Apostle John Kamonya Zawadi Gani Official Video

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ก.ย. 2017
  • The Best Of African Music: Kikuyu Music: Kikuyu Gospel Music: Kenyan New Music 2016: Kamba Music: kalenjin Music: Luyha Music: Kadogo Kamu: New Ugandan Music: New Zambian Music: New Rwanda Music: New Kenyan Music: New Taarab Music: New Gospel Music: New Tanzania Music: New Zanzibar Music: Kenya gospel music: Tanzania Gospel Music: Zambia Gospel Music: ugandan Music
  • เพลง

ความคิดเห็น • 238

  • @happybaramay936
    @happybaramay936 5 หลายเดือนก่อน +12

    Since 2015 to2024 still love this song I love it may his soul continue rest in peace

  • @apollobupolo9884
    @apollobupolo9884 10 หลายเดือนก่อน +6

    Komanya huu wimbo unanibariki sana huko uliko MUNGU ndiye jaji wa maisha yako ......nabarikiwa sana na wimbo huu Aminaaaa

  • @mariammwambungu3174
    @mariammwambungu3174 4 ปีที่แล้ว +24

    Uliimba kutoka rohoni kabisa wimbo huu ukaokoe roho za watu Ameen

  • @meshackezekiel5836
    @meshackezekiel5836 4 ปีที่แล้ว +39

    2020 naitazama tena huu wimbo... Mimi nitoe nini ambacho cha thamani ila roho yangu.... Mungu tusameh 🙌🙏

    • @michaelmsuya5471
      @michaelmsuya5471 2 ปีที่แล้ว

      hii nyimbo imenigusa sana barikiwa Sana mtumishi wamungu

  • @RogersMayuya
    @RogersMayuya 6 วันที่ผ่านมา

    Pumzika kwa amani Mtumishi wa Mungu kaka John. Nakumbuka maisha yetu tukiwa vijana Kwaminchi Tanga. Ulikuwa na upendo sana

  • @Uplifiting
    @Uplifiting 9 หลายเดือนก่อน +5

    Rest in eternal peace of living God my dear Brother John.😭😭😭😭❤❤❤

  • @upendoputika6810
    @upendoputika6810 3 ปีที่แล้ว +8

    Wimbo huu ni miongoni mwa nyimbo ambazo zinaleta utukufu ndani yake.RIP mchungaji.

  • @maurinelaizer1615
    @maurinelaizer1615 3 ปีที่แล้ว +27

    2021 still playing this song🥰🥰

    • @myself4128
      @myself4128 2 ปีที่แล้ว +1

      THE WORD OF El never grows old

    • @goodnesssalimu1878
      @goodnesssalimu1878 ปีที่แล้ว

      I will remember you my dear dad and I will still love you 😍

    • @emmanuelmakongoro8228
      @emmanuelmakongoro8228 9 หลายเดือนก่อน

      2023 stil blessed 🙌

  • @LeahMasanja-c4d
    @LeahMasanja-c4d 11 วันที่ผ่านมา

    Nikisikia huu wimbo nalia sana mama tulikuwa bad tunahitaji uwepo wako mama wanao tunakumiss sana mama😭😭😭😭😭😭💔💔💔💔💔 R.I.P MUMY

  • @innocentsalim1143
    @innocentsalim1143 4 ปีที่แล้ว +11

    APOSTLE JOHN MUNGU AKUWEKE MAHALI PEMA PEPONI
    AMINA...
    WIMBO HUU UNANIBARIKI SANA

  • @claraodira1609
    @claraodira1609 ปีที่แล้ว +3

    Naupenda wimbo huu jamiii Kumbe aliyeuimba hayuko duniani, alimaliza kazi. R. I. P. Mtumishi wimbo unawagusa wengi

  • @fredrickmutabilwa8269
    @fredrickmutabilwa8269 ปีที่แล้ว +3

    Mungu awpe Moyo wa uimbaji kweli wimbo mzuri na maneno ya kutuweka tiari kwa Mungu .

