Penati | Azam FC 5-6 Yanga SC | CRDB Bank Federation Cup - 02/06/2024
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 1 มิ.ย. 2024
- Tazama penati zote zilizopigwa kwenye mchezo wa fainali ya #crdbbankfederationcup kati ya Azam FC dhidi ya Yanga SC.
Yanga imeshinda kwa jumla ya penati 6-5 na kutwaa kombe la Shirikisho la CRDB Benki kwa mara ya nne tangu lirejee mwaka 2015.
Waliokosa penati kwa Yanga ni Stephane Aziz Ki, Joseph Guede na Ibrahim Abdullah Bacca.
Waliokosa kwa Azam FC ni Iddy Nado, Gibril Sillah, Fuentes Mandoza na Lusajo Mwaikenda. - กีฬา
Nani anaangalia tena Leo like hapa
Yanga yakunifanya mimi nipandishe joto kama mtoto mdogo...😢😢😢......I lOVE YOU YANGA💚🔰🔰
Mungu ameokoa roho za zetu walai tungekufa
LEO NDO NIMEJUA KUMBE NINA PRESHA 😢😢😢😢
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂
🎉🎉🎉🎉🎉
Ata mm k gwed walivyo Lisa nilienda nyumban
😂😂😂😂
Aucho kaka big up kwako utawauwa
Ahsante fey ulitufunga midomo tumekufunga bao sisi ndio yangaaaaa 🎉🎉🎉🎉🎉
😂😂😂😂😂
anamgogoro wa nafsi feisal
Jamani nilikua mgonjwa ghafla kumbe nina mahaba mazito kwa timu yangu Alhmdulillah
Aisee Leo kdg to nitoke kibanda umiz Walai mpira itakija kutuua aiseeeee naipenda Sana yanga yangu 💚💚💚💚 💚🇹🇿
Mpira ni shetani kk penda kiasi Mungu ni muhimu kuliko vitu vya Dunia😂😂😂
Hahahahahaha
Nilitoka baada ya penalt ya pili
Ase me niliishiwa paka nguvu yanga itaniuwa
Kwaiyo ulienda kushangilia nyumbani@@delphinusdonatus3563
Azami ni team nzuri na goal keeper wao pia. Hongera yanga
Ukute mechi ya jana iliandikwa ashinde Azam shida ikaja pale kwa kijana kunyamazisha Wakubwa nazani malaika wa nidhamu akaone abadilishe matokeo.
😂😂 mecheka Kwa nguvu
Hawa yanga Leo wamenifurahisha sana kutoka nyuma ya penat za hao mbwa ❤ kumbe tunaweza mpaka kombe la dunia
Hao mnowaita mbwa wamewatoa kamasi nafikiria wengine wangelazwa ICU
@@rahmaabdallah4514 kwani wao ndo wamechukua ubingwa n huyo feisal Aache dharau bad mtoto ambaye kalelewa na yanga
Nani mwingine kalia Kama mimi😢😢...likes za Yanga wapiii
Muda wa penalti nimekojoa kama mara saba sijaelewa shida ni nini jamani huu mpira jamani duh.Namshukuru mungu nimelala vizuri love yangaaaa
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂kipima sukari yanga
hapana ni woga tu so presha ilikuwa juu ila jizuie hata mm nilikuwa kama wewe yanga ikicheza ntakojoa mpaka ila saizi akuuu nikasema nisije kufa kwa presha buure, sasa hata yanga ikifungwa mm wala siumii. jitahidi kuchukulia kama sehemu ya starehe usije ukaumia
@@lepa3tv832kwakwel mi mwenyewe nilikuwaga kawaida tu yanga ikicheza lakin saiv ikiwa inacheza mech kubwa za maamuz nakuwa na presha sana kama jana nusu moyo utoke. Nimeamua kujiambia sasa inabid niwe na kiasi cha kushangilia au niwe kama zamani mana nitakuja kufa
Mshukuru mungu kama unakojoa hiyo ndiyo salama yako maana huyo ni presh
Hahhhhh
We yanga we tokea nizaliwe sijawahi shikwa na plesha yanga mtaniuwa mm🥰🥰🥰🥰🥰💚💚💚💚💚
Aprfc
Nakupenda diara tena Nakupenda sana
Naaazaje kwa mfano kuhama yanga yani nainjoi sana jamn ilove yanga mwaaaaaa
Proffessor pacome z. Good job 💚🇹🇿. Yawakwasa
Hongera Sana yanga..mbona nilikuwa tu na presha mimi wallai Allah amenijibu duwa yangu..mimi ni Kenya natizama mpira nikiwa Qatar l enjoy the ball mashaallah.
