RC CHALAMILA KWENYE HARUSI YA BARNABA-" TUNASIKIA NDOA NYINGI ZA WASANII ZINA FUNJIKA,WATU HOI"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ต.ค. 2024
  • www.youtube.co...
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

ความคิดเห็น • 81

  • @deusdedithsalvatory465
    @deusdedithsalvatory465 ปีที่แล้ว +5

    Barnaba congratulations for the big step you have achieved. Ndoa yenu ikawe ya kheri. Pia mkumbuke Mwenyezi Mungu siku zote za uhai wako. Amen

  • @ashuramhandoashuramhando6798
    @ashuramhandoashuramhando6798 ปีที่แล้ว +1

    ALLAH adumishe Ndoa yenu InshaAllah 💚💛💚💛🙏🙏

  • @ZuhuraKinura
    @ZuhuraKinura ปีที่แล้ว

    Ongera Sana banaba mungu hawajaarie ndowa njema ❤❤❤❤❤❤

  • @rahmasuleiman9334
    @rahmasuleiman9334 ปีที่แล้ว +1

    BarkhaAllah iwe ndoa ya furaha vicheko na faraja Allah awatangulie katika safari yenu hii Mabrouk❤❤❤❤❤❤

  • @salmasaid1521
    @salmasaid1521 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah❤❤❤ikawe ya kheri kwenu

  • @annamussa185
    @annamussa185 ปีที่แล้ว +8

    Mkimtanguliza mungu sawa ila mkimtanguliza huyo mama mkwe wenu mtajuta

  • @restitutanjau2585
    @restitutanjau2585 ปีที่แล้ว +2

    Hongereni sana mkaishi kwa amani,mkamche Mwenyezi Munghu

  • @hilaliusjohn8386
    @hilaliusjohn8386 ปีที่แล้ว

    Diamond amekalia umalaya tu. Hongera Sana Barnabas

  • @neykidoti102
    @neykidoti102 ปีที่แล้ว

    Ndoa ikawe njema Barnabas na Raya ❤️❤️❤️🎉🎉🎉

  • @rajabdibwa6415
    @rajabdibwa6415 ปีที่แล้ว +1

    Suti imekukaa barnaba congrats!👏 Ndoa njema Alf mabrook🙏

  • @kelvinkasanga1235
    @kelvinkasanga1235 ปีที่แล้ว +1

    Sijapenda

  • @suzanamwangingo2995
    @suzanamwangingo2995 ปีที่แล้ว

    Mungu awatangulie kwenye ndoa yenu

  • @basilisamsaka8469
    @basilisamsaka8469 ปีที่แล้ว +1

    Jmn nguo ya bb harusi mbona unaonyeaha maungo yk hv?

  • @angelaminde1247
    @angelaminde1247 ปีที่แล้ว

    Hongera kaka❤❤❤❤

  • @سعيدالشكري-ت8م
    @سعيدالشكري-ت8م ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah ❤❤❤❤

  • @mwajumaramadhani4167
    @mwajumaramadhani4167 ปีที่แล้ว +1

    Adi viongiz wa serikali mashall hakika imefana shuhur

  • @صالحالصوافي-غ5و
    @صالحالصوافي-غ5و ปีที่แล้ว +1

    Harusi pambe hongera raya na barnaba

  • @kabwelasutiviraka4765
    @kabwelasutiviraka4765 ปีที่แล้ว +5

    Jomba mbona ameoa mwanamke mbaya na dini amebadili kweli ni mwanaume kilaza 😅😅😅 Yani Tanzania ni viroja mwanaume kama kichwa cha familia unakubali mwanamke akushike masikio na kukubadilisha dini daah upuuzi huu siwezi kufanya maishani mwangu , sasa mkija kubwagana sijui unarudi kwenye dini yako au unabakia na hiyo dini kama kumbukumbu 😅😅😅 kweli jomba amefeli big time

    • @msaysha5886
      @msaysha5886 ปีที่แล้ว

      Uislamu dini ya haki karibu na ww

    • @kabwelasutiviraka4765
      @kabwelasutiviraka4765 ปีที่แล้ว

      @@msaysha5886 huwezi kufanya upumbavu huo mimi najitambua kama mwanaume. kila mtu kwa imani yake anaona dini yake ni ya haki na ndio iliyo bora Kwa hiyo hamna kipya hapo, naongelea upuuzi wa kubadilisha dini kwa ajili ya mwanamke ambaye ni yuko chini ya mwanaume kama mume na kichwa cha familia ni mwanaume mpuuzi tu atabadili dini yake !

    • @jameschumbula7351
      @jameschumbula7351 ปีที่แล้ว

      🤣🤣😘 Ameeen🙏🙏

    • @msaysha5886
      @msaysha5886 ปีที่แล้ว

      @@kabwelasutiviraka4765 basi mwezio kaoja kwenye dini ya haki ww kilanga cha nini acha makasiliko basi pambana na jua lako

    • @kwisa4899
      @kwisa4899 ปีที่แล้ว

      kapitia magumu sana na huyu Dada alisimama na yeye bega kwa bega hata kipindi ni homeless walikaa pamoja.

