AQAZ Juma faki ft Hashir muhdy-Mauti official video

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 264

  • @ismailabdul223
    @ismailabdul223 2 ปีที่แล้ว +4

    Mashaallah kasida nzuri mungu atupe mwisho mwema

  • @muhsiniddi5174
    @muhsiniddi5174 3 ปีที่แล้ว +2

    Maashaallah yaani maalim Juma kumbe unaweza eti kusoma qaswidah za samai, kiukweli kazi nzuri sana al-habib

    • @muryd6999
      @muryd6999 3 ปีที่แล้ว

      Huyu Juma njia zote anapita

    • @muhsiniddi5174
      @muhsiniddi5174 3 ปีที่แล้ว +1

      @@muryd6999 yeah nikweli kijana yupo sawa maashaallah

  • @jimmykhurana3683
    @jimmykhurana3683 3 ปีที่แล้ว +4

    Ni ujumbe mzuri sana mashallah ndugu mtunzi umetufikia maut nikitu cha kufikiria sana mana uja wakati usio ujua kikubwa nikufanya ibada🙏🏻🙏🏻mola atupe mwisho mwema amin

    • @hashirmohdy8980
      @hashirmohdy8980  3 ปีที่แล้ว

      Asante kiongz wangu

    • @wafashkimnana9167
      @wafashkimnana9167 3 ปีที่แล้ว +1

      @@hashirmohdy8980 upo ndugu na maongezi na wew

    • @hashirmohdy8980
      @hashirmohdy8980  3 ปีที่แล้ว

      @@wafashkimnana9167 Sw amna ttzo mmi nipo nam

    • @wafashkimnana9167
      @wafashkimnana9167 3 ปีที่แล้ว

      Tatizo langu nihili kuna mdogo wangu haoni lkn hii kasida yako anaipenda mashallah ata aende sehemu yeyote ile bas anataka kuekewa hii kasida na sana anataman kumuona juma faq na wew anataman sana sana

    • @wafashkimnana9167
      @wafashkimnana9167 3 ปีที่แล้ว

      Ata ukimtuma hawez kuenda kama hujamuekea hii kasda ya mauti
      Nyengine aliesoma juma faq swala

  • @najmanajma6820
    @najmanajma6820 3 ปีที่แล้ว +5

    😭😭😭Masha Allah kaka zangu shukran pia kwa ujumbe mzuri kabisa Allah atujalie mwisho mwema kwa sote 🤲Ameen yaa Rabbi nikiwa Bahrain 🇧🇭nawapata vzr San

    • @hashirmohdy8980
      @hashirmohdy8980  3 ปีที่แล้ว

      Asante kwa kuwa pamoja nasi pia nasisi tupo pamoja nawewe kwa kila hal tunakpnda

    • @fazilmngodo3463
      @fazilmngodo3463 2 ปีที่แล้ว

      Aisee

    • @nasibndaro6281
      @nasibndaro6281 ปีที่แล้ว

      Tupo wote huku🇧🇭 InshaAllah Allah Atupe khusnul khatima🤲🥺🥺

    • @salamabakari8384
      @salamabakari8384 8 หลายเดือนก่อน

      Amiin

  • @mohamedhaji2200
    @mohamedhaji2200 3 ปีที่แล้ว +1

    Ujumbe ni mzuri sana na umeshiba mawaidha, tatizo njia iliotumika kuufikisha ndio ina mushkeli. Vinanda na ngoma na mziki si katika njia sahihi za kufikisha ujumbe. Rasuul hakuwahi kuitumia njia hiyo. Nawaomba mutafute njia sahihi ambazo Rasuul alitumia. Wallahi ujumbe mzito

    • @AbdulkasimuDossa
      @AbdulkasimuDossa 11 หลายเดือนก่อน

      Ww sasa hivi ujumbe unaoufikisha kwa huyo muimba kaswida Mtume Muhammad saww aliitumia... nakusudia simu na TH-cam...?

