MBUNGE WA MTAMA AMEKULA MTAMA| BAADA YA KUTENGULIWA ALIRUDI VIPI NYUMBANI?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ต.ค. 2024
  • 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

ความคิดเห็น • 83

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz 2 หลายเดือนก่อน +12

    Nape kaongea ukweli ila ingekuwa sahihi zaidi kama angekishauri chama chake kiache kuhujumu uchaguzi kwa kuiba kura na kibadilike kwa kuendesha chaguzi za HAKI.

  • @kelvinmalahu3522
    @kelvinmalahu3522 2 หลายเดือนก่อน +3

    Waswahili Wanasema.! Kesho Ina Siri Kubwa Sana. Usimdharau Mtu Kwa Leo Yake🎉

  • @ShomaryMvinja
    @ShomaryMvinja 2 หลายเดือนก่อน +6

    Magu aliwagundua mapema akawatimua mama kawaludisha

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 2 หลายเดือนก่อน

    Watangazaji wadaku sanaaaa haya kazi kwenu Waziri wenu huyo

  • @mfalmekaitaba2425
    @mfalmekaitaba2425 2 หลายเดือนก่อน +9

    Zembwela bhana yaani #Byabato baada ya kutumbuliwa leo hii anamuita ety "Yule bwana mdogo"😅😅 ila kipindi ni waziri alikuwa anamuita MH.

    • @noelbryson7840
      @noelbryson7840 2 หลายเดือนก่อน

      Umenifanya nicheke sana ndugu yangu 😅😂

  • @rogersiddy
    @rogersiddy 2 หลายเดือนก่อน

    Mbunge wa Mtama Nape Nauye ameridi jimboni kwake kula mtama😂😂😂😂😂🙌

  • @emanuelkidali9733
    @emanuelkidali9733 2 หลายเดือนก่อน +2

    Jpm alikuwa sahihi Leo ndio mtamkumbuka kikulacho ukinguoni mwako

  • @godfreyally-ps3fo
    @godfreyally-ps3fo 2 หลายเดือนก่อน

    Mbunge wa mtama amekula mtama. kitenge miyeyusho sana😂😂

  • @HiteshkumarDhirajlal-nh3ly
    @HiteshkumarDhirajlal-nh3ly 2 หลายเดือนก่อน +3

    Usifurahi pale baya linapomkuta mtu,kuweni wastaarabu,hiyo ni roho ya Wivu.
    Nyinyi ni wanafiki na pia ni mazuzu,kwa kuwa hamtachaguliwa nyinyi.
    Tumefundishwa kuwa”TUISEME ILE KWELI ILI BASI ILE KWELI ITUWEKE HURU KWELI KWELI”

    • @rabiusvm
      @rabiusvm 2 หลายเดือนก่อน

      Hata hawa walikuwa wanatania tu 😅

    • @homeandaway2811
      @homeandaway2811 2 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@rabiusvm😂😂😂 anachukulia maisha serious sana huyu

    • @gracemima5234
      @gracemima5234 2 หลายเดือนก่อน

      Inategrmea ni mitu wa aina gani.

  • @StrongbowArrow2004
    @StrongbowArrow2004 2 หลายเดือนก่อน +7

    Kama urais unaweza kupatikana nje ya Box, basi hata uwaziri unawezekana nje ya box 😂😂😂😂

    • @MahdouMomba
      @MahdouMomba 2 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂

    • @alzawahirabdallah2299
      @alzawahirabdallah2299 2 หลายเดือนก่อน

      Sio nje ya boxi jamaa kaaga dunia mrisi anaendeleza kazi

    • @StrongbowArrow2004
      @StrongbowArrow2004 2 หลายเดือนก่อน

      @@alzawahirabdallah2299 🤣🤣🤣🤣

  • @almasabdul428
    @almasabdul428 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wazee wambea hawaa duh😂😂😂😂❤

    • @marymwasiga
      @marymwasiga 2 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅😅

  • @SwaleheSaad
    @SwaleheSaad 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hawa wazee wanafiki sana😂😂😂

  • @hamisimwinzagu6624
    @hamisimwinzagu6624 2 หลายเดือนก่อน +2

    Daaa!!!! Hatukueleweni ebu zungumzeni Kwa kupeana nafasi sio munapiga ukulele Tu mnatuchanganya kwenye kuwasikiliza

  • @mwalimumstaafu8529
    @mwalimumstaafu8529 2 หลายเดือนก่อน +3

    Kweli wana habari sio watu leo mnamkejeli bosi wenu wa zamani Nape😂

    • @emmanuelkanyela275
      @emmanuelkanyela275 2 หลายเดือนก่อน

      ndugu yangu hii nchi wanafiki sana hata huyo waziri ni mnafiki alijiona nchi yake hii

