wa serikali
Hapa kazi tu
Mkuu wa Mkoa nae mnafiki tu ulikuwa wap ad unadanganywa ndo akija Waziri unajidai kutoa makucha ,pole mzee.
Mkurugenzi mwizi huyu anataka kumuibia huyu Baba muogope Mungu
safi sana
Hii serikali ya sasa hadiraha
Yes tunapenda hatua ziwe zinachukuliwa za papo kwa papo,umagumash utapungua kama sio kwisha kwani utakua hujui siku wala saa jopo linapita.
Kwani hapo hawaelewi nn wanaumiza wananchi hawa watendendaj kila cku Nchi nzima nihivi hivi.
Daaaa jaman inatia huzuni saana viongoz mnakuwa wababaishaji hivyo
Safi sana jafoooooo
Nakubaliii
Bahati mbaya viongozi weru wa juu hawawesi kuwa sehemu zote wote. Lakini wakuu wa mikoa/wilaya nao wamekuwa mangi meza hawafutilii kuhakikisha maamuzi yao yanatekelezwa kikamilifu.
Ni kweli kabisa,raia wengi wangejua yakuwa nikienda suala langu nikipeleka kwa mkuu wa mkoa litaisha nadhani hizi dhuluma zisingekuwepo.Matokeo yake wengi wakuu wa Mikoa na Wilaya wamekuwa walewale.
Hapo wanajigonga tu, kwa kweli hapa kiswahili kingi kuna wizi mkubwa sana ofisi ya ardhi Mwanza. Hii inasikitisha sana, hawa watu wafukuzwe kazi. Mimi hati yangu ya kiwanja Mwanza ilichukuwa miaka mitano kupatikana, kisa cha kijing kabisa ati namba zimekosewa, hasa ofisi ya ardhi Buswelu kuna shida kubwa sana kule, na pia ofisi ya Kanda ya Ardhi nayo bado ina matatizo makubwa sana.
NILIFANYA MAPENZI NA MAITI 20 ILI KUUPATA UTAJILI Sehemu ya 18: ZAKIA MWENDELEZO.
th-cam.com/video/sAXV3TgcuDc/w-d-xo.html
Viongozi Kama hao ambao hawajali,maslai ya wananchi ni mabepari,mh magufuli hao hawatufai watumbue tu,maana wanakuaibisha tu,katika uongozi wako
Jamani watu wamevurugwa suala hili ilipaswa amweleze waziri wa ardhi lkn sio shida Mh Jaffo tatua iyo kero msaidie mzee wetu
Hata jafo anahusuika coz hao watendaji wote wapo chini ya ofisi yake!!
NILIFANYA MAPENZI NA MAITI 20 ILI KUUPATA UTAJILI Sehemu ya 18: ZAKIA MWENDELEZO.
th-cam.com/video/sAXV3TgcuDc/w-d-xo.html
Kuna mengine haitaj mpaka wazir wa ardhi afike mnamalizana nao tu kama hv pumbav Mzee mwenyew yu taaban alaf unampokonya kidogo alicho nacho pumbav sana haw viumbe ...
@@kadritonser2412 naposema watu wamevurugwa namaanisha wanamatatizo ambayo yanapaswa yatatuliwe na viongozi wetu Ivo anapoona Kiongozi yeyote lazima umweleze shida yako ili upate Haki yako Mana hakuna namna kwaio alichofanya mzee wetu hapo kumweleza mheshimiwa shida yake big up sana
Kalipwa kweli huyo au bado
Viwanja vya watu vinazulumiwa sana
safi sana jafo
Hivi maafisa ardhi wetu mkoje jamani
Mbona kama ...
Ngoja nikae kimya mie
Jamani hata Tanga kuna Afisa Aridhi amezulumu watu ikiwa Mimi ni mmojawapo amakula fidia kesi nimepeleka kwa mkuruge bado na kwasasa Huyo afisa Aridhi amehamishiwa Same.. Saidia kusambaza ifike mbali zaidi
Hao wezi, muwe mnawafunga tuu. Wale wakubwa hao.
Hao mbwa Kata vibao!!!!!!!!!!!!!!!!!! YAAN MM NINGEWATANDIKA FIMBO!!!!
Wamemdanganya Mpaka Mh. Rais
Tumbueni jamani wekeni uadilifu serikalini. Uwe mkali Waziri
Wanampiga hadi mzee bila huruma wanajaza vitambi tu jafo tumbua hao wananyanyasa watu wasiojua sheria mxvuuuuuu!!!!
NILIFANYA MAPENZI NA MAITI 20 ILI KUUPATA UTAJILI Sehemu ya 18: ZAKIA MWENDELEZO.
th-cam.com/video/sAXV3TgcuDc/w-d-xo.html
Yaani inauma sana hili tatizo kama hili nililipitia nilidhurumiwa hii hivi lakini Mungu alinilipia ofisi za Ardhi ni balaa afadhari sasa hivi
Doooooo uyuuu ni mweshimiwaaa raisi mtarajiwa hakitoka makufuri jafo.kaingiaa m south africa ja
Lakini hao wakuu wote hawafai