Wachezaji wote wa Simba walivyotambulishwa kwenye tamasha la 'Simba Day 2018'

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ต.ค. 2024
  • Klabu ya Simba leo imewatambulisha wachezaji wake wote mbele ya mashabiki wa timu hiyo kwenye tamasha kubwa ambalo hufanyika Agost 8 ya kila mwaka.
    Tamasha hilo limefanyika kwenye dimba la Taifa Dar es Salaam, katika sherehe ambazo zimeambatana na mchezo wa kirafiki kati dhidi ya Asante Kotoko ya Ghana.
    Aliyesimamia kazi ya kuwatambulisha wachezaji hao, ni Msemaji wa timu hiyo, Haji Manara.

ความคิดเห็น • 431

  • @isunga1964
    @isunga1964 5 ปีที่แล้ว +24

    Hivi kuna mtu yupo hapa 2019 nasubilia kesho tarehe 6 Simba oyee 😍😍

  • @marylulufocus2970
    @marylulufocus2970 6 ปีที่แล้ว +8

    daah huu utambulisho sio wa kitoto yan nmecheka jaman

  • @bmaloo8864
    @bmaloo8864 6 ปีที่แล้ว +8

    Huyu Jamaa Anajua Sn kuongea na kuwahamasisha wa2 Anafaa kupewa Cheo hichi,Yanga wanatakiwa Wamuajili ht Joti kazi inamfaa Sn baada y Jerry Muro hawana msemaji w mn

  • @mariapialakanje3446
    @mariapialakanje3446 3 ปีที่แล้ว +1

    Hki Tz nxima Simba ndo yenye Mashabiki wengi kuliko Timu zotee , duhu Tzama umati wa watu hpoo

  • @wilisonpatrick9696
    @wilisonpatrick9696 5 ปีที่แล้ว +4

    Nani anaangalia marudiooooo

  • @hagaieliya6187
    @hagaieliya6187 5 ปีที่แล้ว +15

    Turudishieni masud jamani

  • @hassanmoshi5439
    @hassanmoshi5439 5 ปีที่แล้ว +15

    Team bora Africa Mashariki

  • @elizaatilio527
    @elizaatilio527 5 ปีที่แล้ว +9

    😂😂😂😂 Mackin Dida, Kaheza, Ahsante Kwasi, Salamba mbwembwe zoteeee zile wako wapiiii saiv

    • @masigejose429
      @masigejose429 5 ปีที่แล้ว

      😂😂😂 kumbe bado watu wan angalie hii Adi leo tusubir ya trh6

  • @ramamambo4082
    @ramamambo4082 5 ปีที่แล้ว +15

    Manara nmn unavyoongea unahamaxixha xanaaa ad raha. THIX ix Ximba

  • @moseswilliam1854
    @moseswilliam1854 5 ปีที่แล้ว +18

    manara sikukuelewa hapa kuhusu chama ila sasa nimekuelewa kwa hizi mbwembwe nimeona mkuu

  • @iddimalifedha8163
    @iddimalifedha8163 4 ปีที่แล้ว +10

    2020 lock down tunacheki now like zetu

  • @amedeuskimario8895
    @amedeuskimario8895 2 ปีที่แล้ว +1

    Kiukwel manara me nakumic Sana Bora viongoz wafanye namna urud ulifanya kazi nying Sana zakuikuza simba asa burudan na matan yako ata huko uliko umekua unafanya marudio tu

  • @oscarkengwa2683
    @oscarkengwa2683 5 ปีที่แล้ว +12

    Inshallah ntachezea simba siku karibu

  • @anifakomba9751
    @anifakomba9751 3 ปีที่แล้ว +1

    Manala bola ulivyopeleka nuksi zako kwawananchi wenzako haooooooooooo

  • @kenethedward5931
    @kenethedward5931 5 ปีที่แล้ว +9

    no one like manara in this work

  • @asha_homedecorations
    @asha_homedecorations 6 ปีที่แล้ว +66

    Yani manara wewe ni shidaaa ni zaidi ya burudani ndani ya simbaaaaaaa this is simbaaaaaaaa 😂😂😂😂😂😂

