Ust.Juma Faki(Aqaz)-Hassad Official video new 2021

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 210

  • @abuukajusuleimani8311
    @abuukajusuleimani8311 2 ปีที่แล้ว

    Masha Allah kaswida hii mzuri sana mie kwa sasa sijaona kama hii

  • @faqihmbarouk6880
    @faqihmbarouk6880 3 ปีที่แล้ว +7

    ALLAH akubaaarik na akukinge na HASADI kwa hicho alichokubariki ALLAH

    • @jumafaki1697
      @jumafaki1697  3 ปีที่แล้ว

      Aamin shukran Sana kiongozi

    • @swalaasaleh9114
      @swalaasaleh9114 3 ปีที่แล้ว

      Asalam alykm shekh faki naomba kaswida zilizoka saaahivi

  • @saidomar6806
    @saidomar6806 3 ปีที่แล้ว +7

    Hasadi ni jambo baya Mola amelikemea Ubarikiwe sn Juma Fakky kw Ukumbusho mwema kwaJamiya hakika wenikioo kw umma wa muhammad (s a w)

    • @ShikhaMohd
      @ShikhaMohd 5 หลายเดือนก่อน

      Jima faki🎉

    • @ShikhaMohd
      @ShikhaMohd 5 หลายเดือนก่อน

      Juma faki

    • @ShikhaMohd
      @ShikhaMohd 5 หลายเดือนก่อน

      Juma fak

  • @zaitunmustapha8962
    @zaitunmustapha8962 3 ปีที่แล้ว +3

    Masha Allah jaman hongera sana umeimba vizur sana kiukwel Allah akupe umri mrefu akuhifadh uzid kuelimisha jamii uzid kutufunza mazur hongera sana kaka juma

  • @shirahighqualityvideo8440
    @shirahighqualityvideo8440 3 ปีที่แล้ว +6

    Htari hiii kiongozi mashallah

  • @imraanburhan2906
    @imraanburhan2906 3 ปีที่แล้ว +8

    mara moja haikuntosha kuitazam imenbdi niirejee kuitazama mara 3 🙏🙏🙏😃😃😃😃

  • @binamubinamu1151
    @binamubinamu1151 3 ปีที่แล้ว +3

    Mashaallah kitu kimenifika roho mwalim juma UJUMBE umewafika mahasid Woote

  • @edenhazard3199
    @edenhazard3199 3 ปีที่แล้ว +1

    Hassad niujembe mzury sana mashallah umefkisha ujumbe mzito sana mashallah Aqaz mzee wa ladhaaaaaaa

    • @jumafaki1697
      @jumafaki1697  3 ปีที่แล้ว +1

      Asante Sana kiongozi Ladha khatari 🔥

    • @edenhazard3199
      @edenhazard3199 3 ปีที่แล้ว +1

      Wakati nina koment nipo ktka usafiri nina enda chake lkn kwa nina rud nimeitazama tena hassad watu nilio kaa nao siti moja wame furahaii sana broo kaza buti sana tena sana

  • @rashidzunguaqaz
    @rashidzunguaqaz 3 ปีที่แล้ว +7

    Baraka allah #Maalim Juma vittaa

  • @qaswidataalim.3191
    @qaswidataalim.3191 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah wewe nimwalimu wakweli tena mwalimu mzuri sautiyo ni asali zidi kwenye mashairi wengi tunakukubali kwakutujaza sururi allah akujazenuri namengi yalo mazuri

  • @hashirmohdy8980
    @hashirmohdy8980 3 ปีที่แล้ว +6

    Dooooh khatr kubwa sn mwamba umeshindaa mwamba

  • @maryammaulid5240
    @maryammaulid5240 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah Allah atuepushe mbali na hasadi binaadam hata umfanyie vipi kwake sio zuri.Allah akufanyie wepesi uendelee kuukumbusha umma

  • @abdulbasamyussuf6357
    @abdulbasamyussuf6357 3 ปีที่แล้ว +4

    I see Allah akubarik kiongoz kz mzur sana Mashallah

  • @binamubinamu1151
    @binamubinamu1151 3 ปีที่แล้ว +3

    Mitihady jaman tupunguzine hassad jaman sio kitu kuzur hassad

  • @MUASH93
    @MUASH93 3 ปีที่แล้ว +3

    Hongera kwa kutufikishia ujumbe mkubwa kwa jamii allah akupe nguvu ya kuzidi kuukumbusha umma ila kijana nakaribia kafanya nusra uniazime koti ilo