  • @LudovickTibakyenda-gs2wh
    @LudovickTibakyenda-gs2wh 7 หลายเดือนก่อน +2

    Sad to learn that this man is no more. I have been listening to his song for a while without knowing that he isn't alive. May his soul rest in eternal peace. Amen!

  • @clementesily7164
    @clementesily7164 2 ปีที่แล้ว +17

    The true Gospel music touchés the inner heart R.I.P. child of the almighty God.

  • @godwinlupilya9279
    @godwinlupilya9279 4 ปีที่แล้ว +38

    Pumzika kwa amani mtumishi, 2020 wimbo unatubariki wengi

    • @kenansteven4086
      @kenansteven4086 4 ปีที่แล้ว

      Mungu akubalik

    • @karlgabrielwilfredkalivuba927
      @karlgabrielwilfredkalivuba927 3 ปีที่แล้ว +1

      Oooh mtumishi Huyu alishafariki? Leo nimebahatika kubarikiwa Mno na Wimbo wake huu..... Jina la Bwana libarikiwe

    • @maureenkemei9254
      @maureenkemei9254 3 ปีที่แล้ว

      Oh so sad alishafariki poleni sana hii nyimbo inanibariki sana

    • @Dj_Ezemle
      @Dj_Ezemle ปีที่แล้ว

      Kumbe kafariki daa rip 🙏 hii nyimbo naipenda saana 2022

    • @felisterswai5535
      @felisterswai5535 ปีที่แล้ว

      @@kenansteven4086 )ll

  • @charlesmangula1752
    @charlesmangula1752 2 หลายเดือนก่อน +2

    I feel blessed sana nikisikiliza hii tenzii..

  • @philimonmollel5459
    @philimonmollel5459 4 ปีที่แล้ว +8

    Jamani!! Kimbe hatunaye! R.I.P.

  • @eliumbanambowe722
    @eliumbanambowe722 6 หลายเดือนก่อน +1

    2023 December 27 still pokea sifa zangu na uzibariki na uzijaze baraka pia na roho yangu

  • @upendoamani8164
    @upendoamani8164 3 ปีที่แล้ว +4

    Baba Mungu wa majeshi umrehemu mtumishi wako huyu huko aliko

  • @user-ks6vg6wp3e
    @user-ks6vg6wp3e 4 หลายเดือนก่อน +1

    Daa kumbe aliyeimba huu wimbo amefaliki huu wimbo unanisogeza kalibu na msaraba

  • @rabrab8073
    @rabrab8073 2 ปีที่แล้ว +6

    Since 2015 to 2022 still love this song I love it may his soul continue Rest in peace

  • @emmanuelkache1682
    @emmanuelkache1682 4 ปีที่แล้ว +6

    Pumzika kwa Amani mtumishi nasi tuko nyuma yako....

  • @nabiiesterdonald4205
    @nabiiesterdonald4205 4 ปีที่แล้ว +29

    My, dady, nikisikia huu wimbo machozi mengi yananitoka ,kwani tulikuhitaji udumu ila,Bwana yesu kristo alihitimisha mapenzi yake.

    • @shinumbuntugwa4453
      @shinumbuntugwa4453 8 หลายเดือนก่อน +1

      Yaani wewe acha tu ndg yangu tunaumia sana

    • @vennyrwiza5138
      @vennyrwiza5138 4 หลายเดือนก่อน

      Usinambie komanya uwa ni marehemu kumbe

  • @smartndaipa4188
    @smartndaipa4188 2 ปีที่แล้ว +3

    Nakupenda huu wimbo jaman nimpe nn Mungu wangu anavyonipenda 😭😭😭🔥🙏🙏

  • @marykarebeti9410
    @marykarebeti9410 3 ปีที่แล้ว +9

    Its 2021 and the song is still rocking. Apumzike kwa Amani.