❤❤ 🇰🇪 🇹🇿
Wewe ni Yanga pia
@godwinkileo7702 mimi ni yanga damu kabisa kweli wallai naipenda yanga Africa club. Diyo iko kwa damu sio utani...my late father he is the best football player in Kenya.. his name Ali kajo.
Safi sana mtoto wa Ally Kajo
Hamn lolot
Aisee Kaz ilikuwa ngumu jmn duuuuu,hongereni sana yanga an proud of you,japo penat zenu hazikuwa na raha
Yan leo ndo nimemuheshimu mwalimu wangu wa kiswahili aliyenifundisha methali "kutangulia sio kufika" 😂
😂😂😂😂kbsa
congraduration my beloved team young africans I love you forever❤
Kama auna D2 uwez ielewa Yanga Africa 💚💚💛
Alhamdulilahi nashukuru Alllah time language ya yanga imechukuwa ubigwa wa finali..yanga Afican club l love all the player keep it up.Nawapenda bureeèe....
sioo weee2
Mkude nungu nungu master uko vizur kaka
Asante pacome, ulirudisha matumaini mapya.
Feisal: tukibeba kombe mtanijua
Yanga fans: Yanga bingwaaaa❤❤❤❤
Hadi rahaaaa, yanga bingwa wa ligi mara tatu mfululizo, bingwa wa Shirikisho mara tatu mfululizo pia kamfunga Azamu kwenye fainali tatu yani Ni hatrick TU kila sehemu
Aisee leo Nimepata Presha zile Kosa mbili za Yanga za Mwanzo. Aisee Penati 2 tukakosa nimetaka kufa kwa presha.
Mie wa kwanza leo like zang kwa diaraa
Kumbe presha ndio ilivyo hivi😢😢😢
Maajabu kweli leo mkude kawamkomboz wayanga🎉🎉🎉
Kila mchezaji ana mchango wake ndomaana wanaingia wachezaji 11 kila timu
Hata kwa mamelod alitubeba sana tu
Kipa wa Yanga ndiye mwenye furaha kuliko wote..... Duuuhh...mpira hatari sana... Unakupa furaha kuliko kitu chochote aise💛💛💛💛💛😘😘😘😘😘😝😝😝😝😚
❤❤❤
Wakati penality zinapigwa Mimi tayali nimefariki Kwa mda nimefufuliwa na raia wema😅😅😅😅
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂mimi mapigo ya moyo yalikuwa yanaenda mbio huku nasali sala zote
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Yanga ninawapenda nilikuwa na masikitiko mwanzoni ila mliinua matumaini na kushinda.
Fantastic yanga tamu xanaa wengine wanaiga tu
Daaah Diara amenifanya nimkumbuke the true legendary peter manyika dhidi ya sport villa ya Uganda💚💛💚💛💚💛💚💚💛💚💛💚💛💚
Mungu wa yanga ni mungu kweli..kweli haijaisha mbaka iishe
🎉🎉🎉🎉
Imenibid niamke kuangalia Nan alikua mshind maana nililala aiseeeh yanga wanajali fulaha za mashabiki 👏👏👏🎉🎉
Ni kweli BARAKA MPENJA ,siku zote mototo mdogo halali na pesa,ukimsachi kwenye pampas zake,utakutana na " inya au nyea "
Leo nd nmegungua Mkude ndo alitupa ushindi maan penalty yake ya mwisho alifunga nado akakosa😂😂😂😂 YaNGa 💚 oyeeee
But all in all both teams deserve to play African champions league cup,they have shown us the best!.
