Kitu utashanga nikwamba kwenye umati uo anaweza akawepo mtu alie husika na ilo tukio dah!! Pole kwa kwa familia na kwa Baba yake mzaz Inasikitisha san😔
😢 Unaweza hisi haya Matukio yanatokea Arusha tuu ila yapo maeneo mengii sema uwepo wa Vyombo vya habari Arusha hasa Millard Ayo unasaidia kuibua haya matukio yakutishaa
duh alusha wanalusha sana watu kwenda kuzimu ila kuna chanzo hawezi mtu kuja2 akukate panga au akupge nakitu chochote kuna kitu ngoja uchunguzi ufanyike tutajua2 pole sana familia
Wahalifu wote wanajuana ndo mana imekua rahis kwao kuingia mtaani kuwatfta wahusika wanajuana vzr. Kisheria wanaotakiwa kufanya hizo kazi ni polisi na si wananchi ila kwa polisi kazi haitakua ngumu coz wananchi wanaonyesha njia ya kushirikiana na polisi kuwanasa wahusika
Basi uki comment tu kuisema Arusha kuusu mambo yao ya ovyo utaona wanajitokeza na maneno yao ya ulevi kila siku majanga namuhurumia sana brother makonda kaingia kwenye maandaki ya vita😢😢😢
@@joelzacha Sasa mke wa mtu anahusikaje kwenye hili acha kutetea ujinga kuua siyo solution mzee, imagine ndugu yako ndo anauawa hivyo utacheka na wauaji?
Acha ubishi wewe! Hivyo vitu vipo, kama unatabia hizo acha na kama kuna ndugu yako anatabia hizo mshauri aache kabisa, wanawake wako wengi sana ambao bado hawajaolewa, siku likikukuta ndio utakuja kunielewa.
Arusha ndugu yangu wote ni maagenti wa LUSIFA,OMBA NDUGU YAKO HASIAMIE ARUSHA,AKIENDA TU ,JIANDAE KULETEWA SANDUKU,KULE NI MALI,MALI,MALI NA SI UBINADAMU.
Hawa raia wa Arusha wachunguzwe uraia wao, unaweza ukute sio watanzania hao maana sisi watanzania hatuna unyama wa hivyo, kila siku ni mauaji tu yani hata Dar. Ni jiji kubwa lkn hakuna mauaji kama hayo.
Hameni hiyo Arusha Kwa kweli panailetea Tanzania aibu mno yaani hata pakuche kesho utasikia mengine tuu amani Arusha hakunaga mnaisifia tuu Bure kabisa
Arusha Arusha hizo damu damu damu kwenye aridhi Kama kuku MUNGU Irehemu Arusha MUNGU iokoe Tanzania na majanga mabaya yote utilise maombi hima tusaidie
Hv la kujiuliza mtu anapgwa na nyumba zipo Kalibu hv majiran hawasikii,, huyo mzee Alie sema bangi na pombe ni kwel ,, hao wavuta bangi ndo wanafanya hv
Mtu mwenye hofu ya mungu na mwenye akili timamu hawezi kumuua mwenzake,, hizo bangi wanazo vuta vijana,, nawachukia wavuta bangi, ningekua rais ukibainika unavuta bangi au unauza Sheria uawe hadharan..
Ndio Tanzania yetu hiyo watu wanauwa wenzao wakikatwa. Wanatumikia kifungo kisha wanakuja uraiyan na kasi ya ajabu. Kwa nini anauwa na yeye au wawe kama falme za kiarab wanavyo fanya
Arusha Kuna matukio ya kila aina. Mungu msaidie Mh Makonda mlinde na kila baya
😢😢😢
Amiin yarabbi 🤲🤲
Mungu saidia arusha mbn kma majnga nimengi ukiwa unaomba omba sana kwajili ya arusha pia haijalish ww ni wadini gani mungu anasikia amina🙏
Subhanallah lnnalilah wainna illahi rajiuon
Mwenyezi Mungu awatie nguvu ndugu zangu,poleni sana.
Kitu utashanga nikwamba kwenye umati uo anaweza akawepo mtu alie husika na ilo tukio dah!!
Pole kwa kwa familia na kwa Baba yake mzaz
Inasikitisha san😔
😢 Unaweza hisi haya Matukio yanatokea Arusha tuu ila yapo maeneo mengii sema uwepo wa Vyombo vya habari Arusha hasa Millard Ayo unasaidia kuibua haya matukio yakutishaa
Kweli.kabisa
Mji wa Arusha umezidi sanaaaa kwa mauaji jamani mbona wananchi wa Mkoa huo hawana hofu ya Mungu
😢😢😢😢😢😢😢 kwa nini jamani , unamuuwa mwenzako kikatili hivyo 😭😭😭😭😡😡 wallah damu ya mtu haendi bure
Daaah hili Jiji linanichosa sasa😢innah Lillah wainnah ilalih rajiuun
Inalilah wainalilah rajighun pole baba Arusha majanga Kila siku rudin kwa muumba wenu jaman 😢😢😢😢
Poleni cna watu wangu wa Kosongo , Mungu awe faraja kwenu
Dahh😢😢 pole sana Baba
Polen sana familia dah! Watu wa nyama sn
Aiiiiii arumeru arumeru arushia kika siku 😢😢jameni mungu awakumbuke nduguzetu
Mungu atusaidie maana maafa yamekua mengi tena hapa chuga
Ila arusha khaaa mungu tuhurumie.
