qaswida ya harusi qadiria amani

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 368

  • @anastasiatitustitus6138
    @anastasiatitustitus6138 6 ปีที่แล้ว +13

    qaswida nzuri sana nimeipenda sana jamani mungu awajazie kheri tele

  • @SeifPagae
    @SeifPagae หลายเดือนก่อน +5

    Ostadhi hafidhu unatisha sanaa
    Unaweza upewe maua yako❤❤❤

  • @aminakhamis7759
    @aminakhamis7759 5 ปีที่แล้ว +7

    Yaani naisklza hii kaswidah kwa hisia zote Jinc ilivo mzuri mungu akujaalie kila la kheri inshaallah lop u all aqaz

  • @phatumaabassi8122
    @phatumaabassi8122 4 ปีที่แล้ว +1

    Nawapenda wote kasida zenu nzur sana mashaallsh

  • @Fatuma-l5y
    @Fatuma-l5y 2 หลายเดือนก่อน +2

    Jazakarau kheira baada ya kheir Jana tunaima❤ uliweza mungu azidi kukuweka hap duniani😢

  • @AllyKassimu-i3q
    @AllyKassimu-i3q 5 หลายเดือนก่อน +2

    Mashaallaah mwenyezi Mungu atufanyie weps

  • @biashaserenje8468
    @biashaserenje8468 7 ปีที่แล้ว +14

    Maa shaa Allah nimeipenda ajab wallahy

  • @FauziaMohamedi
    @FauziaMohamedi 3 หลายเดือนก่อน +1

    Waooooh hii QAswida naipenda sana❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @IbrahimSombo-qp6rm
    @IbrahimSombo-qp6rm 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mashaallah qasda nzuri Mungu awape nguvu inshaallah

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 3 ปีที่แล้ว +1

    Habari kasida zenu nzur mashaalah mungu awabari

  • @saumusaidi788
    @saumusaidi788 5 ปีที่แล้ว +1

    Manshaalhh maneno mazuri yenye mafundisho tunafurahi sana kusikiliza kaswida zako shekhe kadria,Allha akupe umri mrefu na wenzako,

  • @bongoommyho6255
    @bongoommyho6255 4 ปีที่แล้ว +6

    Mashallah mungu akupeumri mrefu nawajaze kila la kheri nyote

  • @taucyathumani8012
    @taucyathumani8012 5 ปีที่แล้ว +1

    Kweli basa sauti inafariji sana nyimbo nzuri

  • @ghazalisalimu2574
    @ghazalisalimu2574 ปีที่แล้ว +1

    Mashalha mungu akuzidishie kipaji

  • @RehemaRehema-l8e
    @RehemaRehema-l8e 5 วันที่ผ่านมา

    Mashallah din ya kiisilam inamaanidili mwema inshallah Allah atuongoze amin

  • @Rehema-h6t
    @Rehema-h6t 2 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah mmmmm asanteni sana ♥️♥️♥️

  • @alibejira1374
    @alibejira1374 2 ปีที่แล้ว +2

    Mashaullah naipenda sn hii Qaswidh

  • @ZeitunMeri
    @ZeitunMeri ปีที่แล้ว +1

    ❤❤❤❤ nimeipenda sana yarab awajalie

  • @faudhiaswalehe8315
    @faudhiaswalehe8315 5 ปีที่แล้ว +4

    Mashaallah mungu awaongezee umri na pumzi

  • @moyomambo7337
    @moyomambo7337 6 ปีที่แล้ว +3

    Mashaallh mungu akuongozen kwa mwezio mungu

  • @saumumagada9873
    @saumumagada9873 5 ปีที่แล้ว +6

    maashaallah ustadhi allah akujalie kil la kher

  • @mwanahamisikingu5462
    @mwanahamisikingu5462 3 ปีที่แล้ว +1

    Hangereni Sana kaswida ni nzuri sana

  • @abdisalanmohamef801
    @abdisalanmohamef801 3 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallh 🥰 vizuri xn walah 🥰

  • @MaArrr-mh2so
    @MaArrr-mh2so 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mashallah mashallah kaswida yenye mafunzo mwema 🤲