SHIKAMOO MPIRA🙌🙌🙌🙌
😂😂😂😂😂 Hashim Ibwe alidhani washachukua Kombe alipoona Yanga wamekosa Penalt 2 za kwanza.
Hii siku ningekufa mimi jmani sio kwa mapenzi haya kwa timu yangu😢😢😢😢😢
Nyodo za Feisal zimejibiwa chap
hii ndio mechi moja borq sana kwenye msimu huu
Umesahau na nusu fainal sis na ihefu
@@shayneee-hi9yw hii ilikuwa night of miracles hii mechi ilikua ni kivumbi na jasho
Daaaah hii mechi ckumaliza penat yaaan alipokosa Aziz na Guede nikazima redio nikajua tayar bye bye kumbe haiishi mpk iishe Ahsantee MUNGU yaan me wa kuvizia matokeo kwa group 😂😂😂
Huuu ulikuwa uchawi tu❤❤❤❤🎉🎉🎉 ongera saaan yanga
Kbsa😅😅
Yanga safi Sanaa 💛💛💚💚
Sijawah kurudia penat highlight zaid ya mara moja zaid ya hii mechi.
Zaka za kazi wewe ni mtoto mdogo sana Kwa Yanga African sports club
YANGA went through Hell
That makes the happiness unthinkable, congratulations 🎉🇬🇭🇬🇭🇬🇭
Hey Simba, were you watching that??
Asanten wan yanga mung akubarukin❤
Kwa mara ya kwqnzaa naona diara akilia na kushangliaa ushindii kwa nguvuu zotee❤❤❤😢
Hakutrgemea kabsa timu yake imekosa penat mbili za mapema
Thanks Young African 💚💚💚💚
Yaan ashim ibwe akabinua na mdomo kwa majivuno akiamni shugur imeisha
Number oneon trending❤❤❤❤ wallahi Yanga ni Nouwmaaaa❤❤❤❤
Alooh yanga watupe kongole ani🎉🎉🎉
Ila bacca mungu anamuona😂😂😂😂
Hii ni laana kwa Feisal mwambieni mashoga zake kolo mkubwa huwa hanyamazishwi❤❤ yanga
chuki hazijengi boya ww kivyovyote vile Fei anajuw ball, punda wa muembe makumbi ww 🤫🤫🤫
@@Garrinchael sasa kwann akitufunga anatuziba mdomo na yy aache chuki laah ataendelea kuteseka 😂
Mkubwa hakombi mboga😂😂😂😂😂😂
@@HaniiKimKwaiy kisa kachez yanga ndyo sababu y kuw asiwafumb midomo au 😆 my friend umenishinda kw Kila kity 😅 🙌🙌🙌
Nyie azam hamuwez mziki huuuuuuuuu😢😢
Feitoto kuwa na adabu vinginevyo utateseka sanaaaa😅
😂😂amuulize kibu uwii 😮
We mungu ndo unapanga riziki yake?
Feitoto kuwa na adabu vingine utaendelea kulia2
Hiiiiiihiiiii
na atateseka saaan😂😂😂
Sanaaaa
Aucho juuu sana 💚
Hicho kidole ulichoonyesha nyamazeni Feisal ndio kimewaponzaaa
Kumbe alikuwa anajinyamazisha mwenyewe 😁😁😁😁😁😁nyamaza 🙆🙆🙆
Viongozi ningeomba bacca aachane na mambo ya penalty
sijui kwa nn Huwa wanampa apige wakti tunajua fika hawezi funga penati basi hata ile kumpa golikipa akaudaka
Wachezaji wengi wanaogopa kupiga penalty sa unafikili itakuaje😢😢
Nyieeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ZANZIBAR ya kijani ahsante MKUNDE a🎉🎉🎉
Idd nado ni mrangi wa Kondoa jirani yangu kabisa aliposhika mpira nikaongea kirangi ili akose na akakosa 😅😅😅😅😅😅
Mchezo ulikuwa mzuri sana mwanzo mwisho.
