Vita Vya Kagera 1977 1978 Sehemu Ya Pili

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ก.ค. 2016
  • Sehemu ya pili ya filamu ya vita vya Tanzania na Uganda almaarufu kama Vita vya Kagera vilivyopiganwa kati ya mwaka 1978 hadi 1979

ความคิดเห็น • 567

  • @Chettymlambalipsi-lb9km
    @Chettymlambalipsi-lb9km 5 หลายเดือนก่อน +25

    Tunaoangalia 2024 tujuane kwa like 😊😊😊

  • @matukiotvonline6366
    @matukiotvonline6366 3 หลายเดือนก่อน +4

    Wanaoangalia 2024 like ❤❤

  • @rahabunyamsenda5064
    @rahabunyamsenda5064 3 ปีที่แล้ว +28

    2021 tu like hapa. Nimependa sana mwalimu nyerere alivyo sema..nguvu ya kumpiga tunayo, sababu tunayo na Nia tunayo ni maneno mazuri sana ya kutia moyo na kuleta ushindi

  • @nyambirotrueinformation7500
    @nyambirotrueinformation7500 3 ปีที่แล้ว +14

    Wanaoangalia 2021 kama mimi like zenu tujuane

  • @nyzerjnl7960
    @nyzerjnl7960 4 ปีที่แล้ว +169

    Wanao angalia 2020 kama mm niwaone like

  • @kelvingrison7039
    @kelvingrison7039 4 ปีที่แล้ว +5

    Watu hawa wengine wapo hai mpaka mda huu wanaish maisha magumu sana, serikali ifike hatua iwakumbuke hawa wazee wetu walioikomboa Tanzania kutoka kwa nyemela Nduli Amin

    • @williamnathan4630
      @williamnathan4630 4 ปีที่แล้ว

      kelvin Grison Ni kweli, lakini walishatumika wakatupiliwa mbali

  • @elimondvoiceboy7383
    @elimondvoiceboy7383 3 ปีที่แล้ว +12

    Wanao angalia 2021 kama mimi gonga like apa

  • @isaacmwaipopo
    @isaacmwaipopo 4 ปีที่แล้ว +9

    Kama wewe ni mzalendo, usipite hapa bila kugonga like. Nimerudi toka Ulaya sababu naipenda Tanzania. Ndo mana wakati natoka Tanzania kwenda ulaya nilibeba DVD za hotuba ya Mwalimu Nyerere ili niuendeleze uzalendo.

    • @eliahmunna1482
      @eliahmunna1482 3 ปีที่แล้ว +1

      Kweli nimeamini ushirikiano na umoja wa watanzania ni wasiku nyingi sana na ndiyo maana tunaushi kwa amani bila kujali ukabila

  • @seifhamad9817
    @seifhamad9817 4 ปีที่แล้ว +35

    2020 tu like hapa

  • @alexandrea4403
    @alexandrea4403 6 ปีที่แล้ว +64

    Daaaaah! baba yangu alikuwepo kwenye hii vita mungu akulaze mahali pema Amina...

    • @tedynicholaus4003
      @tedynicholaus4003 6 ปีที่แล้ว +1

      Alex Andrea zpp

    • @stanslausmteme8455
      @stanslausmteme8455 5 ปีที่แล้ว +1

      Pole sana ila tambua katusaidia wote MUNGU amuweke pema alitutea wote na nchi yake pole sana ndgu ila jivunie kua na mzazi alokomboa nchi

    • @kisayekapama8401
      @kisayekapama8401 5 ปีที่แล้ว

      Alex Andrea sorry

    • @rajabmartojr3302
      @rajabmartojr3302 5 ปีที่แล้ว

      Alex Andrea pole kaka

    • @hamisijmussa6983
      @hamisijmussa6983 5 ปีที่แล้ว +2

      Wapumzike kwa amani wazazi wetu..

