#BREAKNG

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ต.ค. 2024
  • #BREAKNG: MBUNGE wa NGORONGORO AACHIWA USIKU, ASEMA ALIGOMA KULA SIKU 3, HAKUPEWA KIBALI cha SPIKA...
    CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia ZAWADI MBALIMBALI KILA SIKU, KILA WIKI kupitia Global TV, Global Radio na mitandao ya kijamii!
    ========================
    Ingia kwenye simu yako📲, sehemu ya kufanyia malipo, andika namba ya kampuni 553111, kumbukumbu namba 255 au andika neno GLOBAL. Weka kiasi cha shilingi 1,000, weka namba yako ya siri, thibitisha na tuma.👍 PEASA UTATUMIWA MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU YAKO!🤝👍💰
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

ความคิดเห็น • 130

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  ปีที่แล้ว

    JISHINDIE TECNO CAMON 20 kwa BUKU TU! Ingia kwenye simu yako📲, NAMBA YA KAMPUNI 553111, KUMBU NO. 255 au GLOBAL kisha Tuma 1,000! Utapaja ujumbe wa USHINDI!

  • @lucaschisamalo2852
    @lucaschisamalo2852 ปีที่แล้ว +22

    Tutaimba wimbo mmoja tu Lema alisema mkitumaliza sisi mtaanza kumalizana wenyewe

  • @OmegaNelson-ho1no
    @OmegaNelson-ho1no ปีที่แล้ว

    Asante sanaaa mmbunge wetu tuaonba uwe na hmsimamo kwa wananchi wako🙏🙏🙏🙏

  • @charlessokoine-qp7uq
    @charlessokoine-qp7uq ปีที่แล้ว +8

    Pole Sana kaka mbunge wa ngorongoro umejitahidi Sana kataa Kula sumu ipo ndugu yetu pia serikali ya ccm na ya Samia ni mbovu Sana Samia Anausa nchi yetu hasa Tanganyika wetu

    • @kisarikaassey-cb7jk
      @kisarikaassey-cb7jk ปีที่แล้ว

      Charles unakosea Samia siyo mtu mbaya hapana kipo kikundi kidogo sana kimemzunguka chenye tamaa kama ya fisi ndicho tatizo
      Wengi waliwekwa pembeni na magu bahati mbaya akawarudisha bila uchunguzi wa kina Sasa ndio wanaitafuna nchi
      Kikundi hichi yupo RAIS mstaafu wanataka kumaliza njaa ya kukosa ulaji wakati wa magu
      Tumwombee sana RAIS Samia agundue hili genge aliweke pembeni

  • @DONALDMTOWE-u9g
    @DONALDMTOWE-u9g ปีที่แล้ว +15

    Nifunzo kwa wabunge wengine wa chama chake waache uchawa.

  • @pauloropian2367
    @pauloropian2367 ปีที่แล้ว +11

    Mungu kombowa watu wako pamoja na aridhi yao juu ya wakoloni weusi

  • @FLORENCEYUDAMKAMA-xl7jl
    @FLORENCEYUDAMKAMA-xl7jl ปีที่แล้ว +8

    SAFI SANA KIONGOZI WA WANANCHI

  • @AnnaMoses-xt3rj
    @AnnaMoses-xt3rj ปีที่แล้ว +5

    Mungu ni mwema

  • @alvinsanga2428
    @alvinsanga2428 ปีที่แล้ว +2

    WAMASAI WASOMI SIKUIZI ACHENI KUWADHARAU

  • @SamweliKereine
    @SamweliKereine ปีที่แล้ว

    Asante yesu umejibu maombi yetu ya kumwoombea mbunge Shangai aliyesulubiwa siku tatu.tuendelee kuwaombea wale wengi

  • @JamesLayok
    @JamesLayok ปีที่แล้ว

    Pole sana mbunge wa ngorogoro mungu akusaidie kwenye mapito unayo pitia

  • @judicatendengerio-ndossi1583
    @judicatendengerio-ndossi1583 ปีที่แล้ว

    Pole Ole. Tumshukuru Mungu uko hai na hongera hukula chochote. Uko salama.

