MAHAKAMA YATOA HUKUMU ya KUPINGA UWEKAJI wa VIGINGI LOLIONDO-NGORONGORO -RAIS ATAJWA KWENYE HUKUMU..

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ก.ย. 2024
  • MAHAKAMA YATOA HUKUMU ya KUPINGA UWEKAJI wa VIGINGI LOLIONDO-NGORONGORO -RAIS ATAJWA KWENYE HUKUMU...
    CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia ZAWADI MBALIMBALI KILA SIKU, KILA WIKI kupitia Global TV, Global Radio na mitandao ya kijamii!
    ========================
    Ingia kwenye simu yako📲, sehemu ya kufanyia malipo, andika namba ya kampuni 553111, kumbukumbu namba 255 au andika neno GLOBAL. Weka kiasi cha shilingi 1,000, weka namba yako ya siri, thibitisha na tuma.👍 PEASA UTATUMIWA MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU YAKO!🤝👍💰
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

ความคิดเห็น • 53

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  ปีที่แล้ว

    JISHINDIE TECNO CAMON 20 kwa BUKU TU! Ingia kwenye simu yako📲, NAMBA YA KAMPUNI 553111, KUMBU NO. 255 au GLOBAL kisha Tuma 1,000! Utapaja ujumbe wa USHINDI!

  • @verdianabanabi2205
    @verdianabanabi2205 ปีที่แล้ว +6

    Rais siyo mungu aliyeumba mbingu na dunia.

  • @issakwisamwasanjobe541
    @issakwisamwasanjobe541 ปีที่แล้ว +8

    Kuleta wawekezaji na kuwapa ardhi ni kuwachimbia shimoni wananchi Nyerere alikuwa na akili alijua hayo mapema

  • @NorahFrank-w5m
    @NorahFrank-w5m ปีที่แล้ว +4

    Mungu yuko Tanzania akitetea wanyonge.

  • @TriakonNdoya-iw2qc
    @TriakonNdoya-iw2qc ปีที่แล้ว +1

    Mbona Swala lauwekesaji limekiwa tatizo kwa inchi yetu badala ya faraji

  • @HassanAlawi-b5r
    @HassanAlawi-b5r ปีที่แล้ว +4

    Inamaana katiba sio ya watanzania ni ya kuwalinda viongozi.duh hatari sana na pia inamaana ardhi ya tanzania wanamiliki maraisi wetu duh!

  • @Jonathan95311
    @Jonathan95311 ปีที่แล้ว +1

    Wakiwamaliza Wamasai watakuja kwa wengine pia. Tz hatuko salama.......

  • @osodowilberforce2321
    @osodowilberforce2321 ปีที่แล้ว +1

    Congratulations,Wakili Ole Shangay on behalf of Ngorongoro/Loliondo people.God Bless you.

  • @alexanderjey257
    @alexanderjey257 ปีที่แล้ว +2

    wazir haliyetoa tangazo ni chawa kama chawa wengine

  • @JemisLaizar
    @JemisLaizar 11 หลายเดือนก่อน

    ❤mungu awabariki ngorongoro yetu samia sio mungu mungu yeye ndio kilakitu ngorongoro

  • @machaggechacha243
    @machaggechacha243 ปีที่แล้ว +2

    Watanzania amkeni. Nchi yenu inanyakuliwa na kugawiwa kwa matapeli na mafisadi mbele ya macho yenu. Mnanyang’anywa chakula chenu kutoka midomoni mwenu. Eti raisi kaamua!!! Ushenzi gani huu.

  • @LazaroMwakasege-bh5en
    @LazaroMwakasege-bh5en ปีที่แล้ว +1

    Hii nchi Kuna nini Giza tz wamasai gorogoro jamani hii ndo tz yangu kweli Kama ndo tz yangu kweli Basi inatisha

  • @MwinyiBwanga-i3l
    @MwinyiBwanga-i3l ปีที่แล้ว +1

    Ndio maana serikari inahitaji elimu ya katiba kwa wanainch Ili waelewe mamlaka ya viongozi kikatiba halafu wanatoka watu wanapinga suara Hilo haliitaji mawakili Kam watu wanauelewa wa katiba yao kuhusu tamko la rais kikatiba mawakili kuweni wakwer achen kupotosha watu katiba mnaijua vizuri kuhusu mamlaka ya rais kukasimu aridhi

  • @alexanderjey257
    @alexanderjey257 ปีที่แล้ว +2

    mahakama ni chawa kama chawa wengine majaji ni dhaifu sana hawana weledi kabisa

  • @amosdickson6318
    @amosdickson6318 ปีที่แล้ว

    Rais ni mpiga dili, kateua waziri mpiga dili, kesi ikapelekwa mahakama inayofanya maamuzi KWA kufuata maamuzi ya Rais na wateule wake.
    Harafu mtemee kushinda imeisha hiyo
    SUPER AMO.G

  • @clemencemkondya8561
    @clemencemkondya8561 ปีที่แล้ว +1

    mawakili acheni kuwadanganya wananchi mmeishapata pesa zenu.semeni ukweli wenu .Wanawalia pesa zenu bure hao mawakili.

