This testimony is what I needed to hear to know that God is so good and He loves me despite of everything and I can stand again in the name christ Jesus my best friend Amen
Oooh.... Angel! Nakupenda halafu nakupenda tena!!!❤❤❤❤ Mungu azidi kukubariki na kukuongoza katika kila jambo, asante kwa uinjilishaji wako kupitia nyimbo...🙏💞 Zinanibariki sana!!!
,,Hongera sana, saaaaaaaana!!,, " Kuna wakati tunapitia vitu vigumu sana, sana maishani nwetu,lakini kiukweli Mungu hujua kesho yetu, hujua Kusudi halisi kupitia hayo!! '' Sifa na Utukufu ni kwa Yesu Kristo
2024 Mtumishi mmoja aliwahi kwamba yale yote unayotamani watu wasisikie kuhusu wewe, ndio ambayo Mungu anahitaji uyaseme ili wengine wapone kupitia wewe. Ushuhuda mkubwa sana. Ni ushuhuda unaoonesha upendo wa Mungu kwa watu wake. Mungu ashukuriwe kwa wingi wa rehema zake kwetu.
Nimependa ulivyo mwazi maana wengi huwa wanaficha ukweli ambao haubadiliki nafikiri kikubwa siyo ulifanya nin ila ni unaendelea vipi kutengeneza na mungu wako hongera maana ulikuwa tayari kutubu ubarikiwe 😍😍😍
Namshukuru MUNGU Leo kaweza kunitia nguvu Tena katika maisha yangu pale ambapo niliona nmeshindwa, nimejifunza Sana kupitia ushuhuda wako sister GOD bless you 🥰🙏
mi muislam but kanifunza kitu niilikua mekata tamaa but naamka naendelea na maisha mtoto nilie pata ni zawad namshukuru mungu huenda pia kaniepusha na jambo tho naogopa kua inlv tena
Wale mnao mtukana hamkutumwa muangalie kama wewe ni mwema kwa kila kitu kwenye maisha yako hongera lakini maneno machafu sio mazuli .na usipoteze bando yako bule. Muache yuko na mungu
Aliyebeba kitu cha Kimungu hupita majaribu mengi sana, mpaka KUFIKIA kusudi ambalo Mungu amelikusudia, Mungu akubariki dada kwa kunitia moyo Mimi jamani
May God continue Glorifying his name in You my sister! Never give up on Our God for He can never leave us!!! You who listening 👂 and you know you’re not right with God come back to Him it’s not to late! Repents in your heart, and confess with your mouth cry out for Jesus Son of David to have mercy on you!!! He is been waiting for you to return back to him. Psalms 81:13-16. Stay Blessed you who reading this and taking actions!
Eti Ninja😂😂.....Ashukuriwe Mungu anaetupenda kwa pendo la ajabu na hajawahi kutuacha😭......all in all thanks for sharing maa'm wengi tumevuka hapa🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Everybody huu is judging her some who are saying whatever Ur saying do not judge I respect her nobody can ever say I did this when I was this all we some people do is lie we all huv bad pasts and everybody who is successful as a past most of our pasts is God looking for us and telling us that u know what my daughter my son I huv purpose and I want to use do not tell me u do not get blessed by her ministry so my friends never judge coz nowadays most of the people who suffer are in the church that's why most some yet they are born again either depression addiction or any other thing and because they do not want to say they keep quiet so who ever is suffering right now we all do and God forgives u and uses u even more than before
Kipindi kizuri,lkn presenter anatakiwa ajipe muda kujibu anajibu yeah yeah yeah nyingi bila kujipa muda, angalau umuache mtu ajieleze had mwisho asidakie maneno kwa anayemhoji,unless otherwise kipindi kiko poa
Ni Mazingira tu network haipo vizuri hawapo karibu lazima aongee kuonyesha wapo pamoja yy ndio Mungu kampa kibali kumhoji bila hivyo hata machache mngejifunzia wapi.
