Kila la kheri kwenu nyote barikiwa Sana Yanga Mwenyezi awadangulie awapikanie awashindie awaweseshe vyema katika Jina la Yesu Kristo aliye Bwana naMwokozi wetu ameeeen barikiwa Sana nyote nawapenda shalom
Wengine tuko peku na tuna pita kwenye Ardhi iliyojaa miba na mawe tunapata maumivu makali yasiyo elezeka lakini Pamoja na hayo yote hatuchoki kuvumilia kwakua family zetu zimeweka tumaini kubwa Juu yetu.
Mtangazaji unajua kusimualia hongera Sana
Anko wang kama anko wang kaka ake na mama angu 😍😍😍❤️❤️❤️kinolee mojaa iyo
Kila la kheri kwenu nyote barikiwa Sana Yanga Mwenyezi awadangulie awapikanie awashindie awaweseshe vyema katika Jina la Yesu Kristo aliye Bwana naMwokozi wetu ameeeen barikiwa Sana nyote nawapenda shalom
Kama unaamini sauti ya mzee inataka kufanana na Babu Tale weka like
❤❤❤❤❤ wa unoleeee wa ukaeeeeeee❤❤❤❤❤❤ LUGURU LAND
Hongera Sana kijana. Wana Morogoro tunajivunia mafanikio yako. Keep it up.
Moro kuzuri sana. Safi sana kimbwana. Mzee yupo vizuri.
vizuri sana kibwana
💕💕💕 mashallah morogoro napapenda
Makala safii mko vizuri Dar 24
Nimpenda kiiiii❤❤
Safiii sana
Nmependa
Dah!Ndo kwetu huko hongera Kaka kibwana shomary
Ongera mdogo wangu dauka
Yarabi na mimi nifanyie wepesi wa riziki nikiona hivi natamani na mimi siku moja nimjengee mama angu
Wengine tuko peku na tuna pita kwenye Ardhi iliyojaa miba na mawe tunapata maumivu makali yasiyo elezeka lakini Pamoja na hayo yote hatuchoki kuvumilia kwakua family zetu zimeweka tumaini kubwa Juu yetu.
Daahhh pole dear
Umeniliza ati hatuchoki kupambania familia usikate tamaa Mungu anakusaidia
😭😭 wengine hatuna kwetu asante Mungu Nina kwangu
Amina🥲
@@prettyh7509 😭😭😭😭😭😭😭
Mungu ambariki bwana mdogo tunatoka mbali lakini hatukati tamaa mpaka hapo alipofika amepambana sana.
Like father like son... Sauti ya Baba inafanana kabisa na mwana...
Nakukaribisha kutazama wimbo wangu ni mzuri sana💥💥💥💥
________________
Karibuni
Mtangazaji anayeelezea ni nani huyu.. Namkuballiii Sanaaaaa 🔥🙌🙌
Maalim Kondo
Huyu anaitwa Shabani kondo class mate wang huyu hata mimi namkubali sana
Sauti yake inataka kafanana na ya abdallah mwaipaya yule aliyekuaga wa ITV
gingers sana mzee Kingalu.
Mungu akulinde kibwana utimize ndoto zako
Niripozariza Edwin kinore au amini asante kibwana
ongera stweka wangu mungu akurinde
Diamond
Somba endelea kupambana utakuja kua mwanfishi mkubwa
Aha kumbe Kibwana Shomari Safari yake ilikua sio aende Yanga!!! 🙆 Tumepgwa ...
Pamoja
Hiyo Safari ya Norway naikumbuka sana Halfan Ngasa naye alikwenda wakati huo mimi na Halfan Ngasa tulikuwa wote darasa la saba huko Mwanza 1977!!
TULIUMBWA NA MAQADARA TOFAUTI USIKATE TAMAA KWENY RAHMA ZAKE ALLAH NI WAKATI UKIFIKA PIA UTASAHAU MABAYA YOTE ULIO PITIAA
Dr.Rais Mama Samia arudishe hii mechezo ya Secondary kwani pia ni ajira kwenye Vijana wengi kama ilivyo Mziki ndio maana Kenya na Uganda wanatushinda
Aminia Sana sombaaa
Sombaaaaa 🔥🔥🔥🔥🔥
Makala nzuri
Kazuri
Nimempenda mama fatuma muuza mafuta😁😁😁
🤣🤣🤣🤣unatabu sana
😂😂😂
Somba na Isaya dede, Mngemalizia huyo mzee Shomari Kingaru mwanae aalitaka aende club gani... Sio Simba sports ndio ndoto yake kweli?
Mazingira yametulia
Huyu somba ana udugu na zembwela mbona ka wanashabiana sauti?
Jifunze quran kwa hukmu kuswali kwa vitendo gusa maandishi ya bluu hapa chini
th-cam.com/channels/iIyK3R72QZNvRlzWezWIKw.html
Kmb kibwana Yanga dam
Tunataka muendelezo banaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Snake boy kuanzia part ya 17
Mzee ally shomary kitaaluma ni daktari wa meno
Nakubari.sana.somba.mwamba.wewe
Malizia majiano adi yafike mwisho
Dogo aacheuogabadarayake apambanesana situnampenda ilapia hatakocha aweanampanafasi makeligiyetuanaiweza jamanikibwana punguzapresha
Amonaise
Machozi yamenitoka
Baba sharo mwenyewe 😂😂
Ally
neemahaitangazwi
.
Hii ndo jumba la kifahari? Nyie waandishi hebu muongee ukwl nyumba ya zamani hiyo
Wewe kwako unauelewaje neno fahari? Kwako wewe jumba la kifahari unalielewaje? Unabeza kwa vigezi vipi?
Ukitazama jamii ilowazunguka hapo ni ya kifahari
Ww sasa umemuelewesha akibisha mjinga@@fettiemaganza1484
P
Nakukaribisha kutazama wimbo wangu ni mzuri sana💥💥💥💥
________________
Karibuni