Ubaguzi kwa watu weusi US ni mbaya kiasi hicho? Mtanzania huyu anayeishi huko anafunguka usiyoyajua

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • Mahojiano na Ernest Boniface Makulilo anayeishi nchini Marekani
    EBM ENGLISH
    / ebmscholars
    EBM SWAHILI
    / ebmswahili
    INSTAGRAM
    / ebmsignature

ความคิดเห็น • 406

  • @abdulsimbarakiye6469
    @abdulsimbarakiye6469 3 ปีที่แล้ว +23

    Kaka mimi naishi new York 40 year ubaguzi ni mkubwa sana wa weusi yote Jama anayo zungumza sio kweli kabisa mimi pia niko na mke mzungu lakini ubaguzi marekani hupo tena sana

    • @TheSebfred
      @TheSebfred 2 ปีที่แล้ว +1

      Umeonaeeee

    • @NR-ll4sr
      @NR-ll4sr ปีที่แล้ว +1

      Amesema upo,,lakini hata Tz upo,,,msikilize vizuri utaelewa

    • @Perfect-migomigo
      @Perfect-migomigo 7 หลายเดือนก่อน +1

      Mr abdulsimbarakiye umeongea uwongo America akuna ubaguzi wa rangi ata kidogo niko Chicago 51 year

    • @Perfect-migomigo
      @Perfect-migomigo 7 หลายเดือนก่อน +1

      Na tanzania kuna ubaguzi

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 26 วันที่ผ่านมา

      ​@@NR-ll4srshida ya watu hawasikilizi wakaelewa

  • @htx1873
    @htx1873 3 ปีที่แล้ว +14

    This guy is so smart, alinifundisha wakati Alikua udsm , jamaa akaenda usa, namimi pia nikaja USA . This is the guy man , nimejifunza mengi sana mazuri kwake, mungu ukuzidishie . 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾

    • @tafari988
      @tafari988 3 ปีที่แล้ว +1

      As someone born in the States this guy is clueless of structured racism 🤦‍♂️

    • @WeirdPuppy
      @WeirdPuppy 3 ปีที่แล้ว +1

      @@tafari988 tell me about it

  • @Global27World
    @Global27World 3 ปีที่แล้ว +17

    Mzee ameongea tu, but sio ukweli kabisa, kuna wazungu wakaidi saana tu, na wa Baguzi saana tu kuliko watu weusi. Wazungu ni wajanja, coz anakuchukia but ataki kukuonesha, unaelewa kwakuona gisi atakuwa anakuudumia ao ku elekezwa. Watu wenye wanaishi USA 🇺🇸 wanajuwa. Like kama tuko pamoja. All the way from Atlanta Georgia 🇬🇪 🙌

  • @georgeburchard4872
    @georgeburchard4872 3 ปีที่แล้ว +19

    Jamaa ameniangusha Sana! Kaielezea dhana ya ubaguzi kijuu juu mnooo! Hajaenda deep kabisa! Suala la ubaguzi marekani ni suala la kimfumo! Lilikuwepo, lipo na litaendelea kuwepo!

    • @svt3
      @svt3 3 ปีที่แล้ว +7

      George bucharchard: ubaguzi upon na utaendelea kuwepo Africa yenyewe weusi kwa weusi wanabaguana saana tena saana, ndani ya ma inchi za Africa watu wanabaguana saana sababu ya makabila mpaka kama wewe ni wa kabila fulani huwezi ku owa wala kuolewa kwa kabila fulani, mpaka watu wanabaguana sababu ya dini ambazo tuliletewa, kwani kunaubaguzi kuliko hizo?

    • @mpendakiswahili3053
      @mpendakiswahili3053 3 ปีที่แล้ว +2

      @@svt3 hapo ume nena..hapa Kenya viongozi wana uza sera zao kikabila

    • @antoinekatembo8520
      @antoinekatembo8520 3 ปีที่แล้ว +4

      Kafanyaje huyo ndugu? Na hao weusi nao pia wanamatatizo makubwa. Mtu akiombwa ID inakua shida kwao weusi pia! Tunaishi nao tunawajua sana na tabia zao za ajabu, maofisini afadhali nikutane na mzungu ofisini maana hao nitatoka na uduma yangu lakini kutana na mweusi uhusikie mziki wa tabia zao! INDEED brother, All life MATTERS tena sana tu!

    • @francisemmanuel1551
      @francisemmanuel1551 3 ปีที่แล้ว +2

      Ubaguzi hata Africa upo tena sisi kwa sisi mfano ni ubaguzi wa weusi kwa weusi wenzao yani wageni

    • @mpendakiswahili3053
      @mpendakiswahili3053 3 ปีที่แล้ว +1

      Na sikitika, namna sisi waafrika, tuna waenzi wazungu....

  • @davidcurtis8556
    @davidcurtis8556 3 ปีที่แล้ว +4

    Interview bora sana sana, nimejifunza mengi kupitia interview hii, Asanteni sana ma bro Mtangazaji na muhojiwa.

  • @Vanisikaka
    @Vanisikaka 3 ปีที่แล้ว +15

    Brother wangu EBM Unawatetea saana Wazungu, Yani haujawa ongelea weusi magumu wanayopitia kwenye western countries, even asia countries🙌🏿.....