  • @minahzaveri2817
    @minahzaveri2817 ปีที่แล้ว +2

    Na imeishaa😂 anatak nyinginee😂

  • @aminamasoud6127
    @aminamasoud6127 ปีที่แล้ว

    Kwani mumependezan Sana mashallha 😘 🥰

    • @sanifusimwanza2909
      @sanifusimwanza2909 ปีที่แล้ว

      Mwanamke mbona mbabe hivi haoneshi hata mambo yetu ya kuvutia mwanamke kudeka iseee.
      Katika yote hongera brother Barnaba hiyo ndio sahihi na Mungu awabariki na kuwaongoza katika Ndoa yenu

  • @baranmohamedmbashir5299
    @baranmohamedmbashir5299 ปีที่แล้ว

    Hogera sana sana

  • @julianapatrick7911
    @julianapatrick7911 ปีที่แล้ว

    Wow

  • @singidaone5628
    @singidaone5628 ปีที่แล้ว

    Shikamoo mama kimbo

  • @fatumajumanne5961
    @fatumajumanne5961 ปีที่แล้ว

    Ikawe kher kwao ❤❤❤

  • @issakinono9124
    @issakinono9124 ปีที่แล้ว +3

    Barnaba alikuwa anakunywa juice haraka mpaka akajistukia😂😅😅😅

  • @mdalamgir-gu9hu
    @mdalamgir-gu9hu ปีที่แล้ว +1

    Barnaba amejshtukizia tost imeisha..hahaaaa

  • @mayombotz
    @mayombotz ปีที่แล้ว +2

    Kwamba Rais kamkumbusha jamaa daah aisee bongonoma🤣🤣🤣

  • @clouartmichael7296
    @clouartmichael7296 ปีที่แล้ว +1

    Tuwaombee Toba ,wanaume waopromote ushoga Kwa kusuka nywele Kwa kufany kazi ya Ibilisi Kwa kuwa wameuza nafsi zao Kwa tamaa ya umaarufu na pesa..

  • @fatumajumanne5961
    @fatumajumanne5961 ปีที่แล้ว

    ❤❤❤❤🎉

  • @judyngowi391
    @judyngowi391 ปีที่แล้ว +1

    Jiji limepata mwenyewe

  • @swalehesaad1143
    @swalehesaad1143 ปีที่แล้ว

    Daaah diamond alitakiwa awepo hapa basi tu

  • @msowamhokole7714
    @msowamhokole7714 ปีที่แล้ว +3

    Stiv nyerere kwa kupenya penya

  • @itsurgirlZuuh
    @itsurgirlZuuh ปีที่แล้ว +2

    Hapa ni wapi😂😂😂😂 mwalim wa maths

  • @kelvinkasanga1235
    @kelvinkasanga1235 ปีที่แล้ว

    Kwan hapo mwanaume ni yupi mbona wote wamesuka nywele vijana sijui tunakwenda wapi hata dini zetu hatuziogopi😤😤😤😤

  • @OmanOman-ns3iw
    @OmanOman-ns3iw ปีที่แล้ว

    Daah sijui namimi nitampata Nani wakuja kunitimizia hii. Ndoto

  • @cassykakobe5485
    @cassykakobe5485 ปีที่แล้ว +2

    Kwani alikua hajafunga ndoaa

    • @deboramartin8111
      @deboramartin8111 ปีที่แล้ว +1

      Muh nawe wawap kwani yaani haupo dunian loooh

  • @stanastana3199
    @stanastana3199 ปีที่แล้ว +1

    Mtavunja glass mbona kuzigongagonga

  • @mirroyjunior8348
    @mirroyjunior8348 ปีที่แล้ว

    📸📸📸📸📸📸📸📸

  • @gladistaemanueliy6336
    @gladistaemanueliy6336 ปีที่แล้ว +1

    Wolper jamani yupo?

  • @cessymadollaz
    @cessymadollaz ปีที่แล้ว

    MIT MARATARI

  • @dicksonulotu7427
    @dicksonulotu7427 ปีที่แล้ว

    Kwahiyo umeitwa jina gani dogo,ila wewe upo ka demu,mwanamke ndo anabadilishaga dini,haijalishi wewe ni Mwislamu au Mkristo,Dogo umefel

  • @kastorkidumu6579
    @kastorkidumu6579 ปีที่แล้ว

    Tugauni twenu

  • @magejuliani5293
    @magejuliani5293 ปีที่แล้ว

    Bora huyu maana yule kijana anaetaka kuoa kikongwe ajuza wa miaka zaidi ya 80 katukera

    • @julianapatrick7911
      @julianapatrick7911 ปีที่แล้ว

      😆😆😆

    • @julianapatrick7911
      @julianapatrick7911 ปีที่แล้ว

      Yupi

    • @magejuliani5293
      @magejuliani5293 ปีที่แล้ว

      Yule anaetaka kuoa yule Mzee mwenyewe anasema 60 lakini anaonekana zaidi ya 80! Bora ya harusi Barnaba imedamshi@julianapatric

  • @gradnessshitindi3694
    @gradnessshitindi3694 ปีที่แล้ว

    Nawapenda nyie viumbe, Hakuna kutengana ktk jina la Yesu kristo aliye hai

  • @cessymadollaz
    @cessymadollaz ปีที่แล้ว

    NoMa SaNa

  • @tojotv6414
    @tojotv6414 ปีที่แล้ว +2

    Mwamba anaendelea kunywa tu 😅😅😅

  • @salmahalfani6307
    @salmahalfani6307 ปีที่แล้ว

    Hiloooo kwenda zako huko,hayakuhusu😏🤪🙄

    • @bernadetamodest6170
      @bernadetamodest6170 ปีที่แล้ว

      Acha makasiriko,haende wapi sasa wakat kashapewa hiyo nafas ya kuzungumza,ungekuwa wewe mgen rasm bas ili uongee wewe

  • @ZuhuraKinura
    @ZuhuraKinura ปีที่แล้ว

    Ongera Sana banaba mungu hawajaarie ndowa njema ❤❤❤❤❤❤