  • @StevenNyanguye
    @StevenNyanguye ปีที่แล้ว +1

    Ndio maana tunalia na katiba

  • @derickcowly6681
    @derickcowly6681 ปีที่แล้ว +1

    Tatizo ni katiba irekebishwe uyo Mama anatumiya madaraka yake vibaya yeye kila siku anaamka na mambo mapya tume zimekuwa nyingi uteuzi wa viongozi kila kukicha titizo ni katiba

  • @lepishorkijape1253
    @lepishorkijape1253 ปีที่แล้ว +1

    Wadau mungu kweli Hali ugali

  • @davidmrema2527
    @davidmrema2527 ปีที่แล้ว +1

    Every road has a bend, añd time will tell

  • @hezronpeterhongoli9060
    @hezronpeterhongoli9060 ปีที่แล้ว +1

    Nadhani tuna poteza mwelekeo, Utalii nipamoja Watalii washangae kuona Wanyama pori wanakaa pamoja na Binadamu, ni kivutio kikubwa sana, Kuna nini nyuma ya pazia?

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 11 หลายเดือนก่อน

      Hii ni aina ya "multiple land use" scenarios. It is very unique and interesting 😊 😊

  • @IssacKisiongo-er2qx
    @IssacKisiongo-er2qx 8 หลายเดือนก่อน

    Milima iliyo lipuka loliondo jana

  • @DeoSanga-ff9ni
    @DeoSanga-ff9ni ปีที่แล้ว +1

    Tunashukuru mawakili wazalendo

  • @RedBelt-m2k
    @RedBelt-m2k ปีที่แล้ว

    Raisi sio mmiliki ni msimamizi ardhi

  • @alexmzumbwe1328
    @alexmzumbwe1328 ปีที่แล้ว

    2025-NGORONGORO-BANDARI?

  • @joscamwoshezi2986
    @joscamwoshezi2986 ปีที่แล้ว

    Ndugu zangu kazi ya wakili hata muuwaji anamtetea wakati anajua kaua kweli

  • @davidmalogo7100
    @davidmalogo7100 ปีที่แล้ว

    Yani kiufupi kesihii haikutakiwa kuwa kesi kwasababu wananchi hawataki kuhamishwa eneolao naniwananchi ,,sasa nguvu yakuwatoa inatokawapi, nakamanikilio watanzaniawote wamesikia inamana laisi hakusikia? Minaona hii kesi inamuhusu laisi nandie anaetaka watu waondoke,nakama nihivo huyu kiongozi kashindwa kuongoza watu mana kiongozi anatakiwa kongoza wanayotaka watu sio anavotaka kiongozi

  • @robertphilip385
    @robertphilip385 ปีที่แล้ว

    Mahakama za Tanzania ni mawakala wa ccm eti Kuna mtu Yako juu ya Sheria utafikiri ni mungu

  • @ChristerShao
    @ChristerShao ปีที่แล้ว +2

    Nyundo ya leo,ufunze moyo wako kukomaa maana taarifa za kuumiza ni nyingi.

  • @jonathankayigili8490
    @jonathankayigili8490 ปีที่แล้ว +1

    Tz hakuna mahakama 😅😅

  • @mussakimaro5588
    @mussakimaro5588 ปีที่แล้ว

    Katiba tu inakataza sasa tamko la mtu tu linaamua yote yani hii nchi inapokwenda ni msaada tu wamungu ila mama ajitathmini vizuri kama kuna watu wanampa ushauri aangalie vizuri hawamtakii mema kila sehem nchi imekua ni shida sana

  • @RugemaliraRenatus-rf6yv
    @RugemaliraRenatus-rf6yv ปีที่แล้ว

    Sheria yakisema mtu mmoja ndie pekee ipo siku itakuja kuleta madhara makubwa ,watakapo tokea walafi.

