Ubarikiwe Baba MtumishiwaMungu...Dah!!!aisee kama ni hivo baaasi mwache tu akamtumikie Mungu. Lakini bado mimi ningemuomba Mungu aendelee kuwaweka pamoja. Kwa sababu kwa anaemtumikia Mungu kwa moyo wake wote na nguvu zake zote Mungu hawezi kumuacha,,,Roho wa Mungu hawezi watenganisha kwa maana moja tu ya yeye kwenda kufanya huduma ya Mungu.No hilo ni jaribu. Roho wa Mungu hawezi watenganisha kwa ajiri ya huduma.Huduma yenu wote ni moja kwa nini aende kuitafuta mbali na mumewe? Mie hainiingii akilini. Nnawapenda sana couple hii. Mungu awafanyie njia sahihi ili huduma hii muifanye mukiwa mnaishi wote.
Hongera saana baba Shusho kwa mke mzuri mtumishi. Pia, hongera dada Christina kwa kumpata mume mzuri ambaye ni baba kweli na analea vizuri huduma yako. Kongole sana.
MUNGU ni muweza abariki Tena na waweze kupendana Huyu Baba anavyoongea Ina faa wasameheane hata kama Kuna chochote kilitokea wanapendezeana Kwa kweli madam Christina inawezekana mkarudi MUNGU kwanza ❤
My brother shusho is living in self denial, ati mke wake anamtumikia Mungu,laiti angelijua upande wa pili ulivyo kwamba Kawa kunguru badala ya njiwa wa Mungu,angemuombea arudi kundini kwake haraka sana maana tamaa ya dhambi hakika ni mauti. Christina kwa maoni yangu hamtafuti Wala kumtumikia Mungu that is secondary to her primary anatafuta utajiri sana by any means available on the table. Ni mwanamke hatari na naona anapotea. Pole pastor shusho,usimwamshe aliyelala, Zetu duua lakini
Wapendwa huyu mwanamke Christina ni mama ambaye alikuwa na komesha shetani kila leo sasa huyo shetani yeye kaolewa naye Mungu akurudishe mapema maana utaaibika.
Christian tamaa inamsumbua nahakijiangalia alivo mlembo anaona kama mwanaume huyo ana faida hila mbeleni atajuta anajifanya mtumishi hila hipo siku atamkumbuka mmewe maana ukiwa na yesu moyoni auwezi kuachika kwakupenda mwenyewe bila kuwa na mtu pembenj kuna kitu hila dunia hii mmmh
Hivi wewe unavyotukana. Huyo unayemtukana ni mzazi wa mtu ati. unahukumu ilhali haujui ukweli umenikwaza sana Mungu akusamehe sio makosa yako. Huu ni upuuzi unaandika jamani.
Huyu mzee shusho anasema hekima ni kubwa kuliko upendo si kweli. Upendo ni zaidi ya vitu vyote hata Mungu anakiri hivyo. Sasa kama kweli maisha yao hayo ni msukumo wa Mungu mwenyewe mbona hatuoni popote katika mandiko ya Mungu mifano ya watu ksma wao? Ni wao tu duniani ambao wamejaliwa Neema hiyo? Kama ni kwwli Wabarikiwe, lajini kama wanaigiza, Mungu hadhihakiwi. Tusiwahukumu.
Huyu baba ana hekima za hali ya juu.... Barikiwa baba🙏🙏
Huyu Askofu , Mungu ambariki sana sana . Nampenda sana
Wow asante Sana Kwa hekima Na namna hii mchungaji 👏👏👏👏mzidi kubarikiwa ❤️❤️
Dada shusho mungu amekubalikia mume mwenye hekima ya kutosha
Wow behind every successful woman there is a loving and supportive husband ponzezi bwana shusho
Ni mzee mwenye hekima ya hali ya juu sana🙏
Adi raha,mwenyew nataman mume mwenye busara ata kama ni mzee ili mradi asinilize kwenye mapenzi
@@jescajulius8023 mwambie Mungu anamjua mume wako na atakupa kwa wakati
Ubarikiwe Baba MtumishiwaMungu...Dah!!!aisee kama ni hivo baaasi mwache tu akamtumikie Mungu. Lakini bado mimi ningemuomba Mungu aendelee kuwaweka pamoja.
