Christina Shusho - Wa kuabudiwa (Official Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 มี.ค. 2021
  • #ChristinaShusho #Gospel
    (C) Relax Investment
    Christina Shusho Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:
    ffm.to/christinashusho
    Written & Performed by Christina Shusho
    For Bookings: cshusho@gmail.com
    Follow Christina Shusho on:
    / christinashusho​
    Channel Administered by Slide Digital
    Instagram: slidedigitaltz

ความคิดเห็น • 3.5K

  • @ChristinaShushoMusic
    @ChristinaShushoMusic  ปีที่แล้ว +1454

    Wimbo huu ni moja kati ya Nyimbo zinazojulikana sana katika mataifa mbali mbali.
    Kifupi niseme haya ndio maneno yangu ya kila siku.
    Pamoja na kwamba nyimbo hizi zilifutika awamu ya kwanza namshukuru Mungu kuwa bado wimbo una uhai ndani yake.
    Mungu awabariki sana

  • @aggysm2116
    @aggysm2116 4 หลายเดือนก่อน +336

    Who else is listening this elevating, worship song in 2024, thanking God for His faithfulness

  • @elizabethnjau6911
    @elizabethnjau6911 หลายเดือนก่อน +59

    Who is here 2024 listening to this amazing song❤wakuabudiwa ni wewe Mungu🙌🙌🙌🙌🙌

  • @GraceMachi-fn3ci
    @GraceMachi-fn3ci 3 หลายเดือนก่อน +132

    Anybody else watching it 2024🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

    • @oliviakaarie6671
      @oliviakaarie6671 3 หลายเดือนก่อน +1

      I am here

    • @lavenderawuor1400
      @lavenderawuor1400 หลายเดือนก่อน +1

      Still powerful as if it was released this yesterday. Glory to God

    • @macdennis2697
      @macdennis2697 หลายเดือนก่อน

      Oh yeah....Still a blessing up to date

    • @JuliaCheptum-nh2eu
      @JuliaCheptum-nh2eu หลายเดือนก่อน

      Here iam

    • @kelvinshawa6938
      @kelvinshawa6938 หลายเดือนก่อน

      Here

  • @thescenic2105
    @thescenic2105 11 หลายเดือนก่อน +180

    Am leaving this comment so that when someone likes I am gonna come back and listen again❤..
    It's year 2023 July ,hard days

    • @user-yq3hl1cp6b
      @user-yq3hl1cp6b 4 หลายเดือนก่อน +2

      2024, February, am here
      May GOD answer every prayer of your heart. 🙏

    • @user-ce4vn1cw5e
      @user-ce4vn1cw5e 3 หลายเดือนก่อน +1

      This song bless me a lot

    • @user-ce4vn1cw5e
      @user-ce4vn1cw5e 3 หลายเดือนก่อน

      Powerful worship to God be the glory 🙏

  • @MarcusSewe
    @MarcusSewe 11 วันที่ผ่านมา +5

    Anyone from Kenya 2024❤ love this song .

  • @FaithfullTeachings
    @FaithfullTeachings 2 หลายเดือนก่อน +79

    Who is here in 2024..

  • @violetchabala6425
    @violetchabala6425 หลายเดือนก่อน +17

    2024 we are here. Glory be to God ❤ from Zambia

  • @kennethikechukwuebegbulem8729
    @kennethikechukwuebegbulem8729 ปีที่แล้ว +74

    Am Anastazia Mukuka Mulenga From Zambia🇿🇲 I love this song very much Though I don't Understand Swahili that much, But when listening to this song I feel something else and my eyes full of tears... please like my comment so that I get reminded and come back to listen to it again 💜🙏🇿🇲🇿🇲🇿🇲

    • @AwadhHussein-zj5cf
      @AwadhHussein-zj5cf 3 หลายเดือนก่อน +1

      Come over to East Africa and learn Swahili

    • @misozingoma
      @misozingoma หลายเดือนก่อน

      T love the ❤song too but I can't understand it

  • @AliceLamwaka8672
    @AliceLamwaka8672 ปีที่แล้ว +54

    We shall worship JEHOVAH ELOHIM alone even in 2090
    Wapi makofi yake tafadhali
    Salamu kutoka UGANDA🇺🇬🇺🇬🇺🇬

  • @dannykisaflame
    @dannykisaflame ปีที่แล้ว +406

    Lyrics
    Wakuabudiwa,
    Wakuheshimiwa ni wewe Mungu (You are worthy of worship and Honor)
    Wakupewa sifa, na utukufu,
    Ni wewe Mungu (worthy to receive all praise and glory)
    Mungu mwenye nguvu,
    Wastahili heshima zote (Mighty God, you deserve all honor)
    Hakuna mwingine wa kulinganishwa na
    Wewe Mungu (There's no one like you God)
    Wakuabudiwa,
    Wakuheshimiwa ni wewe Mungu (You are worthy of worship and Honor)
    Wakupewa sifa, na utukufu,
    Ni wewe Mungu (worthy to receive all praise and glory)
    Mungu mwenye nguvu,
    Wastahili heshima zote (Mighty God, you deserve all honor)
    Hakuna mwingine wa kulinganishwa na
    Wewe Mungu (There's no one like you God)
    Umesema wewe, jina lako liko liliko ni we Mungu (You're the I AM God)
    Unafanya mambo yaliyo juu ya fahamu
    Zetu Mungu (You do amazing things God)
    Ukisema ndiyo, nani awezaye kupinga?
    Hakuna (If you say yes, no one can say no)
    Wewe unatupa kushinda na zaidi ya
    Kushinda (You give us victory over victory)
    Unatupandisha utukufu hadi utukufu;
    Mungu (You lift us from glory to glory God)
    Umesema wewe, jina lako liko liliko ni we Mungu (You're the I AM God)
    Unafanya mambo yaliyo juu ya fahamu
    Zetu Mungu (You do amazing things God)
    Ukisema ndiyo, nani awezaye kupinga?
    Hakuna (If you say yes, no one can say no)
    Wewe unatupa kushinda na zaidi ya
    Kushinda (You give us victory over victory)
    Unatupandisha utukufu hadi utukufu;
    Mungu (You lift us from glory to glory God)
    Wakuabudiwa,
    Wakuheshimiwa ni wewe Mungu (You are worthy of worship and Honor)
    Wakupewa sifa, na utukufu,
    Ni wewe Mungu (worthy to receive all praise and glory)
    Mungu mwenye nguvu,
    Wastahili heshima zote (Mighty God, you deserve all honor)
    Hakuna mwingine wa kulinganishwa na
    Wewe Mungu (There's no one like you God)
    Wakuabudiwa,
    Wakuheshimiwa ni wewe Mungu (You are worthy of worship and Honor)
    Wakupewa sifa, na utukufu,
    Ni wewe Mungu (worthy to receive all praise and glory)
    Mungu mwenye nguvu,
    Wastahili heshima zote (Mighty God, you deserve all honor)
    Hakuna mwingine wa kulinganishwa na
    Wewe Mungu (There's no one like you God)
    Uzima wetu uko mikononi mwako Mungu (Our lives are in your hand God)
    Unawapa nguvu,
    Wanyonge na wadhaifu Mungu (You give strength to the weak God)
    Unawanyeshea mvua wema na waovu mungu
    (You rain on the good and the evil God)
    Wanadamu nani wa kulinganishwa na
    Wewe (Who is man to be compared to you?)
    Nani mwenye nguvu wa kusimama mbele
    Yako Mungu (Who can stand before you?)
    Uzima wetu uko mikononi mwako Mungu (Our lives are in your hand God)
    Unawapa nguvu,
    Wanyonge na wadhaifu Mungu (You give strength to the weak God)
    Unawanyeshea mvua wema na waovu mungu
    (You rain on the good and the evil God)
    Wanadamu nani wa kulinganishwa na
    Wewe (Who is man to be compared to you?)
    Nani mwenye nguvu wa kusimama mbele
    Yako Mungu (Who can stand before you?)
    Wakuabudiwa,
    Wakuheshimiwa ni wewe Mungu (You are worthy of worship and Honor)
    Wakupewa sifa, na utukufu,
    Ni wewe Mungu (worthy to receive all praise and glory)
    Mungu mwenye nguvu,
    Wastahili heshima zote (Mighty God, you deserve all honor)
    Hakuna mwingine wa kulinganishwa na
    Wewe Mungu (There's no one like you God)
    Wakuabudiwa,
    Wakuheshimiwa ni wewe Mungu (You are worthy of worship and Honor)
    Wakupewa sifa, na utukufu,
    Ni wewe Mungu (worthy to receive all praise and glory)
    Mungu mwenye nguvu,
    Wastahili heshima zote (Mighty God, you deserve all honor)
    Hakuna mwingine wa kulinganishwa na
    Wewe Mungu (There's no one like you God)
    Hakuna mwingine wa kulinganishwa na
    Wewe Mungu (There's no one like you God)
    Bwana utukufu wako sigusi (Father I do not touch your glory)
    Bali utukufu ukurudie wewe Mungu wangu
    (But let the glory return to you my God)

  • @nadinekwizerimana553
    @nadinekwizerimana553 2 หลายเดือนก่อน +12

    I’m Rwandan. Wimbo huu unanibariki sana, unaniletea machozi ya furaha. Uwepo wa MUNGU uko ndani mwao

  • @user-om6jy2te8p
    @user-om6jy2te8p 5 หลายเดือนก่อน +38

    2024 we are here.. Glory be to God. Love 💓 from Zambia

    • @juliemundia
      @juliemundia 2 หลายเดือนก่อน

      am from Zambia

  • @kirklandmurangiri4817
    @kirklandmurangiri4817 หลายเดือนก่อน +5

    hii song imetubariki sana 2024

  • @perescheruiyot1938
    @perescheruiyot1938 5 หลายเดือนก่อน +20

    2024...Bado hakuna wa kulinganishwa nae Mungu

  • @deborahmugeni7326
    @deborahmugeni7326 22 วันที่ผ่านมา +2

    Hapa Rwanda tunashukuru kwa ujumbe uliomo ni Eulade sehemu za gatsibo,mungu akubaliki

  • @Iconic_lighskin
    @Iconic_lighskin 6 หลายเดือนก่อน +61

    Anyone from kenya???😂😂😂😂

  • @gracereborn2150
    @gracereborn2150 ปีที่แล้ว +433

    It's 2023 and this song still hits differently. Glory be to God 🙏

  • @thekingdomlegacy231
    @thekingdomlegacy231 2 หลายเดือนก่อน +8

    Every like to this comment will redirect to listen to this song again and again. Such an elevated worship. God bless you Christina for choosing to hear God.

  • @christinenyambura421
    @christinenyambura421 4 หลายเดือนก่อน +16

    Its 2024 and the gospel still carries me to bed

  • @davidolao5292
    @davidolao5292 2 หลายเดือนก่อน +4

    2024 tuko ndani

  • @marthamoono1888
    @marthamoono1888 2 ปีที่แล้ว +1175

    Am from Zambia I can't understand the language but I love this song so much...I don't know for some reason I feel Gods presence when listening to it🙌🔥❤️❤️🇿🇲 2022 still listening 🙏🙏

    • @alicekalemela7435
      @alicekalemela7435 2 ปีที่แล้ว +125

      It is only God to be worshipped,to be honored, he is the one to be given all the glory God of power, ,He deserves all the glory, honor, There is no other god to be compared with Him....

    • @newyambazi4653
      @newyambazi4653 2 ปีที่แล้ว +26

      This is worship songs

    • @thecharitytv7251
      @thecharitytv7251 2 ปีที่แล้ว +28

      I will explain the song in nyanja or bemba

    • @anchindikatabomugala3970
      @anchindikatabomugala3970 2 ปีที่แล้ว +30

      God of all power who deserves all praise and worship and honor, no one like him. He is to be given praise and all honor. It's a powerful song indeed!!

    • @alexkinyanjui7316
      @alexkinyanjui7316 2 ปีที่แล้ว +18

      No one is to be praised only u my God.

  • @monicahnjoroge8168
    @monicahnjoroge8168 11 หลายเดือนก่อน +108

    Kenya 🇰🇪 loves you Mama Christina. And this song popped up in my spirit today August 1st 2023
    Hakuna mwingine kama wewe Mungu ❤

    • @theresamwitwa7760
      @theresamwitwa7760 10 หลายเดือนก่อน +1

      Same here, am from Zambia popped up today 27 august 2023. This song brings His glory down

    • @user-yq3hl1cp6b
      @user-yq3hl1cp6b 4 หลายเดือนก่อน

      In Texas, whenever am low, can't pray, I search and play it. It's full of Grace

    • @monicahnjoroge8168
      @monicahnjoroge8168 4 หลายเดือนก่อน +2

      @@user-yq3hl1cp6b Keep doing that. God hears you and there's better thing than dwelling in his presence

    • @user-yq3hl1cp6b
      @user-yq3hl1cp6b 4 หลายเดือนก่อน +2

      @@monicahnjoroge8168
      AMEN, n thanks so much.
      Barikiwa pia 🙏

    • @JeniphaLalika
      @JeniphaLalika 21 วันที่ผ่านมา +2

      ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @user-yq3hl1cp6b
    @user-yq3hl1cp6b 4 หลายเดือนก่อน +28

    FEBRUARY, 2024
    BLESSED TO BE HERE ONCE AGAIN...
    GOD BLESS YOU CHRISTINA SHUSHO. THIS SONG HAS BEEN A BLESSING ALL MY LIFE.