Innalilah wanna ilah lajighuni Allah Amrehemu
Pole Mzazi
arusha arusha everyday arusha why arusha god bless🇹🇿🇹🇿🇹🇿 god bless arusha
Mungu simama
Mtihani allha atuifadhi
Namuhurumia Mkuu wa mkoa😭😭😭Arusha sio Tanzania aki
Pole sana
😢😢 why arusha
kila kukicha story ni arusha wadudu arusha kila kibaya ni arusha why always arusha godbless arusha godbless🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Mbona ata mikoa mwingine wanafanya unyama kama uo lakinivyombo vya abari Amna kama Arusha
duh alusha wanalusha sana watu kwenda kuzimu ila kuna chanzo hawezi mtu kuja2 akukate panga au akupge nakitu chochote kuna kitu ngoja uchunguzi ufanyike tutajua2 pole sana familia
Wewe sio alusha ni Arusha rekebisha kauli yako
hahaaaaa kukosea imo
Hapo uskute waliomfanyia hvyo wako hapo hapo wanaskilza tu kinachoendelea, duu jaman
Umeniwahi
Mmmh huu ni unyama uliokithirii
Usikute Arusha ni mkoa wa shetwani Sisi hatujui😢😢😢
Mwenyenzi ampe pepo ya milele
Amsamehe makosa yake
Yeye ametutangulia tu sisi tuko nyuma yake kila nafsi itaonja umauti
Hiyo Pepo yeye aliiandaa??
Duuh! matatizo yote yanayotokea Arusha mi nahisi ni matokeo ya marijuana maana huko nasikia sio poa,,,,god bless Arusha 🙏🙏
Ila Mkoa was Arushu mnahitaji mkono wa Mungu
Itakuwa ishu za wivu wa mapenz 😢😢
Arusha kila kukicha afadhali ya jana
Wahalifu wote wanajuana ndo mana imekua rahis kwao kuingia mtaani kuwatfta wahusika wanajuana vzr. Kisheria wanaotakiwa kufanya hizo kazi ni polisi na si wananchi ila kwa polisi kazi haitakua ngumu coz wananchi wanaonyesha njia ya kushirikiana na polisi kuwanasa wahusika
Subhnaallah
Poleni sana jamani
Lqkn nae alipataje ujasiri akafunua pasipo kushirikisha watu😢pole sana apumzike kwa amani
Hatari sana maisha ya Arusha leo
polenisanawa nafamiliya
Poleni san
why arusha kila kukicha story ni arusha wadudu arusha kila kibaya ni arusha why always arusha godbless arusha godbless🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Arusha jmn Mungu tusaidie
Arusha ni Soweto ya TZ, inasikitisha sana.
Hasbiya Allah wani'mal wakiil
Chunguzeni kwa makini wenda alitoka na demu wa mtu maisha magumu vijana wenzangu watu wanaudumia wake zao kwa hasira
Basi uki comment tu kuisema Arusha kuusu mambo yao ya ovyo utaona wanajitokeza na maneno yao ya ulevi kila siku majanga namuhurumia sana brother makonda kaingia kwenye maandaki ya vita😢😢😢
Acha umbea🤘🤟🤞
@@MosesEmanuel-fs3lc sawa mdudu 🤪🤪🤪
@@MosesEmanuel-fs3lc nilijua tu mdudu lazima a comment
Arushaaa😢😢😢
M/MUNGU Ilaze roho yamarehem mahali pema peponi pole kwa familia nakuomba m.makonda fanya jitihada yakumaliza matatizo ya arusha
Arusha wanashidà gani jamani😢😢
Arusha kinachowaaribu ni Bangi na marez ya wazazi wengi wamelelewa na shingo Mather
Yani hii arusha😢😢 mwenyezi aisadie mana wamezidi😢
Matukio yapo kila sehem sio arusha tu
@@RayyanRayyan-rt9cgArusha imezidi bwana alafu kupeana sifa za kijinga tu
@@RayyanRayyan-rt9cgArusha imezidi jmn
@@lucasmhagama8166nakuongea kijinga jinga wanajiona wanjanja
Aseee ..!
Mauwaji mazitoo.hazikusikika sauti za kutishaa
Na wauwaj wako hpo hpo mlipo nynyi 😢😢😢😢😢😢
Maombi na toba zifanyike,arusha kwa damu zinazo mwagika apo, lasivyo kila damu itakuwa inadai damu
Pole ni
Waja wamekua wengi sana arusha kipindi wazawa wapo arusha ni sehemu yenye amani sana wafanya matukio wengi ni waja
Hapa ukichunguza zaidi ni mke wa mtu😢😢😢
Loooooh iyo inch 😢😢
Arusha kuna nini,mrudieni Mungu 🇮🇱🕎🔥⛪
Yani arusha ukiamka ukishinda salama ukilala salama unashukuru
mbona arusha kumekuwa kama urusi na ukren jamniiiii,mungu tunakuomba useme na mkoa wa arusha..
