TAARAB. Isha Mashauzi - TUGAWANE USTAARABU. audio | MARJAN SEMPA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 3 มิ.ย. 2020
- FOR MPESA GIFTING - 👉 me.creator.co.ke/c?aff=marjan...
Don't Forget to SUBSCRIBE , LIKE & Share
Follow me on my INSTAGRAM ACCOUNT @MarjanSempa
The authenic and Genuine TRADITIONAL SWAHILI MUSIC, that its Origin in East AFRICA...
FeaturingFurthermore TAARAB is One of the SWAHILI people ways of Delivering Massage to Specific individual or individuals with very Special Metaphor or Language codes that Mostly likely and mostly only Swahili people can interpret, so even if you Understand Swahili that doesn't mean you comprehend the massages behind, contents and significance of TAARAB LYRICS.
#Related
#Taarab - เพลง
Maneno kuntu haya jamani nipeni likee kama mnanmuunga mkono Aisha mashauzi 👍
Nalikubali sana hili goma, kama na ww unalikubali gonga like twende sawa
Mmmmh Isha kaimba hii nyimbo
Nyimbo tamu sanaa aitwaa zuchu dazuuu
Penda sanaa hii nyimbo0😘💞💞👌💪💁♀️💁♀️
Weuweeeeeee mpaka nalia navyokupenda
Nakupenda sana Dada upon juu huna mpinzani
From Kenya kweli kabisaa❤❤
naipenda jmn mashaallah
Nyinbo nzuri sana asante
Waja tuishi kwa adabu kujuana isiwe tabu 🙌enyi waja msoniheshimu heshima yenu nawapa mola kanijalia nidhamu si kwamba nawaogopa
Wenywe mtaaona hayaa mashauzi nakupenda buree mmaaaa nkiskiliza nkiwa Bahrain nshashiba hapa rahaa piga keleleee
Maneno kuntu Aisha mashauzi ❤️❤️❤️💕
Australia tupo aminia mashauzi clasic upo vizuri najiona nipo nyumban tz ubarikiwe Isha mashauzi
good song from mama mashauz hongera sana
Nimeikosa hii nyimbo mda mrefu kwakutojua jina lake dah raha sana kama
Maneno makubwa sana haya nic
Naipenda sana hii hasa mwanzoni
leo nimejukuta naitafuta ii taarabu isha ilijitaidi sana mashaili yalikua pambeee😋☺
Santa sana shauzi
Heheeeeee Leo na IDD nimeamka salamaaa jamn ya kweliiii pongezi
Ukojuuu isha mashauzi nakupenda sanaaaaa mungu akupe maisha marefu siku tutakutana takutunza paka utakimbiya nakuuguwa wewe mungu atupe mumuzi tuuu
Santaa mashauzi wimbo huu umeenda snaa yalinikuta km hya unayoyadema
Wallah nyimbo kama hizi sahivi hakuna hapa uliimba nyimbo tamu balaa
Yan huu wimbo cjawahi kuuchoka kabisa
Kukaaa kimya sio kuogopa naona vibaya mie na nyie kugombana Wallah Isha hapa uliimba
Apana chezeea ishaa nyimbo pambeeeee
Yan nyimbo ni nzur kama we mwenywe dear
Shukran sana
Natanga na njia, ya Ali star
Daaaaaa hiii nyimbo nilikuwa naifuta muda sana namuuliza mwenye nyimbo yuko.kimyaaa ubarikie kk ake ...jamn
Balaaaaaaa!!! uko juu kijana
Naikubari Naipenda Hii Nyimboo❤❤
Umeonaa eeh mpendwa.
Mambo motoooooo
Tuishi kwa adabu jmn kujuwana isiwe tabu bule 🤗🤗
Kitu kitamu hichi sana mamaa mashauzi
Mia mia wakwetu musoma oyeeeeeeeee 👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌🎶🎶🎶🎵🎵🎵🎤💃
Ishaa mungu akueke huu wimbo naupenda sana❤❤
Yaani sichoki kuusikiliza Uko juu Marmy penda sana wewe.