  • @user-im4rz6ki4n
    @user-im4rz6ki4n หลายเดือนก่อน +2

    May 23 2024 I woke up feeling low... I had a nightmare my brother dying in a storm 😢.. I prayed and rebuked it!

  • @solomonmunyao282
    @solomonmunyao282 ปีที่แล้ว +14

    There's no one like Almighty

  • @chimatasie7854
    @chimatasie7854 10 หลายเดือนก่อน +30

    Nigerian but listen to this song every day! I don't understand a single word but the spirit is One!

    • @paulacheptoo1224
      @paulacheptoo1224 7 หลายเดือนก่อน

      Its swahili in east Africa

    • @bettywabuko5071
      @bettywabuko5071 6 หลายเดือนก่อน

      True

    • @godfreymkelemi9663
      @godfreymkelemi9663 2 หลายเดือนก่อน +1

      Translation: Who's to be worshipped, honoured, powerful, praised compared with You? It's you GOD. You uplift us from glory to glory. When you say YES no one can say NO. Our life is in your hands my God, you strengthen the weak, who can stand against You. There is no any one. Just in brief.

  • @geoffreymaloba8494
    @geoffreymaloba8494 6 หลายเดือนก่อน +12

    Wimbo Huu nimeuset Kama alarm ya kuniamsha 5am. Ni wimbo wa Baraka

  • @cyrusjayden1509
    @cyrusjayden1509 หลายเดือนก่อน +3

    Today 18th, may, 2024, listening to this song has really uplifted my soul. God is great. I'll lift his up in every situation of my life❤

  • @christabelkasongo1626
    @christabelkasongo1626 ปีที่แล้ว +12

    Still here 2023 am from Zambia and the love I have for this song is too much 👌🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰

  • @mercynguyo8020
    @mercynguyo8020 ปีที่แล้ว +18

    😢am really tired of meds may God restore back my health

    • @dericksebitwani7857
      @dericksebitwani7857 หลายเดือนก่อน

      I command healing in your body

    • @snappysnaps558
      @snappysnaps558 หลายเดือนก่อน

      May God intervene in Jesus name

    • @angelhenericko7884
      @angelhenericko7884 หลายเดือนก่อน

      Jesus come so that you may have life and abundantly life Jesus was stripes so that you Will be healed. Believe in Jesus claim the word of life every day,hour, minutes and seconds.

    • @EddieKibiwott
      @EddieKibiwott หลายเดือนก่อน

      May the lord heal you🙏

    • @ubongosahihi
      @ubongosahihi 29 วันที่ผ่านมา

      For the name of Jesus Christ I am sure now your Free from any of the things that are mentioned 🧎🏾‍♀️🙇🏽‍♀️👏🏾❤️❤️

  • @mfaithmumbe1674
    @mfaithmumbe1674 9 หลายเดือนก่อน +9

    Who is with me 2023,I can't get enough of this song ❤❤

  • @fridah6046
    @fridah6046 6 หลายเดือนก่อน +12

    Ni wangapi bado tunamwabudu mungu uku 2023 tukienda kuturn 2024

  • @euricosampaiosampaio512
    @euricosampaiosampaio512 ปีที่แล้ว +231

    I’m from Angola 🇦🇴, I don’t know what language is this. But Some time ago, when I heard this song I felt presence of God. God must bless the people of the all nations. Hallelujah.

    • @ngachofficialhandles
      @ngachofficialhandles ปีที่แล้ว +2

      This is SWAHILI

    • @beataiipinge9135
      @beataiipinge9135 ปีที่แล้ว +1

      CN YOU EXPLAIN IN ENGLISH PLEASE SO NICE SONG REALLY!!!!!
      I AM FROM NAMIBIA.

    • @psalmsnzk8531
      @psalmsnzk8531 ปีที่แล้ว +1

      Amen

    • @psalmsnzk8531
      @psalmsnzk8531 ปีที่แล้ว +10

      The only to be worshipped is the Lord Almighty our God, He deserves all the glory, honor and respect.... That's the main theme. Shalom.

    • @moiseilunga4961
      @moiseilunga4961 ปีที่แล้ว

      Eurico Sampaio Sampaio god bless you to brother

  • @moses-zuze
    @moses-zuze ปีที่แล้ว +21

    May God bless everyone reading this comment with long life and prosperity in Jesus Name.

  • @joynjunguna437
    @joynjunguna437 8 วันที่ผ่านมา +2

    Mungu ukisema ndio hakuna awezae kupinga

  • @rose_wangari
    @rose_wangari 6 หลายเดือนก่อน +48

    December 2023 as I start cancer treatment, this is my song🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾😭😭😭😭

    • @user-ry2sz5gb6u
      @user-ry2sz5gb6u 3 หลายเดือนก่อน +2

      How are you my Sister

    • @alfredmivule3425
      @alfredmivule3425 3 หลายเดือนก่อน +3

      @rose_wangari be assured of my prayers as you battle for your life dear.

    • @sheila9897
      @sheila9897 2 หลายเดือนก่อน +2

      Hope God is still with you

    • @rose_wangari
      @rose_wangari 2 หลายเดือนก่อน +2

      @@sheila9897 yes He is. Thanks for checking ❤️

    • @Davidcheruiyot-uo9sd
      @Davidcheruiyot-uo9sd หลายเดือนก่อน

      May God heal you

  • @johnmwadime2857
    @johnmwadime2857 3 ปีที่แล้ว +53

    Nani bado yuko Hapa kusema na Mimi 2021 Yeye Tu ndiye Wa Kuabudiwa,Wa Kupewa Sifa Na Utukufu 🙌🙌
    Uzima Wetu Uko Mikononi Mwako Mungu.
    Utukufu Wako Hatugusi Mfalme.

  • @edwinurassa911
    @edwinurassa911 ปีที่แล้ว +129

    Translation
    Chorous:
    The one to be worshiped
    The one to be respected is you Lord
    The one to be praised & Glorified is you Lord
    The Lord with power you deserve all respect
    There is no one to be compared with you Lord

    • @lucymungekenyi7068
      @lucymungekenyi7068 ปีที่แล้ว +4

      Thanks for translation Edu

    • @ramalgalk7750
      @ramalgalk7750 ปีที่แล้ว +2

      Wonderful song of hopes,for sure hakuna mwingine wa kulinganishwa na mwenyezi Mungu,Alfa and Omega

    • @mikechisale8209
      @mikechisale8209 ปีที่แล้ว +1

      Thanks for the translation Edwin .