  • @chaulachaulaya5259
    @chaulachaulaya5259 4 ปีที่แล้ว +16

    Nipo naitazama video hii November 2019, itaishi milele. Ahsanta kwa wanajeshi wetu na wote walioandaa makala hii...

  • @mpelienock
    @mpelienock 6 ปีที่แล้ว +52

    Mwalimu Nyerere heshima yake itasimuliwa vizazi vyote. Big Salute.

  • @rahmaoman5122
    @rahmaoman5122 4 ปีที่แล้ว +14

    Babu yangu alipambana vikar kwenye hii vita Allah ampe kauli xabit 😭😭🤲🤲huko aliko pia amuepuxhie adhabu zakaburi Amiin

  • @patrickpondamali5615
    @patrickpondamali5615 5 ปีที่แล้ว +21

    Mungu awalaze pema wailopigania nchiyetu na, waliobak wasaminiwe,

  • @rajmatola8611
    @rajmatola8611 4 ปีที่แล้ว +6

    Amakwel nyerere ni simba wa afrka naipenda nchi yangu

  • @felixmagulu6142
    @felixmagulu6142 4 ปีที่แล้ว +5

    Hiki ni kipindi pekee ambacho kiwango cha uzalendo kilikuwa cha hali ya juu sana, Hongereni sana mliojitoa kulitetea Taifa letu, Mungu azipumzishe kwa Amani roho za mashujaa waliopoteza maisha katika kipindi hiki kigumu, Mungu ibariki Tanzania na Jeshi letu la ulinzi la wananchi.

  • @hosearioner3637
    @hosearioner3637 3 ปีที่แล้ว +6

    Much love from kenya...uzalendo ulidhirika katika hii vita vilivyo.

  • @isssidd9565
    @isssidd9565 7 ปีที่แล้ว +57

    polen sana kwa kutuangaikia ss tuish katika maixha mazuri tunawashukuru jaman

  • @petermwantole9433
    @petermwantole9433 4 ปีที่แล้ว +21

    kweli huu ulikua uzalendo wa hali juu,,hongereni wote mlioshiriki vita hii,,na pumzikeni kwa amani mliotangulia mbele ya haki...

  • @mohdkley7366
    @mohdkley7366 6 ปีที่แล้ว +64

    Naahidi hatutoitupa nchi yetu tutaipigania Kwa kila hali mimi nipo Zanzibar mungu atusaidie

  • @venancenkuwi768
    @venancenkuwi768 5 ปีที่แล้ว +17

    Tanzania itajengwa na wenye moyo na sio wazalendo wa siku hizi!!! Mungu ibariki Tanzania

  • @johnwangare3024
    @johnwangare3024 3 ปีที่แล้ว +4

    Babaangu bwana mwamed wangare kashiriki vita hivi kwanzia daraja la kagera mpaka mtukula na babaangu mkubwa chalesi wangare wote Mungu awarehem nakueapa panapo stahiki 😭

  • @mutalemwagabrie9791
    @mutalemwagabrie9791 3 ปีที่แล้ว +4

    Wanao angalia mpaka muda huu rarehe 14/8/2020 agonge like😍😍

    • @adamssaid4392
      @adamssaid4392 3 ปีที่แล้ว

      Mimi naiangalia video hii leo tarehe 17/8/2020 najifunza mengi na kuona inatupasa kulinda Sana amani tusidanganywe na akina tundu lisu wao wanasehem ya kukimbilia

  • @rizikizakaria8044
    @rizikizakaria8044 2 ปีที่แล้ว +2

    Hawa watu wengine bado wapo hai ila wanamaisha magum sana selikali ifike hatua muwakumbke jamn msikalie tu kula bata na familia zenu.

  • @joelnassari105
    @joelnassari105 6 ปีที่แล้ว +3

    Naipenda sana Nchi Yangu Tanzania...Mwenyenzi Mungu awape nguvu wafiwa na awapokee wote waliotangulia mbele za haki wakiipigania Nchi yetu na kutokana na vita hii ambayo iliturudisha nyuma sana kiuchumi kama Taifa la Tanzania..