Daah nashukuru kwa ushuhuda huu umefanana na wangu umetia nguvu sanaa, nilipata mtoto wa kwanza nikapata wa pili, nikabahatika kuolew kwa ndoa nikapata mtoto wa tatu lkn ndoa ikavunjika sometimes najuta Mungu why me, namimi naimba kama wewe so umenitia moyo sanaa
Angel Bernard umeitwa na Mungu. Tumikia kabisa. Tunakupenda from 🇰🇪.
Wangu nilimpata at 19 pia. I feel encouraged
This testimony is what I needed to hear to know that God is so good and He loves me despite of everything and I can stand again in the name christ Jesus my best friend Amen
Me too🙏🏾
Great testimony kwa kweli...thank you Angel for the boldness to share your heart out with us..wengi watapona na kufarijika
This testimony has given me hope oooh! Thanks Angel for sharing ur past! For sure past doesnt make the future! Only God does make our future.
Oooh.... Angel! Nakupenda halafu nakupenda tena!!!❤❤❤❤ Mungu azidi kukubariki na kukuongoza katika kila jambo, asante kwa uinjilishaji wako kupitia nyimbo...🙏💞 Zinanibariki sana!!!
May almighty God bless you all,maana nilihisi nachanganyikiwa peke angu,, Mungu awaweke na shuhuda zenu zikawabariki na wengine🙏
,,Hongera sana, saaaaaaaana!!,, " Kuna wakati tunapitia vitu vigumu sana, sana maishani nwetu,lakini kiukweli Mungu hujua kesho yetu, hujua Kusudi halisi kupitia hayo!! '' Sifa na Utukufu ni kwa Yesu Kristo
Twende mbele turud nyuma Hakuna watu wanaumia katk mahusiano kama walokole coz vijana weng wa kiume hawako serious na relationship
2024
Mtumishi mmoja aliwahi kwamba yale yote unayotamani watu wasisikie kuhusu wewe, ndio ambayo Mungu anahitaji uyaseme ili wengine wapone kupitia wewe. Ushuhuda mkubwa sana. Ni ushuhuda unaoonesha upendo wa Mungu kwa watu wake. Mungu ashukuriwe kwa wingi wa rehema zake kwetu.
Didn't know her story, only her music. Indeed everyone has a past
Woooh l also didn't know nashagha but mungu n mwema aki
Nimependa ulivyo mwazi maana wengi huwa wanaficha ukweli ambao haubadiliki nafikiri kikubwa siyo ulifanya nin ila ni unaendelea vipi kutengeneza na mungu wako hongera maana ulikuwa tayari kutubu ubarikiwe 😍😍😍
Kweli Mungu haangalii mwanzo wetu anaangalia mwisho wetu tunamalizaje Mungu nipe mwisho mwema
Kaka you should let a person Express him or herself. ....your making alot of interruption.......man of God
Bora Angel unasemaga ukweli ila Martha mwaipaja anaruka ruka akihojiwa na hasemi ukweli anasahau kuwa na nyinyi ni binadamu mnapitia
Kweli kabisaaaaaa hawajui kuwa wakiongea ukweli ndio tunapona sisi pia
@@nurukidakule9468Wow
❤❤❤ powerful testimony. God bless you Angel, napenda nyimbo zako 🇰🇪🇰🇪
Hiyo hali ndio napitia mm siwez kuwaamin Tena warokole mungu anisamehe kwakwel
Namshukuru MUNGU Leo kaweza kunitia nguvu Tena katika maisha yangu pale ambapo niliona nmeshindwa, nimejifunza Sana kupitia ushuhuda wako sister GOD bless you 🥰🙏
mi muislam but kanifunza kitu niilikua mekata tamaa but naamka naendelea na maisha mtoto nilie pata ni zawad namshukuru mungu huenda pia kaniepusha na jambo tho naogopa kua inlv tena
You were God chosen regardless of what,.you are my inspirational, I love you sana
You are also chosen thats why you were born⛪⛪⛪
Subhanna ALLAH hakika Mungu alikuepushia Shari hiyo
This is a powerful testimony
Wale mnao mtukana hamkutumwa muangalie kama wewe ni mwema kwa kila kitu kwenye maisha yako hongera lakini maneno machafu sio mazuli .na usipoteze bando yako bule. Muache yuko na mungu
Haswaaaa
Ndio
Presenter your distracting her while she's talking please angalia hio side sana patia mtu time ajieleze, sorry if i offended you
Aliyebeba kitu cha Kimungu hupita majaribu mengi sana, mpaka KUFIKIA kusudi ambalo Mungu amelikusudia, Mungu akubariki dada kwa kunitia moyo Mimi jamani
MUNGU akutunze sana sister Angel🙌❤️❤️
Barikiwa sana minister angel kwa kuwa mkweli na muwaz dada
So interested to hear anything from you sis,pls muhojin zaidi ana vitu vya kusaidia
Kuna kuinuka tena💪💪
Sirmbezi unavyosema kuna mtu anaguswa kwa kusikia kutoka kwa watumishi unaowahoji, basi hapa NIMEGUSWA, I have something to do. Keep up brother
Angel hongera sana ila kwangu mimi ilikuwa mkubwa dear mwenzio miaka 15 kasoro nikapata mtoto na lininja,oooh asante Yesu anayefanya mambo ya ajabu.
