ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก

AUCHO ALIVYOPIGA TIZI LA NGUVU BAADA YA KURUDI | MUSONDA GARI LIMEWAKA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 431

  • @ramamabinda5063
    @ramamabinda5063 หลายเดือนก่อน +89

    Daah aisee kuna bonge moja la raha kwa wachezaji wa yanga. Mwenyez Mungu awajaalie nguvu uwezo na nafasi ya kutimiza malengo ya tim inshallah

    • @iddymohammed1890
      @iddymohammed1890 หลายเดือนก่อน +3

      yani mwanang hao jamaa wanaenjoy sana yan mpk nimejikuta na mm natabasam mda wote..

    • @user-po8hz7xw9j
      @user-po8hz7xw9j หลายเดือนก่อน

      ​@@iddymohammed1890sana harafu naona kama chama ndio furaha imezidi kanawili yanı anaonekana hata usoni anafuraha moyoni

    • @salmagodfrey4043
      @salmagodfrey4043 หลายเดือนก่อน +2

      Hakika kaka wanaupendo sana wenyw kw wenyew

    • @dickMassawe
      @dickMassawe หลายเดือนก่อน

      Daah noma,, had raha

    • @saumbakar7643
      @saumbakar7643 หลายเดือนก่อน

      Inshaallah💚💛💛

  • @rajabrwambow9660
    @rajabrwambow9660 หลายเดือนก่อน +20

    Nimefurahi sana viongoz wetu kwa kuwa wasikivu na kumbakisha Kennedy musonda ni miongon mwa wachezaji wanaoweza kukusaidia kwenye mechi ngumu za maamuzi big up Eng kwa hilo

    • @user-bi8hr3nu6g
      @user-bi8hr3nu6g หลายเดือนก่อน +1

      Safi sanA timu yangu

  • @user-kd9tc4tl5f
    @user-kd9tc4tl5f หลายเดือนก่อน +18

    Mwenyezi mungu azidi kuwapigania wachezaji wetu.
    Furaha walionayo imenifanya niwe mwenye furaha sana siku ya Leo.Asante mungu kwa Kila kitu🇹🇿🙏

  • @gililwise
    @gililwise หลายเดือนก่อน +58

    Yaani wachezaji na mashabiki wa yanga wanakuwaga na amani sana.ukiwa na amani na furaha lazima utakuwa na mafanikio. All the best timu wananchi

    • @user-po8hz7xw9j
      @user-po8hz7xw9j หลายเดือนก่อน +3

      Hata baba na mama mkiwa naishi na furaha kwa upendo mungu anawapa watoto wenye furaha na upendo

  • @ameirfaki9277
    @ameirfaki9277 หลายเดือนก่อน +43

    The tears of joy streaming on my face....I'm so happy to my lovely team...love you so much all my players

  • @user-hy3en6vk5f
    @user-hy3en6vk5f หลายเดือนก่อน +33

    Kenny boy & Aucho I love you guys 🥂 welcome back our legends 💚🟡🟢

  • @tishomaryomary-ps2xv
    @tishomaryomary-ps2xv หลายเดือนก่อน +8

    Nimefurahi sana kumuona Dr. Aucho tunaomba astaaf akiwa Yanga sc ili tumfanyie sherehe Dr.💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚

  • @dastopadady2402
    @dastopadady2402 หลายเดือนก่อน +1

    Katika fulaha yangu nikimuona muxonda kusalia na timu welcome muxonda welcome alid aucho pacha wangu mitaani wananiita alid aucho Mungu ujalie timu yetu izidi kuwa juu mbele yao nyuma kwao daima mbele nyuma mwiko🎉❤❤❤

  • @abdulsaidy3358
    @abdulsaidy3358 หลายเดือนก่อน +33

    Musonda is back💪🔥🔥

  • @suleimanjokoro
    @suleimanjokoro หลายเดือนก่อน +22

    Young Africans Le Equipe Monene na Kati ya Afrique💥💥🇹🇿🇨🇩

    • @suleimanjokoro
      @suleimanjokoro หลายเดือนก่อน

      Le Champion du champion 💪💪💥🇹🇿

  • @user-cd6zy2sr9g
    @user-cd6zy2sr9g หลายเดือนก่อน +44

    Ligi ikiaza Kuna watu wata tafuta Kwa kujificha😅😅😂

  • @EliasHassan9
    @EliasHassan9 หลายเดือนก่อน

    Yanga digital platform mpewe 💐💐💐 yenu an picha bora and amazing voice

  • @amaniomar1755
    @amaniomar1755 หลายเดือนก่อน +16

    The doctor himself is back 🎉🎉🎉🎉🎉 alongside Kennedy The remedy welcome beck our warriors

  • @HalimaIssa-pu4yt
    @HalimaIssa-pu4yt หลายเดือนก่อน +1

    Niliumia Sana baada ya kusikia Musonda atapewa Thank you. Nawapenda wachezaji wote na ninaimani mtafanya vizuri kwa uwezo wa Mungu.