    • @katsomoeng1248
      @katsomoeng1248 ปีที่แล้ว +2

      Thanx Eddy for the translation, l love the song but I didn't understand it.thanx very much and much love to you sister Christinah.Eunice frm Botswana ❤

    • @munyessusa7237
      @munyessusa7237 ปีที่แล้ว +1

      This song blesses my day ,God is great indeed! Thanks for the translation.

  • @Richardlaisi
    @Richardlaisi 7 หลายเดือนก่อน +51

    This song was like national anthem in Kenya really blessing

    • @bettywabuko5071
      @bettywabuko5071 6 หลายเดือนก่อน

      Anointed for ever
      A powerful prayer 🙏

    • @nikinai4374
      @nikinai4374 5 หลายเดือนก่อน

      but the NAME of the ALMIGHTY is WRONG....................MU**NGU ní mwana damu, ....and hence THEY WORSHIPED the CREATURE rather than the CREATOR. The word MU**NGU comes from Gíkúyú word MÚ-THÚ-NGÚ which is MU*zu*NGU=MU*lu*NGU=MU*lu*NGU in Southern Africa. When those who CREATED this SWAHILI FANAGALOO discovered what this MÚ*THÚ*NGÚ means (MÚ=person/mtu/múdú)-THÚ=ENEMY-NGÚ(FIREWOOD refering to the European-Arab WOODEN handle GUN-that SPARKED FIRE just like SPARKS from FIREWOOD)=therefore MÚ*THÚ*NGÚ means ENEMY(thú)-GUN(ngú)-MAN(mú)=ENEMY GUN MAN!--usually a EUropean-Protuguese or ARAB PIRATE or SLAVE RAIDER. SO they realised the BANTU FEARED them as people who are VERY POWERFUL as they could MAKE FIRE come out of a PIECE OF WOOD!...wakamuita MÚTHÚNGÚ MWENE NGÚ-VU(sound of the bullet wheezing by!-viu!)...they didnt like the ""THÚ=ENEMY part, so wakaiondoa wkaacha MÚ**NGÚ=(GUN**MAN) MWENYE NGUVU MUWEZA YOOTE...so this is the VENERATION and REVERENCING of the ENEMY GUN MAN as MÚ**NGU MWENE NGUVU MUWEZA YOOTE!
      MU**NGU ni mwanadamu=GUN MAN ANALINGANISHWA na MUUMBA!--Isa 46:5=Isa 42:13-14
      The TRUE WORSHIPERS worship MUUMBA(creator)MWENYE NGUVU MUWEZA YOOTE! yule hawezi kulinganishwa na GUN**MAN=MU**NGU
      Rev 13:4--and they WORSHIPED
      >>the DRAGON-(MU--NGU=Roman-Constantinian catholicism & Sufism-Rev 2:13=Rev 13:4), Ezek 28:12-17=Ezek 29:1-6; Rev 13:11-17.
      >>the BEAST(LEOPARDlike-orthodoxy & Coptic="AHAB"=Ezek 28:2!=Isa 28: Isa 47:7-11) =Ezek 23 HARLOTS of their mother THE GREAT WHORE JEZEBEL(Rev 2:20-23)
      >>the IMAGE of the LEOPARDlike or Dragon-8th Serpent beast(Rev 17:11=apostate Protestantism-REMNANT Laodicea-SDA fallen=Rev 3:15-19) and
      >>JEZEBEL(Rev 2:20-23=Isa 47:9-11=Rev 17=Islamic and Charismatic prosperity gospel glossolalic Protestantism os BILL HYBAL KATHRINE KUHLMAN and BENNY HINN CRYSTAL(ball)CATHEDRAL of WITCHES, and EDOMITE HERODIAN catholicism in bed with ROMANISM and with ORTHODOXY! hence a GREAT WHORE!)
      Rev 13:14-17.
      So IMBIENI MUUMBA waacheni! kuimbia WANADAMU wanajifanya "....as God ...seating in the seat of God...showing thesmelves to be God! but are just MEN!"

  • @mashaka-zi8ot
    @mashaka-zi8ot หลายเดือนก่อน +4

    Hezekia akalia, MUNGU, kumbuka nilivyoenenda kwa ukamilifu mbele zako........kivuli chake kikasogezwa miaka 15 mbele.
    Duuu!!!! Huyu ndie Mungu Bwana, sioni mwingine.

  • @keikskanaif1659
    @keikskanaif1659 2 ปีที่แล้ว +91

    2022 tunaomba amani katika uchaguzi wetu Kenya🇰🇪🇰🇪🙏🙏i love this song so much,,

  • @Paul-tr4xk
    @Paul-tr4xk ปีที่แล้ว +111

    I am a Zambian. but I really love Tanzanian gospel may god bless our African people

    • @lulu-xt5gs
      @lulu-xt5gs ปีที่แล้ว +1

      I thought she was kenyan.

    • @rickybrown3679
      @rickybrown3679 ปีที่แล้ว

      Me too am from Zambia

    • @charlesmbeche4937
      @charlesmbeche4937 ปีที่แล้ว +1

      Nani kama wewe....No one like You.

    • @lizzyadriana158
      @lizzyadriana158 ปีที่แล้ว

      Thanks welcome tanzanian now,

    • @collinssubulwa3868
      @collinssubulwa3868 8 หลายเดือนก่อน +1

      Same here am Zambian but I go for Tz gospel

  • @lokidaajjy5764
    @lokidaajjy5764 6 หลายเดือนก่อน +19

    Was just watching different things in TH-cam and I remembered today is 1st Dec 2023,I need to thank my Almighty God... And this song gives me peace🙏

  • @roneldeleon8704
    @roneldeleon8704 24 วันที่ผ่านมา +1

    Africans Faith is very strong. I love African people.

  • @wilsonmuita6835
    @wilsonmuita6835 ปีที่แล้ว +114

    I am a programmer and whenever I listen to this song; I solved every complicated new technologies problems. Glory to God.
    More grace to the artist of this song.
    You rock here in Kenya.

