𝐉𝐀𝐇𝐀𝐙𝐈 𝐌𝐎𝐃𝐄𝐑𝐍 𝐓𝐀𝐀𝐑𝐀𝐁 Malkia Leyla Rashid - Na Bado Mtateseka (Official Music Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 พ.ย. 2021
  • #MzeeYusuph #JahaziModernTaarab #SlideDigital
    (C) Slide Digital
    Mzee Yusuph and Jahazi Modern Taarabu / Safina Madern Taarab Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:
    Mzee Yusuph: ffm.to/mzeeyusuph
    Jahazi Modern Taarab: ffm.to/jahazimoderntaarab
    Safina Modern Taarab: ffm.to/safinamoderntaarab
    Channel Administered by Slide Digital
    Instagram: / slidedigitaltz
  • เพลง

ความคิดเห็น • 288

  • @sharifanassir7849
    @sharifanassir7849 2 ปีที่แล้ว +1

    Hatareeee.... Hata mkivunja Nazi... Hamnipokonyi yaaangu.... 🇰🇪🇰🇪🔊🔊🔊🔊🎶💖💖💖

  • @zuleikhaomar4657
    @zuleikhaomar4657 2 ปีที่แล้ว +3

    Umedamshi mama💥💥 watateseka mbona wasitara haumbuki

  • @halimamis4236
    @halimamis4236 2 ปีที่แล้ว +3

    Aroooooooo Miezi ya shughuli ndio hii 😃😃watanikoma walioanialika 💃💃💃👌punguzeni hicho cheziiii, Asanathaaaa 🤝👌

  • @alimusa9142
    @alimusa9142 2 ปีที่แล้ว +7

    Safina ipo safarini💥

  • @ryjalimohaa5386
    @ryjalimohaa5386 2 ปีที่แล้ว +10

    Wakwanza wapi like za malkia mipasho

  • @lalyshekue6908
    @lalyshekue6908 2 ปีที่แล้ว +3

    Hata mkivunja Nazi hamnipokonyi yangu👌👌👌👌👌

  • @fatmamrihani6828
    @fatmamrihani6828 ปีที่แล้ว +1

    Jamani nimechelewa kuijua taarabu nzur sana hii❤❤❤❤

  • @aishatanzania1194
    @aishatanzania1194 2 ปีที่แล้ว +3

    Malkia MASHALLAH hachuji maneno paaambeee

  • @salmamatano3169
    @salmamatano3169 2 ปีที่แล้ว +1

    Hata mkivunja Nazi hamunipokonyi yangu 👌👌👌💃🥂🍾 malkia ni mmoja tuuu 🥰🥰🥰

  • @salha.d5060
    @salha.d5060 2 ปีที่แล้ว +5

    Mashallah Mambo ni 🔥🔥🔥🔥

  • @systematickader7583
    @systematickader7583 2 ปีที่แล้ว +15

    Lijalo siri ya mungu, huenda kesho zamu yako.
    Na lisikupe uchungu, fanikio liso lako

  • @KauliChupi
    @KauliChupi 11 หลายเดือนก่อน

    Kali sanaaaa hiii

  • @samirasuleiman2323
    @samirasuleiman2323 2 ปีที่แล้ว

    ungelijuwa maana ya mashaallah usigeisema kwenye nyimbo zakishetani tatizo elim oooooooo

  • @rehemamgaza4669
    @rehemamgaza4669 2 ปีที่แล้ว

    Yani kiukweli mzee yusufu kipaji kakupa mungu hongera Sana na bendi nzima daah sio mchezo

  • @salha.d5060
    @salha.d5060 2 ปีที่แล้ว +2

    Sichoki kuusukiliza huu wimbo💓💓💓

  • @bongemrangi4501
    @bongemrangi4501 2 ปีที่แล้ว +2

    Nakukubali mpenz

  • @junaitharjamal3761
    @junaitharjamal3761 2 ปีที่แล้ว +1

    Hatari sanaaaaaaa Hongera sana

  • @chazb6484
    @chazb6484 2 ปีที่แล้ว +1

    Nyimbo yangu Kali saaaaana hii

  • @sultanomari9085
    @sultanomari9085 2 ปีที่แล้ว

    Najiuliza hpa! Kwan waitikiaji hawaruhusiwi kupendezaa nyimbo tam kama muhimbaji.

