Mara 10 Benard Morrison Aliwashangaza Mashabiki Wa Simba| Ubora Wa Morrison| Magoli Bora Ya Morrison
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ค. 2024
- Ubora Wa Morrison| Magoli Bora Ya Morrison
This content is both in Transformative and Educational nature.
Video is in compliance with Content Quality section of YPP Policies as the editing adds creative value which makes the content unique.
#SimbaSportsClub #BenardMorrison #SimbaVideosHD
⚪⚫🔴🔵🔶●
----------------------------------------------------------------------------------
⚠️ "The use of the footage in this video qualifies as fair use under copyright law because it is (1) non-commercial, (2) transformative in nature, and (3) does not negatively affect the original video."
I must state that in NO way, shape or form am I intending to infringe rights of the copyright holder. Content used is strictly for research/reviewing purposes and to help educate. All under the Fair Use law.
© MPAPACHE FOOTBALL - บันเทิง
Je Morrison Ndiyo Mchezaji Bora Wa Simba Kwa Sasa?? Comment NDIYO/HAPANA
Ndio
ndio
Ndio
Ndio
Haina shaka
We really miss him dude love from🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Dodoma 08
Anajua sana ball,apunguze mambo flan nje ya uwanja
But mchezaj bora wa simba( so far)ni inonga,kwa mtazamo wang
Super benard morisson
Super bro saana Yanga wamevuna
Uongozi angalien kwa umakin zaid achaneni na habar za nje ya uwanja angalieni ndan ya uwanja nn anakifanya for now is a best player in NBC premier league and simba sports club.
Jamaa anajituma sana🔥🔥🔥
No 5 ,🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥jmn
Morrison anajua Sana🔥🦁🦁
Jamaa yuko fiti
Ntamkumbuka Sana uyo kiumbe 🦁
Best player of the year for Simba this season
Kioindi champito tu hiki huwezi Amin babra anaakili sana mbona Bado yupo sana2 Simba bm3 Wala msiwenahifu
Uts true this good player wa Yanga mwaka huu
@@ashtarmaliki7210 haaaha yupo simba Yanga
Morison yuko sana na msimuache kwa garama yyt kwa sabb simba saiv hawana mbadala wake..
uko vzr kiuchambuzi homeboy
Yanga mwaka hu itaua j2
90% MAKOLO WAMEKILI BM3 🔥🔥🔥
Great job
Hapana katukosesha ushindi sana uyo fala
Mtajuta kumfahamu morson
Jamaa yupo vizuri Ila tukumbuke alitubamiza vibaya alivyokuwa yanga fc, hahaha safi
Super..
Super bernad
WelcoM Back Ynga
bm3 ni player mzuri
WAKILI MSOMI
Na mwaka huu mtakereka Saana Daima mbele nyuma mwiko
Sont nationalité
Morisson abaki asiondoke simba
Nawaza itakuwaje kule south Africa kama Morison hatoenda hakuna anaebisha kuhusu ubora wa Morison Kwa Sasa na Simba hii Simba hakuna mfungaji wa uhakika au Mtuu wa kuingia ndani ya box wa uhakika isipokuwa Morison kunapengo kubwa sanaa litaonekana kule Africa kusini ila mungu ndio mpangaji wa Kila kitu
Ni kwel kabisa ilaa bado Mimi kwa upande wangu ninayo Imani kwa sakho.Banda.kibu.jiymson. tukifuzu hii atua tunachukua Hili kombee
Naomben ushaur mm napenda kutoka moyn nicheze mpira nhaz za chin nacheza but nataman nifikie malengo naomben dukuduku zenu 🙏
Messi from Simba hahaha
No doubt anajua
Anaujua sana mpir
Aliyoyafanya simba morisson utopolo hajayafanya hata robo yake team ya simba aliikubali sana huyu jamaa alikua akicheza kwa jasho na damu akijitoa sana kwa club yake.
Kuliko kule utopolo hajafanya hata theluthi yake sijui lile team halitaki anajilazimisha tu basi ilimradi apokee mkwanja aendeleze maisha yake tu yaende basi😃😃😃
Sana tu
Nani kamureta.morison.tanzania.yanga.tamu
Mchezaji mzuri sana I wish aendelee kuwepo,
sasa kwanini kuweka sound track ya huzuni lakini
Siii ameondoka 🤣🤣🤣🙆
Umeona mm mwenyewe imeni pain sana
Yuko vzur kimataifa amesaidia sana
Huyu jamaa ni chibiko
Ila wanasimba tutamkumbuka sana katusaidia mechi nyingi sana hawa viongozi wetu sijui ilikuwaje
Kwani.makoro.wanasemaje.yanga.tamu.kaka
kuna tetec eti ameshamwaga wino kule club jirani kabla miezi 6 ya mkatabaa wake kuisha.. if true manake msimu ujao ataichezea young African. je?...
je Simba sc mshajipanga once mkimkosa Morrison?
Jamaa mwamb
sio mchezaji bora
Aende Sauzi
Clips za keizer chief hujaweka na zile za Timu kiba vs Timu Samatta
siku mofissoni akiacha maliza mkataba asio rudi simba nahamia azamu
Hamia sasa. Timiza ahadi
Dah yupo yanga saivi 😒😒😒 nilimkubali Sana huyu mwamba
siwezi sema ndio au hapana lakiniii ndo kiboko yao😅😅😂
Sote tumeona ubora wake
Bado tunakutaka baba
Viongozi wacheni hasira namaamusi mabaya mtakuja kujuta baadae kwani huyo nibora sana kuliko watakao kuja Kwan tunajuwa hao watakao kuja hatuwajuwi kuweni makn fanyeni arudi simba
Tatizo dish limeyumba
Bm3 mwmba
Efua
th-cam.com/video/8ftBrVfyijU/w-d-xo.html
MODEL ANAEWATOA JASHO DIAMOND PLATNUMZ na JUX 🔥🐉
Ww sio wa kuacha wakuongeze mshahara utuletee makubwa