  • @youthadvocacypartners8765
    @youthadvocacypartners8765 4 ปีที่แล้ว +7

    2020 huu wimbo unanifanya nikiusikiliza niwe mpole

  • @kalongachristina5661
    @kalongachristina5661 3 ปีที่แล้ว +1

    Mm nitoe nini ambacho Cha thamani kwako ila roho yangu tu,baba Pokea sifa hizi Tena uzibariki Bwana....😭😭😭😭🙏 Asanteeeee Mungu kwa matendo makuu unayoendelea kunitendea 2021

  • @agathamichael
    @agathamichael 9 หลายเดือนก่อน +2

    Nimebarikiwa na wimbo huu 🙏🙏

  • @beatricesway6875
    @beatricesway6875 4 ปีที่แล้ว +9

    2020.wimbo unanibariki

  • @christinamwakitalima4267
    @christinamwakitalima4267 3 ปีที่แล้ว +3

    Rip ,😭😭😭😭 wimbo naupendaga sana ila sikujua Kama mtumishi alitangulia mbele za haki

  • @innocentalphonce7475
    @innocentalphonce7475 ปีที่แล้ว +1

    Nitoe nn kwa ajil yako bwana kama si roho yangu tu 2023 still here watching

  • @peterchristian-rv6xo
    @peterchristian-rv6xo 20 วันที่ผ่านมา

    Pumzika kwa amani lakini kazi zako bado zinaishi na zinanibariki

  • @adammndeme2516
    @adammndeme2516 11 หลายเดือนก่อน +1

    Listening in 2023,be blessed all

  • @hasionshekiondo6680
    @hasionshekiondo6680 4 ปีที่แล้ว +3

    Pumzika kwa aman john komanyama nyimbo zako zazid kutubariki 2020

  • @joycemarco7004
    @joycemarco7004 2 ปีที่แล้ว +2

    Wapi like za 2022 wimbo bado unakonga mioyo ya watu R.I.P pastor

    • @akidajulius1581
      @akidajulius1581 ปีที่แล้ว

      Sio 2022,huo wimbo mpaka mwisho wa kizazi hiki Cha adamu kitapotoweka chote ktk hii dunia

  • @mikehizza2756
    @mikehizza2756 4 ปีที่แล้ว +4

    Nimekumbuka John Komanya pumzika kwa amani

  • @user-wy6xo7nq7v
    @user-wy6xo7nq7v 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nahisi aman kuskia huu wimbo 😢r.i.p mtumishi

  • @erastomichael9840
    @erastomichael9840 2 ปีที่แล้ว +2

    Mara yangu ya kwanza kutazama video hii, (27/06/2022) nabarikiwa sana nikisikiliza wimbo huu.🙏

  • @gloriamasaka7635
    @gloriamasaka7635 3 ปีที่แล้ว +2

    Zaburi 116:12 mimi ni kinyangarika sina cha kutoa, zawadi gani mimi nitampa BWANA ambayo hana? Kwaajiil ya pambano kuu katika shetani na MUNGU ni moyo wangu tu ndiyo hana, basi nitapokea wokovu, na kutimiza nadhiri zangu kwa neema yake na pia kuwaambia watu matendo makubwa ya BWANA ili nao wamfanye kuwa BWANA na Mwokozi wao!

  • @juliethjulius5320
    @juliethjulius5320 3 ปีที่แล้ว +2

    Zawadi gan mim ntamutolewa bwana 2021

  • @edwinelias8554
    @edwinelias8554 2 ปีที่แล้ว +2

    2021 naisikiliza tena Apostle bado unaishi ndani yetu kazi yako hii ni njema sana tunaisikiliza na tutaendelea kuisikikiza siku zote

  • @monicaphilipo9844
    @monicaphilipo9844 3 ปีที่แล้ว +2

    Mm nafurah sana napenda kusikiliza wakati nasali pindi na matatizo

  • @ciciandjojo7701
    @ciciandjojo7701 3 ปีที่แล้ว +6

    Mcungaji rafiki yangu komanya uliniuma kaka yangu jamani😭lkn Mungu uchuma shambani mwake muda anaotaka
    Endelea kupumzika kaka, rafiki Pastor John Komanya 🙌🙏⚘