    • @hamzacedricole3673
      @hamzacedricole3673 3 ปีที่แล้ว +3

      Huyo mjinga tu hata mim nipo hapa New York ubaguzi upo sana USA 🇺🇸 ten sana kabisa huyo anatetea sababu ya fuckin wife wake mjinga huo

    • @vanessarobyn4584
      @vanessarobyn4584 3 ปีที่แล้ว

      Habar za Asia acha kabisaa tena upande wa ughaibuni ndio kabisaa

    • @celifpower4993
      @celifpower4993 3 ปีที่แล้ว +1

      @@hamzacedricole3673 we anae kubagua ni nani!!? Kama unabaguliwa si urudi kwenu

    • @beegee2971
      @beegee2971 3 ปีที่แล้ว

      @@hamzacedricole3673 Huyu ni Republican. Anaishi West Virginia

    • @vanessarobyn4584
      @vanessarobyn4584 3 ปีที่แล้ว

      @@hamzacedricole3673 sasa wewe mwenye akili mbona hurudi nchini kwenu ili usibaguliwe 😂😂😂kweli kupatwa kwa wenye akili ubaguzi uko kwanzia familia sasa ijekuwa kwenye nchi za watu

  • @Simplebudgetcooking
    @Simplebudgetcooking 3 ปีที่แล้ว +18

    Maelezo mazuri sana 👏👏 alafu kama wamefanana sana.

    • @Mazoea
      @Mazoea 3 ปีที่แล้ว

      Yes wamefanana sana nadhani wanatoka sehemu moja

    • @emmanuelchifupa4934
      @emmanuelchifupa4934 3 ปีที่แล้ว

      Na mm niliona wamefanana Hawa watu

  • @muslimqueen5314
    @muslimqueen5314 2 ปีที่แล้ว +1

    Jamaa kaongea point sana memkubali

  • @bumabuma2426
    @bumabuma2426 3 ปีที่แล้ว +48

    Sie weusi wenywe tunabaguana mwenzio akizidi weusi tu unaanza kumsema

    • @ladislausngoyinde4384
      @ladislausngoyinde4384 3 ปีที่แล้ว +6

      Umeonaee, ni utumwa wa hali ya juu

    • @zulfahalily6095
      @zulfahalily6095 3 ปีที่แล้ว +3

      Hahahahahahaha kwel kbs

    • @vanessalaizer4363
      @vanessalaizer4363 3 ปีที่แล้ว +6

      Na wanaume wengi eti wanaangalia rangi wakitaka mwanamke.

    • @dicksonexavery726
      @dicksonexavery726 3 ปีที่แล้ว +4

      @@vanessalaizer4363 Vanessa inamaana wanaume weusi wanaoa wazungu kwa fashion ila hawaridhiki nao kingono inabidi watafute black woman wapoze CIO?

    • @kaveresylvia1302
      @kaveresylvia1302 3 ปีที่แล้ว +1

      Ukweli

  • @kiri5807
    @kiri5807 3 ปีที่แล้ว +3

    ubaguzi uko kila mahala na kila nyanja . hapo Tzn tunabaguana kipato , kichama , rangi hadi imepelekea watu kutumia mikorogo n.k mbona hayajadiliwi ?

  • @fabiantanzania5795
    @fabiantanzania5795 3 ปีที่แล้ว +5

    thanks broo, umeonge fact upande furani. its the same thing

  • @NR-ll4sr
    @NR-ll4sr ปีที่แล้ว +1

    Ubaguzi upo kila sehemu,,,,,hata Tz tunabaguana wenyewe kwa wenyewe,, sasa unategemea uende nchi za watu upendwe na kila mtu

  • @truthsetsfree2753
    @truthsetsfree2753 3 ปีที่แล้ว +12

    Nyie simulizi na sauti mmepata mtu ambaye hajui kitu, na sishangai hapa Marekani rafiki zake wote wazungu, akitoka na wakwe zake wazungu pia… hivyo hajui historia ya Marekani nimeanza tu kumsikiliza naona anaongea pumba! Wapo wageni wanaokuja Marekani wengi kama yeye ni vipofu hawaoni kweli yoyote kwasababu ya watu fulanifulani wanaokaa nao… mmepoteza muda wenu kumuhoji huyo mume wa mzungu… tafuteni mtu hasa ana experience yakukaa na weusi na mwenye kujua historia…

  • @eddydben
    @eddydben 3 ปีที่แล้ว +2

    We jamaaa anajua saanaa

  • @salimaanna6898
    @salimaanna6898 3 ปีที่แล้ว +9

    Kuna utofauti mkubwa kati ya public na private schools hapa umarekani. Quality ya Elimu ya public schools ni ya kawaida. Lakini ya private ni ya juu sana. Pia malipo ya public ni ya kawaida. Most of people can afford paying it. Lakini malipo ya private school yako juu. Wachache ndio wanaweza ku afford kulipa.

    • @princesuma1686
      @princesuma1686 ปีที่แล้ว

      Upo State ipi?

    • @albertpike5893
      @albertpike5893 11 หลายเดือนก่อน

      Hiyo kauli ya shule sio Marekani pekee ni kila mahali public schools haziwezi kuwa Sawa na private schools

  • @johnmwita9398
    @johnmwita9398 3 ปีที่แล้ว +14

    Huyu jamaa atakuwa wa ujiji , anaongea sana duuuh

  • @alijuma5642
    @alijuma5642 3 หลายเดือนก่อน

    Msikilizeni vizuri, yuko sawa
    Hats sis I happy tunabaguana wenyewe kwa wenyewe.

  • @zeinababdi4757
    @zeinababdi4757 3 ปีที่แล้ว +11

    Thanks to this guy pointing out racism in 🇹🇿, I experience it and I know it very well.

