HAKUNA RAIS YOYOTE DUNIANI AONE WAZIRI MCHAPAKAZI HALAFU AMTOE MADARAKANI.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024
  • 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

ความคิดเห็น • 22

  • @MahdouMomba
    @MahdouMomba 2 หลายเดือนก่อน +3

    Uko sahihi brother Edo Kumwembe

  • @majaliwamussa9268
    @majaliwamussa9268 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ktk hilo nakuunga mkono, Slaa hakufaa kuondolewa wizara ya Ardhi

  • @maalimwenga452
    @maalimwenga452 2 หลายเดือนก่อน +4

    Hapo kwenye ardhi mama kachemsha mwambieni ukweli maana anaepokea hiyo wizara ni Kama mafisadi was ardhi watarudu na kusema aliyekuepo alifanya maamuzi sio sahihi makesi yanarudi Tena mahakamani

  • @Eliaskasanya-hm5yk
    @Eliaskasanya-hm5yk 2 หลายเดือนก่อน +3

    Jery angeachwa wizara ya ardhi maana kuna dhuluma sana na yeye kasomea sheria

  • @magrethmbangama1199
    @magrethmbangama1199 2 หลายเดือนก่อน

    Kwa Jerry slaa mama hajatutendea haki,anatupa mashaka labla kuna watu wanataka lufichiwa madudu yao tusemeje sasa Jerry mtetezi wa wanyonge leo unaondoka ardhi inauma sana😭😭

  • @hajjiomary2383
    @hajjiomary2383 2 หลายเดือนก่อน +2

    Me binafsi jerry alikuwa dream come true sasa na hapo ndo tunaenda kuwa na shida na watu wa aridhi

  • @Burange666
    @Burange666 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kumuondowa Jerry Slaa Wizara ya Ardhi hapo Mama Samia kachemsha yaani kaharibu hakuna mfano na inawezekana Matapeli watarudi tena, pia huku mitaani ile mijizi imefurahi sana kubadilishwa kwa Jerry ili ipate kudhulumu na kuiba ardhi za Walalahoi, tunakuomba Mama Samia mrudishe huyu Shujaa mchapa kazi Jerry Slaa au sivyo Mijizi itatuangamiza huku Wizarani.

  • @noeljuvenalmunishi75
    @noeljuvenalmunishi75 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona wizara ya Afya umeguna😂😂😂😂😂

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula 2 หลายเดือนก่อน +1

    Jerry angekufa mapema. Hiyonwizara inahitaji misuri

  • @DavidNdaha
    @DavidNdaha 2 หลายเดือนก่อน +2

    Wizi mkubwa na kupokea rushwa

  • @awazioga1823
    @awazioga1823 2 หลายเดือนก่อน

    Kachemka huyo mama slaa jembe hasa sisi wanyonge matajiri wanatuzurumu gaki zetu kwenye ardhi

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 2 หลายเดือนก่อน +2

    unafunga Tweeter unaacha Telegram

  • @awazioga1823
    @awazioga1823 2 หลายเดือนก่อน

    Mnaogopa kusema ukweli no freedom of speech

  • @GeoffreyNgonyani
    @GeoffreyNgonyani 2 หลายเดือนก่อน

    Kwa nini wanahabari mnapenda kupinga kila jambo ila kwa mapenzi yenu lkn siyo kwa uhalisia ambao upo wazi ?????

  • @michaelnehemia4932
    @michaelnehemia4932 2 หลายเดือนก่อน

    Shida jer asingebadilishwa angeleta migogoro mungi sana

  • @raymondsekabigwa5907
    @raymondsekabigwa5907 2 หลายเดือนก่อน

    Kumwona Jerry. Ardhj sijui...

  • @Gasto1-r7k
    @Gasto1-r7k 2 หลายเดือนก่อน

    Wewe baab levo chawa

  • @FrankElias-u9i
    @FrankElias-u9i 2 หลายเดือนก่อน

    Ata mim😊

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 2 หลายเดือนก่อน

    mbona issue ya ummy umeguna😂😂😂Dada jinga hili

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 2 หลายเดือนก่อน

    uhuru wa habari za uchi

  • @taylorkasitu3819
    @taylorkasitu3819 2 หลายเดือนก่อน

    wapo kama anakuwa maarufu kushinda yeye. tuliona yalio mfika robert ouko wa kenya

  • @magabaytyshaban1668
    @magabaytyshaban1668 2 หลายเดือนก่อน

    Tanzania hakuna Uhuru wa vyombo vya habari kwa fakti hii
    Kokote anako enda kiongozi mkubwa wa ccm lazima vyombo vya habari vi ripoti na kuchambua kila alichoongea kwenye mkutano.lakini viongozi wengi wa upizani wakiwa kwenye mikutano hua vyombo vya habari haviripot na vikiripoti hua havijadili chochote