KAULI YA MWISHO YA HAYATI RAIS MAGUFULI KWENYE DARAJA LILILOPEWA JINA LAKE 'JPM BRIDGE'

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 146

  • @philiminimmao9338
    @philiminimmao9338 3 ปีที่แล้ว +2

    I'm speechless when I look at u #Father, till tomorrow I won't believe u left us on desert which we thought it will become a joy land, when hear u're Voice it seems like you are alive. Pumzika kwa amani Baba,rafiki,shujaa,mwl,mchamungu na kipemzi cha watanzania. Nkiangalia tulipo I wish ungeamka walau 1 min. SEE U SOON DADY

  • @edwardchacha711
    @edwardchacha711 3 ปีที่แล้ว

    Nitakukumbuka maisha yangu yote hapa duniani mpendwa wngu rafiki yangu kiukweli inauma Sana hatuamini wengi wa mamilioni ya waafrika kuwa haupo tulikuwa tunakuombea Sana ukiwa hai niimani yangu Mungu amekuweka sehem sahihi Amina

  • @LUXWAYNETV
    @LUXWAYNETV 3 ปีที่แล้ว +11

    Daaahh kweli uliandaliwa na Mungu kuja kuokoa watu wa nchi yako...R.I.P rais mpendwa wa nchi yetu Tz

  • @stanleykadu3566
    @stanleykadu3566 3 ปีที่แล้ว +2

    Tutakukumbuka Sana Baba,lala salama,mwendo umeumaliza,pumzika kwa Amani.

  • @DottRoBroc
    @DottRoBroc 3 ปีที่แล้ว +3

    I am an italian man. I studied Magufuli, a politician I appreciated for his complaint against the effectiveness of tampons. He was a great and courageous president, an honest man who had reduced his salary (from $ 15,000 to $ 4,000) defended the interests of the people. I also appreciated his position on covid and against dangerous vaccines. In my opinion they killed him even though he officially died of heart problems. I agree about Magulification of Africa! So, absolute estimate for Magufuli who for me will remin alive for ever for his honesty

    • @kassimourio6879
      @kassimourio6879 3 ปีที่แล้ว +1

      till now we are in puzzle about the sudden death of our beloved president. But we are believing God will stand still on this.

  • @amepotea
    @amepotea 3 ปีที่แล้ว +5

    Baba wa baraka milele African twakupenda...pumzikwa amani Baba.

    • @neemakaluwa2146
      @neemakaluwa2146 3 ปีที่แล้ว +1

      Halafu anatokea jinga mmoja linaongea utopolo, Mimi naumia na huyu baba Km kanizaa😭😭😭😭

  • @HusseinNkuna
    @HusseinNkuna 2 หลายเดือนก่อน

    daah lakini mungu ndie anaejua zaidi😭 apumzike kwa amani mzee wetu🙏

  • @etemesiedward1508
    @etemesiedward1508 3 ปีที่แล้ว +2

    Nkuheshimu milele mkombozi wa Tanzania kwetu I love the solace of africa

  • @feimohach
    @feimohach 3 ปีที่แล้ว +8

    InshaAllah litakamilika baba, pumzika, Mola ako nasi!

  • @starridge3615
    @starridge3615 3 ปีที่แล้ว +14

    Mtanikumbuk kwa Mazuri, tuijenge bridge yake kwa kumbukumbu LA heshima

  • @emmanuelbonifas3517
    @emmanuelbonifas3517 3 ปีที่แล้ว +1

    Kifo chako ni hasara kubwa sana japo kazi ya mungu aina makosa lala salama baba leo hii hata viongozi wa mpira wameanza kufanya yao duu amakweli tutakukumbuka kwa mema sio mabaya

  • @endrewthomasi2565
    @endrewthomasi2565 3 ปีที่แล้ว +4

    Mungu akuraze mahari pema pepon AMEN

  • @gracejulius3966
    @gracejulius3966 3 ปีที่แล้ว +1

    Am speechless ninapokukumbuka zaidi ya makovu kwenye moyo wangu.