  • @annamusembi9885
    @annamusembi9885 3 ปีที่แล้ว +13

    They were true heroes I salute you. I am a Kenyan

  • @shaabans.marijani9659
    @shaabans.marijani9659 5 ปีที่แล้ว +5

    1978 only i was still very young with two years,i was born in 1976 so when the war was fighting I didn't have any to copy because of youngest.

  • @chrisbee7876
    @chrisbee7876 6 ปีที่แล้ว +7

    ukiangalia unagundua wengi walikua vijina hapo lazima tujue sikuzote sisi vijana niwatu tutakao jenga nchi yetu kwakumpa ushirikiano raisi wetu viva Tanzania

  • @neemamliga539
    @neemamliga539 6 ปีที่แล้ว +36

    My daddy fought on this war too en he's still alive!!
    May z soul of those who dieD in z war REST IN PEACE

    • @mpelienock
      @mpelienock 6 ปีที่แล้ว +1

      Neema Mliga hongera sana Mshukuru Mungu kila unapokumbuka.

    • @damianmakala2913
      @damianmakala2913 5 ปีที่แล้ว +1

      Neema Mliga even my dad fought in this war and still a live till now

    • @simonchihongwe8489
      @simonchihongwe8489 5 ปีที่แล้ว

      Neema Mliga

    • @oscarbundalla6352
      @oscarbundalla6352 5 ปีที่แล้ว

      Amen

    • @williamnathan4630
      @williamnathan4630 4 ปีที่แล้ว +3

      Kipindi Hicho nilikuwa na umri wa miaka 8 Std One, my Daddy was a soldier but did not go there ,walibaki Kama Askari wa Akiba. Nakumbuka baadhi ya watoto wenzetu enzi zile wakati wa kwenda kuwapokea , hawakuwaona baba zao. May their soul rest in peace!

  • @anithashembilu7732
    @anithashembilu7732 4 ปีที่แล้ว +2

    Tumetoka mbali. Rais wetu na wale wote walioipigania nchi yetu, ninawaombea na kuwakumbuka daima. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Africa.

    • @bigmanyamafilmproduction5890
      @bigmanyamafilmproduction5890 3 ปีที่แล้ว

      Ni sura zenye utayali najikuta nasisimka mwili kwa uzarendo huu usio wa kinafki.heshima kwao

  • @jojo_linkissabiny5238
    @jojo_linkissabiny5238 5 ปีที่แล้ว +9

    Rip babu ulipoteza maisha kwenye iyo vita ingawa nilisimuliwa mana sikuzaliwa

  • @aridiyahya8049
    @aridiyahya8049 5 ปีที่แล้ว +44

    Kuna watu kati ya hawa sasahiv wanaenda maofisini kuudumiwa wanaikutu mijitu iko kwenye kiti cha kuzunguka full ac afu yanadharau na kuwacheleweshea huduma.

  • @RoseMary-hp5bz
    @RoseMary-hp5bz 7 ปีที่แล้ว +20

    naipenda Tanzanian nchi yangu,,r,i,p,wote mlotanglia mbele za haki😥, mungu ibarki Tz to Africa

  • @aminajackson8119
    @aminajackson8119 3 ปีที่แล้ว +1

    Siku hizi tunapenda tuvae gwanda tuonekane wanajeshi lkn duu Mungu atusaidie tumebaki masharobaro tuu uhalisia haupo

  • @ZakeoVitus
    @ZakeoVitus 6 หลายเดือนก่อน +1

    Uzalendo huu ni ujenzi wa Tanzania ambayo Leo tunajivuni Mungu bariki Tanzania hope kubwa ipo kwakuwa tuko kwenye nchi ambayo walio ipigania walituaminisha

