Mungu Unaishi - Nyimbo Za Kuabudu Unajibu Maombi (Amon & Upendo Kilahiro)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 23 ก.ย. 2017
- The Best Of African Music: Kikuyu Music: Kikuyu Gospel Music: Kenyan New Music 2016: Kamba Music: kalenjin Music: Luyha Music: Kadogo Kamu: New Ugandan Music: New Zambian Music: New Rwanda Music: New Kenyan Music: New Taarab Music: New Gospel Music: New Tanzania Music: New Zanzibar Music: Kenya gospel music: Tanzania Gospel Music: Zambia Gospel Music: ugandan Music
- เพลง
Aliye hapa 2024 kukaribisha roho mtakatifu kupitia wimbo huu❤❤❤
Nani ako hapa 2024
Niko❤❤❤❤
Mimi hapa leo
Unajibu Maombi wimbo huu unaendelea kunipea matumaini makubwa maishani
Kama una Imani Mungu Anajibu Maombi....sema kwa Kulike
Mungu wa ajabu aweza yote
God is good for everything because I prayed for him and has done all thanks 2her if promised something he can't take back
Najuwa utanipitisha kwenye aya nayo pitiya baba mungu wangu
Hakika Mungu ni mwema sana
@@janetshao6423 kila wakati
Nataka nimshukuru mungu maana kila wakati yuko upande wangu
Mm nilifiliwa na wazazi wangu lakini kila wakati niitapo jina la bwana huninibu kwa haraka sana.ndunguvyangu usikate taamaa.maana bwana yuko na anajibu kwa wakati wake.kila wakati mshukuru mungu.amen
Nakuamini Baba,nifanyie Strong Testimony katika kipindi hichi kigumu kwangu.....
Natumaini maombi yangu yatajibiwa inshallah🙏
2024 praying for God’s intervention through sickness . I believe God will answer my prayer.
Amen
Our good Lord shall come through hakuna linalo mshinda
Amen
Amen
Hakika Mungu anajibu maombi. Kila nikisikia wimbo huu napokea majibu. Asante Mungu wangu mwema
Nan yuko hapa 2023, twakuomba ujibu maombi yetu
Huu wimbo umenijia baada ya maombi ya asubuhi...nikaamua kuusikiliza kabla sijatoka kwenda kwenye utafutaji..Mungu wangu na baba yangu wa mbinguni naamini unajibu maombi.
Mungu nijibu maombi yangu😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏
Mwaka huu lazima mungu ujibu maombi yang na yakila mtumishi wako jehova
Mungu unajibu maombi
Unajibu maombi nakuamini Bwana ...maana wew uuuu mwaminifu .. hii nyimbo ni bora kwangu naamini MUNGU unaenda kunijb
This song came to my mind and I decided to play it before I sleep
Naamini Mungu atanijibu maombi yangu and all glory and honor will be His
Unajibu maombi 2024 nakuamini bwana
Amen
Amen Mungu anaendelea kuipigania nabrikiwa kupitia huu wimbo
2020 na ninashuhudia kwamba Mungu anajibu maombi na jina lake litukuzwe Amina!
Unibumambi
Amen.
Amina ...na me naamini nitatoa wangu
Baba Mungu naomba na mimi unijibu maombi yangu katika jina la yesu kristu alie hai
God answers prayers,it doesn't matter how long it takes,thank you Lord for answering my prayers
Barikiwa Sana juu ya huu wimbo mtunzi, kila napousikiliza nafurika roho mtakatifu najazwa upya❤❤❤
Nyimbo zenye uvuvio wa roho mtakatifu... More than 20yrs. Bado unaishi tena kwa upako mkubwaa. Glory to almighty God who answer our prayer.
2024..bado anajibu maombi
This song is too deep 🙏🥹. Una jibu maombi Baba🙏Wimbo huu ukawe na mguso kwa kila mtu anaepitia Changamoto na kuweka tumaini tena 🤗. 2024 ni mwaka wa ushindi😇
Hata hii corona haina Nguvu tena katika JINA LA Yesu! Maana Mungu wetu anajibu maombi yetu
Hakika Mungu atajibu kuhusu ugonjwa huu WA corona! atatuponya Mungu wetu naamini
He is always faithful and answers prayers. Thank you jesus
Mungu unajibu Mambo
Amen and amen
Nikweli anajibu
2009 was tough for me so one day I give up crying and sung this song of which I did know it exists and God gave me an answer.