  • @IsayaSosolo-nx8zk
    @IsayaSosolo-nx8zk ปีที่แล้ว

    Mnaisoma namba sasa si mlikipa wenyewe kura kiwasomeshe namba mtulie wapewe waraabu ninyi hmna hadhi ya ku 8:31 8:31 8:31 8:31 8:31 8:31

  • @musa-v3f
    @musa-v3f ปีที่แล้ว

    NILIVYOSIKIA HILO JINA LA HAKIMU JOAKIM LIGANGA SIJUI KAMA KUNA HAKI ITAPATIKANA HAPO NI MMOJA WA MAJAJI SERIKALI INAWATEGEMEA KUIBEBA SERIKALI KWY KESI ZAKE

  • @LumolaSteven
    @LumolaSteven ปีที่แล้ว

    Nani bado haoni umuhimu wa Katiba Mpya. Imagine mtu mmoja anayeitwa Rais ana mamlaka makubwa kiasi hicho. Tunataka Katiba Mpya

    • @DonMooSTUDIO_Express
      @DonMooSTUDIO_Express ปีที่แล้ว

      Katiba ndiyo imempa mamlaka hayo. Raisi ndiye kiongoi mkuu wa nyanja zote hata jeshi n.k kauli yake ni amri sio ombi...

  • @EliasMakesen
    @EliasMakesen ปีที่แล้ว

    Wakili wa ngorongoro nchi inawategemea kwaiyo musipokaa vizuri ngorongoro inaenda kwa waarabu

    • @NDEWARA
      @NDEWARA ปีที่แล้ว

      Hivi ni lazima uandike uongo?😅

    • @ezekieltate4877
      @ezekieltate4877 ปีที่แล้ว

      Hawezi kuondoka hata siku moja kiongozi

    • @ezekieltate4877
      @ezekieltate4877 ปีที่แล้ว +1

      Ngorongoro inawasome wengi sana kiongozi kwhy tutajipanga kwa lolote lile na nina uhakika tutashinda kwa asilimia 100

    • @ezekieltate4877
      @ezekieltate4877 ปีที่แล้ว

      Jamii kuwa na wasomi pamoja na mawakili ni swala nzr sana kupambana na maadui

    • @danielachayoAchayo
      @danielachayoAchayo ปีที่แล้ว

      Huyu Samia ni balaa hawa waarabu wamempa Nini kinachomfanya atuone sisi kama manyani,subiri maandamano ndo kiama yenu

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 ปีที่แล้ว

    mahakamani imeshtakiwa mahakama hahahaaaa tz haswaa

  • @kisarikaassey-cb7jk
    @kisarikaassey-cb7jk ปีที่แล้ว

    Tutafsiri vizuri sheria rais sio mmiliki wa ardhi yetu la hasha!
    Hana mamlaka ya kupora ardhi yetu!
    Hakuna sheria inayompa rais uhuru ama haki ya kupora ama kuiba ?
    Lazima afuate taratibu

  • @giftkalenge418
    @giftkalenge418 ปีที่แล้ว

    Inamaana Raisi Huwa haangalii kama taratibu zimefuatwa? kabla ya kutangaza? Kwa hiyo hata kama waziri kakosea anatangaza tu? Halafu jeshi letu lipo wapi kama wageni wanajinilikisha kipande Cha nchi ?

    • @danielachayoAchayo
      @danielachayoAchayo ปีที่แล้ว

      Sio kipande cha ardhi nikama nchi nzima,jeshi linasubiri maandamano,ili watuunge mkono

    • @frankezakayo4447
      @frankezakayo4447 ปีที่แล้ว

      Jeshi letu halina uadui na kauli za chama tawala ccm ukitaka kuona kazi na matokeo ya mafunzo yote ya ukakamavu ranging na n.k tizama wanamshambulia RAIA wakaiwada sikuiyo TBC NA ITV ni mihutasari kama yote

    • @NorahFrank-w5m
      @NorahFrank-w5m ปีที่แล้ว

      Iko kitu Mungu Atamwonyesha huyu mama.hakika tutaona mengi

    • @NorahFrank-w5m
      @NorahFrank-w5m ปีที่แล้ว

      Wamekaa kimyaaaa kama hawako

  • @kawiche4911
    @kawiche4911 ปีที่แล้ว

    NDIO MAANA TUNATAKA KATIBA MPYA
    HATUNA SABABU YA KUSUBIRI MIAKA MI TATU
    KATIBA MPYA SASA
    RAISI AFUATE SHERIA KATIBA NA KANUNI ZA TANZANIA
    RAISI ACHA KUWAPA MBUGA ZETU WAZUNGU NA WAARABU

  • @PertoBariye-bd5ox
    @PertoBariye-bd5ox ปีที่แล้ว

    Picha