  • @ziadamkinga5254
    @ziadamkinga5254 5 ปีที่แล้ว +9

    Kwakweli wenzetu waliumia kwa ajili yetu, hatuna bud kuumia kwa ajili yao

  • @saidimpologomyi382
    @saidimpologomyi382 4 ปีที่แล้ว +3

    Babu yangu ALLY SAIDI alikuwa katika hili kundi la mashujaa,ALLAH akuwekee wepesi katika makazi yako ya milele

  • @mustaphawelder7022
    @mustaphawelder7022 5 หลายเดือนก่อน

    Nimemkumbuka baba yangu, R I P kwa kupambania taifa ila serikali haijawahi kumuangalia kwa upande wa pili mpaka anatoka duniani tarehe 7/1/2017, rest in peace my father

  • @abdulkalim2033
    @abdulkalim2033 7 ปีที่แล้ว +41

    Hawa wanajeshi wengine wapo mpaka sasa na awakusaminiwa mchango wao kitika Taifa hili

    • @richardmabusi3557
      @richardmabusi3557 6 ปีที่แล้ว

      hassan sasbai

    • @petervalentino271
      @petervalentino271 5 ปีที่แล้ว

      Mungu ilinde Tanzania hatutaki yajirudie hayo. Ingawaje wakichokoza hatuwaachi!!!

  • @onesmosimon2720
    @onesmosimon2720 3 ปีที่แล้ว +1

    Aliye sikia kidumu chama cha mapinduzi agonge like na wapinzani najua kunakitu mmegundua apo

  • @neemaruttaiwa6202
    @neemaruttaiwa6202 4 ปีที่แล้ว +4

    Pumzika kwa Amani mzee wetu umetufanya mkoa wetu Kagera kuwa huru

  • @patrickkessy3912
    @patrickkessy3912 7 ปีที่แล้ว +7

    Je ingekuwa ni miaka hii tungeonesha uzalendo kama huu .....jibu langu mimi ni hapana uzalendo na nchi haupo tena kwa sababu ya ufisadi uliokithir na unaozdi kuwakandamiza wananchi

  • @saitotilucumay594
    @saitotilucumay594 7 ปีที่แล้ว +8

    for sure they was done a very very big work God blessed them wherever theyare

  • @starboyisack1001
    @starboyisack1001 7 ปีที่แล้ว +5

    Mungu barik jesh letu TANZANIA

  • @josephabel2503
    @josephabel2503 7 ปีที่แล้ว +5

    I see the spirit of the nation, mungu awape amani mliotangulia mbele za haki

  • @tabumasumbuko2909
    @tabumasumbuko2909 3 ปีที่แล้ว +1

    Hongereni sana wapambanaji wetu kwa kutukomboa hii kazi ilikua ngumu

  • @maulidrehani
    @maulidrehani 7 ปีที่แล้ว +9

    mungu awapumzishe kwa amani hakika they fought for our country

  • @issahamisi4066
    @issahamisi4066 2 ปีที่แล้ว

    Kama unaangalia 2021 double tap apo chini wanajeshi wetu wanafanya leo hii tunakula raha duniani full aman kwa msaada wa mwenyezi mungu .Julius kambarage nyerere💪

  • @samuelimori5711
    @samuelimori5711 3 ปีที่แล้ว +2

    Nakumbuka mbali sana nikiangalia picha hizi.
    Nawakumbuka wenzangu waliotangulia mbele ya haki.
    Namshukuru Mungu aliyenihifadhi na kunirudisha salama.

