Ndugu zangu watanzania tafadhalini tuwe na tabia ya kufanya usafi katika masoko yetu. Hii ni aibu kwa soko kubwa na zuri kama hilo kuwa na uchafu kila sehemu. Babadiliko yanatakiwa yafanywe na sisi wenyewe tena kwa lazima.
Ndugu Jordan unaishi maeneo gani Tanzania? Naipenda Kigamboni sana. I believe it has a lot of opportunities if someone invest in lands. Thank you again for sharing your experiences.
Kwa sasa nipo Dodoma kikazi, lkn makazi yangu yapo Kigamboni Jicool, ni kweli kabisa Kigamboni kuwekeza kwenye ardhi Kuna opportunities nyingi sana. Karibu sana🙏🏽🙏🏽
I am missing Kigamboni so much. I live there for a few months in 2022.
Ooh that's beautiful @Pele
Safi sana my Tanzanian YouTubber keep up the good work 👏 🙌 👍
Thank you so much Janet 🙏🏽🙏🏽
I see fresh beef buying so im bring my bowl for beef stew 😄😄💕
😂😂😂yeah bring it my sister 🙏🏽❤️
Ndugu zangu watanzania tafadhalini tuwe na tabia ya kufanya usafi katika masoko yetu. Hii ni aibu kwa soko kubwa na zuri kama hilo kuwa na uchafu kila sehemu.
Babadiliko yanatakiwa yafanywe na sisi wenyewe tena kwa lazima.
NI SAHIHI KABISA