Davido achukizwa na Sophia aliyedai hana malezi mazuri ya watoto na Ifeanyi kufariki ni uzembe wake

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 17

  • @user-vy2bc6xg3i
    @user-vy2bc6xg3i 5 วันที่ผ่านมา +2

    Sijapenda kumuingixa ifenye maana anamuumiza chiiii ba bora katoa hiyo kauri chioma ana watoto laa sivyo ingekuuja zaidi

  • @user-lk9rh5xp4u
    @user-lk9rh5xp4u 5 วันที่ผ่านมา

    Ooooh

  • @patriciacarlo7236
    @patriciacarlo7236 5 วันที่ผ่านมา +1

    Baby Mama drama

  • @ashurajengela3926
    @ashurajengela3926 5 วันที่ผ่านมา

    Ana wivu uyu

  • @user-dc2uo9bf4y
    @user-dc2uo9bf4y 5 วันที่ผ่านมา

    Huyo dada ni wivu skuzote alikua wapi

  • @lisawilliam2491
    @lisawilliam2491 5 วันที่ผ่านมา

    Awaowe wote ma Bby mamaz wake🤣🤣🤣 problem solved

    • @pengefeza2563
      @pengefeza2563 5 วันที่ผ่านมา

      Mungu aliumba mwanaume mmoja tu na mwanamke mmoja tu zaidi ya hiyo ni kazi za shetani za kumpinga Mungu na kuanza kuingiza tamaa zake.😊

  • @agwalubifaridah7079
    @agwalubifaridah7079 5 วันที่ผ่านมา +2

    Sophia or sophie move on

    • @hopechidera
      @hopechidera 5 วันที่ผ่านมา +1

      Me nadhani ana mapenzi sana kwa Davido ndomana ku move on kunamushinda kama baby mamas wengine wa Davido...

    • @akimanaarlene851
      @akimanaarlene851 5 วันที่ผ่านมา

      @@hopechiderahuo ni mzee kwa davido ndio mana 😂😂😂

    • @zainabuabdul7852
      @zainabuabdul7852 5 วันที่ผ่านมา +4

      Davido ndo hajamove on na ukitaka kujua hilo tu Davido alimtolea vitisho tiwa savage kwa kuwa tu karibu na sophia na kisa cha Davido kustop kumuhudumia mtoto ni sophia kuwa na mahusiano na tajiri mmoja huko Nigeria ...sasa nani Haja move on hapo .....fatilieni mwanzo kwanza ndo muhukumu Davido ana makosa sana tuu

    • @nantaliamwema8083
      @nantaliamwema8083 5 วันที่ผ่านมา

      Ww nae nitimu Sofia fatilia vizur story Yao yamqusiano kama alimpenda nawakat Sofia alijirahisisha mwenyewe😅​@@zainabuabdul7852

    • @mwanaidimussa
      @mwanaidimussa 5 วันที่ผ่านมา

      @@zainabuabdul7852100 %