  • @SonkoMolle-if3tz
    @SonkoMolle-if3tz ปีที่แล้ว +1

    Nakuombea sana mungu akulinde sana

  • @mussamsilangamunubimussa2009
    @mussamsilangamunubimussa2009 ปีที่แล้ว +4

    Mbunge wa ngorongoro anatakiwa kuigwa sana

  • @rahma6189
    @rahma6189 ปีที่แล้ว +2

    Hongera sana kwa msimamo mkubwa na pole

  • @williammbuzimai5744
    @williammbuzimai5744 ปีที่แล้ว +4

    Lema njooooooooo,
    Nabii ataheshimika kwao

  • @JoshuamepalariMshumba
    @JoshuamepalariMshumba ปีที่แล้ว +6

    Mungu ni mwema Sana,hakuna aliye juu ya mungu, 😂😂😂

  • @gaspermoko171
    @gaspermoko171 ปีที่แล้ว +7

    Sauti ya wanyonge ipo mtaani tena chuma imara kuliko jana
    Hakuna haja ya kula chakula cha mtezi wako hii nimeshikilia

  • @trillhappybeautypoint9874
    @trillhappybeautypoint9874 ปีที่แล้ว

    Mbunge 🔥🔥🔥

  • @edisonpeter3894
    @edisonpeter3894 ปีที่แล้ว +1

    Nasikia Msoga alishauza hiyo loliondo kitambo sana. Saiz waarabu wanataka ardhi yao.

  • @margarethsaramaki3966
    @margarethsaramaki3966 ปีที่แล้ว +1

    Mh umefunga kavu mwenyezi Mungu anene nawe
    Soma Zaburi 35 🙏🏼🙏🏼

  • @rogersdavis3058
    @rogersdavis3058 ปีที่แล้ว

    Pole Mh Shanghai

  • @davidmwandenuka1712
    @davidmwandenuka1712 ปีที่แล้ว +3

    Walivyo kuwa Wana kamatwa chadema mlikuwa sawa Ila lema aliwaambia wakiwamaliza wao Wana kuja kwenu nashukuru mungu yamewakuta...

  • @Geoglemdoe-uh8ch
    @Geoglemdoe-uh8ch ปีที่แล้ว +1

    Lakini mh,mbunge nadhani Ni wakati wa kudai katiba mpya maana Sheria za inchi hii hazina faida kwa watu wanyonge

  • @verinicamartin6420
    @verinicamartin6420 ปีที่แล้ว

    Pole jamani rafiki

  • @ananiamwatebela3159
    @ananiamwatebela3159 ปีที่แล้ว +2

    Daaa nchi hii ya hovyo sana

  • @ankoanko-zz7it
    @ankoanko-zz7it ปีที่แล้ว

    Unajua Mimi nashangaa Sana.

  • @SeifMpwanda-qs4pd
    @SeifMpwanda-qs4pd ปีที่แล้ว +3

    Inchi kwa maigizo hiii

  • @trillhappybeautypoint9874
    @trillhappybeautypoint9874 ปีที่แล้ว

    Mungu watetee ndugu zetu wamasai😢😢

  • @donathtarimo7221
    @donathtarimo7221 ปีที่แล้ว

    Pole sana, shetani atashindwa tuu...

  • @NzenzuleManyanda
    @NzenzuleManyanda ปีที่แล้ว +2

    Fanya kazi

  • @NeyesuMollel
    @NeyesuMollel ปีที่แล้ว +2

    Mungu mwema

  • @PapuyaKayang.uokaro
    @PapuyaKayang.uokaro ปีที่แล้ว

    Pole sana

  • @EmmanuelTate
    @EmmanuelTate ปีที่แล้ว +1

    Ahsante mungu

  • @NorbethJosphath-hm1zb
    @NorbethJosphath-hm1zb ปีที่แล้ว +1

    Mungu atusadie

  • @MwakokolaTwifu
    @MwakokolaTwifu ปีที่แล้ว +3

    Sasa hivi nae shujaaaa 😅😅😅😅 km mashujaaa wengine

  • @husseintwaha1737
    @husseintwaha1737 ปีที่แล้ว +1

    Ccm choma mbaya sana 😭😭😭

  • @janekapinga6793
    @janekapinga6793 ปีที่แล้ว +1

    Duh!! Hii nchi kwa kweli wanataka kumuangusha mama

    • @desolz3809
      @desolz3809 ปีที่แล้ว

      Atajiangusha mwenyewe maana ile panga pangua ya baraza la mawaziri na department zingine aliharakisha sana... acha inyeshe.......

  • @verdianabanabi2205
    @verdianabanabi2205 ปีที่แล้ว +1

    Hongera baba nynyi ndiye tunaowategemea mtupiganie katuka nchi yetuambayo wanataka tuwe watumwa.

