Prof Mazinge, Diamond plutnumz Kajenga msikiti Kigoma na mtwara Mzee Yusuf, Afande sele wa tubu.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 38

  • @hamisimkima117
    @hamisimkima117 2 ปีที่แล้ว +5

    Ndio msemakweli Aliebaki na ndie mrithi wa kweli wa Mitume Aliebaki Yaaa Allah 👈 Mpe Mwisho mwema Ndugu yetu Sheikh wetu mzee wetu Maalim wetu Kiongozi wetu Sheikh Mazinge 🤲🏿

  • @saidmansoor8528
    @saidmansoor8528 7 หลายเดือนก่อน

    Ustaadh Ngaliba, ustaadh kawemba, ustaadh othman matata, wote wametangulia mbele za khaki Mwenyezi Mungu awajaalie kauri thabit,awaondoshee adhabu za kabri na awaepesie mizani yao siku ya hesabu amiin

  • @shufaamujarabu2705
    @shufaamujarabu2705 2 ปีที่แล้ว +2

    Allah akuongoze akubariki zaidi inshaallah Taala

  • @kijanamwepesi6997
    @kijanamwepesi6997 2 ปีที่แล้ว +1

    ALLAH awape wepesi inshallah

  • @medwho959
    @medwho959 ปีที่แล้ว +1

    Allah barik

  • @SaidiUlaya
    @SaidiUlaya 7 หลายเดือนก่อน

    inshallah ❤

  • @KennedyNgusa
    @KennedyNgusa 6 หลายเดือนก่อน

    Kujisifu mungu apendi majigambo amna kitu hapo

    • @professorimmah
      @professorimmah 29 วันที่ผ่านมา

      Kafiri mkubwa wewe ukweli unauma

  • @KennedyNgusa
    @KennedyNgusa 6 หลายเดือนก่อน

    Kujisifu mungu apendi majigambo

  • @nicolashardy4785
    @nicolashardy4785 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki kwa shida

    • @medwho959
      @medwho959 ปีที่แล้ว

      Kama yesu fake

  • @ayubutwalbu6594
    @ayubutwalbu6594 หลายเดือนก่อน

    Mimi nakuuliza Dr kabunda mbona hatumuoni

  • @khalidhaji8570
    @khalidhaji8570 2 ปีที่แล้ว

    SUBHNAWAH.

  • @maximillianmayani5119
    @maximillianmayani5119 ปีที่แล้ว

    Wewe umejenga wapi sheikh unataka kuombewa dua dua nzuri omba wewe mwenyewe

  • @salehal-oufy5380
    @salehal-oufy5380 2 ปีที่แล้ว

    Wapo tele ambao wakirudi matendo yao huwa mabaya kwasababu inategemea na lengo ulilokwenda nalo Makkah kuhiji pengine umeenda ili watu wakuone pengine umeenda ili uitwe Alhajji na haya yote huna kitu hujenda kwa ajili ya Mwenyezi Mungu lakn ukienda kwa ajili ya Mwenyezi Mungu utafanya mambo mema

  • @salehal-oufy5380
    @salehal-oufy5380 2 ปีที่แล้ว

    Tena waislam wawe makini mtu akiwa hana lengo la kwenda MAKKAH kuhujji kwa IBADA bora asende

  • @ignasmalema8354
    @ignasmalema8354 ปีที่แล้ว +1

    Ipo siku utalia na kusaga meno kama usipo rudi kW yesu bado u hai

    • @ANAFIMATUMLA
      @ANAFIMATUMLA 8 หลายเดือนก่อน

      Wew hakili hauna,yaan yesu aishi uarabun au Israel alafu dini Yako ya ukiristo ianzie magaharib kwa wazungu,yaan ata akili ya kawaida hauna,ndio maana dini yenu ya mashetan na ibiris ndio maana mpaka ndoa za ushoga papa anafungisha

  • @mwemeziernest5195
    @mwemeziernest5195 2 ปีที่แล้ว

    Yote uliyofanya yatatakuwa ni kazi buree

    • @ANAFIMATUMLA
      @ANAFIMATUMLA 8 หลายเดือนก่อน

      Wew mpotevu na makaz Yako moton

  • @barackamosi4116
    @barackamosi4116 10 หลายเดือนก่อน

    Mazinge hana akili unacho takiwa kujuwa alla ni shetani siyo MUNGU

    • @StreitKombo
      @StreitKombo 7 หลายเดือนก่อน

      Wewe akili yko yafanya kazi

    • @professorimmah
      @professorimmah 29 วันที่ผ่านมา

      Ukifa utajuta

  • @georgeurembo4553
    @georgeurembo4553 ปีที่แล้ว

    Bado ww sasa

  • @KasomoHamadi-bb5hh
    @KasomoHamadi-bb5hh ปีที่แล้ว

    P

  • @johnsulle4679
    @johnsulle4679 ปีที่แล้ว

    Uyu mzinga kweli akili ndogo ndomana alifungwa jela kwasab akili hana Mungu naye anahitaji watu wenye nguvu wamtumikie we mwenyew unapiga kelele hapo ili upate kula tu hakuna kingine we ni kama mlevi hauna maono ndomana unabwabwaja tu mambo ya imani cyo ya kuongelea tu kama izo kampeni zako za kutafuta mkate wa leo

    • @abubakarbwika8397
      @abubakarbwika8397 ปีที่แล้ว

      Yasio kuhusu wachana nayo !! Stop hatred bloody clown!! Wachana na Mazinge !! Ukoo wenu mzima hamumuwezi !! It shows how illiterate you and your entire family are !! If you have nothing to post in social media please post to your ancestors !! Bloody fool !! Bedbug!!

    • @kirishmarash3591
      @kirishmarash3591 ปีที่แล้ว +1

      We mwenye ndio nmjnga😊

    • @kirishmarash3591
      @kirishmarash3591 ปีที่แล้ว

      Wmalimu wetu Allah amhifathi

    • @OMARYKAHUNGO-mn4mf
      @OMARYKAHUNGO-mn4mf 8 หลายเดือนก่อน +1

      Amekugusa ndio maana 😂😂