  • @queenlizy837
    @queenlizy837 4 ปีที่แล้ว +1

    Simba kila anayemla humchukua ili akamle vizurii

  • @shabanathumanshaban4919
    @shabanathumanshaban4919 5 ปีที่แล้ว +5

    Manara ulisheheresha vizur kweli asee

  • @stevenmaketa8051
    @stevenmaketa8051 6 ปีที่แล้ว +11

    Ndio kwanza tunaanza kudadadadadeeeeki maiming huuuu mtakoomaa hakiamungu hiindoosiiimba bwana a mpak Mw's hiki WA aondoke maradarakan kaaz mnaayooo

  • @mondobantunguka174
    @mondobantunguka174 6 ปีที่แล้ว +6

    iv niyonzima bado yupo ximba?

  • @BarakaWaya
    @BarakaWaya 6 ปีที่แล้ว +54

    Manara ni bingwa wa hizi shughuli

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 6 ปีที่แล้ว

      Baraka Waya amekuwa na ameshika nyadhifa za kisiasa anaweza zimudu hizo shughuli..

    • @mungytrend6281
      @mungytrend6281 6 ปีที่แล้ว

      Vp

    • @sumbukapius4886
      @sumbukapius4886 4 ปีที่แล้ว

      @@mnzavachris5423
      Soma

    • @abdallaali9689
      @abdallaali9689 3 ปีที่แล้ว

      Ivi hajiskiVibayA nsuKULE

  • @raygunmaterial1344
    @raygunmaterial1344 6 ปีที่แล้ว +28

    Manara burudani sana

  • @allykazoa7065
    @allykazoa7065 6 ปีที่แล้ว +8

    Haji manara wewe kweli ni msemaji bora katika nchi hii umejua kusherehesha sana

  • @thompsonbnapoleon60
    @thompsonbnapoleon60 6 ปีที่แล้ว +5

    haji wewe mkali mno

  • @hemedshaaban2914
    @hemedshaaban2914 5 ปีที่แล้ว +17

    Kagere we mchezaji bwana

  • @victordaniel8614
    @victordaniel8614 6 ปีที่แล้ว +6

    jaman ko okwi miaka inarud nyuma okw toka miaka ya 2010 tunaamjua Leo mseemee ,26 huo n uongo kbs

  • @sadaleonard6898
    @sadaleonard6898 3 ปีที่แล้ว +1

    Haitokuja kutokea kumpata msemaji kama haji manala kwanza anavutia sisiju nimpe sifa gani tena ❤

  • @issaomary9520
    @issaomary9520 6 ปีที่แล้ว +148

    Jamani tuacheni masiara mimi Azam lakini leo nakiri simba ina mashabiki wengi kuriko Tim nyingine hapo TZ huo ndio ukweri,

    • @watsonheriel7607
      @watsonheriel7607 6 ปีที่แล้ว +4

      wewe mpuuzi, kuna timu ya wananchi YOUNG DAR AFRICANS

    • @Busilana
      @Busilana 6 ปีที่แล้ว +7

      Watson Heriel acha Ubishi ww

    • @watsonheriel7607
      @watsonheriel7607 6 ปีที่แล้ว +1

      ngoja league ianze ndio utaona moto wa YANGA

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 6 ปีที่แล้ว +1

      Watson Heriel eeh kaka sote twaona NYEUSI peke ako wasema NYEUPE..haya bhana tusubirie hiyo ligi ianze tuone huo umati wenu.!!

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 6 ปีที่แล้ว +1

      Watson Heriel eti na wapuuzi haya kaka..na rekodi mliweka magoli yenu 70 na ndo hamkufika ivo ndo iwe saiv kwa hali ya kusambaza mabakuli.,we adabu yako iko jikoni tukutane oktoba!