  • @AdamSadick-ik5jg
    @AdamSadick-ik5jg หลายเดือนก่อน +18

    An naitazama hii video mwanzo mwisho natabasam tu😌😌

  • @user-bw1hs2nd8p
    @user-bw1hs2nd8p หลายเดือนก่อน +1

    Yan hii Hali ya upendo waliyonayo wachezaji, benchi la ufundi dah.... I feel like crying 😭😭😭😭, chozi la furaha. Mungu aendelee kukupeni nguvu, afya na kupambana kwa dhati kubwa kwa ajili ya time yetu!!!❤❤❤❤❤❤

  • @seiphomary834
    @seiphomary834 หลายเดือนก่อน +48

    The tank aucho ## hii timu tumebak ss mashabk tu ushaur kila game nje kuwe na sehemu ya kujisajil mashabk tu kwan shabk mpaka uwe na tawi #

  • @presidentihsanofficial5929ok8
    @presidentihsanofficial5929ok8 หลายเดือนก่อน +40

    Duh nimefrah kumuona musonda alivo kutana na triple c

    • @user-po8hz7xw9j
      @user-po8hz7xw9j หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂😂😂

    • @MkakileRamadhan
      @MkakileRamadhan หลายเดือนก่อน +1

      Hata Mimi nmefurah sana

    • @halimamwingu4478
      @halimamwingu4478 หลายเดือนก่อน +1

      Sana sana! Kuna watu walizusha eti Musonda tunamuacha daaah

    • @comsmkemwa2671
      @comsmkemwa2671 หลายเดือนก่อน +1

      Mimi pia, nikikumbuka magoli yake dah!!

    • @pappilonfar
      @pappilonfar หลายเดือนก่อน

      Wachambuz wabongo wapumbavu kila sku wanaongelea musonda apewe thank you

  • @zaishanga1622
    @zaishanga1622 หลายเดือนก่อน

    Injinia Asante baba kumbakisha msonda kipenzi cha mama angu Bi atuwa wa tandale nina imani ameongeza uhai wake tena mungu akubarik bb❤

  • @jacksonlyimo1491
    @jacksonlyimo1491 หลายเดือนก่อน +2

    Safii snaa Mungu ibariki Timu yeti Young African, ikawe Timu tishio na pendwa Africa na Dunia na Tanzania ikaheshimiwe kupitia Yanga🙏🙏🙏🙏🙏🙏

    • @SwigoJr-vy3gv
      @SwigoJr-vy3gv หลายเดือนก่อน

      Ameen 💛💚💚🙏

  • @Carolina-sm5zt
    @Carolina-sm5zt หลายเดือนก่อน +1

    Mungu awajalie umoja wenu upendo wenu uendelee kudumu siku zote katika maisha yenu 🎉🎉🎉

  • @DavisSongolo
    @DavisSongolo หลายเดือนก่อน +17

    Welcome back the Tank 💪💪🔥🔥🔥

  • @sumairahjohn-jt4qy
    @sumairahjohn-jt4qy หลายเดือนก่อน +30

    Nani kamuona mkude😂😂😂

    • @user-po8hz7xw9j
      @user-po8hz7xw9j หลายเดือนก่อน +3

      Yupo mbona kila siku mazoezini wachambuzi njaaa niwambea

  • @fadhilinsemwa2687
    @fadhilinsemwa2687 หลายเดือนก่อน

    there is so much love between the squad lookin at the reception of the players coming back from leave, damn that chemistry is beautiful

  • @selemanmaganga-le4zg
    @selemanmaganga-le4zg หลายเดือนก่อน +19

    Nimefurahi saana tena mno kumuona musonda!.