😂😂😂pole
Looooo sikujua historia yake, Ashukuriwe Mungu kwa kutupa nafasi nyingine
Mshukuru Mungu ulikuwa mkubwa maana wengine wanapata ujauzito Wana miaka 14
Sem my Friend waaah nilipitia mangumu xana nilitamani kukufa mm🙏🙏🙏
Exactly what I need to hear at this moment.Thank you God for her life.
Blessed
Hongera San kupata zawadi ya mtoto ukiwa na myaka 19 nisaw tou nasisi ndoivo ira hatujafurahiya kbx
Bora uwe mkweli na hiyo kweli umewekwa huru mama Mungu akiamua kukuhitaji hakuna njia nyingine ya kukwepa uso wa Mungu nijifunza pia
ana miaka mingapi bado anaonekana kijana sana mrembo kweli nampenda na nimeshakutana naye huku us hana maringo waliyonayo waimbaji wengi
May God continue Glorifying his name in You my sister! Never give up on Our God for He can never leave us!!! You who listening 👂 and you know you’re not right with God come back to Him it’s not to late! Repents in your heart, and confess with your mouth cry out for Jesus Son of David to have mercy on you!!! He is been waiting for you to return back to him. Psalms 81:13-16. Stay Blessed you who reading this and taking actions!
I love her
Nakupenda angel nakupenda sana sana
Pamoja na tote still ananiinspire sana aiseee
Maisha ni safari
Kila kituo kina mengi ya kujifunza
Nakupenda dadanguuu@Angel Bernard
I love you dada Angel
Eti Ninja😂😂.....Ashukuriwe Mungu anaetupenda kwa pendo la ajabu na hajawahi kutuacha😭......all in all thanks for sharing maa'm wengi tumevuka hapa🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Na Yule jamaa kweli ni ninja hajakosea kusema hvyoo
Sir Mbezj unajitahidi kuwa present!
Yeah, Yes, okay
Aiseee
Pole sana
Lkn Mungu mwema
Dah sema sisi wanaume Mungu atusaidie
Umenitia Moyo sana
Neema ya MUNGU inatosha,,,,,,pole na hongera Kwa kuvushwa
Asante kunitia moyo mpendwa na pole sana naww
Asante
Mungu akubariki sister nimejifunza kitu
Afadhal ww mm nilipata nkiwa na umri wamiaka 15 ila mungu hakuniicha
Nungu anawaona hawa wanaume. Barikiwa sana mpedwa
Mh unahoji vibaya ,learn kumpa mtu nafasi aongee sio yah.yah.yah of coz ndo nini sasa😡😩
Mnaona anainglia lakin ni sababu hawapo sehem moja..na sauti zinapishana wanajitahidi kusikilizana sana ..msilaumu tu
We ni mwelewa hawa watu wamepigiana cm wanapishana saut ila Watu hawaelew
Everybody huu is judging her some who are saying whatever Ur saying do not judge I respect her nobody can ever say I did this when I was this all we some people do is lie we all huv bad pasts and everybody who is successful as a past most of our pasts is God looking for us and telling us that u know what my daughter my son I huv purpose and I want to use do not tell me u do not get blessed by her ministry so my friends never judge coz nowadays most of the people who suffer are in the church that's why most some yet they are born again either depression addiction or any other thing and because they do not want to say they keep quiet so who ever is suffering right now we all do and God forgives u and uses u even more than before
MUNGU anamtoa mbili Sana mtu🤝🤝🤝🙏🙏
Hukukosea dear 💕
Hakika Mungu ni mwema
Dada nimeumia Sana na Stori hii na nimejikuta machozi yananitoka
I see myself in this Mungu simama 😭
Duuh MUNGU atusaidie kwakwel majaribu nikipimo cha maumivu .MUNGU akutunze my dear nimefarijika.
