KAMA UNATAKA KUISHI NDANI YA ZANZIBAR LAZIMA KUFANYA HIVI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ก.พ. 2020
  • Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote.
    #Habari #KtvTzOnline
    Follow Ktv Tz Online
    Facebook | KTV TZ ONLINE
    INSTAGRAM |@ktv_tz_online
    Wasiliana nasi kupitia number
    +255 625 323 932
    Ktv Tz Online Journalists
    cc: Sadia Rashid
    cc: Juma Maulid
    cc: Masoud Maganga
    cc: Sauti
    Video Zingine:
    Angalia hapa - Diamond Platnumz Alivyolisha watoto yatima
    - Ali Kiba akiwa Oman
    • ALICHOKIFANYA DIAMOND ...
    • NI KWELI ALI KIBA AMNU...

ความคิดเห็น • 37

  • @saidabdala4980
    @saidabdala4980 4 ปีที่แล้ว +4

    MAJAMBAZI JUUU YA MAJAMBAZI. WALE WATU WASIOJULIKANA JEE WAKIIGIYA KWENYE MTAA NA KUFANYA UFISADI JEE NA WALE WAJE KURIPOTI KWA SHEHA

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 4 ปีที่แล้ว +3

    TENA HILI NI MUHIMU SANA, HATA NNCHI ZA ULAYA HUSUSAN UBALGIJI UKIPATA MGENI KUTOKA NNCHI NYINGINE , NI LAZIMA UKAMTAMBULISHIE KWENYE OFICISI YA MEA. ILI WAJUE AMINGIA LINI NA ATAONDOKA LINI. HILI NAONA NI MUHIMU SANA HASA KIUSALAMA .

  • @mwanaz3110
    @mwanaz3110 4 ปีที่แล้ว +2

    Wanzanzibar mbona hapa hapataki siasa,kwa hili ni utaratibu wa nchi zote duniani.

  • @ireneassey3685
    @ireneassey3685 4 ปีที่แล้ว +2

    Usumbufu mashea wenyew ka huna ela anakwambia sikujui siasa tu ..

  • @ibrahimali-tf1or
    @ibrahimali-tf1or 4 ปีที่แล้ว +3

    Waache waingie tuu Zanzibar ninjema

  • @frankpeter172
    @frankpeter172 4 ปีที่แล้ว +1

    Mana jipya nyinyi mmeweka pesa mbele kama mifuko ya shati

  • @blacksimba6967
    @blacksimba6967 4 ปีที่แล้ว

    Wakodishaji ni sawa .....

  • @hajivuai3454
    @hajivuai3454 4 ปีที่แล้ว

    mimi pendekezo langu mashekh wawe wale walioshiba dini,kama vina shekh nyondo nk,si hao masheha wengine wakukota okota mambo yanakua hayaendi sawa wanavutia upande umoja

  • @IlhaamMarshed
    @IlhaamMarshed 4 ปีที่แล้ว +2

    Naomba SUBSCRIBER kwenye youtube channel yng tafadhal

    • @binsaid6945
      @binsaid6945 4 ปีที่แล้ว +1

      Ilhaam Marshed okay sw

    • @khamisjuma5046
      @khamisjuma5046 4 ปีที่แล้ว +1

      Salam kutoka. Marekani nduguzagu mungu atusai.die 🇺🇸

    • @saidissa3634
      @saidissa3634 4 ปีที่แล้ว +1

      Ilhaam Marshed tayr habbty

    • @IlhaamMarshed
      @IlhaamMarshed 4 ปีที่แล้ว +1

      Asante

  • @saidmo8392
    @saidmo8392 4 ปีที่แล้ว

    Mazoeya

  • @ahmeidyoung2410
    @ahmeidyoung2410 4 ปีที่แล้ว

    Hahaha eti yaya..

  • @faridhajj7092
    @faridhajj7092 4 ปีที่แล้ว

    Zanzbr njema

  • @mohamedjuma1878
    @mohamedjuma1878 4 ปีที่แล้ว

    Hao sheha wenyewe wezi

  • @salehothman449
    @salehothman449 4 ปีที่แล้ว

    This action is only applied at point of entry, ie airports, ports,or boarders Thank

  • @achy6742
    @achy6742 4 ปีที่แล้ว

    Kwa vijijini sawa lakini sio mjini

  • @khamisjuma5046
    @khamisjuma5046 4 ปีที่แล้ว

    About unguja na.pemba

  • @mosaidi2633
    @mosaidi2633 4 ปีที่แล้ว

    Tuonyesheni hizo kumbukumbu ambozo mumeweka kwenye hayo mafaili yenu Masheha

  • @fugameza6011
    @fugameza6011 4 ปีที่แล้ว

    Hamna maana yeyote nyie na hao walio kuwekeni basi itakuwa kibaruwa siyo kazi halafu washenzi mna ongeya kama waaatu pumbaav unuusu kitambulisho vipi au ndiyo hawajuwi hawajaleta baruwaa

  • @blacksimba6967
    @blacksimba6967 4 ปีที่แล้ว +1

    Uwo ni ukoloni Mambo leo

    • @fat-hiyaharmisuleiman2907
      @fat-hiyaharmisuleiman2907 4 ปีที่แล้ว +1

      Hakuna ukoloni hapa mimi niko ulaya kama sikuka kisheriya nipolisi hunifata nayule aloniweka namtiya matatizoni

    • @nasseryahya2919
      @nasseryahya2919 4 ปีที่แล้ว

      Wewe ni mjinga unajua ukoloni lakini

    • @blacksimba6967
      @blacksimba6967 4 ปีที่แล้ว +1

      @@nasseryahya2919 ww hujuwi nini unaongeya ...... Sisi Waafrica tunapenda kutesana wenyewe kwa wenyewe...... Wazungu na Waarabu na Wahindi hamuwapeleki Kwa masheha.....

    • @blacksimba6967
      @blacksimba6967 4 ปีที่แล้ว

      @@nasseryahya2919 halafu usipendelee kuita watu wajinga..hapa tupo kuchangiya mawazo kwa hiyo kila mmoja Ana right ya kutowa mawazo yake... .Sasa ujinga upo wapi????

    • @nasseryahya2919
      @nasseryahya2919 4 ปีที่แล้ว +1

      Mimi naomba unijibu unaujua ukoloni wazungu hawapelekwi kwa maxheha ila na wao kuna taratibu wanzifuata wanapoingia mji wa W2 na ndio maana xiku zao zikiixha wanatimka

  • @SA-xj8hc
    @SA-xj8hc 4 ปีที่แล้ว

    Kwenye kuandisha hata kama umezaliwa na kuishi mtondogoo akikuona una sura ya chama pinzani Sheha anasema usiandikwe eti hakutambui, dhulma tupu!

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 4 ปีที่แล้ว

      Sasa sheha wa nn na unakitambulisho chako kinachoonyesha kila kitu?

    • @blacksimba6967
      @blacksimba6967 4 ปีที่แล้ว

      Sheha ni mtu wa Serikali sio wa chama...Anatakiwa Atowe services Kwa kila mwananchi anaehitaji bila ya kutizama ... Chama chake..........