Assalamu aleikum warahmatullahi wabarakatuh Mashaallah Shukrani shehe juma faki kwa qaswida nzuri yenye ujumbe mzuri kuhusu kushikamana na ndugu zetu kwamba tukajiona bora kuliko ndugu zetu Namuomba allah atujaalie tuzidi kushikamana na ndugu zetu tusiwadharau walioko chini Aamiin SHUKRAN sana shekhe juma faki جزاك الله خيرا
Hivi Huyu YAHYA anakipaji gani kiasi kwamba kaonekana katika MIAMBA hii miwili? Kama umemkubali YAHYA hajaharibu katika QASWIDA hii naomba LIKE ili tumpongeze kwa pamoja.
MashaAllah MashaAllah Qaswida Nzur sana ❤❤Jamii inahitaji vitu kama hivi atleast they can learn Something from it . Allah awajalie Afya njema na Umri zaid muendelee kuelimisha Jamii.#congrats both of you💯👏.
Daah nimejipata moyo wangu waumia sana kwa huu ujumbe Allah awajaze kheri qadiria upendo daima kutoka kenya❤
Assalamu aleikum warahmatullahi wabarakatuh
Mashaallah
Shukrani shehe juma faki kwa qaswida nzuri yenye ujumbe mzuri kuhusu kushikamana na ndugu zetu kwamba tukajiona bora kuliko ndugu zetu
Namuomba allah atujaalie tuzidi kushikamana na ndugu zetu tusiwadharau walioko chini
Aamiin
SHUKRAN sana shekhe juma faki
جزاك الله خيرا
ما شاء الله.
Allah awazidishie kila yaliyo kuwa na kher na nyinyi.
Kama unaona hawa wanao DISLIKE hawajui kazi nzuri naomba LIKE zenu japo 30 tu niwaumize MIOYO YAO.
👍,👎 wengi hawajui maana ya hizi alama
Abou kibesh amin
Ttzo chuko
Ttzo chuki
😂😂😂shida uelewa Ila wapo vzr
walodislike km unakubaliana nami ni wachawi wa maendeleo ya watu likes 100 ili wawe na aibu
Mashallahu kwaujumbe mzur mungu awalipe yaher nawapenda sana fak & juma mukikaa pamoja nbala kasorobo tunajivuniya nyny znz 💓
Mashaallah nzuri japo yaliza 🥺🥺👌🏻👌🏻🇰🇪🇰🇪🌹
MashaAllah
Amazing
Beautiful Nasheed
Meaning full words
Thank You Brothers
Jazaaka Allahu khyran 🤲
Ramadhani Kareem
Allhuakibaru nyy kwakweli mnajitahidi na mola wetu atawalipa
Aaamin
Kaswaida huichoki kuiangalia wala kuisikiliza
Perfect one
Mashaallah.allah akupe uzima ili uweze kufikisha ujumbe kwa waumin
MASHA ALLAH QASWDA MZR SANA NA INA UJUMBE MZR SANA
HONGEREN SANA KAZ MZR
Ukajifanya jabariiii majigambo vazi lako
Ukasahau kaburiii kuwa ndipo ulalapo
Dah maneno mazito
UJUMBE MGENI , nimependa na mwaka huu mshatukomoa AQAZ tunaomba posmo maan sion mbaya wala mbovu MAASHLLH
Asante sana kiongozi hahaah
nimewapenda hao video vicen khamiss kombo unachezea bausa hilo good aidea
Mashaallah Allah akukhifadhi
Mashaa allah . Kwel ujumbe mzur sana unahitaji mazingatio . Hongereren sana
Mashallah ustadh juma hakika uwwezo wko upo juu sana heshima kwako Allah akuzidishie na akulipe kwa khery yke
Kaka mungu akujalie undelee kutuelimisahaaa
Aqaz kwangu big up siku zote
Masha Allah Kazi Imesimama Imara Mno Ujumbe Umefika Kwa Jamii
Asante shaqeeq Al_jameel
Jamn mm hii beat na vinanda .da jamaa anajua
Mashaa Allah saut nzr n qasda yeny mafunzo ndan yk mungu awaeke miaka mingi yeny her ndan yk ili muzd ku2elimisha
Aaamn
Dah yaliza haki yakumbusha mbali hii 🥺🥺🥺🤲🏻🤲🏻🤲🏻
Sijawahi kuona Juma Faki na Faki Mbarouk wakiharibu kwa Zanzibar hii wapo juu hawana mpinzani. Nice qaswidah
Mmefanya kazi nzuri sana Mungu awazidishie fikra
Aamin
Hivi Huyu YAHYA anakipaji gani kiasi kwamba kaonekana katika MIAMBA hii miwili? Kama umemkubali YAHYA hajaharibu katika QASWIDA hii naomba LIKE ili tumpongeze kwa pamoja.
Mashallah anastahiki pongezi Yahya
Hongera kaka faki na juma
Na uyo Yahya jeee? Au yeyehajaitendea haki Qaswida?