  • @khameiskibabu4469
    @khameiskibabu4469 4 ปีที่แล้ว +1

    Yaan hapo unaaga nymbn kma ukipta nafx kurudi ni maajaliwa tn.Mungu aziweke roho za walio tangulia mbele ya haki mahali pema peponi.Amin

  • @ivanmarcela1209
    @ivanmarcela1209 7 ปีที่แล้ว +16

    mungu ibaliki tz mungu wabaliki wote walioshiriki kuikomboa tz amina

    • @hinetadacres2618
      @hinetadacres2618 7 ปีที่แล้ว +3

      eeh mungu wapumzishe mahala pema pepon mashujaa wetu waliotutangulia

  • @jandaboytzz4794
    @jandaboytzz4794 4 ปีที่แล้ว +2

    Tanzania💗💗 na wish mpka ningekuwa mmojaWapo ktk hao Vijana

  • @fredmwaijande9411
    @fredmwaijande9411 2 ปีที่แล้ว +1

    Naipenda sana Tanzania nafarijika kuitwa mtanzania love sana Tanzania

  • @bogalechtafari378
    @bogalechtafari378 4 ปีที่แล้ว +2

    Asante kwa vijana waliojitoa wakati huo, lakini yote ilitokana na msimamo na kujiamini kwa kiongozi wetu Mwalimu JK.

  • @matokeombugano1324
    @matokeombugano1324 6 ปีที่แล้ว +43

    sijui kama hawa vijana wangeweza hii shughuri...hawa team kiba na dimond

    • @fistonkyuing9888
      @fistonkyuing9888 5 ปีที่แล้ว +3

      Labda wangeweza kuimba nyegeza na muvumo wa radi

    • @joharimaunga6127
      @joharimaunga6127 5 ปีที่แล้ว +1

      kabisaa Allah awape pumzko mashujaa wetu kizaz cha leoo ni team kiba mond zar na wema

    • @racheldauson9471
      @racheldauson9471 4 ปีที่แล้ว

      Ndomana Kila nikiwa njiani kwenda ug Nashua kuwaombea pale makaburi ya mashujaa aamen

    • @nicomwasaga1368
      @nicomwasaga1368 4 ปีที่แล้ว

      Hahahahahahahahah hahahahahahahahahahahahaha

  • @--------GEO_SPORT_EARTH_EA
    @--------GEO_SPORT_EARTH_EA 5 ปีที่แล้ว +26

    Naapa naahidi mbele za Mungu Tanzania nitakulinda mpaka kufa

  • @joelrugano6517
    @joelrugano6517 5 ปีที่แล้ว +3

    Tulilelewa katika umoja,mshikamano. Kipindi hicho tulikuwa na wanasiasa wa kweli na siyo kama sasa ambapo wanasiasa wetu wako kimasilahi zaidi.

  • @mariamushafii4775
    @mariamushafii4775 7 ปีที่แล้ว +6

    mungu akupe mapumziko mema mwalim j k nyerere amini

  • @tracyjustice1600
    @tracyjustice1600 7 ปีที่แล้ว +10

    babu yangu alipigana kwenye hii vita, mungu aipumzishe roho za mashujaa wetu pema peponi, walijotoa muhanga ili tuishi maisha ya Amani kwenye Ardhi yetu, nakupenda Tanzania hawa walikuwa wazalendo wa kweli

  • @ameirzapy1318
    @ameirzapy1318 5 ปีที่แล้ว +6

    Daaah inafikia muda inabidi ujitolee kwa hali na mali kuhakikisha unailinda nchi yako, haikuwa rahisi kujitoa hawa leo hii tunaishi vizur sana.

  • @jandaboytzz2755
    @jandaboytzz2755 2 ปีที่แล้ว +1

    Roho Inaniuma Sana Watanzania Wenzetu hao Mjue Walikua Na Famlia Zao😢😢

  • @mussapally115
    @mussapally115 3 ปีที่แล้ว +2

    Naangalia 2021

  • @godlivergift8754
    @godlivergift8754 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu alitutoa mbali

  • @saidmanjanjagara55
    @saidmanjanjagara55 2 ปีที่แล้ว

    Wakati huo nchi ilikuwa na umoja na upendo, japo watu walikuwa maskini lkn walikuwa na mapenzi kwa nchi yao! Sasa tofauti, viongozi wanadhani wao ni first class! Tunabaguana kivyama na kubambikizia wapinzani kesi nzito! Sasa si wamoja tena!