  • @khamisally6924
    @khamisally6924 3 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah kiongozi kazi mzr na ina ujumbe wenye kusisimua nafsi hongera sana kiongozi Mungu akuzidishie kipaji zaid ili uendelee kutukumbusha

  • @aishamatangamatangamatanga1344
    @aishamatangamatangamatanga1344 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah ujumbe mzuri sana Allah atupe mwisho mwemaa

  • @hamzakombo2347
    @hamzakombo2347 3 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah bila ya unafki hii hii kaswida nzur mno yaan ina ladha haswa

  • @adamudaudi2339
    @adamudaudi2339 3 ปีที่แล้ว +1

    Kweli mauti yanauma sana tuzinduken waislaam kufanya ibaadat nakutenda yaliyo mema yatakayo tunufaisha kesho akhera inshallah ياالله بها ياالله بها ياالله بها ياالله بحسن الخاتمة عندالموت

    • @hashirmohdy8980
      @hashirmohdy8980  3 ปีที่แล้ว

      Hakka kiongz yatupasa tukae chini na tufikirie hilo jambo la mautii

  • @bdullamalik223
    @bdullamalik223 2 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah allah atupe mwisho mwema

  • @britishadam1896
    @britishadam1896 3 ปีที่แล้ว +2

    Kazi nzur yenye ujumbe ndani yake

  • @ahmedmarhaba6336
    @ahmedmarhaba6336 3 ปีที่แล้ว +2

    Hizi ndio Qaswida mashallah sio kila siku za ukungwi na kusutana tu

  • @aqazstudio6918
    @aqazstudio6918 3 ปีที่แล้ว +2

    Miamba imekutana, kazi imepata watu Ahsanteni

    • @hashirmohdy8980
      @hashirmohdy8980  3 ปีที่แล้ว

      Dooh naww asante kiongz wangu

    • @sungitatv9887
      @sungitatv9887 3 ปีที่แล้ว

      Ile qaswida ya yatima mbona haipo you tube iliyoimbwa na juma faki pamoja na faki mbarouk

  • @ommyabdallah1905
    @ommyabdallah1905 3 ปีที่แล้ว +1

    Iiih nimeshindwa kujizuwya kk yangu machoz yannitoka kiukwl

  • @asmaajuma3328
    @asmaajuma3328 2 ปีที่แล้ว +2

    Mashaalah Mashaalah. M mngu awajaalie umri mrefu wadogo zangu. From 🇰🇪

  • @MayasaMasoud-f4d
    @MayasaMasoud-f4d 2 หลายเดือนก่อน

    Allah atupe mwisho mwema inshaallah

  • @didaa7009
    @didaa7009 3 ปีที่แล้ว +2

    masha Allah yarab Allah tujalie mwisho mwema yarab 🙏

  • @didaa7009
    @didaa7009 2 ปีที่แล้ว +1

    shukurani kaka kwa ujumbe uu unao wafungua maskio waisilama masha Allah Allah akujalie kila la kheri insha allah 😭😭😭😭😭

    • @hashirmohdy8980
      @hashirmohdy8980  2 ปีที่แล้ว

      Asante nashkr pia kwako mungu atujalie mwsho mwmaa amn amn amin.

  • @khalfanjuma7678
    @khalfanjuma7678 3 ปีที่แล้ว +1

    Ahsante kwa ukumbusho akhy

  • @njumaselemani5103
    @njumaselemani5103 ปีที่แล้ว +1

    Hakika namkumbuka mama yangu sana. Tulimkuta ameshalala. Allah amrehemu

    • @hashirmohdy8980
      @hashirmohdy8980  ปีที่แล้ว

      Tupoe na msiba ndugu yangu ndio safar yetu sote

  • @mussahaji905
    @mussahaji905 2 ปีที่แล้ว +1

    Kazi Mzuri Sana.. from Toronto Canada..ujembe mzuri

  • @dalilaahmed6778
    @dalilaahmed6778 3 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah 😍 allah atupe mwisho mwemaaa ameeen allahumma ameen yaraabb

  • @fahimbakari420
    @fahimbakari420 3 ปีที่แล้ว +1

    Laa ilaaha illa llahu muhammadan rasuulu llahi, mauti hayana mkubwa wala mdogo mauti hayana maskini wala tajiri, laailaaha illa llahu muhammadan rasuulu llahi

  • @muhammedkhamis416
    @muhammedkhamis416 3 ปีที่แล้ว +1

    Tunawapata vizuri mko vizuri aisee ujumbe safi🇹🇷🇹🇷🇹🇷

  • @SaidiSaidi-uk1dx
    @SaidiSaidi-uk1dx 5 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah juma fak mungu akudumishe

  • @hassniseif406
    @hassniseif406 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashallh kk kwakweli akiliyako imefikiria neno zitosanaa subuhana

    • @hashirmohdy8980
      @hashirmohdy8980  3 ปีที่แล้ว +1

      Nam mautii ni yakufikiria kila dakika

  • @nasirhamadi8027
    @nasirhamadi8027 10 หลายเดือนก่อน

    Ivi nyie mnaakili mtu anaimba nyimbo et Masha Allah allah awaongoze n awo wasanii wenu

