Analia Kwa mengi zaidi ni kitendo Cha kumkosa mama yake mzazi Ktk maisha yake na hasa Kwa siku ya harusi ambayo kimsingi ni siku MUHIMU kupita kiasi ,Hongera sana Mtoto mzuri mungu akuongoze katk mambo ya kheri na baraka 🙏🙏🙏🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
Jaman Mungu ametuumba tuishi na tupite duniani....kuzaliwa kupo kufa pia kupo....naona watu mmetingwa na kufiwa Kwa mama......Sasa tukiwa hivi inamaanisha tunapinga uumbaji wa Mungu, hatuwezi ishi milele....kwaiyo at some point we need to take issue not as the way ua thinking! Kuondoa matabaka ni hivi endapo utakuta huna wazazi wako halisi, piga moyo konde ishi na utakao wakuta maisha yaende...utalia mpaka lini????? Though inaumiza lkn maisha lzm yaendeleee! Kufa lazima! SEMA Kila mtu anawakati wake! Hivyo hisia za bb harusi ni kubwa ndio lkn hatupaswi kuwakosoa ndugu zake Kwa mapokeo yao....hatuwezi jua!!!!! Some issues tuziache tu utalia mpaka lini....eti kukosa mama....Kuna wengine Wana mama zao lkn ni virambasiii wakubwa unaona mpaka Bora huyo bb harusi alipata walezi wazuri😂😢😢😢
Bibi harus alihitaji upendo wahali ya juu mnooo,ndugu mngemkumbatia inapunguza machungu tusio na mama tunaelewa hii pindi unapomkumbuka mama ukilia Alafu ukakumbatiwa unapata releaf kubwa mnooo
Ametoa Zawadi kwa hisia sana lakini wapokeakeaji sijaelewa hajaonesha kujali hisia zake kabisaa sijui 😭nimejikuta nimelia hajabahatika kumuona mama nyiee mama mtamu rip mama yangu😭
Hii familia sijui wametokea bk sehemu Gani? Awajaonyesha upendo ata kidogo mtu anapokwa zawadi utafikiri ni deni la muda mrefu alikuwa anamdai Leo kalipwa. Mwagoka
Bakagoka kwa kweli hapa ndiyo tunaona hawajawai kuwa na upendo na uyu bint wana roho ngumu Yan ingekuwa familia nyingine wote wangetoka kumkumbatia kyonka bojoo

Asante dada Asante walezi nimejikuta Malia mpaka basi
🎉🎉🎉najivunia kuwa na mama mungu akutie nguvu huishi miaka mingi dunian akika Binti amenifany nimelia sana mungu amtie nguvu
Usijali mungu atakubarik achana na wanadam
Jaman Mungu ametuumba tuishi na tupite duniani....kuzaliwa kupo kufa pia kupo....naona watu mmetingwa na kufiwa Kwa mama......Sasa tukiwa hivi inamaanisha tunapinga uumbaji wa Mungu, hatuwezi ishi milele....kwaiyo at some point we need to take issue not as the way ua thinking! Kuondoa matabaka ni hivi endapo utakuta huna wazazi wako halisi, piga moyo konde ishi na utakao wakuta maisha yaende...utalia mpaka lini????? Though inaumiza lkn maisha lzm yaendeleee! Kufa lazima! SEMA Kila mtu anawakati wake! Hivyo hisia za bb harusi ni kubwa ndio lkn hatupaswi kuwakosoa ndugu zake Kwa mapokeo yao....hatuwezi jua!!!!! Some issues tuziache tu utalia mpaka lini....eti kukosa mama....Kuna wengine Wana mama zao lkn ni virambasiii wakubwa unaona mpaka Bora huyo bb harusi alipata walezi wazuri😂😢😢😢
Yaaan atakumkumoatia hanma. Yesu okoa wanaopenda kupokea2
Pole Sana mpendwa mungu akutienguvu
Ambao mama Zetu wametuacha wadogo😭😭😭😭😭😭 nimejikuta nalia
Mngu akujalie Sana mama mdogo iyo nibaraka
Mama mdogo kamkumbatia binti mtoto wa dadake ndiyo maana kasema kajifunza mengi kutoka kwako hakika barikiwa ma mdogo
Kukosa mama hapaduniani jamani nishida kubwa sana yaani hawaguswi kabisa na kilio chahuyu binti
Mwenyezi Mungu awajalie
Mamdogo yupo vizur
Pole saana inauma
Hao wengine wanaona zawadi ndogo mmm Ila kukosa mama nimetoka machozi
Nyie wamama mliopewa zawadi Mimi naona nashindwa kuzuia machozi kweli Binti Analia nyie mmekaa kama majiti
Ongera Sana dada yangu mngu atakujalia tu
Umenirizaaa
Yaan nimelia sana
Mungu wabariki mama walezi bora
Nimelia sana
Bibi harus alihitaji upendo wahali ya juu mnooo,ndugu mngemkumbatia inapunguza machungu tusio na mama tunaelewa hii pindi unapomkumbuka mama ukilia Alafu ukakumbatiwa unapata releaf kubwa mnooo
Pole sana
Wapokea zawad mungunanawaona
Ametoa Zawadi kwa hisia sana lakini wapokeakeaji sijaelewa hajaonesha kujali hisia zake kabisaa sijui 😭nimejikuta nimelia hajabahatika kumuona mama nyiee mama mtamu rip mama yangu😭
Real kbs jinsi wanavyopokea zawadi hz kujali kwao ni 0,watakuwa walimtesa sn mrembo ila muagwa kaona awaoshe2 ndio maana analia😀😀😀
😂😂😂😂😂itakua
Kwel yaan binti ana hisia analia lakn wapokeaji zero 😢
Roho mbaya hawakumulea vizuri mungu kawaumbua.