  • @SylvesterSafari-nf4fy
    @SylvesterSafari-nf4fy หลายเดือนก่อน +15

    Doctor welcome back

  • @bahatimohamedi3680
    @bahatimohamedi3680 หลายเดือนก่อน +8

    Asante kwakulejea doctor wampira

  • @user-ug1nv3xl4d
    @user-ug1nv3xl4d หลายเดือนก่อน +9

    Nyie hii YANGA hii acheni tu kweli wanaitaji ubingwa wa Africa kwa kikosi hiki warahi wote tuseme inshallah.

  • @EsterMbilo
    @EsterMbilo หลายเดือนก่อน +2

    Musonda is back ,hakika huyu mwamba ni hatari kwenye mechi za kimataifa

  • @user-dn9xs6gx3v
    @user-dn9xs6gx3v หลายเดือนก่อน +1

    Leo nacoment kwaajili ya Musondaaa🌹🌹 Naipenda sana Yangaaa

  • @songombingo108
    @songombingo108 หลายเดือนก่อน +19

    Yanga wanapendana na wanajuana sana... Lakini kule kwa Madunduka inabidi wachezaji watembee na Pasport ili wajuane.😂😂

    • @godlistengodlisten7552
      @godlistengodlisten7552 หลายเดือนก่อน +1

      Halafu Hakuna Wachawi Tena Alikua Amebakia Metacha,🤣🤣🤣

    • @abdul.mahighway
      @abdul.mahighway หลายเดือนก่อน

      😅maku kweli

    • @flavianajohn5250
      @flavianajohn5250 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @user-po8hz7xw9j
      @user-po8hz7xw9j หลายเดือนก่อน

      ​@@godlistengodlisten7552😅

    • @ZainabuMandova-br5qq
      @ZainabuMandova-br5qq หลายเดือนก่อน

      😅😅😅

  • @Sumaiyafisoo
    @Sumaiyafisoo หลายเดือนก่อน +14

    Hongera injinia hersi hongera 🎉🎉🎉🎉🎉🎉like ya injinia

  • @paulmwanyika7622
    @paulmwanyika7622 หลายเดือนก่อน +13

    Chama na Musonda wamekutana 🙌🙌

    • @chingjr1741
      @chingjr1741 หลายเดือนก่อน +4

      Chama anamumbia musonda akabadilishe nguo fasta anapoteza muda 😂😂😂😂

  • @user-cj7lx5ze4d
    @user-cj7lx5ze4d หลายเดือนก่อน +3

    Yana raha sana. Mungu wabarik wachezaji wetu ibariki yanga wabaliki viongozi pamoja na bench LA ufundi na ibariki Tanzania

    • @afterfull-time1348
      @afterfull-time1348 หลายเดือนก่อน

      Kwahyo umeona ukiombea na simba utakatika pumbu😮

  • @bbanyikwa
    @bbanyikwa หลายเดือนก่อน +1

    Hakuna kitu kilikuwa kinaniuma kama kusikia musonda anaachwa
    Nimefurahi sana kumuona💛💛💛💚💛💛💛🤲

  • @stevenobure8241
    @stevenobure8241 หลายเดือนก่อน +5

    GSM JUNIOR YANGA BINGWA #NBC PREMIER LEAGUE #LIGI KUU #USAJILI#PRE-SEASON #UBINGWA UENDELEE 💚💚💚💚💛💛💛💛💛

  • @oscarjohnson9013
    @oscarjohnson9013 หลายเดือนก่อน +9

    Maa bingwa doctor & doctor

  • @wilsongeorge1353
    @wilsongeorge1353 หลายเดือนก่อน +13

    Auchooooo ,, musondaaaaaaaa , Aziziiiiiiii,, dubeeeeeeee, chamaaaaaaaaa, haaaaaaaa watu watatafutana