  • @FahadMc-ce4xu
    @FahadMc-ce4xu ปีที่แล้ว

    Bado tunaendelea kuiangalia hii kazi Duh sijutii kumkubali mwamba juma Faki

  • @MabroukAbass-w4t
    @MabroukAbass-w4t 7 หลายเดือนก่อน

    Ahsante sana,ustadh juma mola akulipe

  • @bushirigharr9435
    @bushirigharr9435 3 ปีที่แล้ว

    Hakika juma faki umesema kweli kazi nzuri maneno mazuri

  • @kabaisaduli2651
    @kabaisaduli2651 3 ปีที่แล้ว

    Mwalim juma Asante sana kwa ujumbe mzuri na tunajvunia sana kwa kutokuingiya kwenye mfumo wa taarab

    • @jumafaki1697
      @jumafaki1697  3 ปีที่แล้ว

      Asant Sana boss tuko pa1

  • @aliykundi3794
    @aliykundi3794 3 ปีที่แล้ว

    Heshima kwako shekh juma mm nimekuelewa allah akuzidishie

  • @husnamohamed9245
    @husnamohamed9245 3 ปีที่แล้ว

    Kasida zako nazipenda sana zina mafundisho tofauti na kasida nyengine kwanza imetulia mashallah. Thanks

    • @jumafaki1697
      @jumafaki1697  3 ปีที่แล้ว +1

      Ahsante Sana Usisahau kusubscribe

  • @ochuochan4132
    @ochuochan4132 3 ปีที่แล้ว +1

    HASAAD sio kitu kizur
    Shekh juma kazi nzur

  • @silimaramadhan2601
    @silimaramadhan2601 3 ปีที่แล้ว +1

    Mwalim juma wwe sohadhi yko kukahapa Zanzibar hivonakuomba japo kwamiyka mitano rudi kwenu warabuni mana hiinihatari mwalim juma

  • @zulfahaji1858
    @zulfahaji1858 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallah.
    Sie wengine si wasikilizaji kitu kilo tiwa miziki. Ila kaka Allah kakupeni vipaji vya kusoma vizuri pia munamashairi mazuri mashaallah. Mungu wazidishie.
    Ushauri wangu ningefanya kama nashidi ingependeza. Pia wale wenyemakasida ya magoma wasingepata chakusingizia. Maaana wanafanya utombe halafu ushahidi wao inakuwa nyie. Kwamba mbona nyie mnafanya na sisi hatusemi.

  • @Rmkh88
    @Rmkh88 8 หลายเดือนก่อน

    Ujumbe mzuri, Shairi zuri, sauti Bomba brother

  • @OmarOmar-em1ol
    @OmarOmar-em1ol 3 ปีที่แล้ว

    Jaman hii Kacda sichoki kuitazama imekamilika kila sehemu tuacheni Hasad jamani

  • @fahmialhatmyonline6093
    @fahmialhatmyonline6093 3 ปีที่แล้ว +5

    Maa shaa Allaah,kazi nzuri sana mwamba JUMA FAKIH OMAR...
    ALLAH ATUKINGE NA HASAD🤲

  • @abdusaad183
    @abdusaad183 2 ปีที่แล้ว

    ماشاء الله
    بصراحة صوتك رائع اخي جمعة حفظك الله وزادك من فضله
    لم افهم كثير من الكلمات لكن صوتك مميز فوق اللغة . استمعت لاكثر من وصلة بصوتك الله يبارك فيك

  • @abdallakhamisfaki9329
    @abdallakhamisfaki9329 3 ปีที่แล้ว

    Yan kwa mara ya kwanza nacomment kupitia TH-cam mashallah hii kaz imebeba ujumbe mzito sana wenye kuendana na wakat kila pande za dunia #juma faki kaka allah akupe kher kubwa sana uzid kuelimisha jamii

    • @jumafaki1697
      @jumafaki1697  3 ปีที่แล้ว +1

      Aamin
      Shukran Sana Ndugu yangu Allah akulipe kheri

  • @omarypandu5338
    @omarypandu5338 3 ปีที่แล้ว

    Nzr inaelezea uhalisia wa jamii z2

  • @Official_Shaqiiq
    @Official_Shaqiiq 3 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah Mja Kazi Ipo Vyema Kila Idara