  • @hekimalufulani8160
    @hekimalufulani8160 3 ปีที่แล้ว +2

    Hakika wimbo wako bado unaishi na unazidi kutubariki.RIP

  • @estersambayi6191
    @estersambayi6191 3 ปีที่แล้ว +2

    I'm a living testimony bado nawaza cha kukupa Mungu wangu 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @elinekibakaya8174
    @elinekibakaya8174 3 ปีที่แล้ว +5

    Rest easy Pastor you can see each other on other side of Life

  • @aikashayo4305
    @aikashayo4305 3 หลายเดือนก่อน +1

    Here 2024

  • @deboraelias3333
    @deboraelias3333 ปีที่แล้ว +3

    Njooni hapa Wale mmeaamua kubarukiwa na huu wimbo 2023

    • @wariaramaina8788
      @wariaramaina8788 3 หลายเดือนก่อน

      Pokea sifa hizi Bwana. Kuishi kwangu ni wewe Bwana Yesu. Nashukuru.

    • @BahatiLeonard-vl6nq
      @BahatiLeonard-vl6nq 2 หลายเดือนก่อน

      Nipooo

  • @ashalex4759
    @ashalex4759 4 ปีที่แล้ว +4

    Asante kwa nyimbo nzuri barikiwa appostal

  • @kibasamohamedi8029
    @kibasamohamedi8029 หลายเดือนก่อน

    Dah inanikumbusha msiba wa rafiki yangu 2017 Mbeya

  • @doctorzero-dj5xg
    @doctorzero-dj5xg 3 ปีที่แล้ว +1

    Wimbo bora sana , UNGEONGEZEWA BETI NYINGINE 2 ! ni mfupi mno

  • @DavisdavidNdoje
    @DavisdavidNdoje หลายเดือนก่อน

    Nyimbo nzuri Sana na utadumu

  • @careenernest8912
    @careenernest8912 8 หลายเดือนก่อน +1

    Still here on 26/10/2023😢😢😢😢 this song

  • @costanciamwita3854
    @costanciamwita3854 ปีที่แล้ว

    Pumzika kwa Amani Umeacha alama katika maisha mioyo yetu ijapo umelala matendo yako yanaishi.Mungu Aendelee kuukumbuka utumishi wako ,kwa watoto wako awainulie watu watakao wafanyia watoto wako fadhila kama daudi alivyo ifanyia fadhila nyumba ya Yonathan kwa kukumbuka utumishi wa baba yao

  • @JohnSeraphine-ub8lj
    @JohnSeraphine-ub8lj 9 หลายเดือนก่อน +1

    Naileta loho yangu kwako yesu

  • @prettywilla5431
    @prettywilla5431 3 ปีที่แล้ว +2

    This song 🙌🙌🙌 nahisigi na nywele znaxxmka upako unashuka ee yesu🙌

  • @_.nana._223
    @_.nana._223 2 ปีที่แล้ว +8

    The song is so blessingful 🙏

  • @deborasamli6080
    @deborasamli6080 4 ปีที่แล้ว +1

    Pokea sifa izi Bwana Tena uzibariki pia uzijaze pia na roho yangu

  • @yusuphsilas6024
    @yusuphsilas6024 2 ปีที่แล้ว

    Daaah!! Ukweli kila niusikiapo huu wimbo machozi yanitoka Kwan unagusa sn. Mt. Pumzika kwa Aman.