    • @albertbunyinyiga7581
      @albertbunyinyiga7581 ปีที่แล้ว

      Acha upumbavu akupiganie wewe umekaa na wewe ongeza nguvu mjinga wewe

  • @conasmalale1073
    @conasmalale1073 ปีที่แล้ว +2

    ukiwa upande wa wananchi lazima uumie

  • @BarakaParirong
    @BarakaParirong ปีที่แล้ว +1

    Mungu akupiganie mh bunge

  • @jestonelazaro6543
    @jestonelazaro6543 ปีที่แล้ว +1

    Mkimaliza kutushughulikia mtajishughulikia wenyewe

  • @MtazameKristoTv
    @MtazameKristoTv ปีที่แล้ว

    Yaani hii kila kitu ni uchochezi

  • @sylvestersamwel8210
    @sylvestersamwel8210 ปีที่แล้ว +3

    Wanaouza tunu za taifa wakiona mtu anawawekea kauzibe wanampa kesi ya uchochezi,uhujumu uchumi au uhaini !!!

  • @alphayoanthony5504
    @alphayoanthony5504 ปีที่แล้ว +3

    Akina kitenge zembwela ni watu wanaotakiwa kulaaniwa vikali.
    Kwa sababu hawa jamaa wamechangia sana kuwekwa ndani kwa mh.mbunge wa ngorongoro

  • @OltrutiNduleenyi-fi5hi
    @OltrutiNduleenyi-fi5hi ปีที่แล้ว +1

    Wakome hivi vitisho dhidi ya watu wa ngorongoro na viongozi wao. mtaka kuwatisha Ile muwape muarabu kujenga mahoteli na kuwinda wanyama waliohidhiwa na jamii hii enzi kwa enzi

  • @J.JlogCruz
    @J.JlogCruz ปีที่แล้ว +1

    Pole sana mbunge wetu

  • @noekenny3771
    @noekenny3771 ปีที่แล้ว

    Hata Ccm kwa Ccm hamuaminiani? Shida ya kuogopa kula imetoka wapi?

  • @janethpallangyo3855
    @janethpallangyo3855 ปีที่แล้ว

    Mmmmhhhhhh?????

  • @josephvedic3189
    @josephvedic3189 ปีที่แล้ว +1

    Jeshi la polisi la Tanzania lina zambi kubwa Sana kwa kupindisha Shelia na Mambo wanayo ya fanya hayampendezi mungu..adhabu yao ni kubwa Sana kwa mungu...

  • @alphayoanthony5504
    @alphayoanthony5504 ปีที่แล้ว +1

    Hiyo ndiyo kazi ya CCM
    Inayojifanya inawapenda watanzania

  • @jacksonlaizer7262
    @jacksonlaizer7262 ปีที่แล้ว

    Usikate tamaa kiongozi wetu tutakuombea daima milele tulikuchagua kwa ajili ya kutetea wananchi wako

  • @janethpallangyo3855
    @janethpallangyo3855 ปีที่แล้ว

    Funzo kwa maccm

  • @mutalemwajohanes-kx9dj
    @mutalemwajohanes-kx9dj ปีที่แล้ว

    Wa kuuliza ni mmoja tu ?

  • @tanzanitetv
    @tanzanitetv ปีที่แล้ว

    Mbunge kama huyu ni hazina kwa taifa

  • @richardnganya2311
    @richardnganya2311 ปีที่แล้ว +1

    Uchochezi au maigizo !?

  • @ezekielgwamaka9998
    @ezekielgwamaka9998 ปีที่แล้ว +2

    Mungu mkubwa uchaguzi 2025

  • @GeoffreySumbwe-cq6kk
    @GeoffreySumbwe-cq6kk ปีที่แล้ว +2

    Sasa nahuko Kuna nini ? Na uchochezi wa nini kuhusu Nini? Mbona nashindwa kuelewa

  • @williamgeorge-hd2tn
    @williamgeorge-hd2tn ปีที่แล้ว +2

    Jamaa anamengi moyoni sema anakistahi chama chakee😂😂

  • @majomamajoma8776
    @majomamajoma8776 ปีที่แล้ว

    Alhamdulillah mungu ni.mwema hivi Huko police ndio wanafunzwa hivo ama akili zao tu

    • @frankkibitanyi
      @frankkibitanyi ปีที่แล้ว

      Hukumu ni hapa hapa wala usiteseke pambana na maombi tu cha kuwalaan wao na vizazi vyao!

  • @jolitabukabengwe3070
    @jolitabukabengwe3070 ปีที่แล้ว +4

    Tatizo lipo kwenu wabunge. Mkiwa bungeni akili zenu huwa haziwazagi masilahi ya nchi.