Kwa sababu kwa anaemtumikia Mungu kwa moyo wake wote na nguvu zake zote Mungu hawezi kumuacha,,,Roho wa Mungu hawezi watenganisha kwa maana moja tu ya yeye kwenda kufanya huduma ya Mungu.No hilo ni jaribu.
Roho wa Mungu hawezi watenganisha kwa ajiri ya huduma.Huduma yenu wote ni moja kwa nini aende kuitafuta mbali na mumewe?
Mie hainiingii akilini.
Nnawapenda sana couple hii.
Mungu awafanyie njia sahihi ili huduma hii muifanye mukiwa mnaishi wote.
Ni ukweli mtupu kabisa
Roho Mtakatifu siku zote ni mwaminifu na wa kweli. Hana vurugu.
😊your song is haert meadisen of people God makeup yuor voice up allover the world 🎉
Mungu akutunze na uwe na hekima ya kulinda maomo yako ili uone ufalme wa mungu ktk safari ya mbinguni umwone yesu
MUNGU akubariki mtumishi akuinue viwango hadi viwango
Shusho amepotea kwa diamond na nyimbo za duniani .mzee msamehe arudi kwa Yesu ..ataangukia pabaya ujue mpaka sasa anapotea kabisa❤
u look amazing u guys, I love you guys from the bottom of my heart, i love your gospel songs
Hawa wanawake c wanatufanyia favour aki! Hata kama c handsome sana hawajali, Mungu bariki wanawake wote
Hahhahha umenichekesha sana ww
@@judithlwaikondo7382 ukweli kabisa u women you usually do us favour
@@christianbenbellacomedy9621 u re very right
Thank u
😅😅😅 you are one of a kind. But umeongea ukweli na sio wote wanatambua hilo.
Kwenye kuchagua Mume huwa hatujali sana handsome tunaangalia baba bora na wengi huwa wametulia na majukumu ya familia
This is a good husband to Christina. May God bless you Rev. Shusho
Yes
what a lesson....Behind every successful wife therr is a supportive husband.And vice versa...great lessons for couples.
Hongera saana baba Shusho kwa mke mzuri mtumishi. Pia, hongera dada Christina kwa kumpata mume mzuri ambaye ni baba kweli na analea vizuri huduma yako. Kongole sana.
Baraka za Mwenyezi Mungu zitaambatana nawe na nakutakiya mafanikio maradufu.
Nakushukuru mutumishi shusho.kwa kumulea mkeo christine.ubarikiwe
MUNGU ni muweza abariki Tena na waweze kupendana
Huyu Baba anavyoongea Ina faa wasameheane hata kama Kuna chochote kilitokea wanapendezeana Kwa kweli madam Christina inawezekana mkarudi MUNGU kwanza ❤
glory to God he is such an amazing man of God...we love your wife shusho from Kenya..may God bless you all 🙏
Mungu akubariki sana Mchungaji
Mungu akulinde sana kwenye huduma yako mtumishi
Thanks for clarity. Mungu akubariki
100% Husband from heaven
L
My siz Christina nakuomba umrudie mume wako Kuna wengi hawana waume na wa natamani kuwa na waume so plz rudi Kwa ndoa yako ili uheshimike sana
Christine shusho Ni mtumishi wa mungu.sai anamtumikia Mungu mbinguni
Huduma gani ya mwanadamu mbinguni.
Mimi nimezifuta nyimbo za Christina kwenye vifaa vyangu. Siwezi sikiliza nyimbo za yule Shetani
Huyu mzee ana hekima Sana,Mungu ambariki
Ubarikiwe mchungaji
Mubarikiwe Sana watumishi wa mwenyezi Mungu.