    • @antonyndumia9441
      @antonyndumia9441 ปีที่แล้ว +2

      ooh man

    • @brianke231
      @brianke231 ปีที่แล้ว +6

      Am also a computer scientist
      I love christina shusho

    • @givennamuntala467
      @givennamuntala467 ปีที่แล้ว +1

      Each time I listen to this song my spirit revived. More grace my inspiration

    • @kadzo6614
      @kadzo6614 ปีที่แล้ว +1

      😂😂

    • @selinahomwakq1500
      @selinahomwakq1500 ปีที่แล้ว +2

      From Kenya Asante barikiwa sana

  • @jacksonmwangangimwanziu-ho4vo
    @jacksonmwangangimwanziu-ho4vo ปีที่แล้ว +8

    Wimbo usioimbika mbila kumwinulia mungu mikono;naupenda huu wimbo Sana. God bless you sister Christine.

  • @user-us1rg1tk8n
    @user-us1rg1tk8n 4 วันที่ผ่านมา

    Christina, my tears roll down whenever I listen to this gospel song. Where are fellow Ugandans? Nani kama wewe Mungu,

  • @user-mf2hr3oh6q
    @user-mf2hr3oh6q 15 วันที่ผ่านมา +1

    Mimi niko hapa Burundi tunakupenda sana❤❤❤❤

  • @diode6630
    @diode6630 2 ปีที่แล้ว +138

    This song reminds of my Dad he loved it so much 😭😭💔💔may your soul rest in peace I Greatly Miss you 😭

  • @nickietyz9710
    @nickietyz9710 ปีที่แล้ว +119

    This song is a blessing to us all,who have lost hope,who think Almighty God is slow to answering our prayers, God is faithful and patient with us always...He wants good for us,as He did in John 3:16

    • @melisawatta9653
      @melisawatta9653 ปีที่แล้ว +1

      This is the first time I'm reading this verse and guess what You just said God wants good for us and i read a verse less than an hour ago talking about how all good things come from God and He is our protection, our future is in he's hands(psalms 16) so I was meant to read this to be reminded.. Stay blessed.

    • @celestinnsengimana6281
      @celestinnsengimana6281 ปีที่แล้ว

      ​@@melisawatta9653 awesome!

    • @celestinnsengimana6281
      @celestinnsengimana6281 ปีที่แล้ว

      😪🎶🎶🎶

  • @theelectrifiedbeat
    @theelectrifiedbeat 7 หลายเดือนก่อน +6

    Niko hapa kujua lyrics kabla ya 31st December wakati utakuja kuimba huku kenya❤

  • @user-sw3pi2if1k
    @user-sw3pi2if1k 2 หลายเดือนก่อน +3

    Am from Rwanda but also i live kigali city, this song is inspired by God becouse it relieves heavy hearts , Amen🙏🙏🙏

  • @nzilanimutuku1914
    @nzilanimutuku1914 2 ปีที่แล้ว +181

    Am reminded of 11 years ago, when I was in a place of waiting, I really loved this song and would sing it in faith, today I testify, not only of answered prayers but God did much more than I ever asked or imagined. Indeed He is a Gracious and Faithful God. I give Him all the Glory.

    • @gacheribetty8655
      @gacheribetty8655 2 ปีที่แล้ว +3

      Thank you Angel Nzila for this great testimony. One day I will testify of the doings of the Lord, in my waiting I glorify you God. Amen.

    • @florencemawere2338
      @florencemawere2338 2 ปีที่แล้ว +2

      Amen and Praise be to God for the answered prayer. That’s what gospel singers need to hear. It’s a full ministry and May God use them more for others 🙏🏿

    • @ARO-oq5fz
      @ARO-oq5fz 2 ปีที่แล้ว +2

      I am in this point of waiting today and I thank you for the encouragement !

    • @sharonova3477
      @sharonova3477 2 ปีที่แล้ว

      Amen.

    • @naturindafred5431
      @naturindafred5431 2 ปีที่แล้ว +4

      Am also in a season of waiting on the Lord, indeed he is faithful and won't let our prayers go unanswered, he is a God of mercy. May all those believing in HIM for miracles, signs, wonders and breakthroughs receive them. Glory be to the Lord.

  • @paulmwiberi5911
    @paulmwiberi5911 ปีที่แล้ว +67

    Am passing through a lot but when I actually listen to this song I see the glory of God...may you be blessed all

  • @cyrusonsare2567
    @cyrusonsare2567 3 หลายเดือนก่อน +2

    Still here 2024 this song is such a blessing

  • @Ivyzzw0rld
    @Ivyzzw0rld 9 หลายเดือนก่อน +12

    Using this song for my 2023 kcpe prayer day!!!