Thank you lord what a powerful song
When l sing it l always get what l want🙏🙏
Mungu naomba ukanijibu maombi yangu, Kama ezekia alipokulilia ukamuongezea miaka
@@emeldahshikutwa5295 hhhujjjhhhh🤰👱♂️👱♂️
Mungu wewe pekee hujibu maombi
Amen
Just seen God doing great things to me today, and before, I remembered this song today, that's why I am here!
MUNGU UNAISHI, U HALISI BABA 🙌🙌🙌
God has been so merciful to me dispute everything I have gone through you keep showing me that you got me…And this song just started playing at the back of my head wacha Mungu alieye nionekania awafanyie hata nyie 😊😊😊😊
Yes,,unajibu Mungu Umejibu Maombi Yangu have passed through alot but Umejibu Maombi Yangu,,Naomba kajibu pia ya kila Mmoja hapa hallelujah 🙏
Amina
Ameen
Amen 🙏
Amen amen mungu wetu akingali leo jana na milele 2023🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸
Unajibu maombi Baba, na mimi, nijibu yesu wewe muaninifu sana Muumba wangu .amen
Ameeeni hakika Baba unajibu maombi 🙏🙏nitakuinua milele yote Mungu nakutukuza saana umeonekana katika sehem yote ya Maisha yangu ee Mungu wangu sina cha kukulipa jehova 🙏
Unajibu maombi hujawai kishindwa na lolote 🙏🥰😭
Finally nimeupata huu wimbo
Siz Amon naupenda wimbo huu sana, ombi langu ni ufanye remix kama inawezaka ❤️
Hata Leo hii nakuamini mungu wangu unaenda kujibu ombi langu, niliomba miaka 2,kwani hauchelewi wala hauwahi amina
May the lord answer my prayers through what am passing...
Oh God answer my prayers so that I may come back to testify here🙏
Weeping may endure for a night but joy comes in the morning.Hang in there God is coming through for you.Hachelewi Wala hasinzii
Wimbo wangu pendwa sana, Mungu unajibu maombi, endelea kutujibu wanao
Psaumes 65:3 : O toi,qui écoutes la prière !Tous les hommes viendront à toi. Merci et Gloire à Dieu pour cette chanson.
Who’s listening to this beautiful healing song in Dec 2021..indeed God answer prayers let’s keep praying and having faith on him
WATU WA MUNGU MUNGU ANACHUKIA KUACHANA. TAFADHALINI RUDISHENI MIOYO YENU MSAMEHEANE. HAIJALISHI MMESHAINGIA KWENYE NDOA NYINGINE BADO MTAKUWA MNAZINI NA MKIFA NI JEHANAM. TAFADHALINI SANA HEBU SAMEANENI NAIMANI MLIPENDEZEANA SANA WAPENDWA. MBONA MMEACHANA WAPENDWA😢. MBONA MMETENDEANA MAMBO YA IYANA WAPENDWA😢😢😢😢😢😢😢.
YESU jibu maobi yangu nadharauliwa hata na ndugu marafiki basi nijibu nami
Mwenyezi Mungu akujibu ombi lako muamini sana Mungu ni muanifu na anajibu kwa wakati wake. Kuna muda unaweza kudhani amekuacha ila anajua na anatuwazia mema wakati wote. Maisha yangu ni shuhuda ya ukuu wa Mungu na kumuani hata ambapo unapoona giza mbele yako weka imani yako juu yake
For sure God anajibu maombi 🙏🙏🙏
Amina namshukuru Mungu naimarika kiafya
2020 Unajibu maombi Bwana usiniache
God i know and believe am next in the line...am bleeding but believing in you for better days ahead
Unajibu Maombi Yesu, Faithful God you are.
This song has always ministered to me in tough times 🙏
Hakika unajibu maombi Mungu wangu nakuamini Bwana. Thank you Jesus
Our Father I worship you.You who answers prayers.
In Jesus name i declare peace and victory
Amen
Every time i would sin this song God would show up and doors would open, after many years on it God open for me doors....... I need you
I've never played this song but this season of my prayer and fasting I've just pumped into it and I know God is responding to my prayers oooh Baba jibu maombi yangu
Let God be God, this song come to me after God done 🥰🥰❤️❤️
Unajibu maombi eeeh mungu kutana na mahitaji yetu uka jibu maombi
Bwana yesu wewe ni mwaminifu nakuamini bwana naomba unijibu maombi yangu mwaka huu nifichie aibu yangu bwana sina mwingine wa kumweleza shida zangu maana ww wanijua kabla hata sijazaliwa naomba unijibu yesu wangu
2020 ni ya kujibu maombi nakuamini bwana Asante Mungu wangu
Ahsante Mungu wangu hakika unajibu maombi.