    • @monicahovda4524
      @monicahovda4524 3 ปีที่แล้ว +1

      Alafu weusi wengi wa Marekani hawapendi kifanya kazi, wanapenda Maisha ya Mtelemko, Serikali iwape sosial walfare, food stamps Yaani wako wako tu hata hawajielewi, hata kusoma hawapendi, tena wanapenda kushot hao, siraha nje nje kwao

    • @vanessalaizer4363
      @vanessalaizer4363 3 ปีที่แล้ว

      @@monicahovda4524 acha uongo wewe, stop generalizing people! wewe ndio wale wale, na watu kama nyie ndio uwa mnabaguliwa ila mnajichekesha tu adi siku ndugu yako limtokee la kumtokea ndo utajua ahaa kumbe ndio iko ivi

    • @adamfundikira1620
      @adamfundikira1620 3 ปีที่แล้ว +1

      @@monicahovda4524 ni kweli kabisaaaa nilikua karifonia nilijionea hayo

    • @adamfundikira1620
      @adamfundikira1620 3 ปีที่แล้ว +1

      @@vanessalaizer4363 una uhakika sisi tumekaa us tumejionea hayo matukio ya wazungu kufanyiwa na weusi hayatangazwi Sanaa lakini mtu mweusi yanashadadiwa sana

    • @sophiamwakila3300
      @sophiamwakila3300 3 ปีที่แล้ว

      @@monicahovda4524 kazi yao kubwa ni kuvuta bangi na kuuza bangi

  • @SHommymusic1
    @SHommymusic1 3 ปีที่แล้ว +11

    Nipo USA 🇺🇸 na huyu mzee anaongea upuuzi . Police awauwagi wazungu wenzao huku ni watu weusi ndio wanaonewa huku .

    • @Mazoea
      @Mazoea 3 ปีที่แล้ว +1

      Upo state gani ndugu mie nipo Maryland

    • @SHommymusic1
      @SHommymusic1 3 ปีที่แล้ว

      @@Mazoea nipo Chicago, Illinois

    • @kachabisnea8815
      @kachabisnea8815 ปีที่แล้ว

      Ili kweli ni lipuuzi ile mbaya

    • @shanisshow1864
      @shanisshow1864 ปีที่แล้ว

      Marekani ipi wewe ubanguzi ni tabia yako tuu anaongea ukweli ndo hivyoo mpuuzi mwenyewe

    • @Chrispemkb
      @Chrispemkb ปีที่แล้ว

      Nipped Arkansas mzee uogo

  • @vincentmokenye4465
    @vincentmokenye4465 3 ปีที่แล้ว +4

    Kweli ata hapa bongo watu ni wabaguzi tu ni ile hajui

  • @mzeeomary5780
    @mzeeomary5780 3 ปีที่แล้ว +6

    Acha uongo check sura yake inafanana nauongo kwaiyo unataka kusema kuwa watu weupe na weusi wanakufa Sana ni weupe yani ww naona uka pimwe tu amaunafikilia watanzania nivichaa kusikiliza pumba zako cheki sura yake unalopoka kama umebanwa na mlango

    • @chengeson
      @chengeson ปีที่แล้ว

      Haaaa

    • @NR-ll4sr
      @NR-ll4sr ปีที่แล้ว

      Wewe unaishi America?

  • @minuleabdulkadir2838
    @minuleabdulkadir2838 3 ปีที่แล้ว +3

    Somo

  • @humblecute5668
    @humblecute5668 3 ปีที่แล้ว +9

    Tumejifunza kitu hapa

  • @NjalaleModesta
    @NjalaleModesta 3 ปีที่แล้ว +7

    Seriously jamaa anaelewaaa sanaaa juu ya issue ya ubaguzi in general mm naishi india na nimeoa mwindi na nina mtto ambae ni half caste swala la ubaguzi lipoo baina ya sisi kwa sisi so ubaguzi upo but ina depends na mazingira

  • @amourmtungo623
    @amourmtungo623 2 ปีที่แล้ว +1

    🤔Ubaguzi upo wa aina nyingi. Kila mtu ni mbaguzi kwa aina yake. Mimi mwenyewe ni mbaguzi. Ubaguzi wangu sipendi mtu yoyote aliepewa hifadhi kwenye nchi fulani anapata malazi, chakula na usalama wa maisha yake, halafu anakuwa aidha mvivu wa kushiriki kazi au mambo ya kijamii kwa maslahi na ustawi wake au pia mtu kuwa mwizi🤔. Hii tabia mimi ninaibagua kwa nguvu zote. Mimi nilitembelea Mikumi National park nikiwa Mtanzania nimetozwa dola za Kimarekani eti kwasababu mke wangu ni Mzungu, huu pia ni ubaguzi kwasababu nilitakiwa kulipa shilingi za Kitanzania na wahusika walikataa katakata. Na sio Mikumi tu hata mahotelini nilitozwa dola. Kwahio ubaguzi upo wa namna nyingi🤔.

  • @mariamwakabuta1034
    @mariamwakabuta1034 2 ปีที่แล้ว +3

    Wazungu wanaongoza sana kwa ubaguzi angalia viza ya mtu mweusi akitaka kwenda uraya jinsi anavyo teseka , yeye mzungu viza anailipia akisha fika africa na angalia jinsi diploma ya mtu mweusi hawezi kuajiliwa uraya eti kwasababu kaisomea africa, angalia mila zetu wameziharibu sana hakuna heshima ya mwafrika Nini hiki harafu huyu kaka anaongea kama mtu anaye jipendekeza kwa kutaka maisha ya mtelemko achana na uhuru wa mwafrika tumeonewa sana. huyu kaka hakupata shida ya kufika uraya anaonekana roho ya kizimbe bado anayo.

