WAANDISHI wa HABARI WAVAMIWA na KUJERUHIWA kwa MIKUKI, SIME NGORONGORO, HALI ZAO MBAYA, DC AZUNGUMZA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ต.ค. 2024
  • WAANDISHI wa HABARI WAVAMIWA na KUJERUHIWA kwa MIKUKI na SIME - NGORONGORO, HALI ZAO MBAYA, DC AZUNGUMZA...
    Zaidi ya vijana 200 wa jamii ya kimasai (morani) eneo la Enduleni, Wilaya ya Ngorongoro, mkoani Arusha wamewavamia na kuwajeruhi waandishi wa habari na mkalimani aliyeambatana nao....
    CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia ZAWADI MBALIMBALI KILA SIKU, KILA WIKI kupitia Global TV, Global Radio na mitandao ya kijamii!
    ========================
    Ingia kwenye simu yako📲, sehemu ya kufanyia malipo, andika namba ya kampuni 553111, kumbukumbu namba 255 au andika neno GLOBAL. Weka kiasi cha shilingi 1,000, weka namba yako ya siri, thibitisha na tuma.👍 PEASA UTATUMIWA MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU YAKO!🤝👍💰
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

ความคิดเห็น • 50

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  ปีที่แล้ว

    JISHINDIE TECNO CAMON 20 kwa BUKU TU! Ingia kwenye simu yako📲, NAMBA YA KAMPUNI 553111, KUMBU NO. 255 au GLOBAL kisha Tuma 1,000! Utapaja ujumbe wa USHINDI!

  • @NeyesuMollel
    @NeyesuMollel ปีที่แล้ว +2

    Safi sana tunaumie eti ngorongor bado tuuganike wote wamasai

  • @jamesmbata8542
    @jamesmbata8542 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana mbwakoko hao😂

  • @bakarikayugwa3295
    @bakarikayugwa3295 ปีที่แล้ว +4

    Mmezidi kuhongwa ili mtoe taarifa za uongo ili watu wahame SI muache Kuna ulazima gani wa kuwahamisha na kuwashawishi ili waondoke na mumlete muwekezaji ndo mkome mi naona safi tu kwa maoni yangu binafsi

  • @TaibAdam-i9d
    @TaibAdam-i9d ปีที่แล้ว +2

    Safi sana nimefurahi hamna adabu

  • @SimonilaizerLaizer
    @SimonilaizerLaizer ปีที่แล้ว

    Chamsingi zaidi wangeuwawa sio kujeruhiwa tu serikali ya ofyo in ayotuongoza mungu ndie mtetezi wetu

  • @ummySheikh72
    @ummySheikh72 ปีที่แล้ว +6

    Heeeeeh! Makubwaa msiwafate hawa wata wauwa ni kama wanyama hawa sio watu mmmh

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 ปีที่แล้ว

    Mungu mbk nimeogopa jamn polen Sana waandishi WA habar

  • @OfficialA83640
    @OfficialA83640 ปีที่แล้ว

    Mwandishi ww ukujua km kuna vita na ndy maana hukwenda kweli we msomi 💐⚘🌷🌹🌺

  • @josephmassawe8812
    @josephmassawe8812 ปีที่แล้ว +1

    Sasa hapo kosa la viongozi liko wapi?

  • @sabihahamadi2287
    @sabihahamadi2287 ปีที่แล้ว

    Mtihani binadamu hatunahuruma poleni mungu atawasaidiya

  • @Rogathe-Rogathe
    @Rogathe-Rogathe ปีที่แล้ว +1

    Mungu ponya kwa haraka nafsi za hawa waandishi❤

    • @franciscotemba6929
      @franciscotemba6929 หลายเดือนก่อน

      Tena ao wa itv NDO KAZ YAO KUISIFIA SERIKALI TU, WAACHE WALE KIBANO

  • @leyankoika1261
    @leyankoika1261 ปีที่แล้ว +1

    Jamii ya maa inaonewa sana Ni Mungu anawalinda

  • @jayson.chanel.9870
    @jayson.chanel.9870 ปีที่แล้ว +2

    WAANDISHI KAZI YAO NI KUISIFIA VIONGOZI TU...WAKATI WANANCHI WANATESEKA ...PIGA KABISA

  • @isakasilasi
    @isakasilasi หลายเดือนก่อน

    Uongozi wa Tanzania
    Ametupa jamii Wa kimasai
    Na kutelekeza kama sio
    Raia wa nchi hii Lakini
    Mungu alieumba
    Nchi hii atatufuta machozi

  • @rithaurassa
    @rithaurassa หลายเดือนก่อน

    Wapigwe kabisaaa maana hawana huruma na wenzao piga garagaza.wao wakale vizur wenzao watedeke.

