Kwa maisha yangu yote sijapata kumwona mwamba na mchawi wa soka kama Gaucho. Wengi mtamsema Cr7 au Messi ila katika kitabu changu cha mastaa wa soka basi Gaucho yupokidedeani.
@@CotteBravo-mm5tphamna kitu hapo ndugu yangu zaidi ya kubebwa na wazungu wezie hasa FIFA ndio waliompa kombe la Dunia kwa kufosi maana ingekuwa aibu isio semekana 🏃 🤣🤣🤣 kacheza mara tano kombe la Dunia wakali wote Duniani wameshinda ndani ya mwaka mmoja au miwili 😆😆🤣🤣
Kifupi ilo halipingiki kbs alikuwa fundi sana kama ulichelewa kuangalia mpila basi vigumu kumuelewa utaishia kusema kila mtu na radha yake hatujakataa ila raha ya mpila kuona vionjo kama vya Dinho hamasa na majadiliano yanakuwa mengi vijiweni na maeneo mbali mbali iyo ndo radha ya mpila
@@Chezalive Elewa mada ya husika tatizo letu sisi wabongo tunachokiamini vichwani mwetu ndo hivyo hivyo tunavipeleka kwenye mada ya mitandaoni haya nikuulize swali wewe mchezaji gan mwingine alietokea katika kipindi chake na baada ya kuustaafu mpila yupi unamfananisha nae mwenye vionjo kama yeye?
Hahahahaa, hakika wabongo aliyewaroga kafa, hivi Ronaldinho alikuwa na ubora gani hadi kila kona mnampa sifa ambazo hazistahili, au wengi wenu mnalishwa matango pori kwenye vilabu vya gongo na kuangalia viclip vilivyochambuliwa TH-cam ndo mnamuona bora😂, Ronaldinho alikuwa tu machachari kama akina Wilfred Zaha ila hakuwa hatari.
Mwaka 2014 dada yake alihojiwa na gazeti la guardian kuhusu uwezo huo wa mdogo wake akili aikua nguvu za kawaida yaani iyo magic ilikua na yakwer koo uyo n mchawi kama wanga wengene
Kkkk unadani mpira ni ukweli kkkk.inaitwa eye tricks.wee jiuliza mpona Africa awashindi world cup? OK mpona mpira iko na stars? Ni wongo.lk movies..wrestling etc .lk acrobat.
Huyo maradona mwenyewe alikua akimuona dinho analia na anampigia magoti na kubusu miguu yake yaani anamaanisha hakuna binadamu ambaye hajawahi kumuona katika maisha yake
Kuna mwalimu mkuu,Dokta mkuu,mwanajeshi mkuu,n.k. Bas Ronaldinho ndio mchezaji mkuu kwenye hii dunia🙌🔥
Unaongea utumbo ndizi, Ronaldinho alikuwa ni mchezaji wa kawaida sana na hakuwa na uwezo wa kuibeba timu, ni machachari tu kama Wilfred Zaha.
@@David-if6nk we mwanangu ulkuwa unacheza rede nn
Sana mpakaleo nashabikia mpila lakini bado
Watu wengi sana wameiga skills kutoka kwake........he is the true living legend
For sure. Jamaa ni inspiration kwa kizazi hiki
Alikwisha wai sema nayeye kuwa Role model wake ni JJ Okocha,Sema Mzungu anathamini sana kilicho chake
@@ezekielkandonga9238 maradona ndiyo role model wake
@@ezekielkandonga9238kila mchezaji ana role model wake lakini elewa kuna wakati huyo role model anazidiwa.
Huyu jamaa mpira ameutia rangi na nakshi uzidi kupendeza, pia amefanya vitu vigumu vionekane ni rahisi na inawezekana.
Fundi Mmoja wa boli
what a narration, i love
Thanks 🙏
Hakuna Mchezaj Kama Dinho Na Hatotokea... He's One In A Lifetime
Yupoo yuleeeeee mnaigeriaaa yuleeeeee okocha. Jay Jay haya ukiachanaa na okocha yupoo yuleeeeee lobincho naeeeee vituu ambavyoo ronadincho allifanyaa naeeeee lobincho aliwezaa kuvifanyaa brother anguuu Kwanii brother napenda Sana kuchambi chambua mipiraaa hiiiiiiiiiiiii bwanaaa brother njoooo wahsapuu tukaeee tuchanbuee
Umetisha sana, sema Kila Mmoja ana Radha yake kaka
Japokuwa yote hayo Gaucho alikuwa na vingine vitu vyake alikuw akiongezea hadi soccer inanoga kamanda
The only legendary made to like football ⚽️ 🙌 👏
He is a very good player I have ever seen in this world
Ni mzuriii sana aise huyo jamaa yaani, naona mrithi wake ni kina Leonel Messi. Lkn Lionel Messi ni mfalme wa mpira kwenye hii dunia.
Lionel Hana udambwi Kama ronaldhinyo
Lionel Hana udambwi Kama ronaldhinyo
❤❤ 🎉 huyo jamaa nampa maua yake kabc ni mwamba sana
ronaldinho is a legend in footbal no one like him
Sure bro
Kwa maisha yangu yote sijapata kumwona mwamba na mchawi wa soka kama Gaucho.