Yamenikuta haya naumia mimi😭😭😭
Learn how to interview.. Si kuzungumza ovyo. Give her time to talk
We mtangazaji na we nawe sijui hata una Tabia gani ...🤣🤣🤣🤣kwann unamkatisha katisha
Afu acha kusema Ya ya ya ok ok ok ya ya ya😏😏😏
Yani huyu mtangazaji et ya ya ya Yas ok
Hahahaha mary bhana! Msamehe bure
Barikiwa sana dada
Mungu ni mwema
This my testimony too
LIFE JOURNEY
Pole
Nyege hata watu wa kanisani wanazo
Kipindi kizuri,lkn presenter anatakiwa ajipe muda kujibu anajibu yeah yeah yeah nyingi bila kujipa muda, angalau umuache mtu ajieleze had mwisho asidakie maneno kwa anayemhoji,unless otherwise kipindi kiko poa
Ni Mazingira tu network haipo vizuri hawapo karibu lazima aongee kuonyesha wapo pamoja yy ndio Mungu kampa kibali kumhoji bila hivyo hata machache mngejifunzia wapi.
We dadaaaaa nakuona mih 🍎 ndan yako
Nampenda huyu dada
❤
Mhh inaumiza sana
Pole Sana
My papaa Deo kubala
Barkiwa dada
Duuh sikuwah kuskia hii kutok kwa Angel 😳😳
This is my situation lite now nasijui nafanyaje.
Am the Backborn.......going behold. How abt that???
Ooh MUNGU Ni mwema Sana.
Mimi nilipata mimba nikiwa na 15 years . hata hiyo 19 ni mob coz alikuwa amekuwa mtu mzima.
Mtangazaji jaman
Sema kweli yako uwaokoe wengine Angela
Kwa hiyo una watoto wangapi????
Kuna kuhinuka tena songa mbele Mtumishi Wa Mungu
Ukweli ukuweka huru mandiko yanasema
Umesomea wapi kuinterview wewe, unaongea sana
Umejua kuniimarisha kweli tunapitia vitu vingi sana mnoo hakika Mungu ni Mwema mnoo tusikate tamaa sauti ya Mungu inapaswa kuisikiliza
Mungu akubariki
Napata moyo mungu Ni mwema,,,,I still believe
😮😮
Umepitia km niliyopitia Mimi dah umenikumbusha mbl
Huyu mtangazaji anaboaa jmn😡
We mtangazaji vip😂😂... Et ya ya ya ya ha ha offcourse asa za nn wooi unachosha
🤪🤣🤣🤣🤣 weuweeee
Haya hakua mdogo wengi tumezaa umri huo
Kumbe ana sura nzito
Huyo ninja ni nani?
Daah nashukuru kwa ushuhuda huu umefanana na wangu umetia nguvu sanaa, nilipata mtoto wa kwanza nikapata wa pili, nikabahatika kuolew kwa ndoa nikapata mtoto wa tatu lkn ndoa ikavunjika sometimes najuta Mungu why me, namimi naimba kama wewe so umenitia moyo sanaa
Mtangazaji unaboa
Mtangazaj wee Et mungu wangu wa milele
Hahah umeisikia pia