  • @Hillary_Daudi_Mrema
    @Hillary_Daudi_Mrema ปีที่แล้ว +1

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha inabidi apishe tu Ngazi haiwezakani kudhibiti Migomo ya DalaDala na Migogoro ya Wafugaji na Mamlaka ya Wanyamapori Ngorongoro. Mheshimiwa Rais Samia mpeleke Makonda akusaidie Mkoa wa Arusha. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.🇹🇿🇹🇿

    • @DeoSanga-ff9ni
      @DeoSanga-ff9ni ปีที่แล้ว

      Hawa wandishi wa habari hawasomi nyakati na mazingira pia kupima jambo la kuhoji hizi ndizo elimu za tz

    • @halimamasai2234
      @halimamasai2234 ปีที่แล้ว

      Kwa Makonda hapo umenena ni mchapa kazi mzuri 💪💪💪

  • @cleophacephelician6739
    @cleophacephelician6739 ปีที่แล้ว +2

    Sasa we unaona wamasai wanaandamana na mabango kuiomba serikali iwaamishe mapema wamecheleweshwa na wanalaani kitendo cha watu flani kwenda kuwashawishi wagome kuhama, alafu we unaenda kuwahoji kwanini wnahama si kichwa chako kitakuwa haki yao!?

  • @SubiranTimo
    @SubiranTimo หลายเดือนก่อน

    Sasa wasiwaumize wandishi wa habari

  • @SubiranTimo
    @SubiranTimo หลายเดือนก่อน

    Labda mikuki yao ilikuwa na sumu wapimwe

  • @mamlomamlo9064
    @mamlomamlo9064 ปีที่แล้ว

    Wamasai kidogo wanawaelewa ni wahindi tu hata hapa dar wengi wao wapo kwa wahindi

  • @nackymsangi1209
    @nackymsangi1209 ปีที่แล้ว +2

    Eti mwandishi msomi😂😂😂

  • @KudraWanguvu-em1xw
    @KudraWanguvu-em1xw หลายเดือนก่อน

    nyinyi wamasai mnacho kifanya hicho ckiziri na maeneo hayo mmeamia ni sikweli mababu na majibu

  • @filbertkumburu8015
    @filbertkumburu8015 ปีที่แล้ว +1

    Uskute hao waandishi wanalipa gharama za unafki wa taaluma,tasinia ya uandishi. Hata hivo chini ya jua,hakuna jambo lisilo na chanzo,sababu ya kutokea kwake.

  • @sulimanmzee2310
    @sulimanmzee2310 ปีที่แล้ว +2

    WANDISHI WA HABARI AWANAFAIDI KAZI YAKUMSIFIA MAMA SAMIA KUANDIKA MAZURI C MABAYA YAKE

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 ปีที่แล้ว

    Ivi hawamasai kwanin wanatumia siraha?

  • @abubakarimussa9131
    @abubakarimussa9131 ปีที่แล้ว

    Wakome wanatoa habari za uongo wanawatetea serikali

  • @demicratia4071
    @demicratia4071 ปีที่แล้ว

    Arusha inarusharusha mara hili mara lile duu tulieniiii

  • @salmaathuman9156
    @salmaathuman9156 ปีที่แล้ว

    Nchi yao wanawanyanyasa kuhama ili wauze ardhi wamasai msikubari kabisa waandishi ni wanafiki

  • @ThobiasMarandu
    @ThobiasMarandu ปีที่แล้ว

    Waliovamiwa Sio Waandishi Wa Habari Ni Wapuuzi, Waandishi wa habari kazi yao ni kuriport Matukio sio kupedel propaganda na ati kuwashauri Wamasai waondoke Maeneo yao. Maana Sasa Hivi Tanzania Vyombo vya Habari ni Machawa tu.

  • @SmilingFlowerBouquet-hs2hv
    @SmilingFlowerBouquet-hs2hv หลายเดือนก่อน

    TUNAKO ELEKEA HILI TAIFA ACHA KWANZA NIKAE PALEEEEEE

  • @PrinceBonnyTz8
    @PrinceBonnyTz8 ปีที่แล้ว

    MWANDISHI MSOMI MJINGA😅😅😅😅

  • @LaizerLobulu-h1h
    @LaizerLobulu-h1h ปีที่แล้ว

    Usipotoshe korumba lebabass

  • @AidaMosha-nl6ix
    @AidaMosha-nl6ix หลายเดือนก่อน

    She usilete ujinga

  • @rosemarymwakitwange6257
    @rosemarymwakitwange6257 ปีที่แล้ว

    Hii itaendelea kuwakumba waandishi na vyombo vyote vya habari waliohongwa. Ni vema mkalijua Hilo Wananchi wamewachokeni

  • @success-only
    @success-only ปีที่แล้ว

    DC Raymond mwangala na RC mongela waondoke Arusha hawana wanachokifanya
    Wanaichafua na kudhalilishwa jamii ya kimasai

  • @kibwetere1418
    @kibwetere1418 ปีที่แล้ว

    Waache umbeya vinginevyo watauawa

  • @hollymore4904
    @hollymore4904 ปีที่แล้ว

    Eeh watu hawapend unafki na hongo

  • @gibsonjosephat6352
    @gibsonjosephat6352 ปีที่แล้ว +1

    Ninachohisi waliuliza Maswali ya kijinga kama ambavyo huwa tunawasikia wakihoji utumbo wa kukera.

  • @terrence9477
    @terrence9477 ปีที่แล้ว

    hivi mwandishi msomi ndio mwandishi wa aina gani jamani! disgusting! hivi vinaitwa vituko vya bongo

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 ปีที่แล้ว

      Mbona kunawatu wanaitwa ma Doctor wakatisiyo ma Doctor

  • @sulimanmzee2310
    @sulimanmzee2310 ปีที่แล้ว

    SAWASAWA AWAJAKOSEA KWA NINI WASIWAUE WANGEWAUA TU