  • @allybakari7896
    @allybakari7896 4 ปีที่แล้ว +3

    Manshalla qadiria mnajua mungu awape maisha marefu muzidi kutuimbia qaswida

  • @masikaabdallah292
    @masikaabdallah292 3 ปีที่แล้ว +9

    Naipenda sna,muko Sawa Masha Allah,🙏🙏🙏🙏♥️

  • @zuwenaabdillahzanzibar5670
    @zuwenaabdillahzanzibar5670 6 ปีที่แล้ว +2

    nakupenda sheikhe Hafidh sana zaidi ya sana

  • @jokhakassim9335
    @jokhakassim9335 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah qadiriya mungu awaeke

  • @AyshaMustapha-uz7wo
    @AyshaMustapha-uz7wo 6 หลายเดือนก่อน +7

    Mpaka 2024 bado naangalia hii qaswida kama wapo wenzang tujuane gonga like

    • @MusutuDiribo
      @MusutuDiribo 13 วันที่ผ่านมา

      Infact izi Qaswida Qadiria za kitambo ndo zilikuwa nzuri sana zashinda za kisasa ata

  • @fatumashabani571
    @fatumashabani571 6 ปีที่แล้ว +3

    hongera napenda sana kk kaswid zako

  • @foziaabdullah9053
    @foziaabdullah9053 6 ปีที่แล้ว +3

    Allah akupe umri mrefu shekhe hafidh

  • @fatumashabani571
    @fatumashabani571 6 ปีที่แล้ว +3

    nzuli nimeipenda Ustazi upo vizuli

  • @leylahomar7740
    @leylahomar7740 7 ปีที่แล้ว +7

    MashaAllah Madrasat Qadiriya mko juu

  • @emirmatimbwa7059
    @emirmatimbwa7059 3 ปีที่แล้ว +1

    Salaama kharusi nendeni salama mkaevizuri kwenye yenu ndoa nasitutayari kuwatembeleya wallah raha 2021

  • @bekamduya2878
    @bekamduya2878 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashaalah mungu awap umr mref

  • @selemanmngereza6285
    @selemanmngereza6285 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah yani iko pow sana

  • @nayftyjumanayftyjuma7561
    @nayftyjumanayftyjuma7561 2 ปีที่แล้ว +1

    Napenda Sana qswida zako

  • @kulthumumwinyimkuu8201
    @kulthumumwinyimkuu8201 6 ปีที่แล้ว +4

    Nawakubali sana hawa vijana si mchezo

  • @mtorongai4751
    @mtorongai4751 4 ปีที่แล้ว +2

    Ñdoa ndio kila kitu kwa mwanadamu anapotumia miaka 18 kweli ndio lenye fadhila mashalaah

  • @sgfdhaikuhusu6086
    @sgfdhaikuhusu6086 4 ปีที่แล้ว +1

    Hapa shekhe ulikuwa mzuriii mashallah

  • @alisonso4194
    @alisonso4194 3 ปีที่แล้ว +1

    Dhhh juma fki ilkua unakata ngoma kma hna akili vzr vle saiv kma yy hkna maisha bna mhhh hy

  • @alibakar2526
    @alibakar2526 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah.Natamani muweko siku ya harusi ya binti yangu.sijui pakuwapata

  • @Happymembi
    @Happymembi 10 หลายเดือนก่อน +1

    Allah awajalie umri mrefu inshaallah

  • @zakariasule6553
    @zakariasule6553 3 ปีที่แล้ว +1

    Napenda San hii qaswid

  • @nasrarashid7061
    @nasrarashid7061 2 ปีที่แล้ว +1

    Allah awaongoze qadiria yote kwa ujumla

  • @salmaissa6217
    @salmaissa6217 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah Allah awazidishie kheri kwenu

  • @sharifarashidi2168
    @sharifarashidi2168 3 ปีที่แล้ว +1

    Maashaallah inapendeza sana

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 3 ปีที่แล้ว +1

    Nzur kasida zenu za zamani

  • @mariamothman7404
    @mariamothman7404 4 ปีที่แล้ว +7

    Mashaallah qaswida 👌😘👏Allah awape umr qadiria

  • @zailampard6040
    @zailampard6040 5 ปีที่แล้ว +1

    Napenda sana kasda zenu mungu azidi kukufanyien wepes inshaallah

  • @rahmaabdullah4172
    @rahmaabdullah4172 ปีที่แล้ว +1

    Aslm alykm ndugu yangu ustadh hafidh unatupa Niya ya kuolewa tuepukane Na zinaa inshaallah mola akulipe Kher zake amiin

