TAZAMA MIYEYUSHO YA DENIS NKANE KWA SURE BOY NA WENZAKE/UTACHEKA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 144

  • @Dogopeda
    @Dogopeda ปีที่แล้ว +40

    Uyu kamela Mani wa yanga ni mbunifu sana nipeni like zake nimpelw kee❤❤

    • @imanibakili8028
      @imanibakili8028 ปีที่แล้ว +2

      Ndiyo aliyempigq picha Feisar ameweka mikono kichwani wakati wachezaji wa Yanga wanashangilia ushindi😂

  • @erineshayo2717
    @erineshayo2717 ปีที่แล้ว +24

    Jaman had raha maisha yao💚💛💚💛Mungu awape furaha sku zote wananchi💛💚

  • @hamisikapute598
    @hamisikapute598 ปีที่แล้ว +10

    Hongereni wachezaji wetu, No Stress furaha ndio jadi yetu. Tunawapenda sana

  • @4DMPAYO
    @4DMPAYO ปีที่แล้ว +31

    Nyiee postin hata 20 sisi tutatazama tu🎉

  • @FaudhiaBurhan
    @FaudhiaBurhan ปีที่แล้ว +13

    Kuipenda yanga siachi goo❤❤❤

  • @unclegmihale455
    @unclegmihale455 ปีที่แล้ว +26

    Huu ubunifu hadi furaha kwa wachezaji mzur sana

  • @mariamkisra5966
    @mariamkisra5966 ปีที่แล้ว +9

    Dah Raha sana kuwa yanga💚

  • @essaujonathan6663
    @essaujonathan6663 ปีที่แล้ว +3

    Media team iko vizuri sanaaaa✔️✔️✔️✔️💚💚💚

  • @ChrisTengeneza
    @ChrisTengeneza ปีที่แล้ว +2

    Safi sana weken hata Kwa siku mara 10 tutaangalia club izid kupata maokoto tuendelee kusajili wachezaji Bora na timu ibaki kua bora

  • @jailosibrahim88
    @jailosibrahim88 ปีที่แล้ว +10

    Mchezo mzuri ila hatari sana

  • @salahtv5591
    @salahtv5591 ปีที่แล้ว +15

    Sureboy dah 😂😂😂😂

  • @estherramadhani5015
    @estherramadhani5015 ปีที่แล้ว +5

    Nimecheka jamani tunaomba tuleteeni challenge tunaburusika sana 🎉

  • @DianaAmos-ue2tf
    @DianaAmos-ue2tf ปีที่แล้ว +9

    jaman hadi raha maisha mazuri yanga hongereni sana 💛💛💛💛💛💛💛💛💛 hahahahahahahah

  • @BigKing-ge8hj
    @BigKing-ge8hj ปีที่แล้ว +33

    Huwezi kuona vitu kama hivi kule kwa wazee wa misumari 😂😂😂

    • @giftyahaya9598
      @giftyahaya9598 ปีที่แล้ว +2

      😂

    • @rogersiddy
      @rogersiddy ปีที่แล้ว +5

      Utaviona wap wakati kila mtu 🤣🤣🤣🤣anaishi kwa taadhali kuogopa kulogwa tu🤣🤣🤣

    • @geraldndosi2083
      @geraldndosi2083 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂

    • @hidayahassan8014
      @hidayahassan8014 ปีที่แล้ว

      @@rogersiddy 😂😂😂

  • @uthmanmaluja7005
    @uthmanmaluja7005 ปีที่แล้ว +3

    Sure boy Kanivunja mbavu Sanaa sio kwa miruko hiyo duh..Lakini engezeni dakika camera Mani na hayo ni mazoezi toshaa pia.