  • @solheahzengebar6676
    @solheahzengebar6676 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah kazi Mkubwa sana na inaishii miaka yote yan

  • @esirelfannanmtasha5033
    @esirelfannanmtasha5033 3 ปีที่แล้ว +2

    doooooh mauti kazi kubwa sanaaa

  • @nooraallahuakibarumwenyeez3079
    @nooraallahuakibarumwenyeez3079 3 ปีที่แล้ว +2

    Mashaa Allah kz nzury Allah atujaaliye sote waislam hatima njema

  • @rukiaissajuma7247
    @rukiaissajuma7247 3 ปีที่แล้ว +1

    Asalam alaykum warahmatu lwah wabarakatuh ebwana hii qaswida nemeikubal hadi nikiiskiliza nalia ebwana uzito wa umauti aujuaye maiti na alwah alwah awalipe wote walofanikisha shairi hili

    • @hashirmohdy8980
      @hashirmohdy8980  3 ปีที่แล้ว

      Nam hakka sisi sote ni maitii kwaio tunatakiwa tuwe tunakumbushana kila mda asante nashkr naww kwa kuipokea na kuipenda mungu atakulipa amn amn amn.

    • @rukiaissajuma7247
      @rukiaissajuma7247 3 ปีที่แล้ว

      Nashkuru

    • @rukiaissajuma7247
      @rukiaissajuma7247 3 ปีที่แล้ว

      Ila nisalimie kaka faki and juma

  • @HidayaOmar-l4k
    @HidayaOmar-l4k 3 หลายเดือนก่อน

    Hashir na juma mko juu sana kwenye hiii kaswida

  • @HidayaOmar-l4k
    @HidayaOmar-l4k 3 หลายเดือนก่อน

    Naipenda sana hii haishi hamu nikiisikia hii kaswida

  • @minakhamiskhamisi6193
    @minakhamiskhamisi6193 3 ปีที่แล้ว

    Kak nakupendaaaa San Kaz nzru San unatukumbush Mashaaaaalh alha akufnyie weps kwa kaz zko

  • @sleyymmaha7928
    @sleyymmaha7928 3 ปีที่แล้ว +1

    Kazi mzuri kaka mashallah sauti mzuri Allah awalipe khery

  • @ismailburhan8622
    @ismailburhan8622 3 ปีที่แล้ว +3

    Mashaallah ujumbe mzito

  • @fahadayoub2360
    @fahadayoub2360 3 ปีที่แล้ว +1

    Rast matataa na ujumbe ndio umemaliza

  • @salamabakari8384
    @salamabakari8384 8 หลายเดือนก่อน

    Inasisimua inahuzunisha ❤❤

  • @ramangadu6451
    @ramangadu6451 3 ปีที่แล้ว

    Umauti Unatisha. ILLAH KARIM Atupe Mwisho Mwema.

  • @salamabakari8384
    @salamabakari8384 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hainishi hamu kuisikiliza 🎉 ❤

  • @idatally3846
    @idatally3846 3 ปีที่แล้ว

    Mashallah aswidah matata sana mpka nimetokwa na machozi wallah dah allah atupe khatma njema ... yani hashir kma nakuona kijasho kinakutoka ...TUSIJISAHAU JMN

    • @hashirmohdy8980
      @hashirmohdy8980  3 ปีที่แล้ว

      Nam hakka MAUTII yapo na yatatufika bila ya mashaka tujiandae na safari tusiojuwa lin au wakat gani itakuja

  • @binafra814
    @binafra814 3 ปีที่แล้ว

    Mashaallaa kz inatya huzunii

  • @OthnoShezume
    @OthnoShezume 7 หลายเดือนก่อน

    Ujumbe umeshiba kazi ni kwetu

  • @comexmediatz
    @comexmediatz 3 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah Message Sent!

  • @binnyundoofficial
    @binnyundoofficial 3 ปีที่แล้ว +2

    Hakikaa mauti ni ukumbu

  • @MayasaMasoud-f4d
    @MayasaMasoud-f4d 2 หลายเดือนก่อน

    Ujumbe mzito jamn huo

  • @SofiaSofia-ow3ku
    @SofiaSofia-ow3ku ปีที่แล้ว +1

    ya Allah tujalie mwisho mwema 😭😭😭

  • @HidayaOmar-l4k
    @HidayaOmar-l4k 3 หลายเดือนก่อน

    Nawapenda sana

  • @salamabakari8384
    @salamabakari8384 8 หลายเดือนก่อน

    Sauti nzurii ❤❤

  • @ContentCheetah-li9lh
    @ContentCheetah-li9lh 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu akujarie sana hashir

  • @funigajuma8537
    @funigajuma8537 3 ปีที่แล้ว +1

    funiga juma

  • @salamabakari8384
    @salamabakari8384 8 หลายเดือนก่อน

    Mashallah kasida ❤❤

  • @aminaomar1170
    @aminaomar1170 3 ปีที่แล้ว

    Ya Allah tujaalie mwisho mwema na makaazi mema ya kesho akhera ya Rabb.