  • @nooral8568
    @nooral8568 2 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah ujumbe ukweli mtupu love you so much sister , watching from Kenya

  • @aishambise6529
    @aishambise6529 2 ปีที่แล้ว +3

    Shikilia hapo malkia wgu usimsikilize mtu wote pua zetu zinagalia down💋💋💋💋💋💋❤❤❤❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @wemahamadi7847
    @wemahamadi7847 2 ปีที่แล้ว +2

    Mashaah umependeza daa kiukweli

    • @najmahbakar4626
      @najmahbakar4626 2 ปีที่แล้ว

      Mashallah, hop ni siz Toka zibani

  • @salmaally4829
    @salmaally4829 ปีที่แล้ว

    Kabisaaaa

  • @messiahmlyuka9422
    @messiahmlyuka9422 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante malkia ujumbe location Safi congole jahazi morden taarab

  • @razackkambi8318
    @razackkambi8318 2 ปีที่แล้ว +4

    Najua kinachowatesa roho zenu za uswahili
    🔥🔥🔥

  • @malikimlisho2306
    @malikimlisho2306 2 ปีที่แล้ว

    Roho za uswahili zinawatesa..... da leila wakuwache malkia wa taarab 👌👌watateseka san

  • @sadikjuma5519
    @sadikjuma5519 ปีที่แล้ว +1

    Great!!! #Stahabu ❤💯...

  • @AshuraMagwiza
    @AshuraMagwiza หลายเดือนก่อน

    naikubali sana hii ngoma

  • @rensonnguma6088
    @rensonnguma6088 ปีที่แล้ว

    Apa umepigilia msumari ... nakubali

  • @geoffreyembasa8483
    @geoffreyembasa8483 2 ปีที่แล้ว

    Mungu anisamehe kikweli.
    Yaani miaka yote mi upuzilia taarabu.
    Naona kama ni za wanaume wale unyo unyo
    Nyimbo za kuchongoana,kusutana na kupandisha nyege.
    Jamani mungu anisamehe.
    Hile busara,heshima na ustaarabu wa hawa kina Dada,
    Sikujua

  • @mariammusa7260
    @mariammusa7260 ปีที่แล้ว +2

    Malkia was taarab, beautiful

  • @captaintemba5010
    @captaintemba5010 2 ปีที่แล้ว +1

    Nikianza kukusifu nnaweza kukesha mazuri mengi

  • @JumaShaibu-re4cs
    @JumaShaibu-re4cs 7 หลายเดือนก่อน

    Nimeipenda sana

  • @upendoluv7197
    @upendoluv7197 2 ปีที่แล้ว +1

    Malkia hiki kitu Ni Cha Motooo🔥🔥🔥

  • @halush175
    @halush175 2 ปีที่แล้ว +5

    Waiting ❤️❤️🥳🥳🥳

  • @sanurandune8066
    @sanurandune8066 2 ปีที่แล้ว +1

    Jahazi yapanda tena banaaa

  • @swaumutadeo4714
    @swaumutadeo4714 ปีที่แล้ว

    Nimeenda sana

  • @elishaelisha6860
    @elishaelisha6860 2 หลายเดือนก่อน

    Kweli bonge la nyimbo nawakubari sa❤

  • @sabrinachopeta786MISTON
    @sabrinachopeta786MISTON ปีที่แล้ว +1

    ❤️❤️❤️❤️🔥🔥🔥 love you Leila msaan wangu wa mda wotee siku fanya kolabo na alikiba😘

  • @khamismohamed6985
    @khamismohamed6985 2 ปีที่แล้ว +2

    Muko juu sana.nice song

  • @aishaalimnemo4921
    @aishaalimnemo4921 10 หลายเดือนก่อน

    Ajabu si ndo hiyoo
    Mnanichukia kwa kipi hassaaa

  • @latiffah8771
    @latiffah8771 2 ปีที่แล้ว

    Pambe tyuu👌👌🎤

  • @richardjoseph9642
    @richardjoseph9642 2 ปีที่แล้ว

    Nyimbo zur

  • @andrewnotoriety2433
    @andrewnotoriety2433 11 หลายเดือนก่อน

    Good one #StAndrewKaggwa loves this song

  • @mwanambendayusuph7930
    @mwanambendayusuph7930 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah nyimbo nzuri sana malkia leila rashid

  • @ruphea6538
    @ruphea6538 ปีที่แล้ว

    Kweli kabisaa Leila wape vidoge vyao mahasidi

  • @mamadida6100
    @mamadida6100 2 ปีที่แล้ว

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @nasraabdalah3814
    @nasraabdalah3814 2 ปีที่แล้ว