  • @faizaahamd2052
    @faizaahamd2052 ปีที่แล้ว +6

    💚💛💚💛💚💛 LOVE YANGA AFRICANS

  • @husseinabdallahmkupulo1784
    @husseinabdallahmkupulo1784 ปีที่แล้ว +20

    Mtoto tundu aliobakia kambini😂😂😂😂😂😂

  • @magrethyeremia2279
    @magrethyeremia2279 ปีที่แล้ว +3

    Yaaan nawapenda saaana

  • @happyfaniabenedictor69
    @happyfaniabenedictor69 ปีที่แล้ว

    Nkane nakupenda rafiki yangu sana,

  • @essaujonathan6663
    @essaujonathan6663 ปีที่แล้ว +3

    Yanga Yetu Fahari Yetu✔️✔️✔️💚💚💚💚

  • @jacksonmaximilian7495
    @jacksonmaximilian7495 ปีที่แล้ว +9

    😅😅😅😅Mlichomfanyia Sure boy

  • @goodlucknzunda6949
    @goodlucknzunda6949 ปีที่แล้ว +2

    @kibwana yupo chalinze saiz😂😂😂😂😂

  • @BitalioChronicles
    @BitalioChronicles ปีที่แล้ว +1

    Asante sana

  • @doneeplus9290
    @doneeplus9290 ปีที่แล้ว

    Hii kitaaram inaitwa soft skills inafaida sana ya kumjenga mtu kisaikolojia kumpunguzia stress pia inafanya menta relaxition

  • @ahamadnalinga6825
    @ahamadnalinga6825 ปีที่แล้ว +11

    Hii imeenda 😂😂😂😂

  • @harounzuberi8179
    @harounzuberi8179 ปีที่แล้ว +3

    😂😂😂😂nimecheka Hadi machozi yananitoka dah!! Yanga Raha kila pahala kweli yanga inatibu magonjwa mengi Hadi msongo wa mawazo

  • @elishawikunge6962
    @elishawikunge6962 ปีที่แล้ว +4

    Watu tunacheka mbaka machozi daaaah 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @Wish_Tv
    @Wish_Tv ปีที่แล้ว +1

    kibwana Mambo yasiwe mengi ila sureboy ndo katisha 😅😅😅

  • @abelkalinga2153
    @abelkalinga2153 ปีที่แล้ว +1

    Avic town kunaraha vijana wanaamani tu.

  • @laithalfairuz1189
    @laithalfairuz1189 ปีที่แล้ว +3

    😂😂 hatari kwakweli nimecheka kweli leo

  • @reggezawady4994
    @reggezawady4994 ปีที่แล้ว +12

    💚💚💚💛💛🔥

  • @ashahally7456
    @ashahally7456 ปีที่แล้ว +2

    Halafu kuna nyau mmoja alisema anakula ugali na sukar😢😢😢😢😢😢

  • @eliudhezron181
    @eliudhezron181 ปีที่แล้ว +4

    Ubunifu wa khali ya juu

  • @hassankajembe4118
    @hassankajembe4118 ปีที่แล้ว +1

    Imekaa poa sana

  • @nemamgona5886
    @nemamgona5886 ปีที่แล้ว +3

    Walahi nimeludia mala kumi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ila nkane mungu anakuona nimecheka mbk machoz

    • @FirdausyAbubakary-bl2wo
      @FirdausyAbubakary-bl2wo ปีที่แล้ว +1

      hadi mie wallahi khaah ila so funny kwakweli naipenda yanga yangu taamu💛💚💛💚

  • @godfreymgonela321
    @godfreymgonela321 ปีที่แล้ว +3

    Roho ya mtu inawasumbua wenzie camp😂

  • @shaibusaady2420
    @shaibusaady2420 ปีที่แล้ว +1

    Allaah Akbar

  • @ntanyungu_
    @ntanyungu_ ปีที่แล้ว +2

    Mkude naye kakimbia 😂😂

  • @TaskoTembo
    @TaskoTembo ปีที่แล้ว

    Jmn kibwana na sure boy izo mbio had kichekesho job ndo alosimama ahakikishe Kam kwel nyoka au😂😂😂😂

  • @dadysteve9096
    @dadysteve9096 ปีที่แล้ว +2

    babu kaju😂😂😂,bt job mwamba🙌

  • @ErnestaKimati-hu3cl
    @ErnestaKimati-hu3cl ปีที่แล้ว +1

    Surw boy kanifurahisha jamn khaaaaa😂😂😂😂

  • @nawatakiyakilalakheriwashe6624
    @nawatakiyakilalakheriwashe6624 ปีที่แล้ว +1