    • @Girry_
      @Girry_ 7 หลายเดือนก่อน

      Leta index number

  • @cynthiasindani2212
    @cynthiasindani2212 2 ปีที่แล้ว +192

    2022 and this song still blesses my soul...God is just too faithful 🙌

    • @patiencemavimba8053
      @patiencemavimba8053 ปีที่แล้ว +2

      I love this song very much may God bless me abandantly

    • @antonygitonga9553
      @antonygitonga9553 ปีที่แล้ว +1

      Amen

    • @faithbahati5012
      @faithbahati5012 10 หลายเดือนก่อน

      Vfvewdhk🎉🎉🎉🎉🎉🎉​@@antonygitonga9553

    • @nikinai4374
      @nikinai4374 5 หลายเดือนก่อน

      but its so sad, the NAME of the ALMIGHTY is WRONG....................MU**NGU ní mwana damu, ....and hence THEY WORSHIPED the CREATURE rather than the CREATOR. The word MU**NGU comes from Gíkúyú word MÚ-THÚ-NGÚ which is MU*zu*NGU=MU*lu*NGU=MU*lu*NGU in Southern Africa. When those who CREATED this SWAHILI FANAGALOO discovered what this MÚ*THÚ*NGÚ means (MÚ=person/mtu/múdú)-THÚ=ENEMY-NGÚ(FIREWOOD refering to the European-Arab WOODEN handle GUN-that SPARKED FIRE just like SPARKS from FIREWOOD)=therefore MÚ*THÚ*NGÚ means ENEMY(thú)-GUN(ngú)-MAN(mú)=ENEMY GUN MAN!--usually a EUropean-Protuguese or ARAB PIRATE or SLAVE RAIDER. SO they realised the BANTU FEARED them as people who are VERY POWERFUL as they could MAKE FIRE come out of a PIECE OF WOOD!...wakamuita MÚTHÚNGÚ MWENE NGÚ-VU(sound of the bullet wheezing by!-viu!)...they didnt like the ""THÚ=ENEMY part, so wakaiondoa wkaacha MÚ**NGÚ=(GUN**MAN) MWENYE NGUVU MUWEZA YOOTE...so this is the VENERATION and REVERENCING of the ENEMY GUN MAN as MÚ**NGU MWENE NGUVU MUWEZA YOOTE!
      MU**NGU ni mwanadamu=GUN MAN ANALINGANISHWA na MUUMBA!--Isa 46:5=Isa 42:13-14
      The TRUE WORSHIPERS worship MUUMBA(creator)MWENYE NGUVU MUWEZA YOOTE! yule hawezi kulinganishwa na GUN**MAN=MU**NGU
      Rev 13:4--and they WORSHIPED
      >>the DRAGON-(MU--NGU=Roman-Constantinian catholicism & Sufism-Rev 2:13=Rev 13:4), Ezek 28:12-17=Ezek 29:1-6; Rev 13:11-17.
      >>the BEAST(LEOPARDlike-orthodoxy & Coptic="AHAB"=Ezek 28:2!=Isa 28: Isa 47:7-11) =Ezek 23 HARLOTS of their mother THE GREAT WHORE JEZEBEL(Rev 2:20-23)
      >>the IMAGE of the LEOPARDlike or Dragon-8th Serpent beast(Rev 17:11=apostate Protestantism-REMNANT Laodicea-SDA fallen=Rev 3:15-19) and
      >>JEZEBEL(Rev 2:20-23=Isa 47:9-11=Rev 17=Islamic and Charismatic prosperity gospel glossolalic Protestantism os BILL HYBAL KATHRINE KUHLMAN and BENNY HINN CRYSTAL(ball)CATHEDRAL of WITCHES, and EDOMITE HERODIAN catholicism in bed with ROMANISM and with ORTHODOXY! hence a GREAT WHORE!)
      Rev 13:14-17.
      So IMBIENI MUUMBA waacheni! kuimbia WANADAMU wanajifanya "....as God ...seating in the seat of God...showing thesmelves to be God! but are just MEN!"

  • @dennischakwa6912
    @dennischakwa6912 3 ปีที่แล้ว +174

    When life becomes unbearable this songs give hope to move on

  • @user-lh7oq9kw4g
    @user-lh7oq9kw4g 3 หลายเดือนก่อน +4

    God bless you Christina still listening to your songs 2024

  • @benpaul.9310
    @benpaul.9310 7 หลายเดือนก่อน +8

    I’m here today the time christine shusho is trending number 1 on twitter in kenya 🇰🇪 today .

  • @nancycheptanui6982
    @nancycheptanui6982 ปีที่แล้ว +4

    Hakuna wa kulingana na mungu sifa ni zake siku zote 🙏🙏🙏🙏

  • @Sandralinaj0
    @Sandralinaj0 3 ปีที่แล้ว +6

    Mungu mwenye nguvu akuna mwengeni wakulikanyishwa na wewe Mungu ,Djina lako niko amen.

    • @Sandralinaj0
      @Sandralinaj0 3 ปีที่แล้ว

      Aksante sana dada Christina 🥰🙌🏾💋

  • @user-nb4ew1le6w
    @user-nb4ew1le6w 6 หลายเดือนก่อน +7

    I am Angolan but I like This praise

  • @mervychipoya4997
    @mervychipoya4997 4 หลายเดือนก่อน +6

    I am listening to this song and today is the 19th of February, 2024...
    And it hits differently ☺️😔

  • @angelandunda958
    @angelandunda958 ปีที่แล้ว +4

    Naisi umwepo wa Mungu katikati ya maisha yangu

  • @rafaelmatondo5624
    @rafaelmatondo5624 ปีที่แล้ว +4

    Najivunia wewe. Upo katika maombi yangu.
    Kumbuka kwamba upendo wa kweli huzuia kukata tamaa.
    Wewe ni muujiza!

  • @FosterMizinga
    @FosterMizinga ปีที่แล้ว +4

    This song was meant to last 2023 June still fresh

  • @silviapotishoi2806
    @silviapotishoi2806 7 หลายเดือนก่อน +9

    Hoping on this song 31st Dec on her concert🙂

  • @tabbym.
    @tabbym. ปีที่แล้ว +29

    2023 and still I passionately love this song..the song has life in it..very powerful song..I always start my day with this song ❤Words alone cannot express my love for this song ❤❤

    • @nikinai4374
      @nikinai4374 5 หลายเดือนก่อน

      so sad, the NAME of the ALMIGHTY is WRONG....................MU**NGU ní mwana damu, ....and hence THEY WORSHIPED the CREATURE rather than the CREATOR. The word MU**NGU comes from Gíkúyú word MÚ-THÚ-NGÚ which is MU*zu*NGU=MU*lu*NGU=MU*lu*NGU in Southern Africa. When those who CREATED this SWAHILI FANAGALOO discovered what this MÚ*THÚ*NGÚ means (MÚ=person/mtu/múdú)-THÚ=ENEMY-NGÚ(FIREWOOD refering to the European-Arab WOODEN handle GUN-that SPARKED FIRE just like SPARKS from FIREWOOD)=therefore MÚ*THÚ*NGÚ means ENEMY(thú)-GUN(ngú)-MAN(mú)=ENEMY GUN MAN!--usually a EUropean-Protuguese or ARAB PIRATE or SLAVE RAIDER. SO they realised the BANTU FEARED them as people who are VERY POWERFUL as they could MAKE FIRE come out of a PIECE OF WOOD!...wakamuita MÚTHÚNGÚ MWENE NGÚ-VU(sound of the bullet wheezing by!-viu!)...they didnt like the ""THÚ=ENEMY part, so wakaiondoa wkaacha MÚ**NGÚ=(GUN**MAN) MWENYE NGUVU MUWEZA YOOTE...so this is the VENERATION and REVERENCING of the ENEMY GUN MAN as MÚ**NGU MWENE NGUVU MUWEZA YOOTE!
      MU**NGU ni mwanadamu=GUN MAN ANALINGANISHWA na MUUMBA!--Isa 46:5=Isa 42:13-14
      The TRUE WORSHIPERS worship MUUMBA(creator)MWENYE NGUVU MUWEZA YOOTE! yule hawezi kulinganishwa na GUN**MAN=MU**NGU
      Rev 13:4--and they WORSHIPED
      >>the DRAGON-(MU--NGU=Roman-Constantinian catholicism & Sufism-Rev 2:13=Rev 13:4), Ezek 28:12-17=Ezek 29:1-6; Rev 13:11-17.
      >>the BEAST(LEOPARDlike-orthodoxy & Coptic="AHAB"=Ezek 28:2!=Isa 28: Isa 47:7-11) =Ezek 23 HARLOTS of their mother THE GREAT WHORE JEZEBEL(Rev 2:20-23)
      >>the IMAGE of the LEOPARDlike or Dragon-8th Serpent beast(Rev 17:11=apostate Protestantism-REMNANT Laodicea-SDA fallen=Rev 3:15-19) and
      >>JEZEBEL(Rev 2:20-23=Isa 47:9-11=Rev 17=Islamic and Charismatic prosperity gospel glossolalic Protestantism os BILL HYBAL KATHRINE KUHLMAN and BENNY HINN CRYSTAL(ball)CATHEDRAL of WITCHES, and EDOMITE HERODIAN catholicism in bed with ROMANISM and with ORTHODOXY! hence a GREAT WHORE!)
      Rev 13:14-17.
      So IMBIENI MUUMBA waacheni! kuimbia WANADAMU wanajifanya "....as God ...seating in the seat of God...showing thesmelves to be God! but are just MEN!"