    Shabiki wako wa kwza mm apa. Yan nakupenda sana nyimbo zako zote ninazo ❤️❤️❤️

  • @jumasaid7198
    @jumasaid7198 2 ปีที่แล้ว

    Eti ndio mke wa al hajji huyu wacheni kumchezea mungu

  • @lydiananaa2733
    @lydiananaa2733 2 ปีที่แล้ว +2

    MashaAllah mwanamke pambeeee🥰🥰🥰🥰

    • @mariajohn567
      @mariajohn567 ปีที่แล้ว

      Wao nyimbo nzuri sana naipendaje

  • @mwahijaismaily3385
    @mwahijaismaily3385 2 ปีที่แล้ว +1

    Video iko 💥💣💣💣💣💥💥💥

  • @sabrinamlali9123
    @sabrinamlali9123 2 ปีที่แล้ว

    Weeeeeeeeeeeeeeeeeee. Nakubali malkia wangu welcome dodoma

  • @mishijuma9529
    @mishijuma9529 2 ปีที่แล้ว +18

    MashaAllah Nyimbo Nzuri Welcome Back Malkia Leyla Rashid

  • @rehemamwinyihamisi3888
    @rehemamwinyihamisi3888 2 ปีที่แล้ว

    Leila umetisha kinoma upo vizuri💔💔💔

  • @quazyneshen6020
    @quazyneshen6020 2 ปีที่แล้ว

    Waooo hatariiii

  • @lovie5362
    @lovie5362 2 ปีที่แล้ว

    We honeyyyyy Mfalme wa moyo wangu

  • @njovuofficials3318
    @njovuofficials3318 2 ปีที่แล้ว

    Mama mshawishi mzee Yusuphu akeze bhana kama dini ipo tu unafanya kazi ukimaliza unaenda mwinamia Mungu na maombi ni Sili yako wewe na Mungu tumewamisi jamani yani Dah🔥💥🔥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥

  • @remaz-tf6zh
    @remaz-tf6zh ปีที่แล้ว

    Leilah mie na wew bab nafsi shey😍

  • @yusufumwasha548
    @yusufumwasha548 2 ปีที่แล้ว

    Aloumbwa mkwezi ndo makara yake mungu wala usiwe na bumbuwaz ndo mipango ya mwenyezi

  • @mariamyusuf3911
    @mariamyusuf3911 2 ปีที่แล้ว +1

    Mambo ni motoooo

  • @samiaismail1805
    @samiaismail1805 2 ปีที่แล้ว

    Weee my love unazidi kunifurahisha tena zote tamu 💕💕💕 malkia 👌👌👌

  • @speciozarmyembe7709
    @speciozarmyembe7709 2 ปีที่แล้ว

    Mashalla mungu akuzidishie kipaj

  • @evaristmrope
    @evaristmrope 2 ปีที่แล้ว +2

    I'm waiting here

  • @user-uc2td1uq4z
    @user-uc2td1uq4z 7 หลายเดือนก่อน

    ❤jaribu sana malkia mwimbaji nzur wa taarabu

  • @raregungamatemu7517
    @raregungamatemu7517 2 ปีที่แล้ว

    Nyimbo nzuri sana. Honger

  • @yusufumwasha548
    @yusufumwasha548 2 ปีที่แล้ว

    Burudan mubashara

    • @lucybatista2631
      @lucybatista2631 ปีที่แล้ว

      Kutoka Dubai tunawasilikiliza tupen vitu

  • @suleimanali9461
    @suleimanali9461 ปีที่แล้ว

    Hongera Kwa kazi njema

  • @samiaismail1805
    @samiaismail1805 2 ปีที่แล้ว

    Weee my love umenimaliza kwa mapozi eeeeh 💘💘

  • @bitunisebarua3884
    @bitunisebarua3884 2 ปีที่แล้ว

    Malkia umenoga hatari ila waitikiaji waongezeke ndo raha zaidi

  • @user-iv6rf3pf2c
    @user-iv6rf3pf2c ปีที่แล้ว

    Nimeipend

  • @mishijuma9529
    @mishijuma9529 2 ปีที่แล้ว +14

    MashaAllah Nyimbo Nzuri Welcome Back Malkia Leyla Rashid 💚🇰🇪

    • @AsuuVideo05
      @AsuuVideo05 2 ปีที่แล้ว

      Wauliza no curfew hehe

  • @byronemmanuel9364
    @byronemmanuel9364 2 ปีที่แล้ว +1

    Wabee kazi nzuri

  • @nashahussein4837
    @nashahussein4837 2 ปีที่แล้ว

    Siachi kuisikiliza kila SK💯❤️❤️❤️...nyimbo Helwan2022

  • @user-bj8qb2bw7s
    @user-bj8qb2bw7s 11 หลายเดือนก่อน

    Moto kutoka jikoni malkia kweli wewe ni malkia nakupenda Sana naskiza nikiwa nakuru county station area railways