Nitakuabudu na kukusifu maisha yangu yote.🙏🏾
Our God is faithful.He listens and answers
Glory be to God who is never rejected my voice in prayer or withheld His love for me 🙏🏽
Wangapi wekuja hapa baada ya kuona ndoa ya Amon na mke mwingine?? 2022 na kumbe Upendo nae alishaolewa na mwingine Marekani.
Sichoki kusikiliza wimbo huu sababu ulinibaliki
Unajibu maombi Mungu wangu
Wimbo huu daa naupenda saana tena saana
Tusamehe baba zambi zetu na utujibu maombi yetu baba sisi n wana was angano
Mungu n mwema kabxa naupenda sana huu wimbo
Amen
Kupitia huu wimbo Corona itatoweka katika Jina la Yesukristo kamaunaamini gonga like
Amen unajibu Maombi Bwana haijalishe itachukua miaka mingapi Wewe nimwaminifu 🙏🙏🙏
Thank you God for always answering our prayers.
Amina 😭😭😭nimejikuta nalia kwa niliyoyapitia ila namshukuru Mungu nipo salama na Bado unanipigania naomba nifike mbali zaid
Nakuamini mungu utajibu maombi yangu 2020 asante bwana
Mungu awabariki watumishi wa Mungu Amon na Upendo Kilahilo kwa utumishi wenu. Amen
It's true God answers prayers keep holding on keep on praying don't give up you too will sing this song as I've done in Jesus name
Hakika huu wimbo umebeba ujumbe mzito wenye upako wa roho mtakatifu. Yesu unajibu maombi sifa na utukufu kwako Hallelujah
Mungu awabarikisana kwer mumgu anajibu maombi
Mungu wa isaka mungu wa yakobo ww ndie ujibuye maambi yeru jinq lako lihimidiwe milele na milele amen
Unajibu maombi 😭🤲🙏🙏
Amen, The Lord answers our prayers, the singers voices are WOW,.
Amen,n kweli Mungu we2 hachelewi kwani ajibu maombi,asante kwa nyimbo wa himizo
Natamani kuona mnasonga mbele katika Kristo
Hallelujah, wewe ni Mungu ulie karibu
amina
I love this song. Huu wimbo uko na upako wa kipekee
Unajibu maombi Mungu nakuomba ukajibu tena 2020
Asante mungu kwa kunifikisha 2021.naomba ulinzi wako mungu nayaleta mahitaji yangu yote mbele zako. Naileta familia yangu mbele zako mungu . unajibu maombi nakuamini bwana. 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
so alive and inspiring! Glory to God!
Mungu ni muaminifu
2021 how many are still touched by this song like me..let's show some 💘 to this song
Unajibu Maombi ,usinifiche USO wako siku ya shida yangu.
Ok
Unajibu Maombi Yesu❤️😭🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Mungu anajibu Maombii Usichoke Kusubiria Jibu lako omba kwa Uaminifu na Mungu atafanya Hakuna linalomshinda Mungu chin Ya Jua Amin hivyo Ameeeeeen
Amen hakika Bwana anajibu Maombi
Mungu wetu ni Mungu mwaminifu sana, naamini ameshajibu na kwangu. Amen.
Hakika nimebarikiwa sana na kama ukimwita mungu wetu niwalehema anajibu maombi yetu
Since 1997 the song is still hit, thank you God. Is the year I watched this video.
Sirius 1997 this song😊😊
Kumbe ni ya kitambo?
Heee ni ya muda kiasi hicho?!
Hallelujah wewe ndie unajibu maombi amen
Amen Amen Amen mungu anajibu maombi 😢
This song takes me to another level of faith
Am praying n trusting God fo an answer,it's an yes
29/4/2020 unajibu maombi nakuamini yesu wangu
Unajibu maombi !!! Pokea sifa na utukufu!🙏
Mungu sikiya maombi yangu, naitaji musaada wako
My God is Father of the miracle, who correct ma way whenever I have a lot of sin but he never let mi down!!! oooh Lord
Mungu nakuamin utajibu maombi yangu naamin kabla ya huu mwaka kuisha nakuabudu Mungu wangu nifungue na vifungo vya kukataliwa
Ni kweli Mungu unajibu mombi nimemuona Akijibu kila ninapomwitia Amina,Wacha Mungu azidi kukuinua zaidi
Nabarikiwa kwa mimbo
Nakuamini BWANA.. unajibu maombi 🙏
ubarikiwe mtumishi touchable song