  • @matokeoroberty9138
    @matokeoroberty9138 5 ปีที่แล้ว +49

    Japo mimi ni mkenya ila Tanzania iko imara kwenye jeshi

  • @jennipherray7001
    @jennipherray7001 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu ibariki Tanzania I love you my country

  • @mdunguupdates4779
    @mdunguupdates4779 3 ปีที่แล้ว +1

    Wanaoangalia 2021 like hapa

  • @mackeykonji5175
    @mackeykonji5175 7 ปีที่แล้ว +14

    hakuna kizaz cha kufananishwa na Mwl Nyerere.....
    Wanajesh wa sasa hawana tofaut na wazaman TATIZO niviongozi wetu

  • @shijamalole2153
    @shijamalole2153 7 ปีที่แล้ว +4

    walipingana kwa ajili yetu amen

  • @clementhiddi1486
    @clementhiddi1486 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awape nguvu our heroes mlio hai na walaze mahali pema peponi waliopoteza maisha.

  • @wahidawahida6675
    @wahidawahida6675 5 ปีที่แล้ว

    Mama na baba angu walinihadisia ichi kipindi kwao kilikuwa kigumu sana yani sikifikiria hi storia niliopewa na wazazi wangu hakika vita sio kitu cha mchezo

  • @taofiqconscious7408
    @taofiqconscious7408 5 ปีที่แล้ว

    Mungu aibaliki tanzania kwamaana walimwaga damu kwaajili yakuikomboa tanzania hakikalani kwao nyelele. alemaha pema peponi Amin

  • @vicentzamberiwarioba6468
    @vicentzamberiwarioba6468 4 ปีที่แล้ว +1

    2020 mungu awabaliki kwa kazi mzr hatuna cha kuwalipa

  • @jacquelinemabula2519
    @jacquelinemabula2519 7 ปีที่แล้ว +17

    mwalimu hakuwaacha watz jaman mwalimu Mungu akupe pumziko la milele na wengine wote walio poteza maisha

  • @racheldauson9471
    @racheldauson9471 4 ปีที่แล้ว +2

    Alaf walikua ma handsome sio hawa wa karolight

  • @YOUNGTHADE-nc2ec
    @YOUNGTHADE-nc2ec 5 หลายเดือนก่อน

    Kila nikiangalia nammic babu yangu Simon hebeye alikuwepo miongoni mwa Hawa na alikuwa mdogo sana akiwa na kakaake John hebeye

  • @annazablon8406
    @annazablon8406 4 ปีที่แล้ว +1

    Baba yangu alipigana vita japo 2006 ndo kafariki apumzike kwa amani .... amen

  • @shukuruilomo768
    @shukuruilomo768 5 ปีที่แล้ว +1

    Dah poleni sana ukweli mlifanya kazi kubwa sana one love Tanzania

  • @MeshackLukanda
    @MeshackLukanda 4 หลายเดือนก่อน

    wengine walipambana lkn wengine wanakula tuu nchi inauma sanaa

  • @mangulaevarist7007
    @mangulaevarist7007 3 ปีที่แล้ว +2

    2021 tujuane hapa

  • @Ambagaye
    @Ambagaye 5 ปีที่แล้ว +3

    Tanzania ilikuwa na utaifa sana enzi hizo; siku hizi utaifa umepungua sana kwani kila kiongozi anatafuta namna ya kuichafua nchi ili kujipatia pointi za kisiasa hata pale pasipohusika.
    Halafu hiyo sehemu ya kuruta iliyoonyeshwa nadhani ilikuwa mkoani Mara kwani mabasi ninayoona ya Musoma Bus, Maratco na Mudeco yalikuwa ni mabasi ya mjini
    Musoma miaka hiyo.