  • @mohd424
    @mohd424 ปีที่แล้ว

    Huko pamoja Leila Nyimbo iko poa karibu PBA huku

  • @sikujuamatuma7891
    @sikujuamatuma7891 2 ปีที่แล้ว

    Waooo Laila nakupenda nyimbo zako zinanisuza roho balaa😘

  • @khadijahali6856
    @khadijahali6856 2 ปีที่แล้ว +2

    Nakupenda sana leyla siku zote hukosei maneno kuntu dadangu😘😘😘😘😘😘😘😘.Utabaki kuwa malkia daima milele.Nakukubali sana dadangu kwa kazi safi na nzuri Mungu akutangulie kwa kila ulifanyalo❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @samiaismail1805
    @samiaismail1805 2 ปีที่แล้ว

    Utabaki kuwa wangu milele na nitakukumbuka daima 👑👑👑 Leyla ❤️ rizik c kijigaia wapiiii

  • @healthcomoditysikika9545
    @healthcomoditysikika9545 2 ปีที่แล้ว

    Ni nzuri kinyamaaaaa

  • @issaybunuasijumanne4603
    @issaybunuasijumanne4603 2 ปีที่แล้ว +8

    Mambo ni moto

  • @bitunisebarua3884
    @bitunisebarua3884 2 ปีที่แล้ว

    Malkia mapozi yako yamenogesha sana dah wallah tumerudi mjini

  • @raymondnzai7036
    @raymondnzai7036 ปีที่แล้ว

    KAZI nzuri sana. ❤

  • @aishajamal4939
    @aishajamal4939 2 ปีที่แล้ว

    Malkia Leyla haja wai kukosea🥰🥰🥰

  • @yusufumwasha548
    @yusufumwasha548 2 ปีที่แล้ว

    Big up

  • @officiallyfeysaly5600
    @officiallyfeysaly5600 2 ปีที่แล้ว +1

    rizik so kujigaia b💕💕💕👏

  • @trufenaodongo7999
    @trufenaodongo7999 2 ปีที่แล้ว

    Jamani najivunia mm make SoMo ya mwanngu leylah waniua waambie kabisa watateseka sana mm Alo umbiwa kupewa hatabjuani hupewa 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @likedatshorty
    @likedatshorty 2 ปีที่แล้ว +1

    Saaaanteeeeeee Malkiaa🔥🔥🔥🔥

  • @yusufumwasha548
    @yusufumwasha548 ปีที่แล้ว

    Nyimbo yangu bora kila siku

  • @jumaally9928
    @jumaally9928 2 ปีที่แล้ว +1

    Wawo mama lamama limerud upy

  • @victoriadavid4755
    @victoriadavid4755 2 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah malkia leyla

  • @yakoubkivumbi5847
    @yakoubkivumbi5847 2 ปีที่แล้ว

    pambe tu mambo ni moto nakubali saba

  • @jaredoteki3936
    @jaredoteki3936 หลายเดือนก่อน

    Jared kuja wote

  • @iluminatankwera285
    @iluminatankwera285 2 ปีที่แล้ว

    Riziki ya halali,wanipa rahaaaa,dah!!big up

  • @yusufumwasha548
    @yusufumwasha548 2 ปีที่แล้ว

    Nyimbo tamu hii wallah

  • @abuuissa1819
    @abuuissa1819 2 ปีที่แล้ว +1

    Nampenda malkia leyla jamanii...ila video ya ndo yaleyale sijaiona TH-cam

  • @elishaelisha6860
    @elishaelisha6860 4 หลายเดือนก่อน

    Nakukubari dada yangu

  • @samiaismail1805
    @samiaismail1805 2 ปีที่แล้ว

    Hata mkivunja naz hamnipokonyi yangu 👌

  • @sithymohammed3191
    @sithymohammed3191 2 ปีที่แล้ว

    Nakupenda pka basi malkia wetu mama mchapa kazi 💕💕🌹🌹

  • @likanari
    @likanari 2 ปีที่แล้ว

    Nimependaaaaa

  • @user-iu5sf7sd9c
    @user-iu5sf7sd9c 6 หลายเดือนก่อน

    Kweli bonge la nyimbo