𝐉𝐀𝐇𝐀𝐙𝐈 𝐌𝐎𝐃𝐄𝐑𝐍 𝐓𝐀𝐀𝐑𝐀𝐁 Malkia Leyla Rashid Sina Muda Huo (Official Video) produced by Mzee Yusuph
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 2 มิ.ย. 2021
- #MzeeYusuph #JahaziModernTaarab #SlideDigital
(C) Slide Digital
Mzee Yusuph and Jahazi Modern Taarabu / Safina Madern Taarab Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:
Mzee Yusuph: ffm.to/mzeeyusuph
Jahazi Modern Taarab: ffm.to/jahazimoderntaarab
Safina Modern Taarab: ffm.to/safinamoderntaarab
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: / slidedigitaltz - เพลง
Wapi sasa 2024 twende pamoja❤❤❤❤❤
Tupo❤
Kabisaa❤
❤❤❤
Am here😹🙌
Who is here 2024 majirani nawafungulia iyo wamezidi vibarazani kusengenya😂😂😂😂😂
😂
🤣🤣🤣🤣🤣
Me
😂saa tatu za usiku mwaka huu 2024 bado goma kali🎉😅❤
ww ulali tuu😂😂
Tuliosikiliza 2024 tujuane
Tupo kitu kimo moto ❤❤❤
Tupo kwa kibao😂😂
Haiishi utamu
Tulio sikiliza 2023 tujuan kwa like
Lazima
namimi nimo
Pia miee
Mimi hapa 🫶🏻
@@yusufmwangangi4111 Joyce kajinga
Ujumbe safi kwa miajirani wadaku👍👍🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Waliolud 2024 🙌🏻🙌🏻🙌🏻
2024 niko hapa.. ❤
Nawakilisha 2024 sitaki kuchelewa
Tamu sana raaaahaa tupu
Bonge la ujumbe hapo dada,,nakuombea maisha marefu dada,,
Hii nyimbo itadumu moyon mwangu daima the best TAARAB kwang Mungu akuweke zaid malikia Leyla ❤❤
Taraab moto sana. naipenda sana.💃💃💃💃🔥🔥🔥
Pianist ni hatariiiiiiii
Nimeipenda sana❤
Da mama yangu kama namuona vile ya Alla nakuomba mama yangu umlaze mahala pema peponi
Huo mzuri kabisa,,, sina muda huo wa kutopenda taarab
kazi nzuri b blessed a lot
Mim 2023 ndio taarabu yang bora hii🔥🔥
Kama kuna taraabu napenda hii ndio no one ireal like this song
Naupenda sana uu wimbo kwanza pale kwa mzee yusufu nipapasie kinanda,pongezi sana leyla
Leyla Rashid, nakupenda bure bilashi na kila siku najistarehesha na kujifariji na muziki wako. Mungu akubariki zaidi. Pokea salamu zangu za dhati kutoka papa hapa jijini New York Marekani. Karibu jimbo la Bungoma utuburudishe na muziki wako murwa.
Marekani ya nyoko
@@elishajuma2615 si kila mtu ana huo mtazamo. Ndugu, tonga si tuwi!
huyu mwana wa kiislamu mrembo kweli.
🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂😂Omundu khula pungoma🤣🤣
Dada penda sana wewe💞💞💞ujumbe mzuri sana una mafundisho,piga kazi mami,💪💪👌👌👌👌🎶🎶🎶🎵💯🥰
Kweli kakiba tumuombe maulana atungulieye njiya tu
Aliechambwa na hii ICU mara moja woiiii❤😂😂😊
Ilove you leyla rashidi natizama hii nyimbo 2023
2024 gonga like
good work malkia Leyla mungu hazidi kuwa pamoja nae naenjoy xana ninapo sikiliza nyimbo zako
Ww ndio mama yao
Nyimbo yangu pendwaa❤❤
Mashallah to this beautiful queen the song still rocking 2023 from kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Uumbe na sauti vinawiana.
Unajuwa❤❤❤❤
Tarabu tamu sana❤️❤️
Kabisa leila 👌 love this ❤️❤️🥰🥰😘
Uongo tuczulianee vibaya ucniseme ukanitilia nuksi😋😋😋huu wimbo haunichosh miaka nenda rud nakupenda dada Leila Allah akujaalie umri mref kipnz
💃💃 maneno kuntu👌🏻👌🏻👌🏻
Muda Wakuchezea hakuna
Kbs Yan maneno yako sw
Congratulations 👏👍 keep it up good job
Who is here 2022🙋🏽♀️☺❤
Me
Mmi😀😀😀
Am here ooh
🙋🏻♀️
Mim😂😂
Kit pambeee❤🎉
Unajuaaa mama
Wapi shagwe ya malkia lelya rashidi oyaa
Nakupenda bure
2024 tupo hapa jamani
Hapo sasa,,,kali sana
Nna meng yakufanya sio kukudiskas ww tafadhal nakukanya mie sina taim na wee weweeeeee cheze weee kitu kiko sw ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mzee Yusuf uko vzr kwa kinanda umetisha
ww hana bwana chakukushughulisha mdomk t hawakuwez
I miss home east Africa😘
same akh
Miungu,akupeuzima,mwing,sana
Ni 2022 lakni bdo npo hapa😊 am in love with this, Leyla Rashid🤗🥳 much love
Tupo site.... ❤ 😍 💖 ❣ 💕 inafika hadi kwenye kidole cha mwisho cha mguu....duh
Sina mdaa huo vyovyote mtakavoniita na kuniongela sitojibu kitu
Congratulations ❤
Leila nakupenda nikisikka mipasho yako nafarijika sana, allah akulindie kaz yako.