  • @bindauud1037
    @bindauud1037 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah kazi safi kabisa

  • @aishasaeed4555
    @aishasaeed4555 ปีที่แล้ว

    ❤❤❤❤❤❤🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 amazing 😍 kwaswida

  • @safarionlinetvznz
    @safarionlinetvznz 2 ปีที่แล้ว +1

    Kazi kubwa sana iih mashaallah

  • @aliseif8729
    @aliseif8729 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah ujumbe umefika

  • @rahmaalfan1776
    @rahmaalfan1776 3 ปีที่แล้ว

    Yaarabi tujalie husunul hatima

  • @fazilmngodo3463
    @fazilmngodo3463 2 ปีที่แล้ว +1

    Innali llah qaswida inanikumbusha mbali Sana sbhana llah

    • @hashirmohdy8980
      @hashirmohdy8980  2 ปีที่แล้ว

      Tumuombe mungu ili tuwe na mwsho mwema ishaallah

  • @MunaSalom-vw8yi
    @MunaSalom-vw8yi 3 หลายเดือนก่อน

    Nmeipenda sana

  • @shemsamohammed861
    @shemsamohammed861 3 ปีที่แล้ว

    Dooh ujumbe mzito na watu wanatutoka tu hakka haya mawaidha tosha

  • @binamubinamu1151
    @binamubinamu1151 3 ปีที่แล้ว

    Subha Allah jaman mauti hongeren miamba hatari kazi mzuri

  • @qatarqatar7514
    @qatarqatar7514 10 หลายเดือนก่อน

    😢 Yaraby tujaalie mwisho mwema

  • @maryammohamed2331
    @maryammohamed2331 2 ปีที่แล้ว

    Mungu atupe mwisho mwema

  • @ragooboy5710
    @ragooboy5710 ปีที่แล้ว

    ujumbe mzur mashallah

  • @ahmadsaid1228
    @ahmadsaid1228 2 ปีที่แล้ว

    Honger kijn 👏👏🔥🔥

  • @thuwaibaahmed3148
    @thuwaibaahmed3148 3 ปีที่แล้ว

    Mashaallah hakika ukumbusho utawafaa wenye kuamin

  • @abubakarmuharami8410
    @abubakarmuharami8410 3 ปีที่แล้ว +1

    Masha allah kazi kubw sana hiii 😭😭😭

  • @usselea
    @usselea ปีที่แล้ว +2

    Kasuda ndjema halissi ❤
    Beaucoup d'émotions dans le rythme.
    Tsi abonné hasibabu de kasuda yinou.
    Mashallah

    • @hashirmohdy8980
      @hashirmohdy8980  ปีที่แล้ว +1

      Mashaallah

    • @usselea
      @usselea ปีที่แล้ว

      Ta voix est douce. Ton binôme assure avec une voix aiguë ❤❤❤

  • @azizaali7031
    @azizaali7031 3 ปีที่แล้ว +1

    Dooh mackn mdogo wngu

  • @sheykhahasnuu2239
    @sheykhahasnuu2239 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah big up Sanaa 😭😭😭😭😭tunajisahau San waislam

    • @hashirmohdy8980
      @hashirmohdy8980  3 ปีที่แล้ว

      Na ndio tukamua kukumbushaa juh ya ili jambo la mauti

  • @mithlemirthan7911
    @mithlemirthan7911 3 ปีที่แล้ว +1

    Maneno yameniishia....
    Maashallah kaz kubwa sn

  • @asmaajuma3328
    @asmaajuma3328 2 ปีที่แล้ว +1

    M mngu atupe mwisho mwema 🙏😭😭

  • @rizikihaidar3781
    @rizikihaidar3781 3 ปีที่แล้ว +1

    Naipataje hii kasida jamani naitaka please....mashalwah

  • @shafisaggaf1889
    @shafisaggaf1889 3 ปีที่แล้ว +1

    mashaAllah maqaam rast imetulia sana

  • @radhiaali8043
    @radhiaali8043 3 ปีที่แล้ว +1

    Yarab tujaalie mwisho mwema😭

  • @swabirattwas6796
    @swabirattwas6796 3 ปีที่แล้ว +2

    الله أكبر تبارك الرٌحمان ☝️😔🥺😭🤔

  • @mwadinimwadini4068
    @mwadinimwadini4068 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah Uyakumbuke Mauti