  • @dainesgebo6178
    @dainesgebo6178 3 ปีที่แล้ว +1

    Huyu mama ni mnafiki sana ila mungu yupo jpm lala salama bb

  • @newenock5743
    @newenock5743 3 ปีที่แล้ว +1

    We gonna micc you magufuli hakika naumia sana amka uone pengo ulilo liacha halizibiki nakupenda magufuli

  • @OlesaringeAlaunoni
    @OlesaringeAlaunoni 16 วันที่ผ่านมา

    Jamani Mungu ailadhe mahali salama peponi

  • @adonaiinternationalministr3762
    @adonaiinternationalministr3762 3 ปีที่แล้ว

    Nazidi kukukumbuka mzee wangu ulale mahali pema mzee wangu

  • @genovevagowota4716
    @genovevagowota4716 3 ปีที่แล้ว +5

    Nitamkumbuk shujaa wangu kwa mengi sana,pumzika kwa amani shujaa.

  • @mwendwanasser2634
    @mwendwanasser2634 3 ปีที่แล้ว

    Natamani sana Raise wetu afufuke ata Leo aki,,,,,nafeel niko na yeye sasa Vivi😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @ShijaJanona-eh5ze
    @ShijaJanona-eh5ze หลายเดือนก่อน

    Aa mungu ampokee moja kwa moja mtu wa watu

  • @igurwakwetutv7390
    @igurwakwetutv7390 3 ปีที่แล้ว +1

    Sawaaaaa kaka yangu

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 3 ปีที่แล้ว +9

    Mafisadi wamefurahi mana wamekuuwa ili wale mali za TANZANIA kwa utulivu

    • @elidarweyemamu5144
      @elidarweyemamu5144 3 ปีที่แล้ว +3

      Wafurahi wasifurahi Watanzania Baba kaacha ametufungua akili atudanganyiki,ata wafurahi wawo wakifa tutawakumbuka kwa lipi?Matusi waliokuwa wanamtukana Baba ndo tuyakumbuke kwao?Ni bora wajirekebishe wamrudie Mungu maana kila nafsi itaonja mauti.Na JEHANAMU yatungoja tusipo acha njia zetu mbaya.

    • @chihongotv3255
      @chihongotv3255 3 ปีที่แล้ว

      @@elidarweyemamu5144 kweli ndugu maana tumeshafunguliwa

    • @pascalntandu1217
      @pascalntandu1217 3 ปีที่แล้ว

      Mla nae huliwa.

  • @ZawadShinje-fd7xu
    @ZawadShinje-fd7xu ปีที่แล้ว

    Baba mungu alilutumia vyemaa !!

  • @jamalkhedira2398
    @jamalkhedira2398 3 ปีที่แล้ว +4

    *HE WAS EVER SMILING*

  • @ShakirajumaSankwanja
    @ShakirajumaSankwanja 2 หลายเดือนก่อน

    Rest in peace JPM 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙏🙏🙏🙏🙏

  • @glorialambert3349
    @glorialambert3349 3 ปีที่แล้ว +1

    Pumzika kwa amani ancle
    Magu😭😭😭😭😭😭😭

  • @dairesicosmas240
    @dairesicosmas240 3 ปีที่แล้ว +1

    Tutakukumbuka mzee wetu

  • @MelauKoitumet
    @MelauKoitumet 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu akujalie

  • @BoniphacejonasJonas-rr4pp
    @BoniphacejonasJonas-rr4pp 7 หลายเดือนก่อน +1

    Dahhh kifo aichagui yn kila mtu anapita nae

  • @tatunjenje5365
    @tatunjenje5365 3 ปีที่แล้ว +6

    Innalillah wainna illayh Rajiun.

  • @stanleykadu3566
    @stanleykadu3566 3 ปีที่แล้ว

    Thanks my president.