    • @corrolesscps
      @corrolesscps 5 หลายเดือนก่อน

      Usilalamike wanaogopa usije enda kuzamia kwao. Ili kuukimbia umasikini wako, Swali: pochi lako linaongea. Yaani mhamala unasoma huko Bank. Muhamara ukisoma Bank hapo sio ngumu kivile kupata Visa,

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 26 วันที่ผ่านมา

      Issue za visa hapo ss SI viziongozi wetu ndo shida wazungu wanahusiana nini

  • @kibeginiblue7188
    @kibeginiblue7188 3 ปีที่แล้ว +3

    Jamaa Understander Sana❤️

  • @yeshuasweapon4384
    @yeshuasweapon4384 3 ปีที่แล้ว +1

    Point iko hvii..waafrika hatupendi kubadilishwa mentality.. PERIOD

  • @vanessalaizer4363
    @vanessalaizer4363 3 ปีที่แล้ว +5

    Kabla sijafika mbali nishamuona mtazamo wake, huyu ni wale wanaotetea wazungu na itakuwa hajakaa muda mrefu uko aliko. Hawa ndio wanaojipendekezaga kwa wazungu na wasaliti kwa weusi wenzao. I know this type

    • @princegerard4704
      @princegerard4704 3 ปีที่แล้ว

      Mara ngapi sisi hapa Tanzania unanyimwa kazi kisa Kabila na anakuja mtu wa Kabila lao anapewa kazi je siyo ubaguzi?? Watanzania walimuita Diatta nyani yule mchezaji wa Senegal siyo ubaguzi.??? Hakuna anaetetea ubaguzi ila ukweli ni kwamba sisi ni wabaguzi tena kushinda wazungu ila kosa lao wao ni ngozi yao nyeupe, Tanzania ilimbagua diata hadi Diata akapewa nafasi ya utaliina serikali hilo tusemeje

    • @azizamohd5728
      @azizamohd5728 3 ปีที่แล้ว

      Amekaa mda mrefu

    • @vanessalaizer4363
      @vanessalaizer4363 3 ปีที่แล้ว

      @@azizamohd5728 hana lolote uyu mtumwa tu wa wazungu uyu na bado atatia akili

  • @salimaanna6898
    @salimaanna6898 3 ปีที่แล้ว +8

    Ni vigumu ku CONCLUDE kupitia maneno ya mtu mmoja wa kutoka Umarekani. Ni vizuri kuoji watu wengi kutoka kwenye majimbo (States) tofauti, na wafanya kazi tofauti.
    Kama huyo ni professional na anaowa mzungu, ni vigumu kujua ukweli kuhusu umarekani.
    I wish ndugu mtangazaji angetafuta watu wengine walio na maisha ya kawaida na wanao fanya kazi kwenye kampuni za nyama, na pia wasio ongea kiswahili vizuri. Utasikia mambo tofauti.

  • @mamunote3507
    @mamunote3507 3 ปีที่แล้ว +2

    Shukran Sana kwa fikra zako

  • @tradamus4158
    @tradamus4158 2 ปีที่แล้ว +1

    Point

  • @rukiamanjicha1157
    @rukiamanjicha1157 3 ปีที่แล้ว +6

    Mbona unatufokea

    • @JourneyBook
      @JourneyBook 3 ปีที่แล้ว

      Weka playback speed 0.75 utanishukuru baadae ✌🏿

    • @dionsangoa1428
      @dionsangoa1428 3 ปีที่แล้ว

      Huyu jamaa anaongea vizur ila namna anavyotufikishia ujumbe anatufokea 🤣

    • @dikodikson559
      @dikodikson559 3 ปีที่แล้ว

      Ndo anavyoongea

  • @rickyjonas767
    @rickyjonas767 3 ปีที่แล้ว +2

    Asante

  • @suleimanali5677
    @suleimanali5677 3 ปีที่แล้ว +3

    Point tupu

  • @mwanahawahawaa7485
    @mwanahawahawaa7485 3 ปีที่แล้ว +6

    Una bahati hayaja kupata mtu mweupe yoyote anaubanguzi utake usitake kubali

    • @neemayatosha1618
      @neemayatosha1618 3 ปีที่แล้ว +1

      Si wote,wapo weusi, wapo wahindi Marekani hii hii ni wabaguzi na wapo weupe wenye mioyo ya dhahabu.

    • @vanessalaizer4363
      @vanessalaizer4363 3 ปีที่แล้ว

      Na hiyo rangi ilivokolea ni chambo tosha cha kufatwa na wabaguzi. Usiombee ukakutana na mtu kama huyu uko nje anajifanya uzungu mwingi adi aibu, ila ngozi inakuwa inamsuta kwamba ”cool down meen you are black” not white. Na kama kaoa mzungu ndo kabisaaa ulimbukeni kama wote. Wanatiaga huruma kweli hawa wanaooaga wazungu. Utumwa kwa kwenda mbele

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 3 ปีที่แล้ว

      Sasa wewe ukibaguliwa unawela rohoni si ujinga huo kwani ubaguzi hupo tu pande zote

  • @hanschuma7734
    @hanschuma7734 3 ปีที่แล้ว +2

    Yap kwel brah apo nimekuelewa mzee

  • @josephsokhia
    @josephsokhia 3 ปีที่แล้ว +1

    huyo ndo muha wa kwanza kuishi marekani vijijini

  • @barrynzeyimana6270
    @barrynzeyimana6270 3 ปีที่แล้ว +17

    Kuna mambo ambayo amedanganya hapo. Hakuna mtu ambae anakatazwa kusema Christmas break. Kumbuka huyo ameoa mzungu kuna mambo ambayo hawezi kusema. Wamarekani hasa mke wake anaweza kumuwia kaa la moto. Watoto ambao ni Mix Hua ni wabaguzi na pia wazungu hawawaamini kijamii kama white bali blacks. Na hapo anapoishi sio lahisi kuishi ukiwa wewe ni mtu mweuzi na mke wako mweuzi. Naishi Marekani na wazungu hutumia madawa ya kulevya kuliko watu weusi. Lakini police wengi ni wako black neighborhood

    • @izack9191
      @izack9191 2 ปีที่แล้ว

      Vya kuambiwa hivo ebu fanya ufafanuzi

  • @fortunathabarabara8471
    @fortunathabarabara8471 ปีที่แล้ว

    relaxing interview I can't stop watching 😊

  • @kahindokanyana8735
    @kahindokanyana8735 3 ปีที่แล้ว +5

    Ndugu hawa weupe wanaubaguzi sana tunapitiya maumivu mengi Wa Afrika

  • @barrynzeyimana6270
    @barrynzeyimana6270 3 ปีที่แล้ว +7

    Hapo siri ni kwamba ameanza kwakusema kua ana declare his interest. Kwahio nusu ukweli na nusu uongo. Hajaishi black neighborhood na ameoa mzungu. Usitegemee yeye kutoa siri yeyote