Wengi mtamsema Cr7 au Messi ila katika kitabu changu cha mastaa wa soka basi Gaucho yupokidedeani.
Mwamba fundi kweli kweli, mtoa burudani
Jay jay okocha
@@armankassim5906 okocha Bado hatoshi
Kizazi cha GAUCHO tumeenjoy sana 😅😅😅😅
Sana kumuangalia tu ilikuwa burudani
Mpaka najuta kwa nn sikufanikiwa kumuona
Kizazi cha messi tumeinjoy sana
Tafuta clip kama Hizi uangalie, hata wazee wetu hawakumuona Pele ila stori zake wanazo😅
@@CotteBravo-mm5tphamna kitu hapo ndugu yangu zaidi ya kubebwa na wazungu wezie hasa FIFA ndio waliompa kombe la Dunia kwa kufosi maana ingekuwa aibu isio semekana 🏃 🤣🤣🤣 kacheza mara tano kombe la Dunia wakali wote Duniani wameshinda ndani ya mwaka mmoja au miwili 😆😆🤣🤣
Mwamba kabisa 🙌🔥⚽🙌
Fundi wa boli
Tokea Dunia iiumbwe hakujawahi kuwa na mchezaji mkuu kama Gauch Ronaldinho nampenda sana jamaa huo. Aa h jamani
Jamaa noma sana
Mimi nimejifunza mpira kupitiya Ronaldinho nimejifunza kutoka kwake daah mungu mkubwa
He's my all time favorite player
Huyu ni noma by by benvox
Kama Dunia ingempata mchezaji Kama huyu B's angekuwa wa kwanza mpaka sasa
Huyu ndio mwamba wa sokaaaa 🫱🏻🫲🏽🫱🏻🫲🏽👊🏻👊🏻
Anajua sana
Hakun aliyewah kucheza mpira km mt huyu🎉🎉🎉🎉
Sio poa mzee
Mlete na historia ya JJ okocha
He was a great player
Sure
Ata mm sijaona muchesaji kama mucha iyo ronadinho😅
The only wizard when football is concerned in this planet earth ever
Sure 🔥
The ONLY ONE .NO ONE WILL NEVER PLAY LIKE GAUCHO
Kwa kweli ni mchawe😂😂
Nice wangu
Alfanya npende Brazil bt wakt altoka pia nkatoka
baba levo hivi trafiki wanachukua ela kwenye dala dala zanin naomba nisaidie kwahilo kwan hawalipwi mishahara
Wa Brazil 🇧🇷 wapo vizuri kwenye chenga
Mpaka leo sijaona mwenye uwezo kama wake
Kila Mmoja na Radha yake kaka
We ladha yako iko kwa nani ndugu?
Hahaa😅 Nakubali Kila mchezaji mzuri, japo wanatofautiana radha
True my brother 💯✅🙏
@user-xx3bu9uf3g 🔥🔥👊
Alikuwa noma saanaaa hakuna kama yeye😂
Huyu Bwana ck atakapotokea mpinzani wake Dunia ituambie ni nani huyo cjui kama atatokea
Kuna wt wamezaliwa mpira
9:01 9:05 if he had scored, this would have been the most iconic goal in football history.
Kifupi ilo halipingiki kbs alikuwa fundi sana kama ulichelewa kuangalia mpila basi vigumu kumuelewa utaishia kusema kila mtu na radha yake hatujakataa ila raha ya mpila kuona vionjo kama vya Dinho hamasa na majadiliano yanakuwa mengi vijiweni na maeneo mbali mbali iyo ndo radha ya mpila
Dinho sio wa kwanza kaka Wala hatokuwa wa mwisho, endelea kufuatilia ntakuletea Radha tofauti
Nb: Pengo la mtu haliwezi kuzibika.
@@Chezalive Elewa mada ya husika tatizo letu sisi wabongo tunachokiamini vichwani mwetu ndo hivyo hivyo tunavipeleka kwenye mada ya mitandaoni haya nikuulize swali wewe mchezaji gan mwingine alietokea katika kipindi chake na baada ya kuustaafu mpila yupi unamfananisha nae mwenye vionjo kama yeye?
@@Chezalive kama michael jackson saizi wanamuona mwenye makosa ila alikuwa hatari lakini dinho ni hatari sana
Ilikuwa Raha sana kuinjoi kumwangalia Dinho
My world soccer legend
Huyo mamba akumbukwe daima
Anajua
Kwasasahivi vini Jr. Kidogo ananaweza kufata njiayake
Viny Jr Hawezi Shuhuli ya huyu Mwamba
Wengine watapewa sifa ila huyu mwamba alikuwa na kipaji cha kutiisha mpira hapajatokea mwingine.
