MASWALI MAZITO YALIVYO JIBIWA KWA UFASAHA NA PROF.NIGULA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ธ.ค. 2024
  • Majibu Mazito yalivyo jibiwa na Prof.Nigula kwa Ufasaha kupitia Biblia

ความคิดเห็น • 26

  • @MichaelMnzava-uk7py
    @MichaelMnzava-uk7py 6 หลายเดือนก่อน +6

    Professor yuko vizuri anajua anachosema ni muhimu uelewe hilo ni neno la mungu mungu akubariki tumejifunza vitu vizuri natamni kama ingerudiwa mjue watu wanadanganywa sana na watu ambao hawajui bible ukweli nimefurahia pia watumishi wa mungu walivyo changamkia frusa ya kuuliza maswali yani safi sana

    • @charlestibaijuka3718
      @charlestibaijuka3718 6 หลายเดือนก่อน

      Kwanini hajibu kwa kutumia maandiko?

    • @BrotherSamuel7
      @BrotherSamuel7 6 หลายเดือนก่อน +1

      Kwa Sababu Roho mtakatifu afungiwi chini ya biblia 🤣🤣kuna Mambo mengi aliyafanya yesu kama yangeandikwa yote ulimwengu usinge tosha

    • @hashimchaoga9566
      @hashimchaoga9566 6 หลายเดือนก่อน

      @@BrotherSamuel7 Lakinj hiyo biblia yenyewe tu ina vitabu 66 hadi 78 na mengi tu si ya Yesu

  • @ikongojeremia4740
    @ikongojeremia4740 6 หลายเดือนก่อน

    Namshukuru saana prof kwa mafundisho mazuri

  • @LastdayJesu4153
    @LastdayJesu4153 5 หลายเดือนก่อน

    1 Timotheo 2:12 ....siku za mwisho watalikana Neno la Mungu....wenye utauwaaa😅 mtu akinipenda atalishika Neno langu na baba yangu atampenda nasi tutakuja na.......😅habari ndo hiyo

  • @manumbumutani
    @manumbumutani 6 หลายเดือนก่อน

    I thank you very much, God bless you

  • @MeshackMinyota
    @MeshackMinyota 5 หลายเดือนก่อน +1

    Acheni mijadara nendeni mkavune mavuno yamei va

  • @George-jz3jg
    @George-jz3jg 6 หลายเดือนก่อน

    Prof. Nimekuelewa kweli upo vizuri kwenye research mimi mwenyewe hapa niliwahi kutana na mu-usa mmoja ana mwili wa binadamu lakini yeye ni nyoka

  • @jozyTV-qe8ib
    @jozyTV-qe8ib 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mada ni nzuri sana na kwa yule anayependa kufahamu anapata kitu,ila ukiwa kama msomi tena ni Prof jitahidi kuweka lugha vzr maana unachanganya kingereza na kiswahili kuna watu hawakuelewi hasa wale ambao lugha ya kingereza kwao ni shida

    • @dalaliwataifakigamboni
      @dalaliwataifakigamboni 6 หลายเดือนก่อน

      Hapo haongei na watu wa youtube anaongea na hao wasomi walio kaa hapo

  • @kibajadaniel9887
    @kibajadaniel9887 6 หลายเดือนก่อน

    MUNGU Akubariki professor 100%

  • @hashimchaoga9566
    @hashimchaoga9566 6 หลายเดือนก่อน

    Kuokoka mdomoni tu lakini si rahisi wengi wanaamini kwamba kama hafanyi kitu kimoja au viwili kwa interest au matatizo yake binafsi basi kaokoka.Ni kuanza na amri kumi za Mungu na mengi tu hadi ujiite umeokoka kuokoka kunahusisha mengi sana ikiwemo usikasirike hata ukiona usitamani ikifika sikukuu mnunulie unachojinunulia jirani yako.

  • @kombafocus6996
    @kombafocus6996 6 หลายเดือนก่อน

    Tatizo la KanisA letu la TAG ni kuingia sana kwenye dini roho hafanyi tena slogisism haipatikana tena hatua ya kuogopa uchawi ndani T A G sasa roho hayupo siasa na watu wanaenda kwa mitume au manabiiiiii

  • @ElizabethMuia-ro9yh
    @ElizabethMuia-ro9yh 5 หลายเดือนก่อน

    JAMANI HAMJUI KITU INAITAGWA MADHABAU, UWE UMEOKOKA HAU LAA LAZIMA HAYO MADHABAU YA FUNJWE

  • @josephanthon8037
    @josephanthon8037 6 หลายเดือนก่อน

    bado haujatoa majibu kuhusu laana ya familia au ukoo.nakiomba usome tena Bibilia profesa

  • @franaelisumari5108
    @franaelisumari5108 6 หลายเดือนก่อน

    Asante Prof.

    • @dicksonsambala7756
      @dicksonsambala7756 6 หลายเดือนก่อน

      Bibliabila iliandikwa kwanza kabisa kwa lugha ya kiebrania qcha kuzunguka mbuyu

  • @wisdommbalila732
    @wisdommbalila732 6 หลายเดือนก่อน

    Kuongezea pia hapo kama mababu walijufa katika dhambi inamana pia shetani anatumia roho zao kufatilia vizazi vyao

  • @solomonmugao4733
    @solomonmugao4733 6 หลายเดือนก่อน

    Biblia haifuatwi. Kulingana Na Mila yoyote Hasa agano jipya. Paulo anasema baada ya wayaudi Kushindwa Na kazi Yao mlango ulifunguliwa Kwa wire wanaomwa mini kristo

  • @hashimchaoga9566
    @hashimchaoga9566 6 หลายเดือนก่อน

    Wanapozungumzia wana wa Israel taifa teule hua najiuliza si hao ndio hawakubaliani na mwana wa Mungu?

    • @dicksonsambala7756
      @dicksonsambala7756 6 หลายเดือนก่อน

      Uyahudi ni dini kabisa inajitegemea na Yesu alizaliwa kwenye hayo mazingira lakini alikuja kutimiliza na kuna wayahudi walikataa utimilifu...

    • @hashimchaoga9566
      @hashimchaoga9566 6 หลายเดือนก่อน

      @@dicksonsambala7756 Yesu alitumwa kuja kuwakomboa wana wa Israel na hawakumkubali. Unaposema kutimiliza , kutimiliza nini? Kama dhambi ya Asili tayari Mungu alishasahukumu nyoka Hawa na Adam nasi tunaendeleza kutumikia hizo adhabu. Dhambi nyongine za ziada kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe