Wakati huu mungu nikiwa mgonjwa hadi siwezi kutembea wacha huu wimbo uwe manukato kila wakati mimi usikizi huu wimbo wakati niko Mzima au mgonjwa,wale mko nami 2023 kusikiza pray for me najua God will make away😭😭🙏🙏
Nyimbo huimbwa na huisha wakati mwingine mpaka hazisikiki but this man's songs are new each day ..we still sing them adi waleo .,...they really touch my heart and makes greater impact in my spiritual life 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Ninabarikiwa sana na huu wimbo wimbo huu jion yaleo ukawe manukato kwaajili ya matendo makuu aliyoyatenda juu ya familia yangu pokea sifa mungu Aminaaaa
Niko Congo DRC lakini kila mahali niki wimbo huuuu naliya moyoni mwangu kumupoteza sedekiya ni uzuni sana ila naamini kumuona siku moja tukisifu sote pamoja mbinguni ❤❤❤❤
The last day of the year bado nasema wewe uketiye juu ya vyote jina lako libarikiwe hata kwa haya ninayopitia acha ukawe manukato mwaka mpya wa 2024 nikakuone🙏🙏🙏🙏
I like the way they dress. They dress moderately. Quite different from some of the current gospel singer's who are overdoing in dressing and makeup in such a way that their songs lack anointing. RIP brother Sedekia.
Wenye tumewekewa wimbo mpya 2025 wekeni like❤❤❤❤
Who else is here in 2024, It gets even more emotional when Pastor Ezekiel is singing, I can't get enough of this song.
He made me know it
I like it when my Dad is singing
I too got to know about it thru pst ezekiel
Nipo apa bwana wangu 😢🙌🙌🙌
Tuko wengi😅😅
Kila anayetazama video ya wimbo huu Mungu azidi kumbariki na ampe haja ya moyo wake kwa jina la Yesu Kristo amen 🙏 2.10.2024
Mm leo nimeukumbuka unanipeleka mbingu za mbingu,nimejaribu kusikiliza cover mbalimbali ila hazijanigusa sana kama ambavyo nikimsikiliza yy mwenyewe
Amina
Amina 🙏
I leave this comment here so that when someone likes it I'll be reminded to listen to it again....
👏
I wish I could give a 1000000+ likes 🙏
Be blessed
Mungu azidi kukupa pumnziko la milele mtumishi,hakika wimbo huu ukawe manukato
Ni 2024 na huu ni wimbo unaonibariki zaidi.
I get so emotional 😭 when i listen to this song😢🙏🙏
2024 my favourite songs kila nkickia huu wimbo natokwa n machozi nkkmbka penye mungu amentoa nazidi kmwaabudu
My favorite minister of God.This song is new everyday
2023 na bado tunaabudu kupitia manukato haya. RIP Fanuel... you'll live forever.
My God kumbe amesha lala😭😭
Dah
@@evansgeryon420 Yes while in Israel for a tour
You mean pastor fanuel is late!
This song really blesses my heart, continue resting in peace
Am here in 2024 because of pastor Ezekiel.
He called 'Sedekia'
2024 nipo na sijui lini nitaacha kusikiliza huu wimbo❤
Pumzika vema mtumishi wa mungu fanuel
2080 who is here?? Say hi to our grand child 😭😭😭😭🙏🙏🙏
😅😅
😂😂😂 2080reallyy
😂😂
😂😂😂😂😂 Kenyans,I blame Ruto
Umewaza mbali sana😢Hi to them
24/9/2024 nimefika kazini huu wimbo ukanijia nikaanza kuimba, Jina la Bwana libarikiwe
Amein
Sedekiah died and left the legacy❤❤God's people what will we leave for Gods people to remember us😢😢😢
Let's turn back to Christ before it's too late😢
😢Mungu Asante kwa maisha ya Fanuel Sedekia alipokuwa hapa duniani
Ameen
Wakati huu mungu nikiwa mgonjwa hadi siwezi kutembea wacha huu wimbo uwe manukato kila wakati mimi usikizi huu wimbo wakati niko Mzima au mgonjwa,wale mko nami 2023 kusikiza pray for me najua God will make away😭😭🙏🙏
Mwenyezi mungu akakuponye kwa damu ya yesu kikrsto kila penye ugonjwa basi pakakaushwe kupitia nyimbo hii
Get well My dear,,,Mungu wetu ni mponyaji🙏
@@johndoreen2585 nilipona I thank God
Utapona wimbo huu ukawe manukato
Ukiamini guuud naukakzia kuamini hakika unainuka nautatembe,,kama yeye mwenyewe alivyotembea juu ya maji
2023 and am still here to worship. Keep shining with the Angel Fanuel 🙏🏾🙏🏾
Nyimbo huimbwa na huisha wakati mwingine mpaka hazisikiki but this man's songs are new each day ..we still sing them adi waleo .,...they really touch my heart and makes greater impact in my spiritual life 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
The kind of song that will live forever
True
Kbs mindonyimbo zangu daima zinashusha roho mtatifu najikuta nanena kwa lugha
The only person who sang from heart true worship 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
True infact very true
When ever I listen to this song I feel like God is around me....may your soul rest in peace legend
I still get emotional when I listene to this song, ❣️🌹,,, continue dancing with the angels SEDEKIA
Mimi nimusilm likin napenda sana ii nyimbo kwakwelii
Barikiwa🙌
Karibu kwa yesu kristo
tuko Kwa kizazi Abraham
Napenda sana wimbo huu unaubariki moyo wangu sana
Unaipenda sana et
2024 .... Utukufu ufike kwake Mungu..... Manukato 🎉🎉
Hakika mwanadam ni mavumbi sifa kuu Kwa muumba
Asante Mungu, 2024 🎉🥹
A man that was after God's heart ❤️,am sure God was also after his heart and HE is proud of GOD CHOOSES THE BEST
True
Good comment
Wimbo huu ukawe manukato amina
Nimebarikiwa kupitia wimbo huu....
Fanuel hauko nasi kimwili lakini umeendelea kuwa nasi kupita nyimbo zako baba🙏🙏🙏🙏
Ninabarikiwa sana na huu wimbo wimbo huu jion yaleo ukawe manukato kwaajili ya matendo makuu aliyoyatenda juu ya familia yangu pokea sifa mungu Aminaaaa
I heard this song today at newline crusade morogoro 🇹🇿 it has blessed me alot spiritually, am from Kenya 🇰🇪
Glory to God
Nafarijika sanamungu akupepumziko jema
Kila alipangalo mungu binadam huwezi pangua endelea kulala kwa aman baba yet kipenz
Niko Congo DRC lakini kila mahali niki wimbo huuuu naliya moyoni mwangu kumupoteza sedekiya ni uzuni sana ila naamini kumuona siku moja tukisifu sote pamoja mbinguni ❤❤❤❤
Sifa Izi zifike kitini pako baba nashukuru kwakuniweka ahii adi Sasa sio yakwamba Mimi mwema apana Bali ni kwaneehema na upendo WAko baba🙏🙏
2024 /6/8 sifa zangu zifike na wimbo wangu uwe manukato 🤲🤲🤲🙏🙏🙏🙏
The song still hits at this time..my soul feels blessed
Hii nyimbo hunibariki kweli to me it's still fresh n new Rip Fanuel
Hakika mungu uu mkuu nakupenda mungu wangu
@@millicenteida Amina. He was a talented artist like just like Angela Chibalonza.
RIP mtumishi wa Mungu nyimbo zako bado zatubariki miyoyoni mwetu nime kukumba kwa sababu ya mtumishi wangu pastor Ezekiel
Wewe ni Niko ambaye Niko mungu atusaidie kushinda majaribu
We are here in 2024
2024 tupate wapi wenye wanaabudu kwa roho na kweli
05.06.2024 May His praise be continually on my lips. 🙌🙌🙌
Indeed this was a masterpiece ❤ 0:13
2024 am still here to enjoy this beautiful song.I have been here since 2009.Heaven really gained.❤
Hakika haupo duniani lakin nyimbo zako zabariki sana najua hii sauti unaimba nayo ndio hata sasa unaimba na malaika mbinguni alelujh
2024 kifo hakna fumbo tuko nyuma yako fanuel
This man,even when I was young I was still listening to his songs ,,may his soul rest in peace
Milele na milele utabakii kuwa MUNGU 😢 Asante kwa zawadi ya maisha haya 8/10/ 2024
God forgive me 😭😭😭I'm a sinner I'm not perfect I have sinned and fallen short of your Glory mungu baba Nisamehe
Zinahit bado na zitamtukuza Mungu milele Sema amen kama N hivo
Amen
Every time I listen to your songs,I say I word for you,mei the lord give you merciful judgement and consider you
One of my favorite from late Zedekiah Fanuel, to God be the glory.