Waoh kube shusho ni mumewe Christine
Nice pastor
Mungu akubariki lakini wewe Christina nakuombea urudi kwa mume wako
Barikiw baba mchungaj
My brother shusho is living in self denial, ati mke wake anamtumikia Mungu,laiti angelijua upande wa pili ulivyo kwamba Kawa kunguru badala ya njiwa wa Mungu,angemuombea arudi kundini kwake haraka sana maana tamaa ya dhambi hakika ni mauti.
Christina kwa maoni yangu hamtafuti Wala kumtumikia Mungu that is secondary to her primary anatafuta utajiri sana by any means available on the table.
Ni mwanamke hatari na naona anapotea.
Pole pastor shusho,usimwamshe aliyelala,
Zetu duua lakini
Saiv kuolewa na mzee ndo dili ata ndoa inadumu mpaka .wisho
Hongera pastor Shusho
Wow baba
Amen mutumishi
Mbona kamaa hii interview ya mda jmm coz Shushoo hayupoo now kwa Mumewee
Heeee yupo wapi Tena🤣😂
Niyamdamref sana, Mme washusho ukovizuri sana lakin wanamziki wakishapata wanawasariti Waume zao shusho Anaishi Sinza , Mme Wake Anaishi tabata
Hongera
Be blessed pastor shusho
Wapendwa huyu mwanamke Christina ni mama ambaye alikuwa na komesha shetani kila leo sasa huyo shetani yeye kaolewa naye Mungu akurudishe mapema maana utaaibika.
Ameeeeeeeeeeen
Kama ni mungu ataonekana katikati yao
Amen!💓
Amen may God bless you
Ameen
Mzee Shusho anaongea Kiswahili cha Kikenya , sijui kama ako na ukoo huku Western Kenya au Nyanza?.
Continue serving the lord
Jamani watu huzungumza sana maovu kuhusu mtu.
Hope mambo.... Uko na jina kama LA mtoto Wa shusho
Na uko na sura ya kupendeza kama shusho
Christian tamaa inamsumbua nahakijiangalia alivo mlembo anaona kama mwanaume huyo ana faida hila mbeleni atajuta anajifanya mtumishi hila hipo siku atamkumbuka mmewe maana ukiwa na yesu moyoni auwezi kuachika kwakupenda mwenyewe bila kuwa na mtu pembenj kuna kitu hila dunia hii mmmh
Kupata mwanamme anawezakusapport ndoto Yako ninadra shusho tulia kwake.anyway
Blessings
Thank you
Mungu kamwambia hosea kimchu kua Gomeri.
Mbona mkeo anakusemq vibaya
Sasa analiwa na Diamond.Amekua Malaya.
Amen mtumishi wa Mungu
Thanks paster shusho for this wisdom
Shusho wacha Tamara, Tamara ili uwa fisi mkubwa
🙏
Mchungaji mwerevu huju
Hata shetani alianza na hawa christina shusho shetani hajakuacha salama rudi kwa mumeo ngombe wa maziwa wewe jinga jinga jinga kabisa
Hivi wewe unavyotukana. Huyo unayemtukana ni mzazi wa mtu ati. unahukumu ilhali haujui ukweli umenikwaza sana Mungu akusamehe sio makosa yako. Huu ni upuuzi unaandika jamani.
Huyu mzee shusho anasema hekima ni kubwa kuliko upendo si kweli. Upendo ni zaidi ya vitu vyote hata Mungu anakiri hivyo.
Sasa kama kweli maisha yao hayo ni msukumo wa Mungu mwenyewe mbona hatuoni popote katika mandiko ya Mungu mifano ya watu ksma wao? Ni wao tu duniani ambao wamejaliwa Neema hiyo? Kama ni kwwli Wabarikiwe, lajini kama wanaigiza, Mungu hadhihakiwi. Tusiwahukumu.
Nice pastor
Hongera