  • @leninbien6867
    @leninbien6867 3 ปีที่แล้ว +1

    Mr EBM nakubar

  • @kisalaTV
    @kisalaTV 3 ปีที่แล้ว +3

    Ujakutwa na ubaguzi wewe kaa kwa kuturia😏

  • @babazungu3180
    @babazungu3180 3 ปีที่แล้ว +2

    Hawajasafirii hao wape elimu

  • @ramzy5280
    @ramzy5280 3 ปีที่แล้ว +5

    True story kbs me mwenyewe naishi USA

    • @Mazoea
      @Mazoea 3 ปีที่แล้ว +1

      Upo state gani ndugu mie nipo Maryland

  • @kasenatoursandtravels8865
    @kasenatoursandtravels8865 11 หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaa ako sahihi ,nayaona Holland 🇳🇱

  • @gracegrace6200
    @gracegrace6200 3 ปีที่แล้ว +2

    Wewe unapotosha watu. Ubaguzi Marekani umewafanya watu weusi wanabaka kwenye umasikini.

  • @hallin9561
    @hallin9561 3 ปีที่แล้ว +2

    Hawa ni watu muhimu sana, hawana choyo kwa wengine kutusua maisha

  • @KasminaCreation
    @KasminaCreation 3 ปีที่แล้ว +3

    Unaongea sana bro ila ukwl ni weusi wanabaguliwa sana kuliko wazungu.wafungwa wengi umarekani ni weusi

  • @samuelndosi9577
    @samuelndosi9577 3 ปีที่แล้ว +3

    Ubaguzi hauwezi kuisha mpaka Yesu arudi.

  • @fabiantanzania5795
    @fabiantanzania5795 3 ปีที่แล้ว +4

    jamaa umefundisha kitu hapa

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 3 ปีที่แล้ว +2

    Kiukweli uyu kaka kaelezea kwa uzuri zaidi 🙏😘

    • @juneithartony9543
      @juneithartony9543 2 ปีที่แล้ว

      Kaeleza kwa uzuri anakudanganyeni mliopo Tanzania sisi tuliopo nje hatumsapoti saba u ubaguzi umechukua nafasi sana kwa watu weusi

  • @bkzktx7078
    @bkzktx7078 3 ปีที่แล้ว

    Jamaa amenifundisha mengi na amenibadilisha mind set sana kwenye perception za racism. Thanks🙏🏼🙏🏼

    • @juneithartony9543
      @juneithartony9543 2 ปีที่แล้ว

      Perception mind ili amekubadilisha unaishi nje au upo Tanzania sasa ukija kuishi huku nje ndio utajua hujui kama amekubadilisha perception yako

  • @mpendakiswahili3053
    @mpendakiswahili3053 3 ปีที่แล้ว +3

    Watanzania twawapenda sababu ya kukienzi lugha la kiswahili kote mwendako ...

  • @smarty1064
    @smarty1064 3 ปีที่แล้ว +1

    Unajieleza vizuri, me sijafika huko marekani na najua ubaguzi huwa una namna nyingi sana, hata minority kuwabagua majority hutokea pia, ila bado sijaelewa "mazingira ya kawaida haiwezi kutokea" hayo "mazingira ya kawaida" huwa yakoje au ni yapi?

  • @dula8819
    @dula8819 3 ปีที่แล้ว +3

    Waafrica wenyewe tunabaguana nakuzarauliana kisa rangi mpka wengine washaanza kujichubua kwa kuchekwa

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 3 ปีที่แล้ว

      Sana tunaona huko katika serikal ubaguzi hupo mkubwa sana

  • @vanessarobyn4584
    @vanessarobyn4584 3 ปีที่แล้ว +4

    Yaani umesema ukweli watu wa nje hawana furaha kabisaa yaani kama huku UAE hakuna ata ujilani jamani kuna nchi hadi zinatia huruma.

    • @lucyjeremia1381
      @lucyjeremia1381 3 ปีที่แล้ว

      Duuh pole jmn

    • @vanessarobyn4584
      @vanessarobyn4584 3 ปีที่แล้ว

      @@lucyjeremia1381 ahsante dear

    • @azizamohd5728
      @azizamohd5728 3 ปีที่แล้ว

      Nami wameshaniambukiza sina time na kujuana na mtu ni hatariii mtu tunaishi floor moja ila hatujuani wala salamu hakuna na si kwa ubaya

    • @loveelooh1964
      @loveelooh1964 3 ปีที่แล้ว +4

      Wewe unataka ujiran wa nini, Mimi hata nikiwa Tanzanian Staki shobo

    • @azizamohd5728
      @azizamohd5728 3 ปีที่แล้ว +2

      @@loveelooh1964 yaani ni raha na unajikuta una amani

  • @vanessalaizer4363
    @vanessalaizer4363 3 ปีที่แล้ว +1

    Kuna weusi uku nje akiwa kaoa au kaolewa na mzungu yanakuwa kama mazuzu. Kwanza anajiona nae ni mzungu, pili anadharau waafrika wenzie, tatu anatetea mzungu hata afanye ujinga gani. Ndo huyu bwana hapa juu. Ila umo ndani moto anaowashiwa na mzungu anaujua mwenyewe. Kuutwa wako nje kutafuta wadada wa kiafrika wawapoze! Tunawajua vizuri mnooo. Mnatiaga huruma sana

    • @dicksonexavery726
      @dicksonexavery726 3 ปีที่แล้ว +1

      Eti Vanessa unamaanisha hawaridhiki na hao wake zao kingono kwahyo inamlazimu apate mwanamke mweusi ili ijikidhi au??