  • @winfredanena9660
    @winfredanena9660 2 ปีที่แล้ว +237

    The serenity this song brings to my life whenever I listen to it is unexplainable,I always listen to it,even in 2022!!!

    • @MansaKimani
      @MansaKimani 2 ปีที่แล้ว +1

      It's Timeless

    • @lizzynyakulenga6234
      @lizzynyakulenga6234 2 ปีที่แล้ว +1

      I love this song so much such that I can't even stop playing it. God bless you mummy!! You are a great singer, you are great woman 🙏

    • @lillianmwanza7282
      @lillianmwanza7282 2 ปีที่แล้ว

      Kindly help with the translation please am from Zambia but I love this song

    • @winniemukhwana1397
      @winniemukhwana1397 2 ปีที่แล้ว

      @@lillianmwanza7282 the lord is the only one that we can praise

    • @makaveliyutmantings8571
      @makaveliyutmantings8571 2 ปีที่แล้ว

      One of the fine days you will understand but this it's has blessings continue

  • @wybzokizzy4416
    @wybzokizzy4416 10 หลายเดือนก่อน +3

    Wa kupewa sifa na utukufu ni wewe Mungu

  • @antoniasynanguwe304
    @antoniasynanguwe304 6 หลายเดือนก่อน +9

    I'm from Namibia 🇳🇦, like seriously I'm in love with this song even I don't understand the language. I'm here listening to it again 2023 December 🎉

  • @calebnyatuka1444
    @calebnyatuka1444 8 หลายเดือนก่อน +6

    The only true Christian gospel artist

  • @paulnganga1220
    @paulnganga1220 7 หลายเดือนก่อน +13

    Shusho ndiye mwanamuziki wa nyimbo za anjili kutoka Tanzania apendwaye zaidi hapa Kenya. Nyimbo zake hazina kifani.

  • @peruthbiryabarema981
    @peruthbiryabarema981 ปีที่แล้ว +7

    Iam from Rwanda but I love the song so much I do understand all the words of warship

  • @imman_w.a.n.j.i.k.u
    @imman_w.a.n.j.i.k.u 2 ปีที่แล้ว +55

    Dear Lord I thank you for the gift of life, thank you for not treating me like my sins thank you for everything thing father lord. Am here praying for our country Kenya alot has been happening so far Lord I pray that you may intervene protect everyone Lord. Be our shield lord 🙏

    • @byiringirokalisa5102
      @byiringirokalisa5102 2 ปีที่แล้ว

      Thanks for the request in yr prayer. Do not worry. Remember the past God did for you and believe. He will fight for you.

    • @yveshy
      @yveshy 2 ปีที่แล้ว

      @@byiringirokalisa5102x6 ,, xcf

    • @alicesyomwana8241
      @alicesyomwana8241 2 ปีที่แล้ว

      Amen

  • @branifchagwa
    @branifchagwa 10 หลายเดือนก่อน +4

    Am here 27/8/2023 and the song still fresh ❤❤❤❤

  • @endiembewe7227
    @endiembewe7227 หลายเดือนก่อน

    2024 May 25 , am in Zambia been listening to this worship song since midnight .....what an elevating song ....there is no one like our heavenly father

  • @simonweru1811
    @simonweru1811 ปีที่แล้ว +8

    for sure this one of the best Gospel song Wich talk about God any time I listen to this song I feel like am around God presence only God will be presie I love God my protect and guide

  • @Joylinemakeup
    @Joylinemakeup 5 หลายเดือนก่อน +5

    Praise the Lord 🙏

  • @agathamartine
    @agathamartine 3 หลายเดือนก่อน +1

    2024 unikumbuke Mungu kwa kipindi hiki kigumu ninachopitia😢

  • @lindakapata2575
    @lindakapata2575 4 หลายเดือนก่อน +2

    When a song is directed by the holy spirit him self 2024 we are still here,God bless 🙏

  • @kiranluswepo3447
    @kiranluswepo3447 ปีที่แล้ว +3

    Am on a Bus going to onother town to try again, Father remember me, l have failed on my own, 🙌😭😭😭
    I believe help me overcome my unbelieve 🙇

  • @oscarmuembo6119
    @oscarmuembo6119 2 ปีที่แล้ว +50

    Je suis Congolais de Kinshasa, j'aime beaucoup cette Chanson et chaque fois qu'on se réuni dans la prière familiale et l'équipe on ai fort réconforté spirituellement. Qu'elle soit bénie la Sr Chtistina

  • @samuelsingi2583
    @samuelsingi2583 9 หลายเดือนก่อน +3

    Wakuabudiwa
    Na kuheshimiwa kweli ni wewe Mungu

  • @simonkamau2235
    @simonkamau2235 10 หลายเดือนก่อน +2

    May God give her the same grace multiple

  • @walubitasimenda3261
    @walubitasimenda3261 ปีที่แล้ว +16

    Whenever I listen to this song I cry😭 god is powerful even if I don't understand the language
    🇿🇲

  • @eliemugisa5118
    @eliemugisa5118 3 ปีที่แล้ว +16

    Heshima na utukufu simurudilie Mungu

  • @dismaspeterkweka8089
    @dismaspeterkweka8089 22 วันที่ผ่านมา +1

    Naamini hapa mungu alikuwa na wewe asilimia zote duh sijui kama itawezekana tena .tumwombe mungu upate hata mtoto atakaetembea na mungu tupate hivi vionjo tujue tu shetani alikuwa na kazi yakumsifu mungu hii kazi ina majaribu sana unasifu mwisho unataka usifiwe

    • @giftedvince5035
      @giftedvince5035 22 วันที่ผ่านมา

      Enda ukasikilize nyimbo zake za karibuni,,Agano na kando ya mito,,hakuna utofauti

  • @UwimanaDjaria
    @UwimanaDjaria หลายเดือนก่อน

    Nubwo ntayisobanukiwe ariko niyumvishijemo ko Ari meditation,Imana iguhe umugisha mwenedata

  • @justinamwape6308
    @justinamwape6308 2 ปีที่แล้ว +82

    This song reminds me of my mums last days on earth 🥺🥺 she used to listen to it ...me listening to this song is live reliving them 😭

    • @kisakyechristine9885
      @kisakyechristine9885 2 ปีที่แล้ว

      This is real soul touching

    • @afroboy1721
      @afroboy1721 2 ปีที่แล้ว

      😍🎁😍😍😍😍😳☺️🍭🎄🎆🎇🧨🎉🎊🎏🎈🎋🎀🥇🏆⛳♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️

    • @shyakaegide2583
      @shyakaegide2583 2 ปีที่แล้ว

      Nakupenda sana .