  • @latifaabdallaissa9467
    @latifaabdallaissa9467 3 ปีที่แล้ว

    Kaz mzuri mwalimu juma ahsanten

  • @امينهخميس-ر8خ
    @امينهخميس-ر8خ 3 ปีที่แล้ว

    Mashaallah Allah akuhifadhi na afya tele

  • @omarykaloujsr9702
    @omarykaloujsr9702 3 ปีที่แล้ว +1

    Nice kka

  • @karimhassan1616
    @karimhassan1616 3 ปีที่แล้ว

    maashallah haadhaa hakkun wallaah

  • @alibaraka6699
    @alibaraka6699 3 ปีที่แล้ว

    Masha ALLAH.
    Ni kasida iliyosomwa kwa utulivu yenye mawaidha makubwa.

  • @ommyabdallah1905
    @ommyabdallah1905 3 ปีที่แล้ว

    Nyote mumeitendea hakii iih kasida yani ujumbe umefka mdgo wangu

  • @tumababy7990
    @tumababy7990 3 ปีที่แล้ว

    Mashaallah ujumbe mzito sn kk yangu

  • @AmusedLargeTree-md2jv
    @AmusedLargeTree-md2jv 9 หลายเดือนก่อน

    Ujumbe mzur

  • @zanmedia5225
    @zanmedia5225 3 ปีที่แล้ว +2

    Well done kaka

  • @allyismail3927
    @allyismail3927 3 ปีที่แล้ว +1

    Hashir hiii Kaz safiiiii sana

  • @farshadjuma8442
    @farshadjuma8442 3 ปีที่แล้ว +1

    😭😭😭 ujumbe mzito

    • @hashirmohdy8980
      @hashirmohdy8980  3 ปีที่แล้ว

      Dooh hakka manno yako tufanyie kaz tu

  • @sulemiami4275
    @sulemiami4275 3 ปีที่แล้ว

    Dooh maut tujiandae

    • @braqutourssafaris4672
      @braqutourssafaris4672 3 ปีที่แล้ว

      Hatr sana hiyo makamu rast ya viwango 👏🏻👏🏻ukichanganya na ujumbe mzito wa umaut.hakika mmeitendea haki na nimerudia kusikiliza zaid na zaid mwishowe ni kulia tu.😭😭😭yaarabi tupe khusn ll khatima.

  • @Official_Shaqiiq
    @Official_Shaqiiq 3 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah Mwalim Wangu

  • @saidgodhana7993
    @saidgodhana7993 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah mungu awabariki

  • @MRFLPR
    @MRFLPR 3 ปีที่แล้ว +1

    balaaaah

  • @mahadmohd9138
    @mahadmohd9138 3 ปีที่แล้ว +1

    Kazi mzuri

  • @abdullynassoro1766
    @abdullynassoro1766 3 ปีที่แล้ว

    Dah umeitokeya

  • @fahadayoub2360
    @fahadayoub2360 3 ปีที่แล้ว +1

    Dooh Allah vittaahh

    • @hakimjuma6584
      @hakimjuma6584 3 ปีที่แล้ว

      Tukae tukijua kua maut n lazm mungu atupe safar y gheir n salam

    • @fahadayoub850
      @fahadayoub850 2 ปีที่แล้ว

      Naam kabisa tujiandae na safari hii isokua na viza wala pasport

  • @haroon-abujabal100
    @haroon-abujabal100 3 ปีที่แล้ว +4

    رسالة عظيمة ،مشاء الله

    • @jumaomar4871
      @jumaomar4871 3 ปีที่แล้ว +1

      Yaani kazi mzuri sana zaidi yasana mashaallah

    • @chamchuuconsult4682
      @chamchuuconsult4682 ปีที่แล้ว

      MashaAllah Allah atustiri waislamu

  • @cutemima2599
    @cutemima2599 3 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah MashaAllah MashaAllah 🙏😓 😭😭😭

  • @fesalmohd6888
    @fesalmohd6888 3 ปีที่แล้ว +1

    Duh hatari san 😭😭

  • @shabanmohamed6795
    @shabanmohamed6795 3 ปีที่แล้ว +1

    Dooh mackn😭😭😭😭