Ila maripoter wa milladayo Arusha wanajitahidi Sana kulipoti habari
Same way
Unaweza ukaona alikuwa anapiga pisi ya mtu, daaaah ila Arusha
Labda ndo utoe uhai wa mtu kwa ajili ya pisi au pesa.dah
Bro achana na mapenzi wewe, mke wa mtu ni hatari sana, husije jaribu hata siku moja kutembea na mke wa mtu, utapoteza maisha kizembe.
@@joelzacha Sasa mke wa mtu anahusikaje kwenye hili acha kutetea ujinga kuua siyo solution mzee, imagine ndugu yako ndo anauawa hivyo utacheka na wauaji?
Acha ubishi wewe! Hivyo vitu vipo, kama unatabia hizo acha na kama kuna ndugu yako anatabia hizo mshauri aache kabisa, wanawake wako wengi sana ambao bado hawajaolewa, siku likikukuta ndio utakuja kunielewa.
@@joelzacha kbs
Yaani hapo ukifatilia ni mwanamke
Pepo la mauaji limetumwa Arusha....
R.I.P KIJANA DAH HIYO ND A TOWN BNA
Arusha ndugu yangu wote ni maagenti wa LUSIFA,OMBA NDUGU YAKO HASIAMIE ARUSHA,AKIENDA TU ,JIANDAE KULETEWA SANDUKU,KULE NI MALI,MALI,MALI NA SI UBINADAMU.
Jamn Arusha kuna nn 😢😢😢😢😢😢
Arusha mbona matukio ya mahuaji yamekuwa mengi
Mmh. Jamani
Hawa raia wa Arusha wachunguzwe uraia wao, unaweza ukute sio watanzania hao maana sisi watanzania hatuna unyama wa hivyo, kila siku ni mauaji tu yani hata Dar. Ni jiji kubwa lkn hakuna mauaji kama hayo.
Hameni hiyo Arusha Kwa kweli panailetea Tanzania aibu mno yaani hata pakuche kesho utasikia mengine tuu amani Arusha hakunaga mnaisifia tuu Bure kabisa
Nilijua tu Ni arumeru
Kisongo😢😢😢
ANAWEZA KUA ALIKUA HATA ANATEMBEA NA MKE WA MTU KAMA NI WEZI WASINGEMUUA WANGEMUIBIA TU BASI HUKO ARUSHA SIJUI KUNA NINI
Arusha Arusha hizo damu damu damu kwenye aridhi Kama kuku MUNGU Irehemu Arusha MUNGU iokoe Tanzania na majanga mabaya yote utilise maombi hima tusaidie
Jamanihvi.arushambona uhalifuumezidi haypitahata wikimbilibila matukiyoyaajabu
Yaani Arusha imegeuka Mexico ya Tanzania
Arusha hpn imezid aise
Arusha aijawahi kukucha salama
Arusha simaneni na watoto wenu kimaombi. Yani watoto wanajiita wadudu kweli Binadamu ni mdudu?. Hiyo siyo Sawa.
Arusha vp tena hii mambo tuliapa haitokei huyo ni wakuja mtafuteni tujue kafanya nn tusiropoke kwanza
Hv la kujiuliza mtu anapgwa na nyumba zipo Kalibu hv majiran hawasikii,, huyo mzee Alie sema bangi na pombe ni kwel ,, hao wavuta bangi ndo wanafanya hv
ila arusha jmn dah😭😭
arusha arusha arusha!!!!
why always arusha
matukio ya laana yote ni arusha jamaniii
Uyu c Yule alkuwa anamnyoa geodev akapewa na gar 😮
😢😢
Uko Arusha Kuna nini
Tukio limetokea karibu na kituo cha police na police awakuwepo kituoni
Ukichomoka kuondoka arusha usirudi tena akaa
Uo mkoa sijawai upenda
Baba mzazi vunja chungu watajileta wenyewe.
vijana wa Arusha mmezidi ulev kuna shida tu ndo maana wamemuua
Mtu mwenye hofu ya mungu na mwenye akili timamu hawezi kumuua mwenzake,, hizo bangi wanazo vuta vijana,, nawachukia wavuta bangi, ningekua rais ukibainika unavuta bangi au unauza Sheria uawe hadharan..
Ndio Tanzania yetu hiyo watu wanauwa wenzao wakikatwa. Wanatumikia kifungo kisha wanakuja uraiyan na kasi ya ajabu. Kwa nini anauwa na yeye au wawe kama falme za kiarab wanavyo fanya
Acheni pombe, yaan mnalewa mpaka mnauan watu gani nyinyi. Bangi nyinyi, Mirungi nyinyi cjui watu wa Arusha ni kizazi Cha nani???
Arusha mna nini jmn
Arusha kuna baadhi ya mijitu ina Roho katili fyuuuuu.