    • @user-ut3pb2pf5u
      @user-ut3pb2pf5u หลายเดือนก่อน

      jamàní tuwé tu màkiñí maña mana wàtàtúlóga

    • @RashidiMalik
      @RashidiMalik หลายเดือนก่อน

      Oya😂😂 noma

  • @user-bm2wo7hh3b
    @user-bm2wo7hh3b หลายเดือนก่อน +2

    Mungu azidishe upendo ndani ya team yetu ❤❤❤❤

  • @johnwallace9842
    @johnwallace9842 หลายเดือนก่อน

    Mungu tuzidishie amani ya nchi na uwalinde wachezaji wetu

  • @MathiasFungavyema
    @MathiasFungavyema หลายเดือนก่อน +19

    Yan yanga wanaishi zaidi ya ndugu😢💛💚💛💚

    • @mamboshepea8888
      @mamboshepea8888 หลายเดือนก่อน

      Dah....nimefrahi kumuona Muda...magoli ya jioooooni!!! Love u more my team💚💛

  • @ShafiiHungo
    @ShafiiHungo หลายเดือนก่อน +19

    Musonda tunaomba abakie yang africans

    • @SuzanIkwabe
      @SuzanIkwabe หลายเดือนก่อน +2

      Ndo huyo sasa kabaki 😂😂

  • @faidha23
    @faidha23 หลายเดือนก่อน +8

    Welcome musonda❤❤

  • @pacomezouzoua9175
    @pacomezouzoua9175 หลายเดือนก่อน +4

    Fundi wa mpira Dr Khalid aucho welcome mwamba 🎉🎉

  • @lilianchambua5839
    @lilianchambua5839 หลายเดือนก่อน

    Nawapenda sana wachezaji wetu wa Yanga mungu akawape nguvu kila mmoja wenu

  • @YohanaCharles-ry1kh
    @YohanaCharles-ry1kh หลายเดือนก่อน

    Yangaaaaa, jaman rahaa sanaaa daaah najiskia aman sanaa ninavyoona upendo mkubwa sanaa hvy kwa kwel god bless all the time aman

  • @user-eh5il7pw2f
    @user-eh5il7pw2f หลายเดือนก่อน +17

    Wazambia hao,au Aucho aligoma mpaka Musonda arudishwe 😂😅😅maana hao ni vipenzi sana

    • @user-qo8bb4he7i
      @user-qo8bb4he7i หลายเดือนก่อน

      Yawezekana maana wte wapenda mziki na mibishoo flan hivi

    • @AziziAbdala-tw6uf
      @AziziAbdala-tw6uf หลายเดือนก่อน

      aucho mganda

    • @user-kt7sx5rk2o
      @user-kt7sx5rk2o หลายเดือนก่อน

      Mtapiga lamri mpaka mchoke mwaka huu😂😂😂😂😂😂

    • @user-rc8sv9dg2l
      @user-rc8sv9dg2l หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂​@@user-kt7sx5rk2o

    • @user-eh5il7pw2f
      @user-eh5il7pw2f หลายเดือนก่อน

      @@AziziAbdala-tw6uf ndiyo ni mganda ila Musonda na Chama ni wazambia

  • @danielbrunomasaga-tv3oq
    @danielbrunomasaga-tv3oq หลายเดือนก่อน +5

    Hadi sisi wenye yanga yetu tunaiogopa hii team kwa kweli 🙌🙌🙌🙌🙌

  • @Sumaiyafisoo
    @Sumaiyafisoo หลายเดือนก่อน +6

    Huenda msonda kamshawishi mwamba wa Lusaka 🎉🎉🎉

  • @claratango9262
    @claratango9262 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu Ibariki Yanga Mungu Ibariki Tanzania 🙏🙏🙏

  • @nabiimgongolwa8728
    @nabiimgongolwa8728 หลายเดือนก่อน +9

    MASIKINI SIMBA ....MBONA HURUMA.

    • @flavianajohn5250
      @flavianajohn5250 หลายเดือนก่อน

      😂🤣😅😂nyau wewe

    • @Mary-fs4mc
      @Mary-fs4mc หลายเดือนก่อน

      Wanaye Debora we huogopi😂😂😂😂

  • @user-br7fz4zd5x
    @user-br7fz4zd5x หลายเดือนก่อน +6

    Alhamdulilah jamani hawa watu wamerejea

  • @MwinyiKasim
    @MwinyiKasim หลายเดือนก่อน +12

    Yanga Africa raha sana😅😅😅

  • @Mrishohaji-sw1fr
    @Mrishohaji-sw1fr หลายเดือนก่อน +10

    Wa kwanza mm ❤❤❤

  • @ArnoldRwegasira-hp9gt
    @ArnoldRwegasira-hp9gt หลายเดือนก่อน +9

    Karibu musonda kemuzo

  • @jairatu688
    @jairatu688 หลายเดือนก่อน

    Ma shaa allah......Allah azidi kuwalinda

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 หลายเดือนก่อน

    Nkane mkatibishe huyo Mkenya vizuri. Naona atachukua mida mrefu kujichanganya. Uzuri kiswahili anakijua.

