Huo mdundo mara unacheza huku unatembea muko vizuri sana mashaallah mashaallah mashaallah na sauti zenu nzuri Allah awalinde na jicho la husda mashaallah❤❤❤❤❤❤❤
From Kenya, Aqaz vipenzi wa familia ya mzee Halfan Tindi. Maua 🎉🎉 tunawapea kila mara tunasikiza qaswida zenu. We all say congratulations 🎉 to Aqaz, Faki Mbarouk, Juma Faki and the team. Maa Shaa Allah. Wallahi mko vizuri.
Album ilokusanya Illah Karima....Ust Salum Ada ya Harusi....Ust Salum Leo tumefurahika....Ust Hafidh Ijangalna....Ust Rashidi Hongera Bibi Harusi....Ust Salum Kana ipo kiongozi kwa hali na mali kiongoz iweke
Muda wa sauti laini zenye ila hapa ndo kusema. Masha Allah tabaarakallah ❤❤❤
Musicians juma na faki ❤
Nyote ni super star na ssauti zenu za almasi mashaallah ❤❤❤
Mm bwana nawapenda san nilikuwa naomba kaswida ya kaka cholo ust juma
Mshikamano ndio mafanikio yenu siku zotee. zangu pongezi Napeleka kwa Ali Ahmad (Gedu) maana hizo beat kama anakuchoma misumari🤝
Hizo sauti zenu ni tamu sana nyinyi mnajuwa sana muko juu sana hamna mpinzani zanzibar mzima mashaallah mashaallah ❤❤❤❤
Hii kaswida si waliimba Madrasat ya Jabal Hira ya Wete Pemba kuhusu mazingira
Mko vizur sana Wadau utasema Rachid Gholam ni Baba yenu na Ummul Kurthoum ni Mama Yenu! 🎉❤😋
Tupe vitu vya kale ust juma tuzodi kuburudika
Huo mdundo mara unacheza huku unatembea muko vizuri sana mashaallah mashaallah mashaallah na sauti zenu nzuri Allah awalinde na jicho la husda mashaallah❤❤❤❤❤❤❤
Shukran sana
We are waiting for your new Album
From Kenya, Aqaz vipenzi wa familia ya mzee Halfan Tindi. Maua 🎉🎉 tunawapea kila mara tunasikiza qaswida zenu. We all say congratulations 🎉 to Aqaz, Faki Mbarouk, Juma Faki and the team.
Maa Shaa Allah. Wallahi mko vizuri.
Shukran sana Familia ya mzee Halfan Tindi Allah awabarik
Album ilokusanya
Illah Karima....Ust Salum
Ada ya Harusi....Ust Salum
Leo tumefurahika....Ust Hafidh
Ijangalna....Ust Rashidi
Hongera Bibi Harusi....Ust Salum
Kana ipo kiongozi kwa hali na mali kiongoz iweke
Sawa mkuu tutawawekea moja moja
I like it, Ma Shaa Allah u have done good bro👏
Ya Enziii Tamu Masha Allah❤
Mashallah I love faki
mashallaaah ❤️ mashallaaah ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤mashallaaah ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
mashallah nyieeee ni bora kwa mara zoote ahsante sana kijana wangu mwalim juma bin fakkh
Mh mauwa kwake gedu p1 na aqaz yoootee
💯💯
Nawapa hongera.sana mashaallah
❤
Mashaallah.....👏👏.
Vitaa c ya mchezo wallah.....👏👏👏
Asante sana Habib
maashaallah@@jumafaki1697
kiongozi asante
Maashallah ❤
❤❤❤
mwalim hii ya mwaka gani
2016
Mbn kila nikidanlod haikubal mak nimeikubal kwel
Sku hizi kuna App maalum za ku download video inaitwa Vidmate na nyengine nyingi tumia hizo kaka
❤❤❤