Kenya: SRC yazuia Ongezeko la Mishahara kwa Maafisa wa Serikali baada ya Malalamiko ya Umma

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 17

  • @evansogutu4167
    @evansogutu4167 2 วันที่ผ่านมา +3

    Wabunge na magavana ....wameogopa kuchukua iyo pesa manake tunarekebisha wao uki mtaani....2027

  • @user-rf7wx7og6t
    @user-rf7wx7og6t 2 วันที่ผ่านมา +2

    Gud job

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 2 วันที่ผ่านมา +3

    Aise hawa wenzetu mambo yao yana uwazi mwingi sana hadi raha.

    • @ameirzapy1318
      @ameirzapy1318 2 วันที่ผ่านมา +1

      Uwazi upi😂? Hiyo ni siasa tu kuona fujo zilizo jitokeza wewe ungefanyaje ? Lazima ungezuwia😂

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 2 วันที่ผ่านมา

    Yaani unakuta wanajiongezea wao tu tena zaidi ya milioni wengine myajiju inaumaaa wanasahau wakifa wanaacha kila kitu

  • @jumashedafa
    @jumashedafa 2 วันที่ผ่านมา

    Ruto bas tena safar yako imefik....Ni vyema uachie kiti ukapumzike...Hali itazid kuwa mbaya kwako...Na vijana umeanza kuwaweka selo na vizuizini ndio atar kbs huo moto unaanda ukija lipuka kenya itageuka uwanja wa vita kwa muda ua masaa kadhaa tena ninyi kwa ninyi

  • @ankalmzito254
    @ankalmzito254 2 วันที่ผ่านมา

    Hio tume iache ujingaa wanajiongeza mishahara huku madaktari na polisi 👮 pamoja walimu wakilalamika.....

  • @angelmishi8284
    @angelmishi8284 2 วันที่ผ่านมา

    Hata kama 2020 hawakutangaza ongezeko la mshahara due to COVID-19....sahi wanawaongezea kwa raha gani??? Wakati wananchi njaa imezidi...can't they even think?! Smh

  • @user-jo1zp7fj7r
    @user-jo1zp7fj7r วันที่ผ่านมา

    pumbavuuu

  • @chiragahmbura9523
    @chiragahmbura9523 2 วันที่ผ่านมา +3

    Hawa bado kitawaramba lazma tutoe serekali yote ya Ruto Mamlakani Wametuzoea sna

  • @mtzhalisi2232
    @mtzhalisi2232 2 วันที่ผ่านมา +2

    Tanzania mishahara ya umma ni siri....tukiambiwa katiba mpya ni muhimu wengine wanaongea hovyo hovyo

    • @mahmoodmohammed1679
      @mahmoodmohammed1679 2 วันที่ผ่านมา +1

      Kwanini iwe siri,wakati nyie ndo mnawalipa Kwa kulipa ushuru

    • @ameirzapy1318
      @ameirzapy1318 2 วันที่ผ่านมา +2

      Mbona pesa ya wabunge kulipwa sio siri iko wazi? Labda hujataka kujua, sema wanachukua hela ndefu sanaa

    • @mtzhalisi2232
      @mtzhalisi2232 2 วันที่ผ่านมา

      @@ameirzapy1318 kwa wenzetu sio wabunge tu. Ni kada mbali mbali za serikali.. Tanzania kuna double standard za mishahara ya umma ndio Mana magufuli alikuwa anataka kurekebisha Hilo. Mfano unaweza kuhamishwa kutoka tasisi flan ya serikali kwenda nyingine kwa cheo hicho hicho ulichonacho unajikuta ulipohamia wewe una mshahara mkubwa kuliko hata boss wako unaye enda kuripoti kwake.. I know. Ndio Mana hata wakitangazaga kazi za serikali wanatoa tu codes za mshahara Ila hawasemi ni kiasi gani.

    • @jumashedafa
      @jumashedafa 2 วันที่ผ่านมา

      Ndio mshahara utabaki kuwa siri kwa faida yako zaid na si vinginevyo...Yan zaid nchi inamlinda mtumishi ila usidhan ety wakitangaza wao wataathirika...Kuna maadui, kuna watu wakickia tu una pesa waanza shida, dharau, kuondoa migongano ya maslah iliyopita mipaka n.k

    • @mtzhalisi2232
      @mtzhalisi2232 2 วันที่ผ่านมา

      @@jumashedafa ni kweli kwa upande mwingine