  • @rogersiddy
    @rogersiddy หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂utani wao bhana Aucho na Denisi Nkane amemkuja Denis Nkane nakumsogeza pembeni kama upepo😂😂😂😂🙌

  • @Anderson-yq2we
    @Anderson-yq2we หลายเดือนก่อน

    Bleessiinngg barki Tanzania brk young Afrika club

  • @HezironDomincko
    @HezironDomincko หลายเดือนก่อน

    nimefulahi yanga njisi wanavyo ishi kama ndungu❤❤❤

  • @AnonymousGang-eq7jb
    @AnonymousGang-eq7jb หลายเดือนก่อน +3

    Wangapi wamefurahi kumwona Musonda Kama Mimi?

  • @FaustineElias-f5q
    @FaustineElias-f5q หลายเดือนก่อน

    Aisee kuwa mwana yanga raha sana namkubalia aucho

  • @christianjohnmwalugaja8090
    @christianjohnmwalugaja8090 หลายเดือนก่อน +3

    Daah mbona Musonda anaangalia namba ya jezi ya Chama alafu anacheka 😂😂😂 maji mtaita mma

  • @AbaidiiniNgweti
    @AbaidiiniNgweti หลายเดือนก่อน +11

    Hii ndio yanga bhn

  • @LadslausJohn-kq4qz
    @LadslausJohn-kq4qz หลายเดือนก่อน +9

    Mpaka raha daaah😊

  • @dengahmediatz1230
    @dengahmediatz1230 หลายเดือนก่อน +2

    Hii yanga inanifanya nichelewe kuoa kabisaa sio kwa raha hizi

  • @AbeidRamadhan
    @AbeidRamadhan หลายเดือนก่อน

    Hii timu itachukuwa makombe mpaka ichoke maana upendo wanaooneshana hakuna timu tz inakuwa hivi mungu ibariki yanga

  • @Mhappy5
    @Mhappy5 หลายเดือนก่อน +4

    Atleast amerud nipate dp mpya... Musonda❤

  • @GoodluckLoserian
    @GoodluckLoserian หลายเดือนก่อน +1

    Apo kazi imeisha musonda namkubali sana mwamba uyo

  • @lucymsheshi5871
    @lucymsheshi5871 หลายเดือนก่อน

    Nilikuwa nawaza msonda ila Sasa roho yangu imetulia🎉🎉😊😊😊

  • @NestoryMapunda-gq3kb
    @NestoryMapunda-gq3kb หลายเดือนก่อน

    Daaa kwel aucho na msonda kopi san hi wasije tengn ongeza mkatab msonda

  • @user-fg3we4pi4w
    @user-fg3we4pi4w หลายเดือนก่อน

    Yeeees doctor aucho
    Nilikuwa na mawazo nilikuwa simuoni jembe langu .

  • @abuu-hx3ru
    @abuu-hx3ru หลายเดือนก่อน +1

    Ukisikia mtu hatoleta timu uwanjan Kwa Busta hiliiiii tusubili ligi iyanze mtu ale 10😂😂😂😂 yanga forever 💛💛💛💛💚💚💚💚✅✅✅

  • @Sumaiyafisoo
    @Sumaiyafisoo หลายเดือนก่อน +5

    Yanga 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @user-yn6wf7qq7s
    @user-yn6wf7qq7s หลายเดือนก่อน

    Furaha kumuona musonda💚💚💚💚yangaaa

  • @GrantNgombe
    @GrantNgombe หลายเดือนก่อน

    Nimefulahi sana kumwona musonda yanga daima

  • @ZainabuNdunde-lq2jz
    @ZainabuNdunde-lq2jz หลายเดือนก่อน +1

    Chama he's happy to see musonda see that bond bana😊😊adi nmefeel❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @AbdiSele-94
    @AbdiSele-94 หลายเดือนก่อน +1

    Ndio maaana yanga sihamii upendo kama huu unazani utaupata wapiiiii❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @patridabernard9148
    @patridabernard9148 หลายเดือนก่อน

    Naipenda YANGA kuliko kula

  • @mgobanyapazi7738
    @mgobanyapazi7738 หลายเดือนก่อน

    Aisee wachezaji wetu
    Wanaishi kindugu
    Kijamaa sana
    Unajihisi amani kuwaangalia
    Muda wote.
    Inakuaje mmoja akiondoka ghafla?