Unumbe mzuri sana
Qaswida zenu nazikubal%100000000 zaidi mukiwemo nyinyi 2 F&J kiukwl zina burdish nimetaman hata kutungiw 1 spesial for me .
Hongera na kwa Ust Faki na Sh Yahya kazi mzuri sana hii
Hiv nyie watu anaewapinga ni nani tumsute?Allah azidi kuwaongoza mashallah qaswida zenu nzuri sana wallah
Mashallah watu km haw wapo mitaani wanakibri kisa neema alizowap Allah wanasahau km yote hay Allah ndomsababishaj subhanallah 😔
Binafsi nimewaithika kabisa MASHAALLAH🙏🙏🙏
Thank you maticha zangu kwaujumbe mzuri kwajamii mashaallah Allah awajaze gherii
Mashaallah Habib pacha
MashaAllah MashaAllah Qaswida Nzur sana ❤❤Jamii inahitaji vitu kama hivi atleast they can learn Something from it . Allah awajalie Afya njema na Umri zaid muendelee kuelimisha Jamii.#congrats both of you💯👏.
Aaamin shukran salam zao mombasa
@@jumafaki1697 Salam zishawafikia Sheikh 💕
Mashaaalllah habib Juma Faki. Yammy yami ipo nawewe katikajihada zako
Shukran Alhabib Yamiyami ni fakhari yetu sote
Hongera Kwa Qaswidah
Mja usiwe kibur izo pumzi si zako one among of the best qaswda in this year shukran kw ujumbe wen
Kabisa kabisa
mashaallah 👌 Kaz nzur ujumbe umetufikia
Mashllah mchpa kzi
Mashaallah Allah atuhifadhi na atuepushie kibri Amina yarabi shukran big job raiiyah
Shukran pia
Wanaotak kushindana na nyiny Juma wambie wasome kasda km dunia na swalaaaa ila dah msamaha na ubaguz dimaria moto WA mbali pia
😂😂😂 asante
mashaallah kazi imeeleweka na ujumbe umewafika
Mashaallah najinady kupitia nyinyi viongozi wangu
Hongereni sn Mafaghari watatu ujumbe mashaallaah, mja usijipe kiburi hizo pumzi si zako Wenu Qari Sai Omar from Dsm to Zbar⭐🌙🕌🕋
Mashallah
MAALIM JUMAA MASHA ALLAH UMEPANDA HUMOO CYO MCHEZO VITTAHHH
Vita kaka
Kazi nzuri mashallah hongereni.
Maasha Allah qasweda nzuri sana inafundisha asanteni maalim Juma from AQAz
Asante
Honge juma fakky
Mubaarak❤
Hongera kaka juma na kaka faki
Big up mafundi ramadhn karim
Kaz mzur sana funzo
Masha Allah kazi nzur
Naipenda sana hiii
Maasha allah hakika ujumbe mzuri
MashaAllah tabarakallah.
Kali sanna
Nipo dar nawapata vzr ntman nije Zanzibar Nile skukuu ila corona 😥😥😥
Makin sana
Qaswida nzuri sana Masha Allah aqaz
Maashaallah hii kali sanaaaaa
Masha allah Qaswid mzr cn Allah awabrk wot Shkrn Aliy Ahmad
Asante sn
Insha allah kw sot malim juma
Qaswida ni mzik mzur wa kusikiliza popote pale
Mashallah, C'est bon travailler
C'est un bon quaswida
Masha Allah kwa ukumbosho
Kama unamkubali juma fak like
Kitu kitam ichoo mashallaah
Mashallah 😍
Its so amazing
From UK, good
Wakongwe mnafanya vyema Safi Sana.
Qaswida nzur masha allah
Ksd mashallah iko poa
Asante kiongozi
Maa shaa Allah
Nakukubal kk
Kazi nzur
Ujumbe mwanana mashallah
Kweli kabisa
@@jumafaki1697 Allah aibarik kaz yenu ya kutuelimishaaa. Na kutuasaa
Mashaallah.....
Mumetulia
Mashaallah allah awabarik 🙏
Aamin nawewe pia kahamid
Mashallah Allah kareem
masha Allah aqaz
Hamuna wapinzani muko vyema sana
Hahahaha nangalia huku na soma comment from Pemba
Haha
Naona namuona sheikh hossen akifanya ubabe wake
Mashaallah
kaliiiiiiiiiiiiii🤝🤝
Asante mtaalam
MAASHAAALLAH kz kz
Nkuheshimu daima mwalim
asante mkuu
Yani MM mwezenu nomekutamani kwetu tu yani nimekumiss hadi na ingia homa
Karibu uje kwenu znz
Asante nitakuja bii idhin llah ila ndio covd imetufanya tuwepo kwenye vizingiti hatuendi popote hadi Airport zimefungwa uwiii allah atusaidie
qaliii
Nimependa ujumbe
Nakukubali fund mkubwa
Asante sna
Shukrn kk ujmb ush fk masody hap jumb mwalm
Ipo pw
mashaallah
MashaAllah
Maishallah
👏👏👏👏👏
Qalii