  • @rodgersmwagu239
    @rodgersmwagu239 2 หลายเดือนก่อน +1

    Tunaoangalia 24 tujuane hapa

  • @fahdihasnuu9034
    @fahdihasnuu9034 3 ปีที่แล้ว +1

    Nani mwengine karudi baada ya kumpoteza manara?

  • @molovedaplatnumz9009
    @molovedaplatnumz9009 6 ปีที่แล้ว +26

    This is simbaaaa brother

  • @alexsulle9683
    @alexsulle9683 6 ปีที่แล้ว +19

    mm yanga didah nakupenda hatari uko vizuri bro kuza kipaji

  • @godwinbenedict4146
    @godwinbenedict4146 6 ปีที่แล้ว +37

    THIS IS SIMBAA..WAVIMBA MACHO ROHO ZINAWAUMAAAAA

  • @bakarblack3148
    @bakarblack3148 6 ปีที่แล้ว +24

    wataixoma number mwaka huuuuuuuuuuuuu

  • @BontamLee
    @BontamLee 6 ปีที่แล้ว +2

    Ndio mechi pekee ya kirafiki Africa,iliyoingiza mashabiki wengi kuliko zote.

  • @lastbonhatibu7280
    @lastbonhatibu7280 5 ปีที่แล้ว +3

    kuwa cmba raa xn

  • @abdulramadhan981
    @abdulramadhan981 5 ปีที่แล้ว +9

    Kama umegundua miaka sio ya kweli gonga like hapa

  • @deusthomas1405
    @deusthomas1405 3 ปีที่แล้ว +1

    Tutakukumbuka shujaa wetu HAJI MANARA

  • @emmanuelalphaxard9276
    @emmanuelalphaxard9276 5 ปีที่แล้ว +3

    Mm shabiki wa yanga naomba manara nisogeze simba Niko radhi kusema ya watembeza bakuri

  • @pichabapa2201
    @pichabapa2201 5 ปีที่แล้ว +4

    Ndio hapo muone kwamba mnapovurunda uwanjani... kuna idadi kubwa ya watu wanaumia.

  • @shebidtimahenge5690
    @shebidtimahenge5690 5 ปีที่แล้ว +1

    dansi

  • @leaherasto929
    @leaherasto929 5 ปีที่แล้ว +5

    Manara mwenye Simba yake

  • @evarsam2866
    @evarsam2866 6 ปีที่แล้ว +5

    NIMEMUONA SALAMA JABILI

  • @abdullahnassor9433
    @abdullahnassor9433 5 ปีที่แล้ว +11

    I can't imagine the love and support from funs

  • @hoseamwamlenga3761
    @hoseamwamlenga3761 5 ปีที่แล้ว +1

    Sana

  • @chrispinsyrucsyruc3141
    @chrispinsyrucsyruc3141 5 ปีที่แล้ว +4

    Manara huna kizuizi katka ushereheshaji hakuna wa kukufikia ase

  • @mkwawamnupate1780
    @mkwawamnupate1780 3 ปีที่แล้ว +1

    xxx

  • @hussennyange5702
    @hussennyange5702 5 ปีที่แล้ว +1

    thank cell me baby please

  • @josephngenohsangaya8479
    @josephngenohsangaya8479 6 ปีที่แล้ว +6

    Kweli mambo n moto,Simba mnyama,hongera sana Manara

  • @abdallaali9689
    @abdallaali9689 3 ปีที่แล้ว

    WalimletA Kofi tunAmsHusha kiba kings

  • @shangwefisima3993
    @shangwefisima3993 5 ปีที่แล้ว +2

    Jaman Okwi tulimzoea mrudisheni pliz....katoka mbali na Simba daah

  • @mariapialakanje3446
    @mariapialakanje3446 3 ปีที่แล้ว

    Hski ya mwaka huu ndo imependeza ambayo hatuna Manara nmna tu walivyopokelewa raha sana hikinkindiki wahi

  • @NgelaTZ
    @NgelaTZ 6 ปีที่แล้ว +4

    Kwangu mm manara ndiye brand ya simba angekuwa spoken person wa tanzania kwa mtanzamo Wang anafaa