  • @hashirmohdy8980
    @hashirmohdy8980 3 ปีที่แล้ว +5

    😭😭😭😭😭Khasad dooh

  • @orerasaid4703
    @orerasaid4703 3 ปีที่แล้ว

    hongera kaka kwa kazi nzuri ujumbe umefika

  • @HidayaOmar-l4k
    @HidayaOmar-l4k 3 หลายเดือนก่อน

    Ni kweli hasadi si jambo zuri

  • @HidayaOmar-l4k
    @HidayaOmar-l4k 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu akulinde na hasadi kipenzi chetu

  • @kingmohal6157
    @kingmohal6157 3 ปีที่แล้ว

    Mashaallah ustadh juma hakika mungu akulinde na wabaya na akukuzishie kipaji chako

  • @khulaydkichuya2809
    @khulaydkichuya2809 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah Mwalim Juma we nizaid ya mahaodar daaah HASSAD 😭😭

    • @jumafaki1697
      @jumafaki1697  3 ปีที่แล้ว

      Subhanallah 😭

    • @khulaydkichuya2809
      @khulaydkichuya2809 3 ปีที่แล้ว

      Khatar hii ukija keshokutwa tumbatu nitakuomba uisome hii tuone watu watakavolia

  • @aminayasin9895
    @aminayasin9895 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah mashallah mungu akuzidishie kaka juma Nakupendaa sana wew kaka mungu akuzidishie inshaallah wew unaimba sana jamanii👍🌹💝 hassadi ni mbaya sana ☝ aah mashallah

  • @hajjcleverswabirina2331
    @hajjcleverswabirina2331 3 ปีที่แล้ว

    Masha Allah Masha Allah Masha Allah Dah khatari kwa kweli mzigo uko vyema maalim Juma mungu akuzidishie kipaji uweze kutupa ladha nzuri Kama hizi

  • @ibrahimkwaza7222
    @ibrahimkwaza7222 3 ปีที่แล้ว +1

    kaka uko kazi nzuri kasida ina 100% na video ndio imemaliza kazi

  • @alhajrahassan89
    @alhajrahassan89 3 ปีที่แล้ว

    Mashallah mungu akulinde sheikh wang

  • @rahimaessa2552
    @rahimaessa2552 ปีที่แล้ว

    😅😅😅😅😅Nawapenda wazanzibar ongea yenu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉Mashaa Allah❤❤❤

  • @jumaaliy4290
    @jumaaliy4290 3 ปีที่แล้ว

    Somo wallah...maasha allah umeupiga mwing kweli💥💥💥💥💥

  • @ustjumanasheed1228
    @ustjumanasheed1228 3 ปีที่แล้ว +1

    Masha allah kwakwli hii haina kupigwa kazi kubwa sn dunian

  • @bintqassimidarous1636
    @bintqassimidarous1636 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah sheikh Juma Faki hukosei kwenye hizi shuhuli

  • @is-hakajuma1479
    @is-hakajuma1479 3 ปีที่แล้ว

    Omi kivugo mkono wako ni sehem ya hatar hii MashaAllah

  • @thaysai9696
    @thaysai9696 3 ปีที่แล้ว

    Mashallah sheh juma Allah akuzidishie uzidi kutuelimisha

  • @ghulammaabad9109
    @ghulammaabad9109 3 ปีที่แล้ว

    Hongera hongera ust wang nimeikubal san hiii kaz mashallah Allah akuepushe na mahasidi ww pamoja na ss