    • @vanessalaizer4363
      @vanessalaizer4363 3 ปีที่แล้ว

      @@dicksonexavery726 exactly ndio maana yake. Wanatusumbua sana wanawake wa kiafrika hawa waliooa wazungu.

    • @vanessalaizer4363
      @vanessalaizer4363 3 ปีที่แล้ว

      @@dicksonexavery726 afu si unaona huwa wanaoa wale wazungu ambao wazungu wenzao hawawataki kabisaa, wao ndo wanawaokota afu wanajiona wajaanja then wanaishia kumiss wadada wa kiafrika

    • @mpendakiswahili3053
      @mpendakiswahili3053 3 ปีที่แล้ว +1

      @@vanessalaizer4363 hahaha aki wewe! Ila umenena, mara mingi waafrica huwa tunapata mabakisho.....

  • @shakila3982
    @shakila3982 3 ปีที่แล้ว +5

    Usitudanganye sisi sio watoto, wazungu wangelikuwa sio wabanguzi wa rangi wasinge wakoloni watu weusi, wazungu ni wabanguzi wa rangi tena wa wazi, kwanini wao usema watu weusi ni nyani kama sio wabanguzi?

    • @mariamdimosso621
      @mariamdimosso621 3 ปีที่แล้ว

      Unasahau Hao weusi Pia ndio chanzo cha ukoloni mgeni awezi kuja bila mwenyeji machifu walikuwa weupe mbona ndio waliongoza kuuza watumwa kwenye koo zingine

    • @awadhally1052
      @awadhally1052 3 ปีที่แล้ว

      Kwel kabisa

    • @shakila3982
      @shakila3982 3 ปีที่แล้ว +1

      @@mariamdimosso621 kama ulifwatilia wakati George alikufa, kwa maandamano watu walijitokeza na kusema free fre black, maana yake ubanguzi wa rangi ni mwingi uko kwao, ni wabanguzi wa rangi, Africa ubanguzi wetu ni apa kwetu Africa, wazungu wanaingia kama choo hatuwabangui, lakini kwao wanatubangua mpaka kutuuwa, Argentina wanauwa weusi,

    • @celifpower4993
      @celifpower4993 3 ปีที่แล้ว

      @@shakila3982 kama wana wabagua hadi mnakufa kwahio wewe ulie cmt mi ni mzimu ulie uwawa na wazungu.?

    • @vanessalaizer4363
      @vanessalaizer4363 3 ปีที่แล้ว

      @@celifpower4993 we kwani umekaa miaka mingapi ulaya or uko uliko? Tuanzie hapo

  • @SHommymusic1
    @SHommymusic1 3 ปีที่แล้ว +2

    Sio kweli kwamba mzungu akiuliwa Media zinakaa kimia sio kweli huyu jamaa kaolewa hafai.

  • @mamunote3507
    @mamunote3507 3 ปีที่แล้ว +1

    MUNGU AWABARIKIE SANA KTK FAMILIA YENU WOTE SNS AMEEN
    BABY SKY UKO WAPI SIKU NYINGI SIJAMUONA MM NI DADAAKO MPENZI KUTOKA OMANI

  • @stellah3844
    @stellah3844 3 ปีที่แล้ว +5

    Wanzungu asilimia kubwa wabaguz sana na asilimia ndogo syo wabaguz, Asia nao hivyohivyo, ila Africa Asilimia kubwa siyo wabaguz ila asilimia ndogo ndo wabaguz tena baadhi ya makabila. Ila roho mbaya tunayo sanaaaaa mtu akifanikiwa hatak mwenzake afanikiwe tena hata kumpa ushaur tu fanya hiv na fanya hiv utafanikiwa Hakuna sanasana anataka akutumikishe tu,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
    Hakuna boss anapenda mfanyakaz afanikiwe never😂

  • @abbymwangomile392
    @abbymwangomile392 ปีที่แล้ว

    Jamaa liongo sana npo apa new York ubaguzi ni mwingi sana

  • @godfreymtove4896
    @godfreymtove4896 2 ปีที่แล้ว

    Thanks for your education

  • @allexlunny7795
    @allexlunny7795 3 ปีที่แล้ว +8

    Ubaguzi wa ajabu upo Russia haja miji midogo unaweza juta kwenda kusoma uko yani ata black akiuliwa police hawajigusi wala vyombo vya habari havitangazi

  • @mussamalugu1793
    @mussamalugu1793 3 ปีที่แล้ว +16

    Wabaguzi namba moja duniani ni wapemba namba2 wachaga alafu ndio wanafata wazungu

  • @josephjamesnzowa3989
    @josephjamesnzowa3989 ปีที่แล้ว +1

    Huyu jamaa anatoa facts ...muda mrefu hii kitu nilikuwa nafuatilia na finaly the guy speaks

  • @albertpike5893
    @albertpike5893 11 หลายเดือนก่อน

    Huyu Mzee ANAONGEA points za nguvu sometimes waafrika wanajiwekea ubaguzi wenyewe imagine mzungu akija Africa anaoigwa na beinza bidhaa lakini mwafrika akienda Marekani alipigwa bei anasema anabaguliwa

  • @shabanigoodjopdjuma2927
    @shabanigoodjopdjuma2927 3 ปีที่แล้ว +1

    thanks bro 🇺🇸nimejifunzakitunying hatakitabu chamtoto kamazawadi❤

  • @barrynzeyimana6270
    @barrynzeyimana6270 3 ปีที่แล้ว +4

    Sidhani kwamba kuna Mzungu ambae hajui mtu mweusi. Amedanganya naishi Marekani. Na ubaguzi upo Marekani kwenye kila jambo. Na watu weusi wameandaliwa kua maadui wao kwa wao na hayo anayosema ndo matokeo. Ameogopa kutokuruhusiwa kurudi hapa kwakua anajua wanamfuatilia.

