MTOTO WA BARNABA ATOA MANENO MAZITO KWENYE HARUSI - "WEWE NI BABA BORA KWANGU LEO NI SIKU YAKO"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2024
  • www.youtube.co...
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

ความคิดเห็น • 177

  • @suzanamwangingo2995
    @suzanamwangingo2995 ปีที่แล้ว +21

    Mungu amtunze huyu mtoto

  • @EdithaJames
    @EdithaJames หลายเดือนก่อน

    Ila kuzaa mapema Raha sanaaaaaa 💕

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 ปีที่แล้ว +8

    *Steve* katisha, Allah akusimamie katika kila hatua unayosonga inshallah 🙏😘

    • @aminadigo9784
      @aminadigo9784 ปีที่แล้ว +1

      Upo 😅😅 bila profile nisingekujua😅

  • @bintymohammedy5759
    @bintymohammedy5759 ปีที่แล้ว +6

    Wema mdogo angu mungu Akupe mtoto inshallah

  • @iddybakar1946
    @iddybakar1946 ปีที่แล้ว +40

    duuh kakua ivo yaan mtoto huyu nakumbuka ameitwa steve kazaliwa siku aliokufa stev kanumba ni muda saana jaman daaah daah🙏🙏😂😂 asnte mungu niko bado natumie pumzika yako kuishi

  • @khadejakhadeja9713
    @khadejakhadeja9713 ปีที่แล้ว +1

    Jaamani RAYA anaenda Rombo uwiiiiii karibu uchagani❤❤❤

  • @aminamikidadi7754
    @aminamikidadi7754 ปีที่แล้ว +4

    Mashallah .....Mr & Mrs Barnaba ....M/Mungu awabariki sn kwa kila mtakalokusudia kulifanya husuthan ..kwenye malengo yenu. ....Ameen ...

  • @janethedward4631
    @janethedward4631 ปีที่แล้ว +5

    Akika Wema nakupenda sana 💞

  • @hawamjungu3396
    @hawamjungu3396 ปีที่แล้ว +1

    Hongera barnaba kwa kufunga ndoa na mwanao kakuwa kweli

  • @dainessmnenwaa4758
    @dainessmnenwaa4758 ปีที่แล้ว +1

    Wimbo was Sayuni ndo wenyewe sanaaa❤❤❤

  • @tuikezeezra1315
    @tuikezeezra1315 4 หลายเดือนก่อน

    Ehee kumbe ana mtoto mkubwa hivo!! hongera yake

  • @emmanuelnemikhe
    @emmanuelnemikhe ปีที่แล้ว +2

    Mungu azidi kuwabariki

  • @afsaiddy5648
    @afsaiddy5648 ปีที่แล้ว

    Safi sana baba kwa kutamka kwa sasa anaitwa muhamadi ❤❤

  • @khalfannyanje8970
    @khalfannyanje8970 ปีที่แล้ว +3

    Hakuna kitu duniani kama kuona umekuva kijana mwenye maadili mema hata chozi linaweza kukutoka😢😢😢

  • @LinaLiymo
    @LinaLiymo ปีที่แล้ว +1

    Karibu kwetu wif

  • @EdithaJames
    @EdithaJames หลายเดือนก่อน

    Ila kaniacha jia panda nasikia machache sjaelewa yote😂😂😂😂😂😢😢

  • @zulfaissa7814
    @zulfaissa7814 ปีที่แล้ว

    Maanshallah Mohammad kwakufanya mamzi

  • @AmerdaKavishe-pu3cf
    @AmerdaKavishe-pu3cf 4 หลายเดือนก่อน

    Arusi imembadili dini kwa mimi nasema ndoa nyingi zinafungwa kwa sababu nasio pendo la mungu

  • @scholarmawala1403
    @scholarmawala1403 ปีที่แล้ว +3

    Sasa watu washangilie😮e wameelewa?😅😅 Vigelegele vichacheeee.hizi lugha za kuja na ndege bhanna😮