  • @user-px6if1wy1n
    @user-px6if1wy1n หลายเดือนก่อน

    Naona upendo mkubwa sana Mungu awabariki

  • @user-ut9uo6dc9d
    @user-ut9uo6dc9d หลายเดือนก่อน

    sasa waje kusema tunanunua mechi yanga jaman. tutamshika mtu vinyanya mshenzi msimu huu. 💚💚💚💚🔥🔥

  • @user-uh2yh5he1l
    @user-uh2yh5he1l หลายเดือนก่อน +1

    Upande wa pili kazi kusema yetu yenu aaaaah aya sas na musonda karudi sjui msim ujao mtakimbilia wap

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 หลายเดือนก่อน +7

    Hapa Gift Fred naona absent.

    • @petro8010
      @petro8010 หลายเดือนก่อน

      Yupo na alishaanza mazoezi 3:27

  • @godfreyelibarikilaizer6178
    @godfreyelibarikilaizer6178 หลายเดือนก่อน

    Kama ni upendo Basi YANGA Ina upendo kwa ujumla na kila jambo linalofanyika ni la faida Lina kua na muendelezo na matunda yanaonekana Mimi sisemi kishabiki lakini nasema YANGA inajua kufanya jambo kulingana na wakati husika YANGA ninayoiyona mbeleni ni YANGA isiokua na migogoro na ni timu itakayofunza wengi naipenda team yangu 🩸💯

  • @forcomedian
    @forcomedian หลายเดือนก่อน

    Aisee kumbe aucho ni bonge la jituuu

  • @wilsongeorge1353
    @wilsongeorge1353 หลายเดือนก่อน +6

    Musinda KALIBU sana kaka

  • @Safina-qg9gv
    @Safina-qg9gv หลายเดือนก่อน

    Alhamdulillah ninafuraha kumuona kenedy musonda yani kwetu raha tu 💚💚💛💛

  • @user-ev9xj8lz6e
    @user-ev9xj8lz6e 8 วันที่ผ่านมา

    Yanga ina Neema❤❤

  • @ntakakasendebayi9992
    @ntakakasendebayi9992 หลายเดือนก่อน

    Yanga ya mwaka huu itatupa raha sana sana 💛💚🔰

  • @TatuHusseni-hs7mu
    @TatuHusseni-hs7mu หลายเดือนก่อน

    Musonda anaondoka anaondoka kiko wapi waandishi uchwala mwaka huu jitu litakula 10

  • @DjFae.b255
    @DjFae.b255 หลายเดือนก่อน

    Yanga 💚💛 nimegundua wachezaj wanapenda a sana

  • @fahadrashid9754
    @fahadrashid9754 หลายเดือนก่อน +2

    Mbona namuona kama chama kachangamka sana uku.

  • @agapeemmanuel
    @agapeemmanuel หลายเดือนก่อน

    Raha sana jamani mungu ibariki yanga

  • @RamiaMavengu
    @RamiaMavengu หลายเดือนก่อน

    Kwangu mm mungu njia uliotupitisha mwanzo ktk mafanikio ya klabu yetu tunakuomba utubadilishie njia ikawe njema na yenye upendo lakwako likatimie kwa utukufu wa jina lako na ubigwa ukawe kabra ya mechi 10 🤲

  • @FaustinMagwala
    @FaustinMagwala หลายเดือนก่อน

    Furaha kubwa moyoni kwangu

  • @Jumachingoma-fx7mj
    @Jumachingoma-fx7mj หลายเดือนก่อน

    Nimependa alivyo rudi aucho na Kennedy musonda mjukuu wa kaunda piga tizzy adi kieleweke vijana wa kazi

  • @pappilonfar
    @pappilonfar หลายเดือนก่อน

    ni aumuz mzur Musonda kubaki n winger mzur tu haina haja ya kutaft wngn

  • @adamnehemia8316
    @adamnehemia8316 หลายเดือนก่อน

    Huyu Jamaa ana nidhamu,plus BIDII sana hasa ya mazoezi

  • @RashidHamad-ro8sd
    @RashidHamad-ro8sd หลายเดือนก่อน

    Nimefrah sana kumuona musonda mutifanya mashabili tinazid frah tu