  • @nasrarashid7061
    @nasrarashid7061 2 ปีที่แล้ว +2

    Hii qaswida ninzuri nimeipenda

  • @shakiraaswalah9917
    @shakiraaswalah9917 4 ปีที่แล้ว +1

    Yooo hiyo zamani umekonda ila sasa mashallah umekua mnene

  • @maporiwall5330
    @maporiwall5330 ปีที่แล้ว +1

    Daima naipenda hii qaswida

  • @jungaonema6970
    @jungaonema6970 8 ปีที่แล้ว +8

    asalamu alekumu,ndugu zangu waislamu kwa kweli tunatakiwa kutambua mziki ni haramu hata uweke sauti zuri vipi,uisilamu unafundisha mahadili mazuri siyo hivyo mnavyo fanya.Tufuate suna na mwenyezi mungu alivyo tufundisha,tanzama kunatofauti gani na kwaya

  • @aishaissa2513
    @aishaissa2513 5 ปีที่แล้ว +5

    Nakupendeni.mashallah Allah akutilie wepesi katika kazi zenu

  • @zahramobne7807
    @zahramobne7807 6 ปีที่แล้ว +6

    Mashallah napenda kuisikiza

  • @salmahassan8701
    @salmahassan8701 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah mungu awabaliki

  • @sofiagao6396
    @sofiagao6396 5 ปีที่แล้ว +3

    MashaaAllah.kaswid.zako.zime.noga

  • @rehemaabduli6976
    @rehemaabduli6976 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallh qaswida nzuri

  • @amirama4rear203
    @amirama4rear203 8 ปีที่แล้ว +22

    huyu shehe jamani mungu ampe maisha marefu

  • @AishaSwalehe-e5m
    @AishaSwalehe-e5m 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mko vizur mashallaa

  • @SalimMgonja
    @SalimMgonja ปีที่แล้ว +2

    Wanangu nawatakiasiku njema

  • @salumhmatuga1810
    @salumhmatuga1810 6 ปีที่แล้ว +3

    Nawakubal wote kaswid zur

  • @MkadamKombo
    @MkadamKombo 7 หลายเดือนก่อน +1

    Yaani hizi zilikua nzur sana

  • @abrahmansuleiman9586
    @abrahmansuleiman9586 3 ปีที่แล้ว +2

    Nishaitafuta Sana kasida hii yapili mbonasiipati nifanyeje

  • @mummysalim2438
    @mummysalim2438 2 ปีที่แล้ว +1

    nimwanamisi salim nauliza swali ustadhi mwanamke aweza olewa akiwa mbali

  • @binaman3051
    @binaman3051 5 ปีที่แล้ว +2

    Sheikh hafidh wewe ni mondi wa Zanzibar huna kosa 100% 100%

  • @somoendege4677
    @somoendege4677 5 ปีที่แล้ว +2

    Allah Akutangulie ww pamoja na qadiria wote kwa pamoja

  • @husseinnyaimanyitaulin6316
    @husseinnyaimanyitaulin6316 6 ปีที่แล้ว +3

    nawakubali mwenyezimungu awajalie

  • @salmajuma9209
    @salmajuma9209 4 ปีที่แล้ว +3

    Mashallah nice💥

  • @shakilainnocent8095
    @shakilainnocent8095 4 ปีที่แล้ว +3

    kwa wale tunao angalia hii qasida 2020

  • @shabihiayubu6857
    @shabihiayubu6857 8 หลายเดือนก่อน +1

    Qaswida kama hizi qadiria hazitorudi kwa kweli

  • @SalheMohd
    @SalheMohd ปีที่แล้ว +1

    2023 on fire🔥

  • @timabushuti5047
    @timabushuti5047 6 ปีที่แล้ว +3

    Jambo lakuoa nice kaswiga but tuleteeni jambo lakuolewa please

  • @furahakhamissi669
    @furahakhamissi669 7 ปีที่แล้ว +1

    maashalla mwenyezi mungu awazidishie😂

  • @hawakassanga9884
    @hawakassanga9884 6 ปีที่แล้ว +6

    Hadi raha

  • @samsungsalma8726
    @samsungsalma8726 5 ปีที่แล้ว +1

    Manshalllah Allah alete Kheri inshallah

    • @mohamedmgwami5987
      @mohamedmgwami5987 5 ปีที่แล้ว

      kazi zenu ninzuri sanaaa Allah swt awajaalieni kheir zaidi

  • @faridahussein4800
    @faridahussein4800 3 ปีที่แล้ว

    Naipenda... Ma sha allah...