  • @LaizerTirike
    @LaizerTirike ปีที่แล้ว

    Welcome uraia Mheshimiwa mbunge Shangai nadhani umejifunza mengi kwa wabaya wetu 😢

  • @cleophacephelician6739
    @cleophacephelician6739 ปีที่แล้ว

    HUU NDO UTAWALA WA SHERIA, HAIJALISHI WE MBUNGE AU MKULIMA AU MFUGAJI AU MFANYABIASHARA AU MTUMISHI WA SERIKALI. UKIKINZANA NA SHERIA UTAKAMATWA NA KUHOJIWA, HUNA KESI UNAACHIWA, UNA KESI YA KUJIBU UNAFIKISHWA MAHAKANI UNASOMEWA MASHITAKA FULLSTOP.

  • @Geoglemdoe-uh8ch
    @Geoglemdoe-uh8ch ปีที่แล้ว +1

    Tupambane kudai haki zetu,Kama wanataka wawekezaji nawao viongozi siwakawape nyumbani kwao Kama kule zenji,pia Kuna faa kwa uwekezaji

  • @noelmbise9157
    @noelmbise9157 ปีที่แล้ว

    Watu wanataka waamishwe ngorongoro hiyo ndio chanzo za kukamatwa mbunge

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 ปีที่แล้ว

    Mbunge gangamara, wanafikiri wakishahamisha raia kura utapata wapi bhana?

  • @emmanuelymeresta-si4ur
    @emmanuelymeresta-si4ur ปีที่แล้ว

    Saiv ni mda wa kushughuliana wenyewe Kwa wenyewe na mtakoma sana ndo mjue ulipata ubunge wa dhuluma

  • @kunyaobelela4062
    @kunyaobelela4062 ปีที่แล้ว +1

    Ccm hawajui km wakoloni walichimba kaburi kwa maziko yao wenyewe.

  • @joycejackson2320
    @joycejackson2320 ปีที่แล้ว

    Mbona umeruhusu Ngorongoro kuuzwa??
    Fundisho hilo na badoo

  • @BakariIssa-nx3yf
    @BakariIssa-nx3yf ปีที่แล้ว

    Inchiimeuzwa nabado

  • @noelbryson7840
    @noelbryson7840 ปีที่แล้ว +1

    Hujala kwa siku 3 hebu tueleze ilikuwaje? . NI TAMU 🤣😂..

  • @magrethsengati2564
    @magrethsengati2564 ปีที่แล้ว

    Fight for people of ngorongoro

  • @GabrielSky64
    @GabrielSky64 ปีที่แล้ว

    Duuuh hii Sasa ishakua ni hatar. Watu au basi

  • @SaidiMohamedi-n2u
    @SaidiMohamedi-n2u ปีที่แล้ว

    Kwa mbuge ccm lazima spika hausike

  • @mussakimaro5588
    @mussakimaro5588 ปีที่แล้ว

    Hiii nchi duu Ni ya ajabu sana vitu vinavyofanyika Ni balaa ila one day tutajuana tabia

  • @gazzomaster9462
    @gazzomaster9462 ปีที่แล้ว

    Hii ngoro ngoro Tu mbunge kakamatwa je bandari ikiwa chini ya mwalabu si ndo mtasikia waziri mkuu kakamatwa

  • @EmmanuelJeremiah-r2s
    @EmmanuelJeremiah-r2s ปีที่แล้ว +1

    Umeanza upande wenu mlifikil chadema peke yao

  • @rizikimlela8162
    @rizikimlela8162 ปีที่แล้ว

    Ukitaka amani kuwa chawa tatizorako unatetea wananchi wako wangorongoro

  • @bamurwakana7277
    @bamurwakana7277 ปีที่แล้ว

    Ulitakiwa upotezwe ili mtunge sheria nzuri

  • @masungadutta3823
    @masungadutta3823 ปีที่แล้ว

    Wataalam nisaidieni hili
    Mfano umekamatwa kimya kimya hafu bahati mbaya ukakata moto itakuwaje

    • @nantaembanusurupia5674
      @nantaembanusurupia5674 ปีที่แล้ว

      Mbona wengi tu wamekamatwa kimya kimya na wamekata moto huko, na hakuna kilichofanyika😢

  • @philemonmagesa5548
    @philemonmagesa5548 ปีที่แล้ว

    Sikuizi ukikamatwa utaratibu mpya ni kugoma kula.