RIP Fanuel
Wimbo mzuri hauchoshi kusikliza utukufu ni wako mungu 😢😢😢 pumzika kwa amani mtumishi sedekia
Nabarikiwa sana na huu wimbo pia nlipenda sana huyu mhubiri sedekia
Wimbo huu ukawe manukato. Sioni cha kuheshimisha moyo wangu. Pokea sifa za moyo wangu Baba
Even till the end of this world this song still alive
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭pumzika Kwa amni mtumishi wa MUNGU wimbo unanifanya nijione wa than kubwa mno
@2024 still worshipping with this particular piece 🙏.. continue resting in eternal peace Zedekiah 😢
2024..This song blesses me a lot, anytime I listen to it I get new revelation ❤.
The last day of the year bado nasema wewe uketiye juu ya vyote jina lako libarikiwe hata kwa haya ninayopitia acha ukawe manukato mwaka mpya wa 2024 nikakuone🙏🙏🙏🙏
Through pastor ezekiel I had to search for this song its carries anointing
2025 and am here to glorify to God that indeed he is an awesome God.
Hua nabarkiwa Sana ahsante kwaujumbe mzur
Wimbo huu ukawe manukato wewe uketie juu ya vyote🎉
at night shift listening to this master piece, i reflect where am coming from, where i am and where am going
Ameweka wimbo kinywani mwangu 2025, nitakuabudu bwana
Combination of Sedekia, emachichi and chibalonza songs are POWERFUL!!
His songs are so much blessing
❤ hallelujah 🙏 2025 tumefika
Tumempoteza mwimbaji wa injili halisi😢😢. R.i.p brother Sedekia. Kama unatizama nami 2023 tujuane
Mungu akuweke pema peponi ezedekia .
Wimbo wabariki Hadi sasa mafuta ya bwana hayanyauki na hayazeeki kamwe 2025.
LORD I BLESS YOU BECAUSE OF THIS SONG👐👐👐👏👏💃
This piece will always ring in our minds. Rest in peace Fanuel
This song has been in my Spirit since I woke up and I had to search and listen to it. 2024/05/24.
Ev Ezekiel made me come back here true worship lives.Continue resting in Jesus bossom
❤❤❤amen
Im praying for a soft heart,kind spirit and a peaceful life from the Lord...kama zaburi ya Daudi..manukato
May His soul rest in peace. Feel blessed with his songs.
death don't have no mercy blessed is u Man of God
Farewell my legend singer❤🙏❤
Wewe uketie juu ya vyote sifa hizi zifike kitini pako 😢😢😢🤲🏻🤲🏻🤲🏻
Wimbo huu nimeurudia mara mingi lakin bado unanibarika kama vile ninaanza mara ya kwanza kusikiliza... Asante MUNGU❤
Mungu akurehemu Mtumishi upumzike kwa amani. Nyimbo hizi zinanibariki sn kila ninapozisikiliza
I like the way they dress. They dress moderately. Quite different from some of the current gospel singer's who are overdoing in dressing and makeup in such a way that their songs lack anointing. RIP brother Sedekia.
And whenever I listen to this song,I find peace 🙏🙏🙏
i cant stop praising God via this Song
In 2024 and still listening and watching this late man of God,,i love his songs, continue resting in peace,, 😭😭
The further more is Joy in our hearts
God be with me always
Thanks you jesus kwa huruma yako maishan mwako
2024 here we go
Still listening 🎧.2024,RIP Fanuel we miss you so much
He was precious. So gracious. God bless his family
Manukato 💐,indeed heaven got the best,2023, still a hit 🎯
This song reminds of my childhood when I used to live with my dad in his workplace. I loved it so much upto date.
Omg how come I didn't know him? I heard this song in church today, pastor Ezekiel was singing it and I had to look for it.
In 2023 listening to this song,inahuisha moyo wangu,mungu hazidi kulaza roho yako zedikia
Up to now I still listen to think song and it touches me always whenever I want to worship my God.....
naupenda huyu wimbo❤
Alikua ni baraka Mungu akumbuke kazi zake
Rest in peace, shujaa wa yesu🙏🙏🙏
This was a true worshipper,Thank you Lord for this gift he really set standards for you 🙏🙏
I do cut onions whenever I listen to this song..
Mungu akue nawe
No one of our generation can beat Fanuel, the best worship songs of all time!! Continue resting in peace hero
Mmi hiyo mtoto ndyo ananifurahisha vile anaimba smat wee😢😢