  • @salhaayub1338
    @salhaayub1338 ปีที่แล้ว +8

    Leo ndo nmejua kumbe barnaba mchaga😂😂

    • @PendoAsenga
      @PendoAsenga ปีที่แล้ว

      Sio mchaga TU tena warombo

  • @JawahirSaid
    @JawahirSaid ปีที่แล้ว +1

    Dah vazi kama sio muislam allah akuongowe

    • @AronMkumbwa-wl1ee
      @AronMkumbwa-wl1ee 6 หลายเดือนก่อน

      Acha udini ndugu mavazi ayamuoneshi mtu na dini yake sasa muislam kavaa nguo hiyo una semaje sasa hapo

    • @tuikezeezra1315
      @tuikezeezra1315 4 หลายเดือนก่อน

      Tunaishi kistaa🤣🤣🤣🤣

  • @rehematawalani733
    @rehematawalani733 ปีที่แล้ว +3

    Vibaya sana unamuonesha nani nani utupu wako we mwanamke unamuonesha nanii😭😭😭😭 jamani uislaam mutaupa JIBU gani yaarabbi

  • @RoziTabu-fw2cf
    @RoziTabu-fw2cf 10 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤

  • @ismailjuma267
    @ismailjuma267 ปีที่แล้ว +1

    duuh nguo ya mama harusi tu , nacheka mie

  • @sarahsesa8851
    @sarahsesa8851 ปีที่แล้ว +4

    Mmmmh bora mngefunga ndoa kanisani halafu naona mama barnaba hayupo

    • @OfficialA83640
      @OfficialA83640 ปีที่แล้ว

      Kamfufue kaburini

    • @sarahsesa8851
      @sarahsesa8851 ปีที่แล้ว +1

      @@OfficialA83640 waaaaaa 😃😃😃😃😃😃😃🙆makubwa sasa hapo shida ni nin siungesema tu Alisha fariki

    • @salomewandya7257
      @salomewandya7257 ปีที่แล้ว

      Alishafariki muda 2012

    • @edwardmkwelele
      @edwardmkwelele ปีที่แล้ว

      Alifariki 2012

    • @sarahsesa8851
      @sarahsesa8851 ปีที่แล้ว

      @@edwardmkwelele pole yake kufiwa mzazi

  • @aminakipande5645
    @aminakipande5645 ปีที่แล้ว +6

    Mtoto wa mwanamke mwengine

    • @charlottealine6586
      @charlottealine6586 ปีที่แล้ว +1

      Kuna kosa kwani ?

    • @chunaabdullah1333
      @chunaabdullah1333 ปีที่แล้ว +1

      Umemjibu vzry sana

    • @mishikombowato1457
      @mishikombowato1457 ปีที่แล้ว

      Lakin jins anavyoishi na Raya huwezi hata kujua sio wake wa kumzaa yaani anampenda zaid

    • @SantiaQwer-ij1ws
      @SantiaQwer-ij1ws 10 หลายเดือนก่อน

      @@charlottealine6586 hilo nalo neno wapelelezi wamaisha yawatu duuuh

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 ปีที่แล้ว +10

    Daaaaa huyu Steve kaniacha kabis mtu mwenyewe nimeishia darsa LA saba B 😢

  • @rehematawalani733
    @rehematawalani733 ปีที่แล้ว +8

    Uislaam saivi watu wanauchukilia ki rahisirahisi weee mwanamke na ndo muislaa amekushinda hata huyo mume aliebadili dini kavaa stara we mwanamke upo utupyuuu wallahiii mi munanilizaa😭😭😭😭 nasikia

    • @guenterernst5481
      @guenterernst5481 ปีที่แล้ว +3

      Kìla mtu atakwenda na amal yake muhimu bwana amesilimu na kufunga ndoa halal

    • @rahmamohd4822
      @rahmamohd4822 ปีที่แล้ว +1

      Ukweli aambiwe akisoma comment ajifunze makosa yake

    • @rehematawalani733
      @rehematawalani733 ปีที่แล้ว +1

      @@rahmamohd4822 kweli kabisa yaani

    • @fatmafatu1128
      @fatmafatu1128 ปีที่แล้ว +1

      ​@@guenterernst5481wewe itakuwa sio mwisilaam ndio maana wajibu uwazavyo

    • @fatmafatu1128
      @fatmafatu1128 ปีที่แล้ว

      Harusi kama sio waislaam subhannallah

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 ปีที่แล้ว

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @MahenzoNzai
    @MahenzoNzai 11 หลายเดือนก่อน