  • @petermwanyondo5370
    @petermwanyondo5370 ปีที่แล้ว

    Mungu wambinguni aingilie nafsi zetu nais Kama tunataka kulud utumwani nakibaya tumeanza kutesana wenyewe wasababishi wapo kwao nafamiliya zao nainchi zao watutumia vibaya sisi wenyewe kwa wenyewe wafrika hasa watanzania tumelogwa nanini

  • @janekapinga6793
    @janekapinga6793 ปีที่แล้ว

    Kwani hii nchi shida ni nini jmn

  • @moriscollins4494
    @moriscollins4494 ปีที่แล้ว

    Muacheni akale kwanza

  • @fabby1181
    @fabby1181 ปีที่แล้ว

    Mliona kama wapinzani waongo Sasa zamu yenu ccm piganeni Marisas

  • @desiderihugo5704
    @desiderihugo5704 ปีที่แล้ว

    Shida ni haya mazimwi waarabu Mashetani haya .Wanataka kurudi kinyemela na kututesa tena kama zamani .Eee Mungu baba tuteteee waja wako ,waangamize kama ulivyowaangamiza wale watesaji wa wana wa Israeal kwenye bahari Shamu katika jina la Yesu

  • @habibrwegoshora6624
    @habibrwegoshora6624 ปีที่แล้ว

    HUYU JAMAA ANA UTOFAUTI MKUBWA SANA... KWSSB KWANZA ANAONEKANA AMELELEWA NA WATU WENYE HEKIMA HAROPOKI NA HANA LUGHA CHAFU YA UKOSEFU WA ADABU..ADABU NI KITU KIKUBWA KINACHOONYESHA UTU WA MTU HATA KAMA UKIONA UMEONEWA BADO KUWA NA HEKIMA NA ADABU NI MUHIMU SANA

  • @Mjeda-q1m
    @Mjeda-q1m ปีที่แล้ว

    Duu mbwa kala mbwa mbunge mtunga Sheria aaminiwi kujidhamini Hadi azaminiwe polisi na mtu iyo ni nzuri kwani akuna aliyejuu ya Sheria tukutane bungeni wanaccm wenzangu

  • @EliauMtishbi-os5ky
    @EliauMtishbi-os5ky ปีที่แล้ว

    Mikiñchoo Eñkai eripoto

  • @wilsonsikahanga1761
    @wilsonsikahanga1761 ปีที่แล้ว

    Bunge sasa hivi haliba Spika

  • @wilfredlukowo9476
    @wilfredlukowo9476 ปีที่แล้ว

    Ni aibuuuuuuuuu

  • @mussamsilangamunubimussa2009
    @mussamsilangamunubimussa2009 ปีที่แล้ว +2

    Kwanini watu wanakamatwa bila makosa katiba inaruhusu maandamano kwanini polis amfati katiba

  • @majebelemathis9991
    @majebelemathis9991 ปีที่แล้ว

    Ukiwa kwenye family ya wachawi watu unaongea family yenu ni wachawi huwezi kuamini mpaka waanze kukutafuna Leo hii CCM wameanza kujirudimo na Bado

  • @masoudymichael
    @masoudymichael ปีที่แล้ว

    CCm bwana ko mlikamatana😂

  • @alvinsanga2428
    @alvinsanga2428 ปีที่แล้ว

    NGORONGORO HAKUNA KUTOKA MASAI WAACHENI WAKAE NA WANYAMA WAO NA MIFUGO YAO

  • @laurentraphael5470
    @laurentraphael5470 ปีที่แล้ว

    Viongozi wengi wa CCM ni wachumia matumbo na wala hawapo kwa ajili ya watanzania. Nonsense

  • @paulmrema4126
    @paulmrema4126 ปีที่แล้ว

    Tupambanie tanzania jmn upinzani ulikua ukipigania hali unakandamiswa leo ht mwana ccm akiongea haki anakandamiswa inatakiwa ubaya ukemewe na wote

  • @RobertGwelela
    @RobertGwelela ปีที่แล้ว

    Kama mbunge wao wanamtesa hivi vipi asiye wa kwao? Naamini jibu unalo.

    • @jambo3751
      @jambo3751 ปีที่แล้ว

      Kwahiyo wewe ndio unaamini hapo?...hayo ni maigizo tu ili kumnusuru yeye jimboni kwake.
      Upinzani Tz wawe makini sana na haya maigizo ya CCM. Kama hayo si maigizo basi wabunge wote hao wanaojifanya wanawatetea wananchi watoke CCM.

  • @marcojonline7847
    @marcojonline7847 ปีที่แล้ว

    Huyu mbunge ni mchonganishi anataka kuchonganisha vyombo vya usalama na raia huwezi simama jukwaani na kuanza kusema polisi ni vibaka na wapigwe kama vibaka wanapokuenda kufanya upekuzi linapotokea tatizo, sio swala la kufumbia macho na kusaport watu kama hawa wanaotaka kuharibu amani ya nchi kwa interest zao

  • @Ndu-wa.uroony2
    @Ndu-wa.uroony2 ปีที่แล้ว

    Kifo kimpate huyu asababishaye nchi kupasuka