  • @rehemaabduli6976
    @rehemaabduli6976 4 ปีที่แล้ว +1

    Mmependeza sana

  • @OmanSohar-d7z
    @OmanSohar-d7z 6 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂ukihitimu kusoma usomeshe na wenziyo huwo so mziki tutokee siye😂

  • @nuratyngwenda4648
    @nuratyngwenda4648 7 ปีที่แล้ว +7

    mashaallah shekhe

  • @zabibukikwato264
    @zabibukikwato264 ปีที่แล้ว +1

    Very good khaswida

  • @andreaa.nyundo8333
    @andreaa.nyundo8333 5 ปีที่แล้ว +1

    Hakika ni jambo jema, asante kwa kutukumbusha nimependa qaswida hii

  • @MAPETEE
    @MAPETEE 4 ปีที่แล้ว +1

    Mjomba wangu haafidh siku Izo
    Upo ivyo

  • @jumaabdallah7972
    @jumaabdallah7972 5 ปีที่แล้ว

    mashallah kaswida zenu zote zipo vizur

  • @mrsmrshassan7473
    @mrsmrshassan7473 9 ปีที่แล้ว +5

    Masha Allah , Waislam tubadilikeni , kaswida masha Allah , lakini , tupunguze kucheza na vinai , Allah ndio mjuzi

  • @tiffahbby3697
    @tiffahbby3697 5 ปีที่แล้ว

    MashaAllah qaswida tamu afu wajua kucheza

  • @zanmedia5225
    @zanmedia5225 ปีที่แล้ว +1

    Ningekua na uwezo ningerejesha tena muunganyiko kwenye hii madrasa

  • @qairamtolela8382
    @qairamtolela8382 4 ปีที่แล้ว +1

    Shekhe unaimba mpk unatia Raha allwa awape hitaji la mioyo yenu

  • @abdillahduchi1737
    @abdillahduchi1737 8 ปีที่แล้ว +5

    my mame is Abdillah
    icome from in Zanzibar
    i can see many beatifuly house ilove all frend

  • @sheebqpsheebqp8314
    @sheebqpsheebqp8314 6 ปีที่แล้ว +3

    Enzi hiz wadog sana saiv mumekuw mushaow daa

  • @fadhilakassim6812
    @fadhilakassim6812 4 ปีที่แล้ว +1

    Brother nasir

  • @saidsaid9463
    @saidsaid9463 6 ปีที่แล้ว +7

    Shukrani kwa kutukumbusha Allah awape kheri

  • @rahmahahmed2644
    @rahmahahmed2644 9 ปีที่แล้ว +5

    MASHAA ALLAH MABROOK.

  • @kitaaofficial4119
    @kitaaofficial4119 4 ปีที่แล้ว +6

    Maasha allah Leader of the Qaswidah in Tz

  • @khadigappi3618
    @khadigappi3618 6 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah sauti nzuli na ujumbe wake

    • @maryamhamisi4257
      @maryamhamisi4257 4 ปีที่แล้ว

      Yani mm naipenda sana ndoh nafika nyumbani minda hii lakini naisikiliza ila nasema kwawale walio pata nusura ilindeni ndoa mimi bado pia dua zenu natamani sana ila sijampata usiku mwema

    • @khadigappi3618
      @khadigappi3618 4 ปีที่แล้ว

      Ishalla mungu akufanyie wepesi

  • @zahraablossom7098
    @zahraablossom7098 10 ปีที่แล้ว +8

    Qaseedah Mashallah

  • @salmabanda6049
    @salmabanda6049 3 ปีที่แล้ว +1

    Nimekumbuka mbal sana

  • @HawaAbdallah-g8k
    @HawaAbdallah-g8k 3 หลายเดือนก่อน +1

    Alitop