ENG. HERSI AMVUTA HAKIMI WA PSG KWENYE SHUGHULI YA YANGA |YANGA NA HAKIMI FOUNDATION KUTOA MISAADA..
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 26 มิ.ย. 2024
- Hakikisha Umesubscribe Chaneli yetu ya #AyomaMedia kwa habari za uhakika
Na pia tufuatilie Katika Mitandao ya Kijamii kama Instagram & Facebook na Twitter kama @Ayoma_tv - กีฬา
Jamani Hadi raha kwaweli acha MUNGU awape watu wengi uelewa na ufahamu wa kuweza kufanya mambo makubwa na ya manufaa .. hongera sana eng hersi pamoja na jopo lako mbarikiwe sanaaaaaa viva !!!! ❤🎉🎉🎉🎉🎉
safi saan rais wetu
Safi sana
Wangap wamemuona uyo dada wakiiind baada yakumuona hakimi kazifumua nywele
Hana hata muda nae dah nyie
TUACHE UONGO INJINIA HENSI NI BORA SANA KWENYE MIPANGO YA TIMU. HONGERA SANA
Nani limbukeni
Nani mshamba
Kimekuuma mtoto wa mangungu
Mnapendg kujikuza ninyi vyura..
Hahahahahaaaaaaaaa roho zinawauma mikia
Makolo wanasikia uchungu gungu best wake yeye ni waganga
Acha ushamba wewe
😂😂😂😂😂
Ingeniuma kama ningesikia Yanga inajengewa viwanja, Academy, kupewa Ndege na kufanya mazoezi yao Uingereza uwanja wa Wembley. Mbali na hapo ni ushuzi unajamba upepo ukipita mko palepale😂😂😂
@@GibsonNtamamilo kama aijakuuma hii ama ujafurahishwa na alichokifanya bhs tofaut Yako na ng'ombe ni namna ya kutembea tu
Ulimbukeni na ushambaaa tu
Ww ni pimbi ushabiki mpaka kwenye maendeleo
Bado hujasema jobe mpaka useme
Bado unasema mpaka Ute ma
Kama ww usiye muelewa
Bado hamjasema mpaka mkojowe
Nani mshamba
Nani mshamba