  • @lizzynkifu4179
    @lizzynkifu4179 2 ปีที่แล้ว

    Zawadi gani mimi nitamtolea Bwana Ooh ni Moyo wangu tu siku zote za maisha yangu

  • @BarakMaick-hh7ok
    @BarakMaick-hh7ok หลายเดือนก่อน

    Pokea sifa hizi Bwana Yesu Kristo tena uzibariki

  • @lawrencesemzaba5849
    @lawrencesemzaba5849 4 ปีที่แล้ว +1

    Baba bado kazi yako tunaikumbuk san pumzk kwa aman R.I.P bishop John komanya.🙏🏽🙏🏽🏥

  • @YohanaChalamila
    @YohanaChalamila 2 หลายเดือนก่อน

    Pumzika kwa aman mtumishi nimebarikiwa sana na wimbo huu

  • @markmushi8940
    @markmushi8940 5 หลายเดือนก่อน

    Huu wimbo unagusa hisia zangu mno.mungu ampe pumziko la milele amina

  • @petermahimbo3458
    @petermahimbo3458 ปีที่แล้ว

    Pokea sifa hizi bwana tena uzibariki bwana uzijaze baraka zako pia na roho yangu

  • @lotridahenjewele8431
    @lotridahenjewele8431 3 ปีที่แล้ว +1

    Zawadi gani nitamtolea Bwana wangu , ila roho yangu

  • @user-ie4bv1sy6t
    @user-ie4bv1sy6t 2 หลายเดือนก่อน

    I love you song l love you Asante mungu wa mbingu na nchi nakumbuka mbali sana

  • @mabulajoel1967
    @mabulajoel1967 ปีที่แล้ว

    Hakika Mungu akutunze vyema huko uliko tutangulia baba mchungaji Komanya, wimbo unabariki na hisia zako toka moyoni pia kila leo ukimbwa kwa upande wangu na barikiwa sana pumzika kwa Amani baba mchungaji wakati mahubiri yako yakiendelea kuponya roho za watu kupitia wimbo huu "ZAWADI GANI"

  • @MMUNGAHOSEA
    @MMUNGAHOSEA 3 ปีที่แล้ว +1

    Hallelujah R.I.P Mtumishi wa Mungu twazidi kubalikiw na Wimbo mnzuri huuu

  • @elishapeter2399
    @elishapeter2399 3 ปีที่แล้ว +3

    26/2/2021 wangap inaendelea kutubariki daaah mungu tusamehe dhambi zetu😭😭😭😭

  • @costanciamwita3854
    @costanciamwita3854 ปีที่แล้ว

    Pumzika kwa Amani,Ajapo kuwa amelala lakini ni kama anaishi,wimbo huu umefanyika baraka kwa wengi.

  • @defrosanelson6605
    @defrosanelson6605 5 หลายเดือนก่อน

    Duuh wimbo mzuri jmn 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭👐

  • @veronikajames2548
    @veronikajames2548 3 ปีที่แล้ว +1

    R.i.p mtumishi, tunaendelea kubarikiwa na nyimbo zako

  • @sofiayustusimuliriye3806
    @sofiayustusimuliriye3806 4 ปีที่แล้ว +2

    Amen sana Be blessed kwakwel mwmbo unanissmua sanaaas😚

  • @MariaMjanja
    @MariaMjanja 2 หลายเดือนก่อน

    Thanks God ❤

  • @lucyelia1601
    @lucyelia1601 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu ni mwingi wa baraka na huruma wimbo unanigusa sana