Kiukweli hakuna aliyefanya kama alivyofanya huyu mwamba
Gooo 1
😅
Hpn mess na Ronaldo hawawez kuw km ronaldinyo kbx ni wachezaj tu Ila yule jamaa amebarikiw ktk mpr na sio rahis kutokea km yy
nakubal kaka
Mimi mbakaleo huanatakia Manisha mema hakuanakiyongo katika Maisha yake.
Hahahahaa, hakika wabongo aliyewaroga kafa, hivi Ronaldinho alikuwa na ubora gani hadi kila kona mnampa sifa ambazo hazistahili, au wengi wenu mnalishwa matango pori kwenye vilabu vya gongo na kuangalia viclip vilivyochambuliwa TH-cam ndo mnamuona bora😂, Ronaldinho alikuwa tu machachari kama akina Wilfred Zaha ila hakuwa hatari.
Acha wivu wew
Wewe ndo unaangalia clips za you Tube nilikuwa na kanda za jamaa
Samahani broo sikubahatika kumuona, mwamba kwangu ni mbappe
Daah.. pole sana. Ila ni kweli huyu mtu hawezi tokea. Tumeshawaona akina Zinadane, Ronald, Messi n.k ila hii ni namba tofauti sana.
Huyu mwamba akifika kwenye 18 nashika mapumbu nihatari sana
Ndo anatokea tanzania kama huyo duu hatali
I have ever seen a player like him
Wa africa tukojuu lakini hatuongelewi,ona pele ,ronaldinho hakuna kama wao duniani mpaka sasa
Maisha yote hatotokea Tena katika huu ulimwengu kama huyo jamaa
Mwanafunzi wa jay jay okocha kakopi kavinogesha ila okocha fundi mno
Fund mmoja2 gaucho
Anajua sana
Ni, kweri, Mimi kwa, macho yangu ya, nyama,sijamuona mtu, kama, yeye
Mtu hatari sana
Hio sauti nikama ya Jamal kwani ulitoka wasafi WCB ama nakufananisha
Hapana kaka unanifananisha, sio Jamal
hakuna rika la huyu mwamba duniani kwa kusakata soka
Mwamba anajua
Kweli hakuna anaye mfikia huyumwamba
Hakika umri ungejirudia gaucho angerudi tena
Tulishuhudia burudani
Bado sijaona wa kumfikia gaucho
Acheni wivu Messi ndy mrisi wa dinho
Hakiki gaucho alikuwa noma ktk mpira.
fundi sana jamaa
Mwaka 2014 dada yake alihojiwa na gazeti la guardian kuhusu uwezo huo wa mdogo wake akili aikua nguvu za kawaida yaani iyo magic ilikua na yakwer koo uyo n mchawi kama wanga wengene
Nawe iga kama utakua kama huyo tuone
He learned his skills from J.J Okocha💪💪
🤔 maybe
You are mad to say that
Absolutely
Very true he also said so
But he added other skills himself
Kkkk unadani mpira ni ukweli kkkk.inaitwa eye tricks.wee jiuliza mpona Africa awashindi world cup? OK mpona mpira iko na stars? Ni wongo.lk movies..wrestling etc .lk acrobat.
Acha bas mzee
LAKINI nyieee acheniiii tuuu lakin wapooo walioo kuwaaa wanafanyaa Kama yeyee jamaniiiiii
Tupe mfano mzee😅
Na hatokei tna mwingine
Dunia ilimpata mburudishaji
Wapo wengine Jay jay okocha, Robinho,Quaresma ni hatar hao jmaaa na wao
Messi anamufikia
Wewe no mchawiii kwl kwl
Sjui kama atakuja kutokea kama uyu jamaa
Mpka leo hakuna mchezaji kamu huyu bingwaa
Inawezekana kabisa, mwamba Alikuwa hatari
Mwamba kweli kweli sio kawaida
🔥
Jay jay okocha
Hakuna kama Gaucho!
Hakuna mchezaji kama gaucho labda mtoto wake jowaho
Mwamba na nusu,,hajawai tokea
Ni mwamba
Hajawai tokea huyu ni mwamba na nusu
hatokuja kutokea kama yeye
Noma sana
Mwamba apewe maua
Nakubal kaka
Huyu mwamba wa karine
ALIKUA HATARIIII
Fundi Mmoja wa soka
❤❤
Ni atali
Mwamba wa ukweli
Duh hatari sana
🙌🙌🙌🙌
Hatari mzee
Uyu nimnomaaaa
Noma sana
Sijaona wakumgusa kwamba huyu
,mungu ampe Marsha marefu
Amufikii Messi
Hats Mimi
Mwamba sana huyu
Mwamba sana jamaa, inasikitisha tulimkosa mapema sana
Huyu ndio mtu sasa messi mchongo
😂😂
Messi ana balondo r 8 , Ronaldinho ana 1 au 2 ikizidi. Nani kama Messi? Acha utani mzee.
Duniani ni wachache
Mchawi wa soka
Mimininao
MARADONA
Huyo maradona mwenyewe alikua akimuona dinho analia na anampigia magoti na kubusu miguu yake yaani anamaanisha hakuna binadamu ambaye hajawahi kumuona katika maisha yake
Mbappe
❤❤❤❤