  • @NurudinZuberi
    @NurudinZuberi 2 หลายเดือนก่อน +7

    Ila nyie wanfki 😂😂😂

  • @MachibyaGedi
    @MachibyaGedi 2 หลายเดือนก่อน

    😅😅 Maulid Kitenge daah😅😅 unachokochoko sanaa daah hatari

  • @gracemima5234
    @gracemima5234 2 หลายเดือนก่อน

    Nape cheo cha uwaziri kilimpa kichwa na kuwaona watanzania wote washamba kama alivyomuona Hayati Magifuli. Mwemye tabia yake haachi. Rais Samia kumpa uwaziri watamzania wengi ilituuthi sana

  • @MS.independent8934
    @MS.independent8934 2 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂aisee nyieee

  • @FredrickMatiku-xf2uk
    @FredrickMatiku-xf2uk 2 หลายเดือนก่อน

    January koti analirudusha Jana la kuazima na

  • @elardmassawe5513
    @elardmassawe5513 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mbinguni mtapasikia tuuu😂😂😂

  • @vicenttarimo2203
    @vicenttarimo2203 2 หลายเดือนก่อน

    Waandishi wa habari kazi Yao ni ukuda kwa kusemwa umepatia ni mara chache ila mabaya yanachambuliwa sana viongozi wajifunze kujitahidi kutenda mema ili wasishuliwe

  • @OmanOman-f7r2p
    @OmanOman-f7r2p 2 หลายเดือนก่อน

    Duu maskin poleyak

  • @bilalabas9636
    @bilalabas9636 2 หลายเดือนก่อน

    Acheni undumilakuwili we kitenge huyo nape ni rafk ako na unajua kua anahamishiwa kwenye chama kwsbb ya kwenda kufanya manuva uchaguzi wa mwakani mtawaletea siasa za kitoto wasiojielewa

  • @isambongo935
    @isambongo935 2 หลายเดือนก่อน

    duuuuh mnajua kunyambua za ndan

  • @daudlongho8947
    @daudlongho8947 2 หลายเดือนก่อน

    Kazi nizaman 2 Kila m2 hatujui kesho yetu

  • @hamidabarraball3162
    @hamidabarraball3162 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kwani hamwezi kuongea bila kupiga makelele? Mnatuumiza masikio
    Hivi nyie mmesoma kweli chuo cha habari?

  • @mwitamwikwabe6611
    @mwitamwikwabe6611 2 หลายเดือนก่อน

    Kweli sipedi wadishi wa habri wa bongo wengi majawa

  • @OfficialA83640
    @OfficialA83640 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kchwa cha habari sasa😂😂😂😂

  • @MdugiVumbi
    @MdugiVumbi 2 หลายเดือนก่อน +2

    Ulikua utani tu.

  • @vickyadrian1503
    @vickyadrian1503 2 หลายเดือนก่อน +6

    Chalamila mast go huyu Baba ni maji Kupwa na kujaa
    Kauli zake hazina jasho ya mkuu wa mkoa . He doesn’t know the difference between yes and No
    Sometimes anaongelesha watu kama vile anaongea na watoto wake
    Ulevi wa madaraka/ matumizi mabaya ya mamlaka.
    Sometimes the leaders keep wondering why people hate Government so much ?!
    This kind of leaders are the reason

    • @knight6757
      @knight6757 2 หลายเดือนก่อน

      Leaders chosen by ........??

    • @visionstudios6804
      @visionstudios6804 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@knight6757her excellence

    • @hopesengo6972
      @hopesengo6972 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@knight6757😅

  • @malindaugama6559
    @malindaugama6559 2 หลายเดือนก่อน +1

    mwambieni tajiri atengeneze hiyo TV au mpiga picha abadili angle...WASAFI NI DUDE KUBWA SANA HATUJAZOEA HAYO MAMBO

  • @HashimYahaya-hd3zm
    @HashimYahaya-hd3zm 2 หลายเดือนก่อน +1

    Shida kubwa awa vijana wamejiona nchi niyao Mimi nakushukuru mku make nape kakichafua chama changu kwKauri zake zakijinga umeiba arafu unamuomba mungu akusaidie apana bwana

    • @festokemibala5832
      @festokemibala5832 2 หลายเดือนก่อน +2

      Kakichafuaje chama wakati ndo staili yao ya maisha? Sema katoa siri za ndani, kathibitisha tuhuma zinazowakabili hivyo kawaumbua!

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@festokemibala5832uko sahihi

  • @Gabriel-w6y8b
    @Gabriel-w6y8b 2 หลายเดือนก่อน

    Alisema bahari ni swari sijuwi sasa bahari imekuwaje

  • @samsungtz9148
    @samsungtz9148 2 หลายเดือนก่อน +10

    Nyie msiwe mnadharau maono ya magu

    • @Shokolokobango9385
      @Shokolokobango9385 2 หลายเดือนก่อน +2

      Magu aliwapiga down wakarudishwa

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 2 หลายเดือนก่อน

      Watoto wao hao, sasa ndo wameona hawawezi kazi. Magu alikuwa chuma

  • @TinnhaAlly-en7kq
    @TinnhaAlly-en7kq 2 หลายเดือนก่อน

    Mbunge wa mtama amekula mtama nyie Tena 😂

  • @RamadhaniSalum-y4e
    @RamadhaniSalum-y4e 2 หลายเดือนก่อน

    Ukiitazama kwamakini sana Ile video nape haikumponyoka nawala haikua utani alizamilia kualibu
    Alijua kitakacho tokea .A..B nyuma yake Kuna agenda gan iliyo mfanya kualibu kazi kilahisi?