    • @fetyathome3
      @fetyathome3 3 ปีที่แล้ว

      Asante, ndio hii wagawanye watawale.

    • @celifpower4993
      @celifpower4993 3 ปีที่แล้ว

      @Brarry we unaishi marekani ambayo wengine hawaishi ulisha baguliwa na nani?

    • @vanessalaizer4363
      @vanessalaizer4363 3 ปีที่แล้ว

      @@celifpower4993 wanaosema hawajawai kubaguliwa ni waongo sanaa. Tena bora wanawake, wanaume wa kiafrika hawapendwi kabisa na wazungu habari ndio hiyo. Niko nje miaka 30 now nalijua hilo vizuri mnoooooo

    • @erardmporoto2660
      @erardmporoto2660 3 ปีที่แล้ว

      Kashakuwa pandikizi WA USA Tanzania 🤣🤣🤣🤣🤣

    • @barrynzeyimana6270
      @barrynzeyimana6270 3 ปีที่แล้ว

      @@celifpower4993 mimi nimesha nusulika kupigwa lisasi mala 2. Na ukiwa Marekani nilazima ubaguliwa ukiwa mtu mweusi

  • @rajabungatanda630
    @rajabungatanda630 3 ปีที่แล้ว +5

    Wewe acha kua mtumwa kwakua umeokotwa na mzungu
    Pumbavu wee
    Yani unataka kuaminisha eti wanzungu marekani wanaonewa wakati juzi tu wametoa dogo aliyeuwawa kwa makusudi na wamarekani
    Nenda mbele mtumwa wewe

  • @haqilillahtaalaabudhar4697
    @haqilillahtaalaabudhar4697 ปีที่แล้ว

    Huyo muongo mm mwenyewe nimezurura huko anaposema ubaguzi ni mkubwa sana

  • @bumabuma2426
    @bumabuma2426 3 ปีที่แล้ว +4

    Watu weupe wote wabaguzi usiseme llte

  • @sinaubavu2810
    @sinaubavu2810 ปีที่แล้ว

    Safi sana brother

  • @Omosula
    @Omosula 3 ปีที่แล้ว +4

    Tanzania kuna ubaguzi pia hawapedi inchi zingine za Africa

    • @mpendakiswahili3053
      @mpendakiswahili3053 3 ปีที่แล้ว

      Hapa ni kweli...hata mna bagua wakenya, na ndo ndugu zenu wa kwanza...

    • @citylinkproject9901
      @citylinkproject9901 3 ปีที่แล้ว

      Tatizo kenya ...wajifanya "much know" hapo ndio tunaachana...kila mmoja ashike lake

    • @mpendakiswahili3053
      @mpendakiswahili3053 3 ปีที่แล้ว

      @@citylinkproject9901 much know kivipi?? Mbona siku elewi kaka......hata hivyo, ushawahi katika maisha yako skia mtanzania kafanyiwa ubaguzi Kenya....?

  • @seremaboubakar8981
    @seremaboubakar8981 3 ปีที่แล้ว +1

    Kiukweli tumefayidika Sana kabixa Yani tunahitaji watu kama hay ili tufayideke Sana 💚♥️🇸🇦

    • @hamzacedricole3673
      @hamzacedricole3673 3 ปีที่แล้ว

      Usiskilize ujinga wa mtu mweupe Mim nipo USA pako ubaguzi wa black and white ni mkubwa sana na utaletaga mtafaruko mkubwa siku moja tu maana kila kukicha hapakosi majanga ya black and white uyo anatetea ngambo ya mke wake

    • @vanessarobyn4584
      @vanessarobyn4584 3 ปีที่แล้ว

      @@hamzacedricole3673 sasa si urudi unalalamika na bado uko huko yaani sisi wa Tz 😂😂😂

    • @seremaboubakar8981
      @seremaboubakar8981 3 ปีที่แล้ว

      Shukurani

    • @celifpower4993
      @celifpower4993 3 ปีที่แล้ว +1

      @@hamzacedricole3673 wee acha kupotosha watu alie kufunga kamba usirudi kwenu mahali hakuna ubaguzi ni nani? Ivi Africa hakuna watu wanauwawa wengine wanafungwa bila sababu?

  • @barakayohanasanga3005
    @barakayohanasanga3005 3 ปีที่แล้ว

    Nimekuelewa sana bro,

  • @petronilamtei7470
    @petronilamtei7470 3 ปีที่แล้ว +2

    Ameongea point kubwa mno

    • @hamzacedricole3673
      @hamzacedricole3673 3 ปีที่แล้ว +2

      Point kwa watu wapo africa sio sisi watu weusi tunao ichi hapa USA 🇺🇸 tunajua jinsi ubagizi ilivyo uyo anatetea upande wa mke wake mjinga sana

  • @jumakalukule5312
    @jumakalukule5312 3 ปีที่แล้ว +2

    Hahaha aisee ukosahihi

  • @bombthemanthethrid
    @bombthemanthethrid 3 ปีที่แล้ว +7

    Huyu jamaa ni muongo anatetea usingizi wake. Hizo takwimu zake ni za uongo tunaishi USA 🇺🇸 kama yeye pia. Asiseme uongo

    • @leninbien6867
      @leninbien6867 3 ปีที่แล้ว

      we pia uko USA

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 3 ปีที่แล้ว

      Anachoongopa ni kitu gani basi na wewe tafuta huo usingiz acha jealous za kijinga

    • @yeshuasweapon4384
      @yeshuasweapon4384 3 ปีที่แล้ว

      Kaka state na state ni tofauti

    • @mmasipeter4157
      @mmasipeter4157 ปีที่แล้ว

      Sasa c ungeongeya ww sasa au umeongeya ili tujue kuwa uko marekani.