  • @khalfanshahabakar7439
    @khalfanshahabakar7439 4 หลายเดือนก่อน

    Pumzikeni waliotangulia kwa amani kabisa.hakika mungu akufutieni madhambi yenu amin

  • @africandarling6925
    @africandarling6925 5 ปีที่แล้ว +3

    Tanzania tuige uhuu umoja wa kweli na upendo

  • @elisamehecharles5432
    @elisamehecharles5432 6 ปีที่แล้ว +5

    ogaaah! ukimsikiliza msimuliaji ndo unaamini siku hzi hatuna watangazaji kabsa

    • @johnimarko5646
      @johnimarko5646 4 ปีที่แล้ว

      Mungu aibarki afrka mungu aibarki tanzania

  • @sizakitego4374
    @sizakitego4374 3 ปีที่แล้ว

    Hata mimi nilikuwepo kwenye hii vita, gonga like kama umeniona na shati ya drafti

  • @lawsofsucces5784
    @lawsofsucces5784 7 ปีที่แล้ว +3

    Daah Mungu awe pumziko la milele mashujaa wetu walotangulia mbele za haki

  • @xideblacktz
    @xideblacktz 2 ปีที่แล้ว +3

    Thanks our soldiers I salute father nyerere

  • @sirilimichaelpamojasana2033
    @sirilimichaelpamojasana2033 5 ปีที่แล้ว +1

    watu wa zamani wanaupendo sanajaman mungu awabariki

  • @jackmichael1953
    @jackmichael1953 4 ปีที่แล้ว +2

    UTANZANIA huu ungerudi jamani

  • @eliazephania7633
    @eliazephania7633 3 ปีที่แล้ว

    Kwa hakika mungu awalaze mahalo pema peponi wote waliohusika kupigana Vita vya kagera

  • @chrizantuspantaleo6928
    @chrizantuspantaleo6928 ปีที่แล้ว +1

    I love you TANZANIA

  • @mosesfrancis3946
    @mosesfrancis3946 2 ปีที่แล้ว

    Asanteni sana wote mliochangia ushindi huo.

  • @patrickrichard260
    @patrickrichard260 4 ปีที่แล้ว +5

    Tupo imara, na hii ndio sabab naipenda tz

  • @coolwaveac7659
    @coolwaveac7659 3 ปีที่แล้ว

    MUNGU azilaze roho za marehemu mahala pema peponi Amina🙏🙏

  • @amanimoisan6380
    @amanimoisan6380 6 ปีที่แล้ว

    Were mwenyezi mungu wakumbuke wapiganaji wote waliopigania Tanzania

  • @ismailmashimba3470
    @ismailmashimba3470 4 ปีที่แล้ว +2

    Jamani tuiheshimu sana nchi yetu

  • @felixmagulu6142
    @felixmagulu6142 3 ปีที่แล้ว

    Huu ulikuwa Morali wa hali juu sana wa kuikomboa Nchi yetu, Kipindi hiki kilikuwa kigumu sana Kila Mwananchi mawazo yake yalikuwa ni kuikomboa Ardhi ya Tanzania iliyovamiwa na Nduli Idd Amin Dada.

  • @manyangagrace4342
    @manyangagrace4342 6 ปีที่แล้ว +4

    Hawa ndo walikuwa wazalendo kweli kweli, walikuwa na maadili kweli.

  • @ojasoojaso9479
    @ojasoojaso9479 4 ปีที่แล้ว

    Nyerere hana mfano kwani kila mara alikuwa mstari wa mbele katikati ya vita akiangalia na kukagua kwa macho yake mwenyewe na kuongoza mapigano.mwl hakuogopa kufa wakati wa kuipigania nchi hii ,hakujali uhai wake ,wala mali za dunia,hii.RIP mw JK NYERERE mwana halisi wa Afrika.

  • @womenmuungano881
    @womenmuungano881 4 ปีที่แล้ว

    Jaman muwathamini BC na hao bado hai jaman wameteseka sana .eee baba wetu wa taifa Allah ailaze roho pepon naumia baba kuona hiv mungu katulipia kwa rais wetu makufuli raid wawanyonge..