ความคิดเห็น •

  • @richardsaganda6922
    @richardsaganda6922 2 หลายเดือนก่อน +2

    Pale hata km walikuwa wanakula wote angeusema tuu ukwelii ili km ni kumwaga mboga namm namwaga ugali,, tukose wote na km ni kuomba msamaha naomba lakin na Wale tuliokula nao wawajibikee

  • @AbubakariKisuju
    @AbubakariKisuju 2 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu mzee alijua atasamehewa.kumbe waziri kaweka mtego

  • @jamsonkanyiki6038
    @jamsonkanyiki6038 2 หลายเดือนก่อน +1

    MH.waziri huyo bwana anajua Mambo mengi ya kukusaidia.
    Mpe nafasi uongee nae

  • @annamwakibinga527
    @annamwakibinga527 2 หลายเดือนก่อน

    Msamehe waziri hawa wako wengi

  • @Lundege_Hips
    @Lundege_Hips 2 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu mzee anamengi ya kuongea ila Waziri hsmpi nafasi

  • @kazimilykulwa2516
    @kazimilykulwa2516 2 หลายเดือนก่อน

    Viongozi wengi wa ngazi za juu waga hawawapagi nafasi ya kutosha kujieleza viongozi wa chini mwisho wake inaishia kuonekana Wana makosa

  • @barakamanga5502
    @barakamanga5502 2 หลายเดือนก่อน

    Apa haki haijatendeka uyu mzee kafanyiwa figisu

  • @GinesonLuchelo
    @GinesonLuchelo 2 หลายเดือนก่อน

    Morogoro watendaji wa maji majipu

  • @gabrielzakaria2810
    @gabrielzakaria2810 2 หลายเดือนก่อน

    Kiguhe ntamuua hyo jamaa

  • @handenitakuru6696
    @handenitakuru6696 2 หลายเดือนก่อน

    Tunahitaji Sheria ndio ifanye kazi sio ivo mnavo fanya, ndiomana kuna hio michezo ya upigaji

  • @TwalibuKimaro-th5mv
    @TwalibuKimaro-th5mv 2 หลายเดือนก่อน

    Mnakaa na wezi kazini huwawezi hao waziri na huku Kwa Wagogo lukobe uje hatuna maji mabomba yamewekwa kama shoo tu

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw 2 หลายเดือนก่อน

    Mpumbavu unamuomba msamaha wazir kwan umemkosea waziri ama umewakosea wananchi hii ndio shida ya vitumishi vikiteuliwa havitambui kwamba ni watumishi wa wananchi wanajitambua kua ni wqtumishi wa wale walio wateuwa

  • @ellyemily4234
    @ellyemily4234 2 หลายเดือนก่อน

    Mheshimiwa tunaomba uje Arumeru

  • @AsiaKivenule
    @AsiaKivenule 2 หลายเดือนก่อน

    Lukobe hatuna maji mheshimiwa

  • @januarymadau2121
    @januarymadau2121 2 หลายเดือนก่อน

    Wanabambika bili za maji hao

  • @sofiakhan9706
    @sofiakhan9706 2 หลายเดือนก่อน

    Ila wanapenda kuwaone wachini wakati anaweza wakubwa wake walikuwa wanakula kwasababu kama mteja aliomba na akawa hakupewa maji au kwa makusudi hawakuweka ndani system kwasababu wanataka aondolewe maana huyu baba anaoneka kakubali kosa siyo lake ,nenda singida mheshimiwa watu kibao wameomba maji na hawaja unganisbiwa ukajione pia

  • @YusufSasamalo-uz4ii
    @YusufSasamalo-uz4ii 2 หลายเดือนก่อน

    Uongozi wa morowasa ni hovyo mno,maji yanapotea tu mabomba yanamwagika hovyo mitaani,halafu maji hakuna kwa wananchi