  • @sarllemmtunze405
    @sarllemmtunze405 3 ปีที่แล้ว +4

    Huyu jamaa Mpumbavu anatoka Marekani ya wapi? Watu weusi ni asilimia 11 Kati ya wamarekani million mia tatu. Ukieka ulinganisho yaani average ukiua Marekani mmoja mweusi ni karibu na kuua hata watu arubaini weupe. Halafu huyu jamaa ni.pumba kweli watu weusi wameteswa Sana hapa na wanaendelea kuteswa kutokana na mfumo baguzi iliojengeka tangu enzi za ukoloni ambapo mtu mweusi alihesabika kama mnyama.

    • @fatumachagudadui3138
      @fatumachagudadui3138 3 ปีที่แล้ว

      Hajasoma history wala hajui chochote

    • @mmasipeter4157
      @mmasipeter4157 ปีที่แล้ว

      @@fatumachagudadui3138 wewe unajuwa history kuja siku moja uhojiwe.

  • @ssalimsalim3864
    @ssalimsalim3864 ปีที่แล้ว

    Suala la ubaguzi marekani sio mweupe tu kum'bagua mweusi hata weusi kwa weusi wanabaguana,mmarekani mweusi wengi hua hawawapendi waafrika na hio ni obviously.

  • @gibbs1320
    @gibbs1320 3 ปีที่แล้ว +3

    Uyu Jamaa anafaa kuwa Mchungaji 😂😂😂

    • @vanessalaizer4363
      @vanessalaizer4363 3 ปีที่แล้ว +1

      Mmh atachukua nafasi ya Yuda iskariote

    • @yeshuasweapon4384
      @yeshuasweapon4384 3 ปีที่แล้ว

      @@vanessalaizer4363 mbona unamchukia

    • @mhogomchungu7882
      @mhogomchungu7882 2 ปีที่แล้ว

      @@vanessalaizer4363 tunaomba ushare historia yako dada ,naona unauchungu sana na huyu bwana ...maana kila sehemu unacritisize ...tusaidie tujue ukweli

  • @abdullahsaidi8009
    @abdullahsaidi8009 3 ปีที่แล้ว +1

    Mimi sikuelewi kabisa unaongea kama kutoka Zaire,

  • @hemedibrahim2162
    @hemedibrahim2162 3 ปีที่แล้ว +3

    ubaguzi pa'ande zote mbili upo

  • @hajatihajati5357
    @hajatihajati5357 2 ปีที่แล้ว

    Unaogopa ilo swali la watoto haujibu mixed yao niko Malekana mixed wote ni mweusi hata ndani ya record ni mweusi baba awe muzungu mama mweusi mutoto ni mweusi

  • @ronniebertin3563
    @ronniebertin3563 ปีที่แล้ว

    Madudu gani hiyo nimeipenda

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 2 ปีที่แล้ว

    Jioendekeze to. Mtu mweusi hana ubaguzi wa rangi ila hapendi kupumbazwa Tu. Wewe unaongea pumba kisa unawaogopa mkeo na jamaa zake .na wanakutumilia Tu na ukizeeka ndio utajuwa wazuri au wabaya

  • @happynescostat7420
    @happynescostat7420 3 ปีที่แล้ว

    Wahoo ongera Sana,ukijibagua watakubagua,

  • @masoudmasasi1801
    @masoudmasasi1801 11 หลายเดือนก่อน

    nimemwelewa kaka mkubwa ameongea pointi sana

  • @mbelechimakobola8835
    @mbelechimakobola8835 3 ปีที่แล้ว +2

    Tupo bowling green Kentucky USA hapa, anachokiongea mtu huyo ni kweli, hatuoni ubaguzi bali kuna undugu tu na ambao bado upo hata kwa waafrika

    • @SHommymusic1
      @SHommymusic1 3 ปีที่แล้ว

      Anaongea upuuzi wewe utakua ni mgeni USA 🇺🇸

    • @WeirdPuppy
      @WeirdPuppy 3 ปีที่แล้ว

      How to get there

  • @rithersospeterkati2303
    @rithersospeterkati2303 3 ปีที่แล้ว +1

    Ni kweli kabisa, Watanzania tunabaguana wenyewe kwa wenyewe na mimi yalinikuta airport, na kwenye bar.

  • @IsaacParuz
    @IsaacParuz 3 ปีที่แล้ว +1

    Mbona kama mmefanana kwa mbali

    • @OmariTube
      @OmariTube 3 ปีที่แล้ว

      Yeah, hawa wawili ni very intelligent

  • @obillaezra6205
    @obillaezra6205 3 ปีที่แล้ว +2

    Nipo Alaska ni jimbo la Marekani ambalo lipo karibu na Russia na Canada Weusi ni daraja la pili, mambo mengine siyo ubaguzi, kutokana na udaraja wetu, ubaguzi hautatoweka Duniani”

    • @mmasipeter4157
      @mmasipeter4157 ปีที่แล้ว

      Poleeee sanaaaaaaa kk ni moja ya changamoto lkn

  • @NR-ll4sr
    @NR-ll4sr ปีที่แล้ว

    Baba usifananishe maisha ya nchi zilizoendelea na zilizoendelea....halafu nahisi unaishi sehemu mbaya,,,unasema mananasi na maembe mabaya,, mhhh

  • @collingrant6693
    @collingrant6693 3 ปีที่แล้ว +3

    Tafadhali siku moja mwende live na yeye on the same issue wangine waweze kujibu kwa hizo comments zake. A Anawaponda weusi kabisa

    • @saidinyoni2463
      @saidinyoni2463 3 ปีที่แล้ว

      Tatizo nimshamba Hilo ndilo linalo msumbua

  • @mayirarino537
    @mayirarino537 3 ปีที่แล้ว +1

    Nitumie liki Yake

  • @TheLovejoyz
    @TheLovejoyz 2 ปีที่แล้ว

    Fantastic Guy

  • @masoudmasoud8138
    @masoudmasoud8138 ปีที่แล้ว

    Hivi bana haipendezi bora uelezee wee mwenyewe