  • @jacklinetossi1339
    @jacklinetossi1339 3 ปีที่แล้ว +3

    God bless u pastor wherever u are bcoz we are continue to listening you are song

  • @atusbaraka
    @atusbaraka 2 ปีที่แล้ว +3

    2022 of blessings 🙏❤️🙏

  • @amanikudeli5297
    @amanikudeli5297 ปีที่แล้ว +2

    2023

  • @ispiyvette3664
    @ispiyvette3664 3 ปีที่แล้ว

    Zawadi gani nikupe mungu wangu kwakunifikisha kwa iyi tare 30/12/2020

  • @godwinchristian5252
    @godwinchristian5252 2 ปีที่แล้ว

    Mungu ni mwema 1.1.2022 zawadi gani nitakutolea Bwana ahsante sana Mungu wetu

  • @robinsonmulwa
    @robinsonmulwa 3 หลายเดือนก่อน

    Great message

  • @user-yz5zn4tr6i
    @user-yz5zn4tr6i 7 หลายเดือนก่อน

    AMEN ❤❤❤❤❤this song😢😢😢😢

  • @mariamkingu5571
    @mariamkingu5571 9 หลายเดือนก่อน

    Pumzika kwaamani tunabarikiwa na wimbo wako mtumishi

  • @peterchristian-rv6xo
    @peterchristian-rv6xo 18 วันที่ผ่านมา

    Mbele yetu nyuma yako

  • @MussaKamando-np3wi
    @MussaKamando-np3wi ปีที่แล้ว

    😭😭😭😭😭😭😭😭 r.I.p my daddy pumzikaa kwa amanaa

  • @fortunathajohn9745
    @fortunathajohn9745 2 ปีที่แล้ว

    Uliimba vizuri sana mchungaji pumzika kwa amani 😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏

  • @robinahumphrey9725
    @robinahumphrey9725 2 ปีที่แล้ว

    Kwani ashakufaga ninavyoupenda huu wimbo ndo mlio wa simu yangu miaka yote.

  • @user-vh2kh7nq1p
    @user-vh2kh7nq1p 3 หลายเดือนก่อน

    wimbo mzuri sana

  • @amosbett8307
    @amosbett8307 9 หลายเดือนก่อน

    am blessed , remain blesssed man of God. surely nothing worth than to give away self to ELOHIM, OUR CREATOR

  • @ashalex4759
    @ashalex4759 4 ปีที่แล้ว +9

    Hao walio 9 dislike wimbo huu hawatakiwi Kwenye Jami na nahisi niwatumishi wa sheteni

    • @hadijamaurine1562
      @hadijamaurine1562 3 ปีที่แล้ว

      Huezi jua labda wanajua ndio like

    • @mussastephano4938
      @mussastephano4938 หลายเดือนก่อน

      ktk ufalme hatulaumu, tutoe baraka kwa wote, hawajui walitendelo, tuwe mfano wa nuru ya kweli

  • @BahatiLeonard-vl6nq
    @BahatiLeonard-vl6nq 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nipooo

  • @user-ex7es6fe3c
    @user-ex7es6fe3c 4 หลายเดือนก่อน

    Sina Cha kumtolea MUNGU ila roho yangu

  • @ayyonewz462
    @ayyonewz462 2 ปีที่แล้ว

    Mungu naomba nihurumie

  • @frankzulfa3093
    @frankzulfa3093 4 ปีที่แล้ว +1

    Huu wimbo kwa kweli uwa unaniliza sjui kwanini

    • @shakurkimboka4621
      @shakurkimboka4621 4 ปีที่แล้ว

      Ni kwa ujumbe ulio ndani yake

    • @frankzulfa3093
      @frankzulfa3093 4 ปีที่แล้ว

      @@shakurkimboka4621 kweli ndugu uwa unanifanya niwaze sana

    • @priscamaboto9370
      @priscamaboto9370 4 ปีที่แล้ว

      Your soul may rest in peace

  • @samsonmwakikuti5318
    @samsonmwakikuti5318 2 ปีที่แล้ว

    Pumzika kwa amani Pastor!

  • @malaikadavid6523
    @malaikadavid6523 2 ปีที่แล้ว +3

    My song❤️🙌

  • @daniellaaidal2233
    @daniellaaidal2233 4 ปีที่แล้ว +3

    Good Job🙏🙏🙏

  • @jenipherchristopher8083
    @jenipherchristopher8083 3 ปีที่แล้ว

    Yesu cina cha kukulipa ila pokea sifa hz Bwana

  • @ruthkasogota5840
    @ruthkasogota5840 4 ปีที่แล้ว

    Mungu akupumzishe mahali pema wimbo wako unanibariki sana tutaonane kwa baba