    • @geoffrylangat7132
      @geoffrylangat7132 3 ปีที่แล้ว

      Nitakukumba mbaka mwisho wa maisha yangu

  • @jackson.mbahebe2342
    @jackson.mbahebe2342 3 ปีที่แล้ว

    Kwasimba
    Kazi
    Ziendelee
    Tu
    Maana
    Inawakela

  • @ngoteboyntanda8582
    @ngoteboyntanda8582 3 ปีที่แล้ว

    Machozi hayazuiliki nikitazama video zako rais wetu...Mungu akurehemu baba

  • @fezzyfelix1208
    @fezzyfelix1208 3 ปีที่แล้ว +1

    We never forget you our lovely dady

  • @Kiramostoretz.shop.
    @Kiramostoretz.shop. 3 ปีที่แล้ว +4

    R.I.P PRESIDENT MAGUFULI

  • @revocatusjidai2580
    @revocatusjidai2580 3 ปีที่แล้ว

    Jozi na tafasiri zake

  • @josephatkiliko2546
    @josephatkiliko2546 3 ปีที่แล้ว +1

    R.I.P DR JOHN POMBE MAGUFULI

  • @clementinajoseph3660
    @clementinajoseph3660 3 ปีที่แล้ว +1

    Baba tuta kukumbuka daima

  • @Yrnmendezz
    @Yrnmendezz 3 ปีที่แล้ว +8

    R.I.P OUR FATHER

  • @ShadrackSamson
    @ShadrackSamson 5 หลายเดือนก่อน +1

    The legend

  • @nellyelias20
    @nellyelias20 3 ปีที่แล้ว +1

    Tutakukumbuka sana

  • @josephchiunga5196
    @josephchiunga5196 3 ปีที่แล้ว

    Nduguzangu dunia tunapita tumrudie mungu wetu

  • @hawamabira1499
    @hawamabira1499 3 ปีที่แล้ว

    JPM ww ni Raisi wangu,Nitatetea jina lako Leo na kesho Kiama.

  • @abdultandala6576
    @abdultandala6576 3 ปีที่แล้ว

    😭😭😭 daa! JPM wangu ulale mahara pema peponi amena!!

  • @khadijaabdul5029
    @khadijaabdul5029 3 ปีที่แล้ว +3

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 baba baba jaman umeondok baba😭😭😭😭😭

  • @sagudangome5091
    @sagudangome5091 3 ปีที่แล้ว +1

    Uko

  • @ayubujackson6994
    @ayubujackson6994 3 ปีที่แล้ว

    2takumc mzee we2

  • @edwincharles7744
    @edwincharles7744 3 ปีที่แล้ว +1

    Oooy poleni can watanzania kwa kutokewa nasiba kumbwa

  • @ZainecherSalim
    @ZainecherSalim 4 หลายเดือนก่อน

    Jamanii duuu

  • @ReyziSimion
    @ReyziSimion 3 หลายเดือนก่อน

    Babangu mung u akuweke mahali Pena peponi leo nimekumbuka utubayako baba😢😢

  • @elizalutiga6287
    @elizalutiga6287 ปีที่แล้ว

    Daaaaaaaaah

  • @maryerick5487
    @maryerick5487 3 ปีที่แล้ว

    Jembe miss u tutakukumbuka sana rudi kidogo baba ww umetuacha tunalia kila tuonapo picha yako baba pumzka baba tuombee uliko huko wanao tunalia