Wameshindwa ata kumkumbatia
Hii familia sijui wametokea bk sehemu Gani? Awajaonyesha upendo ata kidogo mtu anapokwa zawadi utafikiri ni deni la muda mrefu alikuwa anamdai Leo kalipwa. Mwagoka
😂😂😂😂😂 yaani nimecheka sana hii coment yako japo yanayoendelea hapo yanasikitisha
@@fatmahnuru7553😂😂😂😂😂 kwamba deni la muda mrefuu,uwiiiii
Bakagoka kwa kweli hapa ndiyo tunaona hawajawai kuwa na upendo na uyu bint wana roho ngumu Yan ingekuwa familia nyingine wote wangetoka kumkumbatia kyonka bojoo
Pole sana mwanangu
Nimelia jmn😢😢
Mama ni mama aise
Hii inaniimarisha kwamba hakuna anaejali mtoto wa mwenzie ila mtoto wake .tunawashukuru wote msiojali watoto wa wenzenu.
Jamani usikie tu kukosa mama,nimelia sana
Wamama wa ki Africa 😅😅😅 Hapo wanasema "Sasa analia Nini Naye huyu"😅😅😅
Afrika MUNGU atusaidie,upendo ni adimu .
Hamnaaa kituu hapoo
Wapokea zawadi hamna utu,mwanenu analia hata kumkumbatia mtoto looh😢
Yan wapokeaji ivyo kbc km wamelazimishwa jmn
Ningekuwepo hapo,ningepiga makelele mkumbatieniiiiii😂😂
Kwakweli anae angalia tu anapata hisia lkn wapokea zawadi naweza sema ni wakatili kama sio washamba hata hug!!!
Wapokeaji zawadi jmn jmn ,hawana upendo kabisaa ht kukumbatiaa jmn jmn
Yani hata kwenda kumkumbatia hakuna aise😢
Me harus ya kakaangu kumkosa mama nililia sana wakati napewa zawadi,
😋🧑🏭
Watu wa ajabu awa sjapenda 🙄🙄
Angalau ma mdg kamkumbatia baada ya zawadi,Hao wengine loooh 😢
Nalia mimi
Du hata kumkumbatia kwa uongo tu jmn
Wapokeaji xaxa hata kumkumbatia tuh
wapokeaji ovyoo hta kumhagi kumtia moyo jamnii sijapenda
Inatia huruma nyie mamaaa uwii
Wapuzi kweli
Ata mkon Amna jomon bi harus Mungu akutie nguvu
Mulungu agenja
mama mama kitu kingine jmn
Na wapokeaji walilia sana .ila meza imewazuia kunyanyuka..
Camera aikuwapata kwa mbele wote wanalia.
Wanaopokea zawadi ni kama hawajaridhika.
Inaafaa hiyi
Labda wameogooa kuazisha kilio hapo ukumbini ndio maana wameamua wajikaushe.
Nikwelii kilio kinqekua kikubwa sanaa
Nimelia sana Pole dada
Mme wako hawe mfaliji kwako
❤😂
Iyo mipokeaji ya Zawadi sasa 😢 Hovyo kabisa
😂😂eti mipokeaji