Nakukubali sana dada
🔥🔥🔥 nawapenda sanaa 🙌
Inatukumbusha mbali enzi hizo za utoto vigodoro wengine hatukosi!!!
Yaaah kama mimi tu
loving you from CONGO. nzuri sana
Napenda Sana hii nyimbo
Jamie wagna ndy naupiga saizi
Weeee malkia weeee 🔥 sanaaaa nakuombea mungu akujaalie uhai na afya nzuri katika dunia nakutakia kila la kheri I love you so much every day 💘💞💞💞 weeee my love weee 💯💯💯
Asante dada iyo nyimbo iwafikie wore wanao nichukia
Yangu nikukuombea Dua, mwenyezi mungu akurinde na akupee nguvu mob za kuzindi kukutolea tarabu mob zaidi
Hatar sana huo wimbo
I love taarab music big up Uganda
Let's go Swahili Nation
Sina muda huo sina wa kukaa vibarazani kumdiskasi mtu 💃💃💃usinipikie majungu mie si mke mwenzio heheheyaaaa 🤣🤣😂😂 heheheyaaaa na utabaki kuwa malkia kwa miaka isiyo hesabika wapiiii 🔥🔥🔥 wapiiii malkiaaaa!
Malaika
Nyie wote mko sawa kulingana na dhamiria lengwa. Malkia ni "Queen" na Malaika ni "Angel" kwa lugha ya kimombo.
CJ wyhdk
Pl
💃💃💃💃💃💃💃
Mmmm tamu sana I like it
Yaaan man u nkama modern taarabu 😪
Ukosawa nampenda leila anajua kuimbaa
I love you 💕💕💕 nyang'anyang'a nitoke niende wapi wakati raha zakooo zinanitosha tenaaa zote tamuuuuu! Aaaah!🔥🔥🔥
Haha sina muda wakusema mtu ...... So lit ❤
Wow,this is my favorite,I like this song so much, Leyla u blessed swry live long darling 😍😍😍😍😍
Leyla Rashid hupo kwa kiwango Cha kipekee. Kuangazia wasi wasi yalipo. Chukua uhondo!!!. Dr. Ogeto International
Sina muda NA mtu
2012_2013 chuo Cha maendeleo ya wananchi musoma (F,D,C)acha kabisa
Wimbo nzuri sana...let me subscribe.
I miss my East Africa ,I love this taarab ,hongera dada kip up
Wefwe karibu pwani tucheze taarabu live
I love taarab sana
Dah bi leyla hapa umenikosha dada yangu ngoma hii haishi utamu siku zote,barikiwa sana dada yetu
My favorite 🔥🔥
Hii ndio Taarabu maarufu kuliko hata muimbaji mwenyewe miaka hyo hapa ulichora kuanzia mashairi had sauti
Mungu azid kukupa afya njema mumy i love this song
Wimbo mthamu nakubali masha llah
9ll8 of course ki ooh is the go for in a row that
2024 listen to this 😂
Hi nikikomo mama, mungu hawe nanyi.
Still I hv the lyric in my head❤❤❤
Waoooooooo wimbo huu nikiboko jamani
Umetisha
I was only a fresh teen when I fell in love with taarab songs and believe me mpenzi chocolate and sina muda were my favourite....mzee yusuf and leila keep it up.♥️🔥
Of all, this is my favourite song. Keep up
Asante Kwa wimbo huu murua kabisa na HAUtAKUJA kuchuja daima
Sina mda huo kwakwel
Taarabu za zaman tamu buanaaaaaaa,pambeeeeeee
Muda huo Sina wakuchezea naomba Maulana funguliwe njia.
Nice one Leyla 2022 still in love 🥰 with the song
Sathaaaà
Swadaktaaaa
taarab staarabu kweli Jmn Mungu akupatie riziki yako ❤❤❤🎉😊
Sababu kubwa yakuja humu nasikilizisha jirani mmojA
🤣🤣🤣
@@beesmarttv3792 😁😁😁😁
Wawooo nyimbo nzuli
Mzeee yusuphu rudi kwenye game aisee maana siku hizi hakuna taaarabu Bali Kuna twaarabuu,Hapa ulikung'uta kinanda mpaka basi
Kwanza tuheshimiane hapo ndipoooo
My favourite taarab artiste
Nyimb0 za mzee yusufu zina ujumbe napenda kuzisikiliza
Huhuhuuuuu❤❤❤
Soo nice😍😍