    Watu mibiyoooooo

  • @abdullahpongwa1537
    @abdullahpongwa1537 ปีที่แล้ว +1

    Nyoka anatisha sana

  • @bimkubwaali5951
    @bimkubwaali5951 ปีที่แล้ว +2

    Hahahaaaaa mtatuuwa mbavu zauma babu kaju karuka km mkizi dah hatar kwa kweli

  • @FaridaJuma-y8x
    @FaridaJuma-y8x ปีที่แล้ว

    Nimecheka sanaaaa😅😅😅😅

  • @yasinkhatib618
    @yasinkhatib618 ปีที่แล้ว +1

    Kibwana ndo wa mwanzoo😂😂

  • @ashahamad1848
    @ashahamad1848 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂 aaa shua boy kumbe muoga hiviii 😆😆😆😆😆😆duhh

  • @elizabethmgassa7243
    @elizabethmgassa7243 ปีที่แล้ว

    Du,,,wanaume waoga htr

  • @NyenjeEmma
    @NyenjeEmma ปีที่แล้ว +1

    Kidogo mmuvunje miguu mchezaji na tuna Mechi jmosi

  • @tinboytz3911
    @tinboytz3911 ปีที่แล้ว +5

    Bunjuuu huwezii pata vitu vizuriii kama hivii 😂😂

  • @oswaldliberatus207
    @oswaldliberatus207 ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
    hiii inahidii iweendeefuu kidog 😅

  • @PanchoValentino-wh7wt
    @PanchoValentino-wh7wt ปีที่แล้ว +2

    😂😅😢😁😬Nkaneee

  • @ashuramhandoashuramhando6798
    @ashuramhandoashuramhando6798 ปีที่แล้ว +2

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Nimecheka hadi machozi tena kwa Nguvu

  • @fatumaaybu8648
    @fatumaaybu8648 ปีที่แล้ว +4

    🤣🤣🤣🤣tulioludia malambili mbili tujuane hapa

  • @mrkibago6891
    @mrkibago6891 ปีที่แล้ว +1

    Ila Babu kaju dooooooh
    ivi utaenda kulima ufuta kweli?

  • @fatmasuleiman3885
    @fatmasuleiman3885 ปีที่แล้ว +1

    Nyie watoto mnanivunja mbavu😂😂😂

  • @nasraniko-mr2lv
    @nasraniko-mr2lv ปีที่แล้ว

    Nimecheka had machozi yamenitoka😅😅😅😅

  • @elishapaul5045
    @elishapaul5045 ปีที่แล้ว +1

    Angalieni msije mkapata injury

  • @JUU-lw2je
    @JUU-lw2je ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂 hii sijaipenda mnaweza sababisha majeraha angalia.mwamyeto bado kidogo aanguke

  • @WilliamEzekiel-hv9li
    @WilliamEzekiel-hv9li ปีที่แล้ว

    Uyo sure boy alivyoruka na kukimbiaa🤣🤣🤣🤣🤣

  • @HawaHawaally
    @HawaHawaally 5 หลายเดือนก่อน

    Ola huyo kibabage na kibwana sureboy kàaaaaaah mmmmmmh

  • @hggvg9809
    @hggvg9809 ปีที่แล้ว +1

    Nkane Mungu anakuona🤣🤣🤣🤣🤣

  • @sumairahjohn-jt4qy
    @sumairahjohn-jt4qy ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂😂😂 jmn duuuuh