    • @shyakaegide2583
      @shyakaegide2583 2 ปีที่แล้ว +2

      Mimi ndi Munya Rwanda.Imana ijye iguha umugisha mwishi iyi ndirimbo ndayikund cyaneee!!!

    • @catherinenamboga8827
      @catherinenamboga8827 2 ปีที่แล้ว

      Asante sana kwa huu wimbo christine umefanya nifike mbali sana mma

  • @elvirengeleka5387
    @elvirengeleka5387 ปีที่แล้ว +19

    Je suis congolaise🇨🇩🇨🇩 en 2023 j écoute toujours cette chanson 🙏🏼🙏🏼 Adorer mon Dieu est ma force 🎉

    • @nikinai4374
      @nikinai4374 5 หลายเดือนก่อน

      yees! but the LEAVEN of the PHARISEES, THE SADDUCEES and the leaven of HEROD has caught up with us BANTU people because we NEVER question some things that we SHOULD!...so sad, the NAME of the ALMIGHTY is WRONG....................MU**NGU ní mwana damu, ....and hence THEY WORSHIPED the CREATURE rather than the CREATOR. The word MU**NGU comes from Gíkúyú word MÚ-THÚ-NGÚ which is MU*zu*NGU=MU*lu*NGU=MU*lu*NGU in Southern Africa. When those who CREATED this SWAHILI FANAGALOO discovered what this MÚ*THÚ*NGÚ means (MÚ=person/mtu/múdú)-THÚ=ENEMY-NGÚ(FIREWOOD refering to the European-Arab WOODEN handle GUN-that SPARKED FIRE just like SPARKS from FIREWOOD)=therefore MÚ*THÚ*NGÚ means ENEMY(thú)-GUN(ngú)-MAN(mú)=ENEMY GUN MAN!--usually a EUropean-Protuguese or ARAB PIRATE or SLAVE RAIDER. SO they realised the BANTU FEARED them as people who are VERY POWERFUL as they could MAKE FIRE come out of a PIECE OF WOOD!...wakamuita MÚTHÚNGÚ MWENE NGÚ-VU(sound of the bullet wheezing by!-viu!)...they didnt like the ""THÚ=ENEMY part, so wakaiondoa wkaacha MÚ**NGÚ=(GUN**MAN) MWENYE NGUVU MUWEZA YOOTE...so this is the VENERATION and REVERENCING of the ENEMY GUN MAN as MÚ**NGU MWENE NGUVU MUWEZA YOOTE!
      MU**NGU ni mwanadamu=GUN MAN ANALINGANISHWA na MUUMBA!--Isa 46:5=Isa 42:13-14
      The TRUE WORSHIPERS worship MUUMBA(creator)MWENYE NGUVU MUWEZA YOOTE! yule hawezi kulinganishwa na GUN**MAN=MU**NGU
      Rev 13:4--and they WORSHIPED
      >>the DRAGON-(MU--NGU=Roman-Constantinian catholicism & Sufism-Rev 2:13=Rev 13:4), Ezek 28:12-17=Ezek 29:1-6; Rev 13:11-17.
      >>the BEAST(LEOPARDlike-orthodoxy & Coptic="AHAB"=Ezek 28:2!=Isa 28: Isa 47:7-11) =Ezek 23 HARLOTS of their mother THE GREAT WHORE JEZEBEL(Rev 2:20-23)
      >>the IMAGE of the LEOPARDlike or Dragon-8th Serpent beast(Rev 17:11=apostate Protestantism-REMNANT Laodicea-SDA fallen=Rev 3:15-19) and
      >>JEZEBEL(Rev 2:20-23=Isa 47:9-11=Rev 17=Islamic and Charismatic prosperity gospel glossolalic Protestantism os BILL HYBAL KATHRINE KUHLMAN and BENNY HINN CRYSTAL(ball)CATHEDRAL of WITCHES, and EDOMITE HERODIAN catholicism in bed with ROMANISM and with ORTHODOXY! hence a GREAT WHORE!)
      Rev 13:14-17.
      So IMBIENI MUUMBA waacheni! kuimbia WANADAMU wanajifanya "....as God ...seating in the seat of God...showing thesmelves to be God! but are just MEN!"

  • @JeanmarieNzeyimana-ye9qm
    @JeanmarieNzeyimana-ye9qm หลายเดือนก่อน

    Jesus bless everybody who hears this song

  • @EmanuelMosses-vm6dr
    @EmanuelMosses-vm6dr 15 วันที่ผ่านมา

    Huyu ndio shusho niliyekuwa nampenda mimi ila wa sasa hapana ,nyimbo zake hazinigusi

  • @IscaAtieno
    @IscaAtieno 8 หลายเดือนก่อน +4

    The fear of the lord 🙏🙏 for He is the greatest

  • @syntychekatshaka3007
    @syntychekatshaka3007 2 ปีที่แล้ว +38

    The one who deserves all praise, glory, and honor it's you 🙌🙌 who's like you God?? My everything is within your hand. Thank you Almighty

    • @celestinemoraa6309
      @celestinemoraa6309 ปีที่แล้ว

      My favorite song when I'm filling down 😢😢😢😢

  • @ShindanobabinsymphorienScience
    @ShindanobabinsymphorienScience 8 วันที่ผ่านมา

    Mungu akuzidishiye kuwa na ufahamu wa kumutukuza kwa aki na kweli dada

  • @mirriamchinga7211
    @mirriamchinga7211 20 วันที่ผ่านมา

    Am from Zambia though can't understand this language, am in love with this song. I suffered for so long l know one day l'll testify in Jesus'name 🙌🙌🙌

  • @sarafinabochaberi85
    @sarafinabochaberi85 10 หลายเดือนก่อน +6

    Chris is my favorite❤❤