ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Pole mimi nilikua nakuangalieni sana kwenye mzani wa mapenzi Mungu amuweke sehemu inostahiki amiin😢😢
Nyie uyo arine naumia mwamchosha kwakweli duh poleni sna
Dah pole jamani mungu amlaze mahalipema peponi
Nakupenda Irene uchapii kama wengine .
Pumzika kwa aman ndg yetu tulikupenda sana ila mungu kakupenda zaidi
Irene umeruzukiwa Jamal Mama kama utabadilisha kwa dhati mwenendo na Tabia yako. zikaendana na umri wako wa sasa.Basi utaisaidia sana jamii kukumbuka kua Binadamu sio jiwe.Mtu yeyote Anao uwezo wakubadilika nakua mtu Mpya.
Jamani jaman dha mpaka naishiwa maneno 😭😭😭😭😭
Pole Irene 😢
Nakubaliana n ww Irene jamaa alikuwa anakuja vzr mno hakika ni pigo
Nilikuwa namtarajia kuwa msainii mkubwa Kama Gabo , JB, Kanumba ila mungu kampenda zaidi
Yaani katika maovu yote ameona kuvuta bangi...Je Umalaya,Usagaji n.k
Pole sana
Poleni saaana wapendwa.
Mwenzenu mi mungu anisamehe,,,hawa wasanii mi naona mda wote wapo kuecti tuu hasa huyu dada
Mungu akusamee kweli dear😢
Kwa nini unamuhukumu mwenzako je ya kwako umeyatafakari?
Wacha drama zako za uwongo dajaah tapeli mtumishi ushakwisha sauv eti mtymishi 😂😂😂😂😂
Unayoongea uwoya nikweli kabisa nakuunga mkono
Pole oya umegusa
😢😢
Polen
Inalilah wa inailah rajuun
Mbona amepwaya au siye
Yaan wasanii insta tofaut na live
@@ashazuber6548sio wasanii hata mkeo kwenye picha ni tofauti na live
Angependeza hapo na makeup mngemsema, katoka kawaida kapwaya 😂 MUNGU atusaidie
@@gloriakilonzo4706 sisi ndo binadamu wenye damu ndan yake hahahahahaha
Polen kwa misiba yawasanii wenzenu jamani mungu atuhurumie