Feisal ndoo amewagharim unatunyamazisha sisi tumekuonyesha mtoto halali na viatu
Yanga tamuuuu asikwambie mtu ututuuu yanga tamuuuu 💚💚💚💛💛💛💛🖐️
Nusu nifariki😂 aisee love you yanga
🤣🤣🤣🤣😅😅😅
KUFA TU
kweli hii ilikuwa fainal ya kibabe mpk inashika nmb 2 trending 😮😮😮
Azizi Ki usijali Mungu yu mwema kuna siku utakuja kupata Penati sisi Yanga hao tunakuombea
Hivi kwanin hili kombe linatuhenyesha hivi tuhare weee mwisho tunashinda nadhani mnakumbuka ile ya 3-3 tukaenda matuta🤣🤣🤣🤣🙌🙌
Sio Kwa pressure hii
Mtoto halali napesa🎉🎉🎉
Wachezaji wa Azam ni imara na wabora zaidi uwanjani na katika penati ila ukweli ni kua huu ni wakati wa yanga.Bahati ipo kwao.
Nimeamin Kila binadamu anayepumua hapa Dunian ana presha kha!
Yani hawa azam kwa team hii, ndo wataweza kweli Club bingwa Africa 😢
Alipoenda bakery nondo mwaminyeto sikuamini kilichotokea
Moyo ulikuwa unaenda mbio wakati wa penati. Yanga asante sana 🇹🇿🇹🇿💚💚🌼🌼
At all, the best match ever to watch katika mwaka huu nadhani.
Yanga hatukosei kusajili mkunde angeanzia yanga kitambo tungekuwa na kombe la africa
Yanga yangu jamn leo ndio nmegundua nina presha😂😊💛💚💛💚🙌
Muone Daktari dada yangu
Pile
Acha tu yaani mpira unauma jamani
Mm ndositaki shida nilizma tv badae nilipwasha😄😄😄😄
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂 moyo ❤️❤️ imekudunda ,????
Sina maneno mengi wana yanga gather here by replying🍏💚💚
Hii imeendaa
Huyu golikipa wa Azam alikuwa anawahi kutoka kwenye mstari kabla mpira haujapigwa
Kipre jr kamchangany Mungu kasali ki kikristo na kiislam juu
Duuuuuuu
Hatari
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌
Sikumuelewa au wakristo wanasujudu😅
Wakristo wanasujudu ndio nenda youtube andika orthodox@@Mkoi_255
Me Leo nimejua kua Mungu Yupo make siyo kwa pressure nilivyokua nayo ilikua ya hatarii😂
Aiseee mi nilitaka kulia 😢
Kuna watu kila siku utawasikia mm wakwanza nipeni like😂😂😂 yan sijui kwann
nimefurahi kuona mkude ana kiwasha
Siku kama hii mwaka mmoja uliopita, USMA ilishinda Kombe la CAF kwa gharama ya Young Africans
Ila yanga jamani tulianza vibaya ashikiliwe Mungu maana nilipata plesha
Wacha gozi litembee ⚽⚽⚽⚽😁😁😁😁
Nimeteseka kwenye mchezo huu bas nikama nilkiwa nimebeba tani mbili kichwani jamani daah!
Huyu Ibrahim Bacca jaman hata kama tunampenda asiwe anapiga penati ATAKUJA KUTUUA😢😢😢
Ila penalty ya baka mpk saivi nacheka 😂😂
Hii highlight nimeirudia mara 7 sasa
Azam haitokuja kupata kombe lolote tena hii ndo ilikua bahati yao ya mtende