  • @tanzaniaone5569
    @tanzaniaone5569 3 ปีที่แล้ว

    Mashallah vitu Kama hivi ndivyo tunavovihitaji big up Aqaz

  • @Mukhlis-w8k
    @Mukhlis-w8k ปีที่แล้ว

    It's Amazing keep it up 💪 #JumaFaki

  • @capable3438
    @capable3438 3 ปีที่แล้ว +2

    Kazi nzuri mashaallah

  • @abdallahjuma1981
    @abdallahjuma1981 3 ปีที่แล้ว +1

    Kaswida nzur sana mashallah na mahadhi yke mazuri

    • @jumafaki1697
      @jumafaki1697  3 ปีที่แล้ว

      Shukran Sana Alhabib

    • @abdallahjuma1981
      @abdallahjuma1981 3 ปีที่แล้ว

      @@jumafaki1697 ok sw nitumie no yko ya watsap mana sjapata mtu wa kunipa

  • @khamiszungu271
    @khamiszungu271 3 ปีที่แล้ว

    MashaAllah
    Ujumbe mzur sana Hodari wangu dah wewe si wakuchezea HONGERA

    • @jumafaki1697
      @jumafaki1697  3 ปีที่แล้ว +1

      Asant hodari wangu wamashairi

  • @aminarashid271
    @aminarashid271 ปีที่แล้ว

    Mashaaallahu sauti ya dhahabu

  • @salimvinyota3002
    @salimvinyota3002 3 ปีที่แล้ว

    Ujumbe uko sawa mwalim masha llah

  • @rukiabakari8745
    @rukiabakari8745 3 ปีที่แล้ว +1

    Hongera zako sheikh

  • @goldenstudio866
    @goldenstudio866 3 ปีที่แล้ว

    Adiiiii, mashallah kazi tamu kweli kweli .Director hongera sana

  • @aliabdulla7427
    @aliabdulla7427 3 ปีที่แล้ว

    Sijawahi kujutia kufatilia kazi zako JUMA...mungu akulinde na kila hasadi uzidi kuzikosha nafsi zetu kwa ujumbe jamiil...MashaAllah

  • @comexmediatz
    @comexmediatz 3 ปีที่แล้ว +2

    safi safi safi , kama indonesia mazingira

    • @jumafaki1697
      @jumafaki1697  3 ปีที่แล้ว

      Asant Sana Kiongozi

    • @mohdsalum5428
      @mohdsalum5428 3 ปีที่แล้ว

      @@jumafaki1697 shekh juma hay ni mazingira ya wapi

    • @fabyarts1543
      @fabyarts1543 3 ปีที่แล้ว

      Sheikh juma upo vzr mashaallah

  • @swahibmaqaam9313
    @swahibmaqaam9313 3 ปีที่แล้ว +3

    Kwa mwaka huu inatosha hii HASSAD imenifanya nilie 😭😭

  • @hamadrashid5140
    @hamadrashid5140 3 ปีที่แล้ว +1

    صدقت أخي....
    نعوذ بالله من شر حاسد إذا حسد. 👐

  • @is-hakajuma1479
    @is-hakajuma1479 3 ปีที่แล้ว

    Hongera pia kaka Juma kaz mzr MashaAllah

  • @hamidyakoub6865
    @hamidyakoub6865 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah maalim jumaa

  • @SheikhIssaAbnau
    @SheikhIssaAbnau 3 ปีที่แล้ว +4

    Masha Allah hii Qaswida ni Kali Sana

  • @kassimabdallah515
    @kassimabdallah515 3 ปีที่แล้ว +2

    Hongera xana

  • @khamiszahour6139
    @khamiszahour6139 3 ปีที่แล้ว

    wee jamaa asa unajua nakukubali

  • @naimasaid2425
    @naimasaid2425 3 ปีที่แล้ว

    Allah atunusuru na hassad

  • @NadzuwaAmina
    @NadzuwaAmina 7 หลายเดือนก่อน

    Mola wetu atatuondolea inshallah

  • @hassniseif406
    @hassniseif406 3 ปีที่แล้ว

    Mungu kihifadhi kipajichako kwkweli uposawa

  • @abuumurahamza9275
    @abuumurahamza9275 3 ปีที่แล้ว

    Naam mwalimu ikosaf hiy mashallah

  • @zahrahaji4320
    @zahrahaji4320 2 ปีที่แล้ว

    MashaAllah rafik

  • @hassanjuma869
    @hassanjuma869 3 ปีที่แล้ว

    Naama maalim juma nakubali maneno yako ila dah vidio jamaa amei2liza sanaaa nahizo ndo kazi mkuu

  • @princehalawa_official7980
    @princehalawa_official7980 3 ปีที่แล้ว

    Sina cha kusema mana wanakuelewa ww ni nani hujawahi kukosea Mwalim hongera sana...Haipingwi Uncle💪💪

    • @jumafaki1697
      @jumafaki1697  3 ปีที่แล้ว

      Fundi halawa mwenye 🔥🔥

  • @hydarsheha7198
    @hydarsheha7198 3 ปีที่แล้ว

    Mashaa Allah, Na ww kwanza Allah akulinde na hao mahasidi unaowazungumzia.