    Jamani ni kizungu humuelewi au shida nn😂😂😂😂 hapo sijaskia neno zito

  • @bintspeech3868
    @bintspeech3868 ปีที่แล้ว +7

    Mama shikamooo khaaa wewe kweli mswahili khaaa banaba kaz hunayo

  • @LucyKisia-nh7pv
    @LucyKisia-nh7pv ปีที่แล้ว +1

    Mama kimbo kavaa nini

  • @jasminshemsanga8727
    @jasminshemsanga8727 ปีที่แล้ว +1

    Mapenz shikamoo😆😆😆 mchaga akabadili dini alow .

    • @sarahgaula2220
      @sarahgaula2220 ปีที่แล้ว

      Labda alikuwa na ndoa ya kanisani na mama Steve mana naye alibadili

  • @SuzanaKasanya
    @SuzanaKasanya ปีที่แล้ว +2

    Ati Barnaba kabadili dini kisa mwanamke! Hovyooo

  • @moudmgomo5742
    @moudmgomo5742 ปีที่แล้ว +2

    aunt raya tena😢😢😢😢 sio mumy..

    • @wanguiwanjiru5320
      @wanguiwanjiru5320 ปีที่แล้ว

      Kazi ipo😢

    • @najmaomary4185
      @najmaomary4185 ปีที่แล้ว +1

      Ni mamaak mdgo lazima aite aunt

    • @khadijasayeed3381
      @khadijasayeed3381 ปีที่แล้ว

      Ni sawa tu

    • @ZayyunSaleh
      @ZayyunSaleh ปีที่แล้ว

      Yan mtot hajaonesha kabsa uchangamfu kwa uyo Raya maskin mpk nimejiskia vbaya na sijui kwann hajamuita mama kamuita aunt😢Ila wengne ndo walivyo hawawez kumuita mtu mwengne mama tofaut na mama yake alomzaa

  • @maryikwabe3368
    @maryikwabe3368 ปีที่แล้ว +2

    Kwani lazima angeongea kizungu plz tz

  • @Teddy-fq5oc
    @Teddy-fq5oc ปีที่แล้ว +1

    Wanakenua tu hahaaa ata awaelewi

  • @ScolaAlex
    @ScolaAlex ปีที่แล้ว

    ❤❤❤ nawapend

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 ปีที่แล้ว +1

    Rombo ni wakatoliki.Kaoa kaolewaaa,Yesu anakaukia mbavu.

    • @tatotato506
      @tatotato506 ปีที่แล้ว

      Ayo yako yapekeyako kwa mungu kaowa ajaolewa

    • @tatotato506
      @tatotato506 ปีที่แล้ว

      Ayo yako yapekeyako kwa mungu kaowa ajaolewa

    • @tatotato506
      @tatotato506 ปีที่แล้ว

      Ayo yako yapekeyako kwa mungu kaowa ajaolewa

  • @janethedward4631
    @janethedward4631 ปีที่แล้ว +4

    Kanumba MUNGU anakuona yn sijakuelewa ata ulicho kizungumza wajamani 🥲

  • @inongee1141
    @inongee1141 ปีที่แล้ว +4

    Sina wivu.ila kiukweli bibi harusi hajapendeza hilo gauni limemufanya aonekane mwili mrefu kutoka kiunoni kwenda juu. Kaonekana ana mgongo mrefu

    • @khamisisaid873
      @khamisisaid873 ปีที่แล้ว +2

      Mm mtizamo wangu kwavile amelikubar mwenyewe tumuachie yy mwenyewe amelipenda hamna baya.