  • @omaryamiri3175
    @omaryamiri3175 ปีที่แล้ว

    💗💗💗💗

  • @omaryluambano3495
    @omaryluambano3495 ปีที่แล้ว +1

    👍💛💛💚💚

  • @naimasbuguza2395
    @naimasbuguza2395 ปีที่แล้ว +1

    Ila sureboy alivyorukaruka balaa

  • @annagilbert4547
    @annagilbert4547 ปีที่แล้ว

    Oya mwetu mkane nakubal nimecheka sana

  • @faridyshaame4705
    @faridyshaame4705 ปีที่แล้ว

    Kibwana hataki kusubiri ndio wa kwanza 😂

  • @kizz_kido
    @kizz_kido ปีที่แล้ว +1

    Nkanee furaha ya yqnga

  • @ibrahimmissodo801
    @ibrahimmissodo801 ปีที่แล้ว

    sureboy bado kidogo achomoke mguu😂😂

  • @essaujonathan6663
    @essaujonathan6663 ปีที่แล้ว +2

    Sure boy😂😂😂😂😂😂

  • @MoTalentTz
    @MoTalentTz ปีที่แล้ว +1

    Sure boy😂😂😂😂🎉😂😂

  • @zubedahamis2346
    @zubedahamis2346 ปีที่แล้ว

    Nimecheka😅😅

  • @mwenyeherykassim5991
    @mwenyeherykassim5991 ปีที่แล้ว +1

    🎉🎉🎉🎉🎉❤

  • @athumaninyituki7011
    @athumaninyituki7011 ปีที่แล้ว

    Yanga

  • @halimahassan5107
    @halimahassan5107 ปีที่แล้ว +1

    Babu kaju😂😂😂😂

  • @DavidcharecCharec
    @DavidcharecCharec ปีที่แล้ว

    Enjoying😂

  • @barakakashobashobbyjr1074
    @barakakashobashobbyjr1074 ปีที่แล้ว +2

    Job mwamb atr😂

  • @SophiaHamis-o4n
    @SophiaHamis-o4n ปีที่แล้ว

    Nkane utatuumizia babu kaju wetu 😂

  • @atusamehe9260
    @atusamehe9260 ปีที่แล้ว +1

    😊😊😊

  • @charlespaul1612
    @charlespaul1612 ปีที่แล้ว

    Sure boy anataka kupaa

  • @yasrikomba7874
    @yasrikomba7874 ปีที่แล้ว +7

    😂😂😂😂😂❤❤❤❤

  • @amazingsomething2003
    @amazingsomething2003 ปีที่แล้ว +4

    Aaaa

  • @paulboniface2422
    @paulboniface2422 ปีที่แล้ว +5

    Hahahahahaha

  • @japhetingoda5785
    @japhetingoda5785 ปีที่แล้ว

    Dogo Hana nidhamu kabisa 😂😂

  • @freegospel
    @freegospel ปีที่แล้ว +4

    😂😂😂😂😂😂😂

  • @mariampeter6258
    @mariampeter6258 ปีที่แล้ว

    Sure boy😅😅😅😅

  • @morningstarartproduction8436
    @morningstarartproduction8436 ปีที่แล้ว +4

    😂😂😂😂

  • @hamisathuman2729
    @hamisathuman2729 ปีที่แล้ว +4

    😂😂😂😂😂😂

  • @adeladamasi4391
    @adeladamasi4391 ปีที่แล้ว +1

    😂🤣🤣😭🤣🤣

  • @TizoMahenge
    @TizoMahenge ปีที่แล้ว +3

    😅😅😅😅

  • @rodajaphet969
    @rodajaphet969 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤

  • @jivankulikwa24
    @jivankulikwa24 ปีที่แล้ว

    Mkude ata haogopi

  • @Oswadymsigwa
    @Oswadymsigwa ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂❤👍

  • @kidawajuma9597
    @kidawajuma9597 2 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @mealsbymana6561
    @mealsbymana6561 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂💚💚💛

  • @kelvinstephano8089
    @kelvinstephano8089 ปีที่แล้ว

    Kibwana ww s chifu kabx unaogopa nyoka jaman

  • @eliudhezron181
    @eliudhezron181 ปีที่แล้ว +2

    🤣🤣🤣🤣

  • @ramadhanimkwama553
    @ramadhanimkwama553 ปีที่แล้ว

    Ahahahaha siopoa

  • @radhiamussa1629
    @radhiamussa1629 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