VIDEO: MAHABA YA WEMA NA WHOZU KWENYE HARUSI YA BARNABA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 38

  • @sweetnesskway8674
    @sweetnesskway8674 ปีที่แล้ว +2

    Napenda whozu anavyom_protect wema .....so nice

  • @kerryestomic8099
    @kerryestomic8099 ปีที่แล้ว +2

    They look happy together ❤

  • @magdalenaspliani293
    @magdalenaspliani293 ปีที่แล้ว +1

    Mungu Awajalie Mtapata Mtoto

  • @faiqaanwar7268
    @faiqaanwar7268 ปีที่แล้ว +1

    Inshaallahhh

  • @mwitaagness455
    @mwitaagness455 ปีที่แล้ว +2

    Uzur wema huwa anaongea ukweli, amesema anataman vyote mtoto na harusi, na amesema anataman vyote

  • @joasitz9559
    @joasitz9559 ปีที่แล้ว +4

    Penda sana Wema, endelea kumuomba Mungu. Kwake yeye yote yawezekana.

  • @maryanomar119
    @maryanomar119 ปีที่แล้ว

    Wema mungu atakupa moto inshallah kwauwezo wa mungu❤

  • @dianamsangawale9925
    @dianamsangawale9925 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akufanikishie hayo yatimie kipenzi changu Wema

  • @user-ql1xd5xl9w
    @user-ql1xd5xl9w ปีที่แล้ว

    Wema❤❤❤❤❤❤

  • @ramazanimgunda9464
    @ramazanimgunda9464 ปีที่แล้ว +1

    Ao dada washenzi kwani mtoto. Anapatikana bilababa

  • @SimbaM2kufu
    @SimbaM2kufu ปีที่แล้ว +2

    Inaumiza kichwa nuona miaka yoye hii wema babo kama hajakua tu. Mazungumzo haya mazima hayana busara.

  • @mgenimussa5820
    @mgenimussa5820 ปีที่แล้ว

    Nyie huyu Dada anajichetua 😂😁😂😂😂😂😂😂

  • @ShishiBaby-sr1sf
    @ShishiBaby-sr1sf 11 หลายเดือนก่อน

    Nine

  • @mrs2918
    @mrs2918 ปีที่แล้ว

    wanaume wanamakasiriko ya hatari, etii makombo, mahusiano ya wengi ni mitumba chokesti mbaya.

  • @bjzee1981
    @bjzee1981 ปีที่แล้ว +1

    Tofauti Kati ya Africa na wazungu. Nchi zingine utasikia miss Fulani kafanya mambo kadhaa yamaendeleo kama alivyokua akihojiwa wakati wa maswali. Lakini bongo akisha pata taji la taifa tu tayari uchi hadharani

    • @hopefully7090
      @hopefully7090 ปีที่แล้ว

      Mbona wanafanya nasimama na binti ni yanini?si inasaidia wasichana hebu punguzeni negativity.

    • @LoyDorcus
      @LoyDorcus ปีที่แล้ว

      @@hopefully7090 yaan tusiwaz kafany nn uzur hatun viv evidence we.omba tu basi apate uenda lamd hakufany chochote

    • @svt3
      @svt3 ปีที่แล้ว

      ​@@hopefully7090inchi zingine hao miss au former miss ni mabalozi ya ma kampuni ya mavazi ya kifahari vipodozi, wana fanya kazi na ma organisations zenye kusaidia jamii , wana uwekezaji mpaka unaona kwa kweli huyu ni mtu kwenye jamii ila Tz daa ni vichekesho tu ma miss wote bongo movie 😂😂😂 uwekezaji zero, uambasada wa makampuni makubwa zero, hata kushiriki cane festival hakuna yaana vichekesho tu

  • @habibakhalfan1065
    @habibakhalfan1065 ปีที่แล้ว

    Wema_kazeeka_

  • @shyfettymtunda4619
    @shyfettymtunda4619 ปีที่แล้ว +1

    Naandika nafuta!!Naandika nafuta!!

    • @LoyDorcus
      @LoyDorcus ปีที่แล้ว

      Kam mm lkn nakupend wem mungu akupe mtoto nakuombea

    • @shyfettymtunda4619
      @shyfettymtunda4619 ปีที่แล้ว

      @@LoyDorcus Insha'Allah 🤲🏾

  • @bjzee1981
    @bjzee1981 ปีที่แล้ว +1

    Huyu nae kawa dekio LA taifa. Kila siku wanaume wapya. Hivi ninyi ma binti hamuwezi kujisitiri na uzinzi wenu. Kila anae kugusa bega unataka uonekane nae hadharani. Unadhani hata kama palikua na alie kuoenda atakua na hamu na wewe tena

    • @happinnesspius9854
      @happinnesspius9854 ปีที่แล้ว

      Acha wivu fanya unachoona ww kinafaa

    • @LoyDorcus
      @LoyDorcus ปีที่แล้ว

      Jealous hap hakun we fany kinachoonyesha n.positive no makasiriko

    • @user-rv7zt6tj3d
      @user-rv7zt6tj3d ปีที่แล้ว

      Kama mama yako tu dekio mpk kakupata wewe

    • @bjzee1981
      @bjzee1981 ปีที่แล้ว

      @@user-rv7zt6tj3d . Haaa. Mama yangu katoka kwenye familia ya ucha Mungu. Kachumbiwa ndio akaolewa. Na sisi pia hivyohivyo. Una anzwa na mwanaume kwenye ndoa sio kua Kama tester ya perfume supper market kila mtu akunuse ajue Kama utampendeza. Kwa hivyo Kama we ni mwenzie.

    • @meryglory2012
      @meryglory2012 ปีที่แล้ว

      Kwani wewe siyo dekio

  • @cosmascastory9193
    @cosmascastory9193 ปีที่แล้ว

    Whozu sio poa anakula makombo ya Diamond,,,,,

    • @hanialsaadi7394
      @hanialsaadi7394 ปีที่แล้ว

      Ww mwenyew unakula makombo kwa mpnz wako

    • @mwitaagness455
      @mwitaagness455 ปีที่แล้ว

      @@hanialsaadi7394 kabisaaa tena sio makombo moja.

    • @hanialsaadi7394
      @hanialsaadi7394 ปีที่แล้ว

      Umeona eee

    • @LoyDorcus
      @LoyDorcus ปีที่แล้ว

      Na we je unakul ya nani

  • @teddyaloyce8218
    @teddyaloyce8218 ปีที่แล้ว

    Wema pandikiza mimba

    • @user-rv7zt6tj3d
      @user-rv7zt6tj3d ปีที่แล้ว

      Kasome afya zaid acha kukurupuka, wema anauwez wa kushika mimba ila miez 2 3 inaharabika so inahusian vip na kupandikiza mimba!?