    • @joycemfuru4752
      @joycemfuru4752 ปีที่แล้ว +1

      Una wivu

    • @Jackiedaniel75
      @Jackiedaniel75 ปีที่แล้ว

      Kama huna kitu positive cha kuongea kaa kimya

    • @lilianestephanie7881
      @lilianestephanie7881 ปีที่แล้ว

      Mpe lako basi

    • @LETTYHENDERI
      @LETTYHENDERI ปีที่แล้ว

      Cy gauni tu anavoangaisha kichwa kama Kuna wadudu wanamng'ata mgongon

  • @Octavinaelisa-fn6js
    @Octavinaelisa-fn6js ปีที่แล้ว

    Waooo jamani hongera kaka

  • @mwanaidisaid8480
    @mwanaidisaid8480 11 หลายเดือนก่อน

    😊😊😊
    ,.

  • @mamuumoses9547
    @mamuumoses9547 ปีที่แล้ว

    Msishangae kubadil din barnaba coz mda wowote taraka itamuhusu bi harus tembeeni na hyo

  • @minaelnathanael1846
    @minaelnathanael1846 ปีที่แล้ว

    Hapo mchagga ni Steve tu. Waliobaki kwisha habari yenu

  • @iddybakar1946
    @iddybakar1946 ปีที่แล้ว +1

    grup la damu muhimu itakua tyr barnaba anajitambua

  • @asmarajabu5786
    @asmarajabu5786 ปีที่แล้ว +2

    mnatuacha jamani hatujasoma

  • @RoseKipimo-e4g
    @RoseKipimo-e4g ปีที่แล้ว

    uyu mtoto atalelewa kwenye missing ya dini gani? mbona Wanamchanganya mmmh

  • @hamiduhamisi2371
    @hamiduhamisi2371 ปีที่แล้ว +1

    mbona huyu mke wa barnaba kama baunsa frani au macho yangu😳😳😳😳😳😳? mmemuona mikono yake anavoivimbisha?

    • @mishikombowato1457
      @mishikombowato1457 ปีที่แล้ว

      Ndio kaolewa hivyo

    • @hamiduhamisi2371
      @hamiduhamisi2371 ปีที่แล้ว

      @@mishikombowato1457 hakuna aliesema hajaolewa kinachozungumzika ni ubaunsa mwanamke anatakiwa raini bwana kwani kuolewa bei gani? watu tupo kwenye ndowa myaka 30 itakuwa yeye kaanza 😏

    • @mishikombowato1457
      @mishikombowato1457 ปีที่แล้ว

      @@hamiduhamisi2371 kwani nimesema anaanza hajaanza wala.hajamaliza ulivyosema.utadhani.kajiumba yy haya Ana milono ya baunsaa ila kaolewa mnapenda kukosoa hata pasipo tatizo basi mkipendeza nyie inatosha

  • @naligiatomaso5006
    @naligiatomaso5006 ปีที่แล้ว +3

    Hyo dogo hawez kumuheshm mama yke maana nmejarb kumwangalia Mara nyng bdo cmwelew

    • @sabinaonline6575
      @sabinaonline6575 ปีที่แล้ว +2

      Hahaha hampendi kabisa mama yake kwasabu siyo mama yake halisi wmbaya zaidi kambadilisha dini baba yake hata ningekua mimi

    • @sabinaonline6575
      @sabinaonline6575 ปีที่แล้ว

      Akina shangazi hawaamini kama Barnaba kabadirisha dini, maana wanasalimia bwana asifiwe tumsifu Yesu kristu badala ya wasalamu maleko😂 baba ake barnaba kasema anamshuku Mungu kwa Mwanae kufunga Ndoa Takatifu daaahh

    • @nikusubilamwakyusa7059
      @nikusubilamwakyusa7059 ปีที่แล้ว

      Picha linaanza, kamuita Aunt Raya😔

    • @OfficialA83640
      @OfficialA83640 ปีที่แล้ว +1

      ​@@sabinaonline6575Usilolijua sasa huyo mtoto anampenda Raya hatari na jua km mama yake mzazi muislam na huyo Steve amebadilishwa dini ni muislam kwa sasa atakaaje ukristo ikiwa mama mzazi muislam na baba kaingia uislam poleni waja