Ni nzri sana dada ake
Poa sana,taarab ni mziki shupavu sana
Hii nyimbo Ina fundisha sana
Asante sana umetukumbusha mwimbo mzuri sana
Sauti Kama una miaka 6 👌
Isha hii ngoma uliua mbaya
Nyimbo tamu kma asalii..majirani wanasikizia ukweli wao #966
Naomba nyimbo zote za marehemu Ahmed mgeni
Big up sana
Asante sana
Dahh ii nyimbo ni mzur voo
Nazipenda saanaa nyimbo za huyu dada jamani
Kali
Asha asante sana❤
2020 gonga like mm ni sawa na chumvi nikizid nakuwa msala nikiwa cp hawajiwezi
Naipenda sana hii song thanks dj marjan😗😗😗😗😗😗😗😗😗😗😗
🥰🥰nyimbo tamu sana na haiishi hamu
Asante umejua kunifurahisha et
Dada isha uko juu sana nakupenda bure❤❤❤
Mashallah Mashallah udugu wangu
Ni. Nzur sana my love sister insha💞💕💕
🔥🔥🔥
Top dunte😘😘😘😘
🥰🥰🥰🥰
Mashallaha
Wachaaape Ww
Niceee
Asante sana Marjan Sempa maana nikuwa naitafuta sana hii taarabu
Hata mimi nimeitafuta sanaaa
Oyoo
🎊🎊🎊🔥🔥🔥
Nakukubali dd
Maashaallah, MARJAN SEMPA huna mpinzani… Maana hadi mwenyehii nyimbo amegoma tukuwekea 👏👏👏
Mazur
Atareeee
Kabisaa
Isha upo vizuri
Nc wajin wangu
Mashallah nyimbo hiii nilimic sana walah isha hapa aliimba mungu azidishe kipaji chake asante marjan sempa umenikosha👌👌👌👌
Hatarihatari
@@bawezabaweza5376 k
Isha unatisha piga kaz mama
Mzee yufuphu
Duh.Raha walai na vile nimekitafuta hichi kibao kwa muda mrefu.alhamdulillah.thank you
Achi ngazi mchuma unaondoka
Naipenda hii nyimbo kama wema wangu sio akiba bora nisifanye tena
As iq
Nyimbo inanikonga nyoyo balaa
Isha hii nyimbo inanilizaga mwenzio...........wema
Usiniseme kwa Nahau na mafumbo ya kiswahili... Isha ndio hujui kama sie watu wa pwani tunaongea kwa mafumbo tu
😂🤣🤣🤣
🔥
Ayeeee, tugawane ustarabu kujuana isiwe taabu. I Love ds song from Somo
Wow Wacha we ndani ya baharein mwenetu uko juu naburudika uku nkichungulia warabu 👌👌👌
😂🤣
😂🤣
Apooo... Ndan ya da office akiwa na kopa long time Sana
Hi am the khan
Gosto as músicas desta mulher.
Kabisa ❤️❤️❤️
💞💕💓⚘🌷
😍😍👌
Asante Marjan🙏
K
Hatar
💞❤💞💕
❤❤❤❤
Kwa hili Nina kukubali kijukuu
Nkiwa naisubiria original video yke ukikatika mauno
12/01/2024 bado ngoma inabamba❤❤
Video tu yan ndo siiyon
Atal na nusu
Bench guy tho viàl$6
Tanteee
❤❤❤
Naomba nyimbo ya asma kadogo
Marjan sempa wekanaile walimwengu muackhechukiizo ikosku mtaanguka shimon sintowakoa
Isha habari nyingne mjin anaga mpinza ila yy tu upenda kunichelewesha na bolingo zake lkn kipande hiki cha taraab daaah anakimudu hatareeeee
Isha rudi kwenye taraabu yako mji utikisike jmn loooh
I now know where to find a wife
Lol
Umeonaa eeh mpendwa.
Gosto as músicas desta mulher.
❤❤❤❤