Jamani muogopeni mungu towa historia sahihi usidanganye rudi katika kitabu swahili and cultur jon philips oxford universty na uhuru na zanzibar ismail sharif musipoteze historia
Ndugu yangu sheikh maridhiya hii channel yako inaonekana na watu mbali mbali duniani huu upuuzi acha kaka.. usiajiri watu wakakuharibia hii kitu.. deal na vitu vya msingi
Mbona hawa watu waliokuepo kabla ya waarabu.... hatuoni taathira yao wala alama ya uwepo wapo... ama watumbatu tuwaangalie kwa uwepo wa karne na karne...
Usipotiwe watu wewe muarabu kapinduliwa lini zanzbar wakat mtawala wa mwish ni muengereza ivi kma hamujuwi historia ama munaipeleka tu hile munataka ili kuonekana muarab ni mbaya kwetu wakati mpka leo tunamtumua na tunamtegemea kwa kias kikubwa muongeleeni muengereza ndie mtawala wa mwish kbla ya mapinduzi
Kasome tena historia musidanganye watu kwa kuhalalisha mauwaji yaliyofanywa 1964 kwa kuwa waislamu wenzenu mkalipa nguvu kanisa katoliki zanzibar lituongoze C .C.M ni kaniss katoliki nyie waja allah

Munatudanganya ila ukweli tushaujua😢😢😢
Tupe reference ya porojo lako km unasema kweli!
MAUAJI NA SIO MAPINDUZI, ACHA UONGO MPUMBAVU MKUBWA! 👺👀👀
Mbona hawa watu waliokuepo kabla ya waarabu.... hatuoni taathira yao wala alama ya uwepo wapo... ama watumbatu tuwaangalie kwa uwepo wa karne na karne...
sio mapinduzi mavamizi ya uwadui
Muwongo mkubwa wazanzibari hawaja wauwa nduguzao
Muongo mmoja huna maana hata kidogo kazi kudanganya ichi ni kizazi kipya tunaju Kila mnaloficha.
Acha historia ya uongo mwehu ww
usitowe historia ya uongo na chuki mukawapotosha watoto
Huyu Kuna mambo muongo anayo yasema