  • @silverngimi
    @silverngimi 6 ปีที่แล้ว +44

    Manara ni nyokoooooo sana yani hadi raha

  • @neemamwaimu7040
    @neemamwaimu7040 6 ปีที่แล้ว +8

    Simbaaa rahaaa jamani😂😂😂😂😂😂👌🔥🔥🔥🔥ila umri wa wachezaji nao mmmm..na niyonzima jaman

  • @esterrhobi2824
    @esterrhobi2824 5 ปีที่แล้ว +2

    Simba daima

  • @masigejose429
    @masigejose429 5 ปีที่แล้ว +11

    6/8/2019 gonga like twende saw

  • @neemagewe717
    @neemagewe717 4 ปีที่แล้ว

    Simba ni momaa jamani Ila Simba kiboko yao jamani hakuna mashabiki wengi kma Simbaaaaaaa

  • @agnesvintan1538
    @agnesvintan1538 4 ปีที่แล้ว

    Hakuna haja ya kutafuta Mc Manara kiboko yao😁😁😁😁

  • @ibnmoses979
    @ibnmoses979 6 ปีที่แล้ว +9

    Huu umri utakuwa wa kucheza mpira na sio wa kuzaliwa
    haji ni fundi wa uhamasishaji sio Simba tu bali ligi kuu Tanzania

  • @BontamLee
    @BontamLee 6 ปีที่แล้ว +8

    Simba sio Tanzania tu,bali Africka mashariki ndio timu yenye washabiki weñgi,ushahidi ni huu.

  • @habibyabeidy8946
    @habibyabeidy8946 4 ปีที่แล้ว

    Hii ndo iliwafanya mpaka mbute waone wivu nawao wakaanzisha sku ya wanachi😂😂😂😂

  • @NOVATISIYAME-iz9qw
    @NOVATISIYAME-iz9qw 2 หลายเดือนก่อน

    Kiukweli alikuwa na umaalumu wake namna ya kutambulisha wachezajii dela

  • @Banza668
    @Banza668 5 ปีที่แล้ว +4

    Hili chama ni hatareeeee sanaaaaaa

  • @immanuelmapunda5650
    @immanuelmapunda5650 4 ปีที่แล้ว

    Uyooo mwarabu ulivyomtambulisha jamaniii dah

  • @abuubakari1225
    @abuubakari1225 4 ปีที่แล้ว

    Chamarawanamsitesekemajirani. hhhhhhhhh&hh

  • @tullomengele902
    @tullomengele902 5 ปีที่แล้ว +2

    Hata Mimi nitaichezea simba inshaallah.

  • @mutalemwagabriel2277
    @mutalemwagabriel2277 5 ปีที่แล้ว +3

    Dida na salamba jamani mko wapi aisee😭😭

  • @mgishaorsicarionsipirian6940
    @mgishaorsicarionsipirian6940 5 ปีที่แล้ว +2

    Daaah!!! Nan anasema hana mashabiki wengi mwenye macho ahabiwi tazma na mwenye masikio = ? Mbishi jibu ubalo

  • @kamagakamaga6652
    @kamagakamaga6652 5 ปีที่แล้ว +2

    Mimi yanga ila nampenda sana manara kwa uhamasishaji wake

  • @reyjosee9390
    @reyjosee9390 6 ปีที่แล้ว +19

    asante kwasiii

  • @kulthummsimika6544
    @kulthummsimika6544 6 ปีที่แล้ว +5

    simba ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @stephanomchenya6344
    @stephanomchenya6344 6 ปีที่แล้ว +8

    Hv kwel masud mmemfukuza mmekosea sana

  • @banaazoo
    @banaazoo 2 หลายเดือนก่อน

    Anae watch in 2024 tujuane 😂

  • @mipawandilizu8783
    @mipawandilizu8783 4 ปีที่แล้ว

    Kuwa mshabiki wa Simba, ni raha sana Moyoni! Raha ajabu....,,,

  • @frekiusbenatus2667
    @frekiusbenatus2667 2 ปีที่แล้ว

    Yes.msemaji.ajisande.manara.
    C.jambo.fogo.