  • @dixsonmwasyalo9219
    @dixsonmwasyalo9219 3 ปีที่แล้ว +2

    Nakuona ayo

  • @emmanuelpaul1485
    @emmanuelpaul1485 3 ปีที่แล้ว

    Habari

  • @suzygos5447
    @suzygos5447 3 ปีที่แล้ว

    Tutaumia juu yako milele baba

  • @baracknicholaus2944
    @baracknicholaus2944 3 ปีที่แล้ว +6

    Daaa kma yuko hai bdo kumbe kasha lala father

  • @samuelokoed3701
    @samuelokoed3701 3 ปีที่แล้ว +1

    Lala salama baba

  • @justinepaschaltv3530
    @justinepaschaltv3530 3 ปีที่แล้ว

    Nimemkumbuka sana jemidali wetu

  • @jumasaidi9797
    @jumasaidi9797 4 หลายเดือนก่อน

    ASSAALLAAM ALLAAYKUM WARAHAMATULLAH

  • @dianajohn3493
    @dianajohn3493 3 ปีที่แล้ว +1

    Safi

  • @ZainecherSalim
    @ZainecherSalim 4 หลายเดือนก่อน

    Pumzika kwa amanii

  • @richardbaracka3680
    @richardbaracka3680 3 ปีที่แล้ว

    Balaaa

  • @abbaimran4122
    @abbaimran4122 3 ปีที่แล้ว +4

    Ametuacha Mzee kutenda si wa kusema tu

  • @januarymwingwa2962
    @januarymwingwa2962 3 ปีที่แล้ว +3

    Lala salama baba dah😭😭😭😭😭

  • @jumaonline1619
    @jumaonline1619 3 ปีที่แล้ว +1

    Daah!aiseee ameshakufa Tena dah cjui hata Cha kucomment

  • @mkahetv4633
    @mkahetv4633 3 ปีที่แล้ว +2

    Hii background beat inaitwaje..? Anaejua plz

  • @monicalushola443
    @monicalushola443 3 ปีที่แล้ว +2

    Lala shujaa nenda 😭😭😭😭😭😭😭

  • @ireneshali3530
    @ireneshali3530 3 ปีที่แล้ว +2

    Ever smiling

  • @mkweluwilliam4673
    @mkweluwilliam4673 3 ปีที่แล้ว

    Hakika ulikuwa xhujaaa wa watanzania wote, pumzika kwa aman

  • @aminakimaro3047
    @aminakimaro3047 3 ปีที่แล้ว

    Akumbukwe rais wa wanyonge

  • @yustomagudo7610
    @yustomagudo7610 3 ปีที่แล้ว +2

    I miss you

  • @vailethkayumbu9572
    @vailethkayumbu9572 3 ปีที่แล้ว

    Jaman tuliobaki tulipen Kodi daraja liishe

  • @morisisimbaza6041
    @morisisimbaza6041 3 ปีที่แล้ว +2

    Tutakukumbuka

  • @JustinMwashilindi
    @JustinMwashilindi 7 หลายเดือนก่อน

    Hakika Hatatokea tena rais kama Magu ulale mahali pema popon

  • @kyambarungwematv6828
    @kyambarungwematv6828 3 ปีที่แล้ว

    Duuuuuh magufuli baba amka uone wananchi wako

  • @hawahabibu661
    @hawahabibu661 3 ปีที่แล้ว

    Nitakukumbuka Daima J PM 😫😫 Nchi cjui yaelekee wapi saivi

  • @lizyjohn328
    @lizyjohn328 3 ปีที่แล้ว

    Tutakukumbuka baba

  • @mshindinewtvshow705
    @mshindinewtvshow705 3 ปีที่แล้ว +1

    Fact

  • @vailethkayumbu9572
    @vailethkayumbu9572 3 ปีที่แล้ว +1

    Daima tutakukumbuka

  • @yakwetutv8525
    @yakwetutv8525 3 ปีที่แล้ว

    Dah

  • @juniorshaoshao1566
    @juniorshaoshao1566 3 ปีที่แล้ว

    Adi hurumaa

  • @devothamasaki5513
    @devothamasaki5513 3 ปีที่แล้ว +1

    Mtukamahuyu mabeberu hawawezi kumuacha

  • @laprincevonkingpin7793
    @laprincevonkingpin7793 3 ปีที่แล้ว

    nembo ya taifa milele,,,

  • @husseinmwambire9569
    @husseinmwambire9569 3 ปีที่แล้ว

    Mabaya hayasemwii

  • @Mzalendo14
    @Mzalendo14 ปีที่แล้ว

    RIP JPM

  • @ZawadShinje-fd7xu
    @ZawadShinje-fd7xu ปีที่แล้ว

    R I P jpm

  • @johnkisombi403
    @johnkisombi403 3 ปีที่แล้ว

    Siamini kabisa

  • @tamalimwansasu7444
    @tamalimwansasu7444 3 ปีที่แล้ว

    dar moyo unauma

  • @abbasjuma3068
    @abbasjuma3068 3 ปีที่แล้ว

    Speach

  • @samisagosamisago5158
    @samisagosamisago5158 3 ปีที่แล้ว

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 RIP my dady

  • @micamathew2595
    @micamathew2595 3 ปีที่แล้ว

    Natamani ufufuke jmn lkn najua haiwezekani. Uje uone daraja hili likiwa limekamilika. Baba fufuka bana aise mbn umeondoka haraka sana jmn????

  • @kombozimbwilo4289
    @kombozimbwilo4289 3 ปีที่แล้ว

    Da insuma

  • @SheriffTiraspol-m7d
    @SheriffTiraspol-m7d 2 หลายเดือนก่อน

    Mission killer

  • @hamischile4996
    @hamischile4996 3 ปีที่แล้ว +1

    Masikini

  • @sensashabani3621
    @sensashabani3621 3 ปีที่แล้ว +3

    😭😭😭😰

  • @kramsjunior4447
    @kramsjunior4447 3 ปีที่แล้ว +1

    R.I.P papa

  • @leviskahonga3985
    @leviskahonga3985 3 ปีที่แล้ว

    Uyu jamaa anakumbukumbu za atari

  • @devothaangetile5642
    @devothaangetile5642 3 ปีที่แล้ว +1

    Rip

  • @kalagakapela2253
    @kalagakapela2253 3 ปีที่แล้ว

    Talifa ya nyakabidi nanenane efu mbili 18

  • @mkamajuma3565
    @mkamajuma3565 3 ปีที่แล้ว

    R.I.p