ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
MUNGU ni mwema hongera Sana Dennis kila la kheri kazi njema barikiwa Sana nyote shalom
KATIKA MADOGO NILIKUWA NIFURAHI WAKI INGIZWA UWANJANI KUCHEZA NI HUYU NKANE NA BANDA WA SIMBA WANAJITAHIDI SANA ❤❤❤❤❤
Nkane ile pasi yako kwa Eng.Hersi
Kijana usikate tamaa unapendwa na pande nyingi.mi nakukubali usijali nenda kusali nidhamu mazoezi utatoboa sio lazima Yanga
Eeeh. Mungu. Wangu. Wa. Mbinguni. Mpe. Nguvu. Kijana. Wako. Denis. Nkane. Denis. Nkane. Sisi. Tuko. Pamoja. Na. Wewe. Mungu. Akulinde. Akupe. Afya. Njema. Dogo. Kuwa. Na. Mungu. Sana. Pull. Up. Your. Sokis. I. Believe. That. God. Will. Be. With. You.
Mi ni miongoni mwa watu wanaokukubali Dogo pambana hata ukitoka jangwani.
Ata sisi wa Lindi na Mtwara tunamkubali mwenetu wakusin uyu
Nakuona Ngassa ndani yako wakati wako unakuja ndugu
Yaaaani huyu jamaa anaemuhoji Nkane Mungu Nisamehe
Denis wana yanga wa Iringa tunakupenda
hahahahaha denice mkane
Dogo huyu Yuko vema ila ndo hivyo tu.
😂😂😂Umeyatimbaa leo
Mwandsh huna maswal ya msing kabsa umefeli
Agano la kale eti vitabu 7 mmmh makubwa
Huyo dogo nimhuni kiwango cha lami
Dogo rudi kanisani sasa na Mungu atakusaidia
Mila laher huko uendapo hauna bay
Mtangazaji acha fitna

Yaaaani huyu jamaa anaemuhoji Nkane
Mungu Nisamehe