  • @alhadjijumaa648
    @alhadjijumaa648 6 ปีที่แล้ว +3

    Wachezaji wana maumbo mazuri, umri bado sasa wanashindwa nini kucheza mpira?! taabu yote hiyo ni kutaka kumfunga Yanga tu! umefika wakati tunyanyue sura zetu tuangalie mbele, mbali zaidi kisoka ..........

  • @zainabubanda7683
    @zainabubanda7683 5 ปีที่แล้ว +1

    khaa wacha yanga waige. simba day so kwa watu hap uwanja umejaa kumbe siku ya ,,,,,,,,,dey yanga hua wanaumiag

  • @morricedevice6490
    @morricedevice6490 5 ปีที่แล้ว +1

    Kelele nyingi nafasi hizo za nani

  • @paulboniphace691
    @paulboniphace691 6 ปีที่แล้ว +4

    This is simba

  • @fadhilichawemba6071
    @fadhilichawemba6071 6 ปีที่แล้ว +4

    manara wewe kweli msomi hadi rahaa

  • @nurdinismail8961
    @nurdinismail8961 6 ปีที่แล้ว +6

    Kwenye miaka ndo tatzo

  • @ezelinapaul8520
    @ezelinapaul8520 5 ปีที่แล้ว +2

    🤝🤝🤝❤❤❤💪💪💪💪

  • @jumachedi6278
    @jumachedi6278 6 ปีที่แล้ว +4

    aya bana Manara umetixhaaaaaaaa

  • @happinessjuma5332
    @happinessjuma5332 5 ปีที่แล้ว +3

    Hapana chezea Simba 💪

  • @khadijamisayo7694
    @khadijamisayo7694 5 ปีที่แล้ว +3

    haji sunday manala

  • @ismaelsaid8633
    @ismaelsaid8633 6 ปีที่แล้ว +12

    Hii miaka ya wachezaji sahihi kweli?

  • @imamuidarusiimamu8903
    @imamuidarusiimamu8903 6 ปีที่แล้ว +4

    manara mtalamu waizi kaz

  • @bakarimussa1329
    @bakarimussa1329 5 ปีที่แล้ว +1

    savitacmba

  • @romanrobinyo4311
    @romanrobinyo4311 6 ปีที่แล้ว +35

    THIS IS SIMBA, JAMANI WATU 65000, DAR HATALI

  • @richardjuma7708
    @richardjuma7708 4 ปีที่แล้ว

    Tunafukua fukua 2020 bado iko motoo

  • @livingstonepaul4425
    @livingstonepaul4425 4 ปีที่แล้ว

    😁😁😁😁😁😁

  • @immanuelmapunda5650
    @immanuelmapunda5650 4 ปีที่แล้ว

    Manara umezngua hlo jina la kocha wa viungo

  • @jackemanuel8983
    @jackemanuel8983 5 ปีที่แล้ว +1

    sijui mwaka huu itakuaje

  • @BabaJoice
    @BabaJoice 5 หลายเดือนก่อน

    ❤❤😂😂😂rud tmeku miss sana

  • @mcpaulmkopa4798
    @mcpaulmkopa4798 2 ปีที่แล้ว

    Nakuona Abdul sopu leo kaenda azam da$

  • @alexjeremia7686
    @alexjeremia7686 5 ปีที่แล้ว +3

    Tuache masihalla manara anajua hadi anakera sasa 😊😊😊

  • @chuwaloonlinetv6672
    @chuwaloonlinetv6672 3 ปีที่แล้ว

    Hichii kichwa simba watamkumbuka

  • @anitharichard4892
    @anitharichard4892 4 ปีที่แล้ว

    Hahahaha hadi raha

  • @unstoppableclassic9145
    @unstoppableclassic9145 5 ปีที่แล้ว +7

    Dah! Nimekubali cimba ni chama la wana THIS IS SIMBA