BABU TALE hapendi kumuona D VOICE akiimba BONGO FLEVA, afunguka haya makubwa

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 10

  • @KenyanRapper-lo6fb
    @KenyanRapper-lo6fb 7 วันที่ผ่านมา +2

    Hapa Babu Tale kusema ukweli kuhusu D Voice inambidi manager wake alitilie mkazo Hilo swala 🤝💪 nko 🇰🇪

  • @all4970
    @all4970 7 วันที่ผ่านมา +3

    Kwa hiyo asiimbe mziki mzuri..! Kwa hiyo zile Bongo Flava zake siyo nzuri..? Dah! Babu Tale amechemsha

  • @ISSACKRICHARD
    @ISSACKRICHARD 7 วันที่ผ่านมา +2

    Aweeeee babu tale amechemsha d voice anafiti kwenye bongo fleva zobaaa ni atari

  • @kshayofurniture2941
    @kshayofurniture2941 7 วันที่ผ่านมา +1

    Ni mtazamo tu masela msije chuki 😂

  • @Bama959
    @Bama959 7 วันที่ผ่านมา +3

    Maybe nafsi nafikiri pale bwana babutare walipigwa zao safari hakuna mwanamuziki pale maana mziki mwenyewe ambaye mnafikiri hakila hazijakaa vizuri kifuani vile sasa lazima waseme hivyo wanatafuta njia moja wapo ya kumdefend

  • @jeremiahevodius925
    @jeremiahevodius925 7 วันที่ผ่านมา +2

    Kwani singeri ni nini bongo flavour ni nini!? Me navyo juwa pia singeri ni bongo fleva

  • @dullydebadest5738
    @dullydebadest5738 7 วันที่ผ่านมา +2

    Huyu mzee nae asituchoshe, inamaana kijitu ndio kaiona ila ZOBA aaaanhhhh!

  • @Shokolokobango9385
    @Shokolokobango9385 7 วันที่ผ่านมา +2

    Kwa hiyo singeli sio b flavour

  • @christianflorence9461
    @christianflorence9461 7 วันที่ผ่านมา

    Huo ndo ukweli ,huyo ni kijana wa hit after hit kwa singeli, abaki kwenye uhalisia wake