    • @OfficialA83640
      @OfficialA83640 ปีที่แล้ว +3

      ​@@nikusubilamwakyusa7059Tembea uone ndugu waarabu mama mkubwa mama wa kambo wote wanawaita aunt

  • @monicamunisi2889
    @monicamunisi2889 ปีที่แล้ว

    Bi harusi Hana utulivu

  • @cynthiachesang6972
    @cynthiachesang6972 ปีที่แล้ว +2

    Gauni ni Ile ya wedding ya nandy no wonder huyu hajapendeza ndani

  • @PeridaMtweve
    @PeridaMtweve ปีที่แล้ว

    Mbona bibi ako uchi jamani

  • @jacquelinelukumay9535
    @jacquelinelukumay9535 ปีที่แล้ว +1

    Ww hii nchi ni Tanzania

    • @consokeic1472
      @consokeic1472 ปีที่แล้ว

      Ni America 😂😂😂😂😂😂

  • @jazeerajuma5014
    @jazeerajuma5014 ปีที่แล้ว

    Raya naomba mganga wako na huyu mbuzi wangu aweze kubadili dini

  • @isakamaganigani1587
    @isakamaganigani1587 ปีที่แล้ว

    Mama barnaba alifariki bwana elfu2 kumi2

  • @RithaMassawe
    @RithaMassawe 4 หลายเดือนก่อน

    Kumbe Barnabas ni mtu wa rombo jmn uwii

  • @mropeeliakim2528
    @mropeeliakim2528 ปีที่แล้ว +1

    Kwa hiyo hayo ndio Maneno mazito 😅

    • @bettymwikali8019
      @bettymwikali8019 ปีที่แล้ว

      C kwa kizungu hichooo

    • @SantiaQwer-ij1ws
      @SantiaQwer-ij1ws 10 หลายเดือนก่อน

      @@bettymwikali8019 wewe unayejua kingereza nahuna lolote Kaa kwakutulia aliyekwbia kizungu nimambo yote nani acha shobo mtoto wakike 😂😂😂

  • @neemaalphonce109
    @neemaalphonce109 ปีที่แล้ว +3

    Ndoa imeenda kikristo kabisa ad mizk mingi ni gosper tu sa kaslim nn apo

    • @nurudovino4587
      @nurudovino4587 ปีที่แล้ว

      Mungu ndio anajua na asirimia kubwa miziki ya kikirsto ndio sana kwenye harusi maan asirimia kubwa tumichanganya dini

  • @JenifaJohn-d7t
    @JenifaJohn-d7t ปีที่แล้ว

    Shamesha meku

  • @peninashungu6633
    @peninashungu6633 ปีที่แล้ว

    Amekuza

  • @lucykristensen7145
    @lucykristensen7145 ปีที่แล้ว

    Ukoo wa Sykes ni mkubwa mbona ameonekana Dully peke yake?

  • @rehematawalani733
    @rehematawalani733 ปีที่แล้ว +1

    Mamaaa muachie kungwii wewe mama hupaswi kuyaongea hayo

  • @womanofsteel1402
    @womanofsteel1402 ปีที่แล้ว

    Maharusi kwanini hawatulii wanakaa na waswas why

  • @IreneAjuna
    @IreneAjuna 10 หลายเดือนก่อน

    Ogerasana

  • @bintspeech3868
    @bintspeech3868 ปีที่แล้ว +1

    Siku nyingine ongea kiswahili umeniacha mbali ujue embu nitafisilien

    • @salhaayub1338
      @salhaayub1338 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂

    • @akibaali1450
      @akibaali1450 ปีที่แล้ว

      😂😂😂pole

    • @janetahmed6948
      @janetahmed6948 ปีที่แล้ว

      muache mtoto si na weye kasome

    • @bintspeech3868
      @bintspeech3868 ปีที่แล้ว

      @@janetahmed6948 nikasome kuzimu au

    • @DeboraNgura
      @DeboraNgura ปีที่แล้ว

      @@bintspeech3868 😂😂😂

  • @iddybakar1946
    @iddybakar1946 ปีที่แล้ว +3

    sijaelewa kwamba mama kimbo ndio mama yake dullyseks

  • @asifiwewisayi8580
    @asifiwewisayi8580 ปีที่แล้ว

    Kumbe ww ni mchaga Barnaba

  • @sarahmuhammed6872
    @sarahmuhammed6872 ปีที่แล้ว +5

    Hiyo ni broken english kwani ulifosiwa uongee english?

    • @fatumahamisi6470
      @fatumahamisi6470 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisaa Yani broken hatari

    • @shangwefisima3993
      @shangwefisima3993 ปีที่แล้ว +1

      Weee toka pepo.... Tanzania Lugha yetu kiswahili Kaongea English kajitahidi kwasabu siyo Lugha yetu acha chuki

    • @sarahmuhammed6872
      @sarahmuhammed6872 ปีที่แล้ว

      @@shangwefisima3993 arudi shule,tz ni kiswahili bt sahi ninavyoongea 99%waongea English ukobwapi wewe

    • @sarahmuhammed6872
      @sarahmuhammed6872 ปีที่แล้ว

      @@shangwefisima3993 mwAmbie mtoto wa mobeto amfundishe english

    • @salomeraymond2051
      @salomeraymond2051 ปีที่แล้ว

      Kwa umri wake kajitaidi mwache mtoto khaaa🙄

  • @akidajulius1581
    @akidajulius1581 ปีที่แล้ว +6

    Sasa huyo dogo stive mbona anajina la kikristo,wakati wazazi wote niwa islama na wamefunga ndoa ya kiislam

    • @r9ayyansaid652
      @r9ayyansaid652 ปีที่แล้ว

      Raya si mamaake

    • @margarethasway8450
      @margarethasway8450 ปีที่แล้ว +2

      Barnaba alikuwa mkristo lkn sasa amebadili dini na kuwa muislam km mkewe raya

    • @akidajulius1581
      @akidajulius1581 ปีที่แล้ว

      @@margarethasway8450 ok, Sasa da amemuacha dogo pekeyake ktk ukristo alafu yy kakimbilia uislam,,ambadili na dogo nae,maana dogo peke yake hata wezakujiongonza kwa umri wake ktk Imani ya kikristo

    • @rehemaomary3493
      @rehemaomary3493 ปีที่แล้ว

      ​@@akidajulius1581SI anaishi na Babu yake atamuongoza

    • @Teddy-fq5oc
      @Teddy-fq5oc ปีที่แล้ว

      ​@@akidajulius1581embu tuachieni mdogo wetu

  • @peninashungu6633
    @peninashungu6633 ปีที่แล้ว +2

    Mbona hawafanani walishawahi kufikilia DNA

  • @RandB_Channel
    @RandB_Channel ปีที่แล้ว +1

    Bibi harusi nguo ulio vaa inaonekana uko unapumuliya juju

  • @mrsmumewangu4907
    @mrsmumewangu4907 ปีที่แล้ว

    Sijaelewa chochote Kama hao wanaopiga makofi pasi kujua kilichoongelewa Ila makofi xx😂😂😂😂😂yalitawala

    • @yukundapeter8200
      @yukundapeter8200 ปีที่แล้ว

      Nimekupenda my! Jina Mrs mume wangu.Miji2 ilonyea ndoa ikiona Inaona wivu.

    • @ikouwasi7644
      @ikouwasi7644 ปีที่แล้ว

      wewe kama huelewi ni wewe tu 😂

    • @mrsmumewangu4907
      @mrsmumewangu4907 ปีที่แล้ว

      @@yukundapeter8200 nakupenda pia my darling

    • @mrsmumewangu4907
      @mrsmumewangu4907 ปีที่แล้ว

      @@ikouwasi7644 sawa

  • @josephinekalwa631
    @josephinekalwa631 ปีที่แล้ว +1