  • @DirectorOne.t
    @DirectorOne.t 3 ปีที่แล้ว

    Kaz imetulia kila idara MASHLLH

  • @khmissadi5444
    @khmissadi5444 3 ปีที่แล้ว

    Mashaaallah hyo n kwel

  • @kassimabdallah515
    @kassimabdallah515 3 ปีที่แล้ว +2

    Ila na leo nakupa pongezi

  • @zubedadiva2035
    @zubedadiva2035 3 ปีที่แล้ว

    Hongera San mwalim wangu🔥

  • @aminaissa6685
    @aminaissa6685 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah ostadhi faki
    Kila la kheri 🙏🙏🙏

    • @abuumurahamza9275
      @abuumurahamza9275 3 ปีที่แล้ว

      Naam jina suleymani hapa Tim aqaz qadiria Mi nahitaji namba yako mwalimu wetu kila la Her

    • @abuumurahamza9275
      @abuumurahamza9275 3 ปีที่แล้ว

      Naam jina suleymani hapa Tim aqaz qadiria Mi nahitaji namba yako mwalimu wetu kila la Her

    • @abuumurahamza9275
      @abuumurahamza9275 3 ปีที่แล้ว

      Naam jina suleymani hapa Tim aqaz qadiria Mi nahitaji namba yako mwalimu wetu kila la Her

  • @burhantvtzonline5417
    @burhantvtzonline5417 3 ปีที่แล้ว +2

    MaashaAllah tabaaraka llaahu

  • @khamismajlo650
    @khamismajlo650 2 ปีที่แล้ว

    Hapa kaka umeuwa xn honger

  • @mwanaali814
    @mwanaali814 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallah juma

  • @afnaania9827
    @afnaania9827 3 ปีที่แล้ว

    Iko saw nimeipa alama 💯

  • @jumamjuma124
    @jumamjuma124 3 ปีที่แล้ว

    Naam ujumbe mzuri ustadh juma

  • @abdallakhamisfaki9329
    @abdallakhamisfaki9329 3 ปีที่แล้ว

    Achana na saut tuzungumzie location ss yan hii kaz kwel imekamilika kila kt kipo good

  • @chidysule
    @chidysule 3 ปีที่แล้ว +2

    💥💥 vitaaah

    • @samirihamza6617
      @samirihamza6617 3 ปีที่แล้ว +1

      OK asant kwa kazi nzri nyenye kuelimisha jamii

  • @kajusuleymani3309
    @kajusuleymani3309 3 ปีที่แล้ว

    Kazi inaendelea tunasubili kigongo kingine

  • @AminaRozey
    @AminaRozey 10 หลายเดือนก่อน

    🎉mashaAllah

  • @islamrashid5451
    @islamrashid5451 3 ปีที่แล้ว

    Maa Shaa Allaah Habib kazi nzuri

  • @barghashally7791
    @barghashally7791 3 ปีที่แล้ว

    أنت نجم وغيرك كواكب، إذا بدت لم تبد منه كوكب 🌍. Maalim juma tunajifakharisha kwako ktk hivi visiwa

    • @jumafaki1697
      @jumafaki1697  3 ปีที่แล้ว

      Ahsante mwalimu wangu
      Dua zako shekh wangu

    • @barghashally7791
      @barghashally7791 3 ปีที่แล้ว

      Inshallah maalim allh atakusimamia hadi kukamilisha malengo yako.

  • @elwaheidabdul4889
    @elwaheidabdul4889 3 ปีที่แล้ว +1

    iiiiiih inhiii

  • @bindauud6596
    @bindauud6596 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah

  • @suleshmauwezo8523
    @suleshmauwezo8523 3 ปีที่แล้ว

    God work balzaaaaaa zitooooo sanaaaaaa

    • @jumafaki1697
      @jumafaki1697  3 ปีที่แล้ว

      Duh 😃 😃 Asant director fundi znz

  • @zanmedia5225
    @zanmedia5225 3 ปีที่แล้ว

    Kiongozi wangu jana tulizongeka wote hadi nikashindwa kuweka neno langu hapa, ila sijachelewa kwakweli, hii kazi unaombea mkopo bank yoyote Tz 😁😁

    • @jumafaki1697
      @jumafaki1697  3 ปีที่แล้ว

      Duh 😃😃 Asant Sana Kiongozi wangu

  • @rahimstarling3679
    @rahimstarling3679 3 ปีที่แล้ว +1

    Masha allah!!

  • @marhabamaandazi79
    @marhabamaandazi79 2 ปีที่แล้ว

    Safi sana

  • @semedimuslih5254
    @semedimuslih5254 3 ปีที่แล้ว +2

    Ww utabakiy kuwa mkali 2

  • @FatmahAbdallah-vl9ux
    @FatmahAbdallah-vl9ux ปีที่แล้ว

    maashallah

  • @tanzaniaone5569
    @tanzaniaone5569 3 ปีที่แล้ว

    Hii kasida imenigusa kwanini Tufanyiane Hassad😭😭😭

  • @albirrualbirru1917
    @albirrualbirru1917 3 ปีที่แล้ว

    Masha allah saut ya thahabu