  • @robertmasatu8423
    @robertmasatu8423 2 หลายเดือนก่อน

    Kamati kuu ya wanafiki Tanzania

  • @jamesjoseph6825
    @jamesjoseph6825 2 หลายเดือนก่อน

    Alichokikosea Nape ni kuongea ukweli wa yanayofanyikaga nyuma ya pazia

  • @tumlakimwaitumule
    @tumlakimwaitumule 2 หลายเดือนก่อน +1

    Dah 😂

  • @EnockNkamatwa
    @EnockNkamatwa 2 หลายเดือนก่อน

    Amekula mtama

  • @mwitamwikwabe6611
    @mwitamwikwabe6611 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kama hapo mnapiga umbea siwaelewi kabisa

  • @janiafaomaa5120
    @janiafaomaa5120 2 หลายเดือนก่อน +1

    WANYONGE WANAO ZULUMIWA ARTHI WAMEKWISHA MTETEZI WAO SLAHA KESHA ONDOKA WATALIA WATANZANIA WALIO KUWA WANA PORA ARITHI WANAWATU WAO WAKO NA RAIS KARIBU KWAKWELI HAPO MKUWETU WA NCHI AGALIE RAIS ANAPO KOSEA HAKUNA MTU ANAE WEZA KUMTEGUWA RAIS SAMIA NA YEYE AFIKIRIE

  • @HiteshkumarDhirajlal-nh3ly
    @HiteshkumarDhirajlal-nh3ly 2 หลายเดือนก่อน

    Hivi WASAFI media mbona ina WACHAFU humo ndani? Hivi mnaongea nini? Mmesomea hiyo kazi au mmekusanywa tu machawa??
    Jifunzeni maadili ya utangazaji washamba nyinyi!!!😚

  • @mussahussein4619
    @mussahussein4619 2 หลายเดือนก่อน +4

    Hawajamaa wanafki san

  • @jizzotheking9238
    @jizzotheking9238 2 หลายเดือนก่อน

    Ila nye watangazaji mna dharau saana

  • @emmanuelmlekwangano9991
    @emmanuelmlekwangano9991 2 หลายเดือนก่อน +2

    Wanafiki wakubwa tu ninyi hamna lolote

  • @alexkalonga5323
    @alexkalonga5323 2 หลายเดือนก่อน +2

    Ila Kitenge bhna😅😅😅😅 eti Mbunge wa Mtama amekula Mtama

  • @emanuelmkama1325
    @emanuelmkama1325 2 หลายเดือนก่อน

    Bahari imekuw shari iyo kauli ilskika kutok mtama🤣🤣

  • @mvanoissa9197
    @mvanoissa9197 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wazee wa minyama wanafiki sana nyie

  • @michaeljames3480
    @michaeljames3480 2 หลายเดือนก่อน

    😂

  • @mfalmekaitaba2425
    @mfalmekaitaba2425 2 หลายเดือนก่อน +1

    Chief jiandae kuchukuwa jimbo la Bukoba mjini🎉🎉🎉 kwanza huyu Byabato alipitaga kwa wimbo wa Rose Muhando#Nibebee

  • @AminiMoshi-cn9wi
    @AminiMoshi-cn9wi 2 หลายเดือนก่อน

    Woote ni walewale hamna jipya kúrap ngonjera tu

  • @MahdouMomba
    @MahdouMomba 2 หลายเดือนก่อน

    Heheheheeheheee

  • @mussahussein4619
    @mussahussein4619 2 หลายเดือนก่อน +2

    Wamtama amekuala mtama😂😂😂 😂

    • @zuhrazuhra637
      @zuhrazuhra637 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

  • @YOSHUAMWAMPETA
    @YOSHUAMWAMPETA 2 หลายเดือนก่อน

    KALA MTAMA NA MBOGA GANI ?

  • @RayMakini
    @RayMakini 2 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂😂😂😂

  • @azizajamary576
    @azizajamary576 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂

  • @AboubakarRashid
    @AboubakarRashid 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kakiiza chama uyo bora akae pemben atajfuza kpi cha kuongea

  • @ShakyBye
    @ShakyBye 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @monicachacha455
    @monicachacha455 2 หลายเดือนก่อน

    hahaà

  • @MahdouMomba
    @MahdouMomba 2 หลายเดือนก่อน

    MBUNGE WA MTAMA AMEKULA MTAMA🤣🤣🤣🤣🤣🤣